I need this guy he sang so much.. With perfection he made the song his he reminds me of lucky dube.... Kweli MBEYA pple are also talent like kigoma pple mmmmmm.. Rayvanny watch your bro.... Napenda bongo napenda wabongo much love from Kenya #254 🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
M nlisema toka mashindano yanaaza mshind n meshack fukuta weng wakabisha sasa wamejionea hamis kuimba ilkuA n 0 n nyota tu ndo ilmpa Cheo fukuta safffffff
Jomooon hom boy nlikup mia toka nmekuona japo Leonard alikuw akinitixh ckukat tamaa kusem wew and mxhind chezea mbya 2018 tulichukua namb mbil ya asagwile now ni balaaa mbya hatujawah kufel
Yaan Jana nimekaa nikimuombea sana meshaki walahi nimefurahia ushindi wake kama vile tutagawana😀😀mungu nimwema nilikua Nikimuombea xana jamani.
Ametixhaaa xana
Namkubal San huyo jamaa
Hahahahahahaaaaaaa!!!!!
Mbeya boy✔✔
Pongezi ulistahili kutwaa taji homeboy✔✔
Mbeya House of Talent💝💝
IVARN GASPER Tisha sana
I need this guy he sang so much.. With perfection he made the song his he reminds me of lucky dube.... Kweli MBEYA pple are also talent like kigoma pple mmmmmm.. Rayvanny watch your bro.... Napenda bongo napenda wabongo much love from Kenya #254 🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
U are real a star ,may God shine ur stars bro from Kenya, I liked everything u did all the way.
Dogo hongera sana aiseee nakukubali sana unajua kutembea na beat 😂😂😂 like zenu kama unamkubali jamaa uyu
Ndio bakar na mwaka huu Kuna vipaj vikal Kuna ay, kiba na zuchu hatar kwel kwel mambo ni moto
Ya anakweda na biti kaka yangu ni msanii analipaj cha kuimba na kulapu mkal naye walikuwa kitaa na makempu wanamkubal wanamualika anatunga na nyimbo
Zaman alikuwa anakwendaga Sana Kwa mastar j nilianza msikiaga kwake
Naipendaga hiyo nyimbo nyimbo nyingi za laki dube nazipenda
Anajuwa kuivuta saut
Meshack keep going bro and let the sky be the only limit in your dreams,mob love from#254 Mombasa
Hongera meshack Hakika umestahili kua mshindi. God bless you
Ukweli ni haki yako kushinda sababu unazo
Vigezo unavyo
Uwezo unao God bless you
Akufanye mshindi kakita kila hatua bg up Meshack I love youuuuuu❤️💞💋
Nimejaribu kumtoa kasoro lkn duuh kanishinda hongera
Yan kumbe kuna watu wanaimba vzr to mlikuwa kila siku hamis hamis aaaaaah big up meshaki
umeonaeee
U made day happier thanks meshack 😍😍😍
Nakupenda meshack Rudi mbeya kwa kishindo 😚😚😚
Angel John bondiamwakinyo
Ajee om tumpeshangwee
You have nailed it mercilessly brother and you deserve to be le champione ... congratulations
wap wa2 wa mbeya jaman nilikuwa nataman sana uwe mshind na kwel imekuwa hongra sana ❤️❤️
Am so much excited I was wishing for him
Meshack jmn hujui ni jins gan nilikua nataman ushinde
Nyimbo za marasta wooote duniani pqmaoja na Master J ndo maana kawa mshindi BSS
Waohhhhh so lovely God bless you meshack
Big up meshack
Hongera meshack wangu😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊Nakutakia kila la heri baba kaza buti utafanikiwa zaidi na zaidi ngoja niendelee kunywa juice ya ukwaju😋😋😋😋😋
Hongera meshack umetuwakilisha mbeya vizur
Meshack ni moto msingine
Umeona jamani
saf sna meshack kwa kazi nzuri uliyoifanya
Hongeraaa
mwanangu umetisha sanaaa nakukubali💪💪💪
😭😭😭Remember Me Rip Lucky Dude
.ajal
Aiseeeee umetisha Meshack gooooooood
Hongrera sana Meshack, ulistahili. Hongereni pia judges mmetenda haki. Heshima ya taasisi yenu imekua sana!
Asante Mungu kwa kujibu maombi yngu.
Hahaha
Mbeya city home bress to meshark mungu kakufungulia njia
Mwaje Jasson Mungu ni mwema maombi yetu yamesikika nilimuombea sana Meshack ashinde
Jaman like hata moja
Meshack atari sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Meshack 💕💕💕💕💖
Daaaaaaah!! Nilijua tu kua mshindi atatoka mbeya kozi daaaaaaha hongera meshack
BSS mmetenda haki kabisa hapo. Big up
Mshind tulimuon tokea mwanzo
Congratulations Meshack
Good trial brother
Congrats meshack👏👏👏👌
M nlisema toka mashindano yanaaza mshind n meshack fukuta weng wakabisha sasa wamejionea hamis kuimba ilkuA n 0 n nyota tu ndo ilmpa Cheo fukuta safffffff
Mi nilianza kukupenda nangia umeingia mbeya kwenye usahili love u my brother
Meshack Meshack Meshack Meshack Meshack Meshack umestahili kuwa mshindi Mungu awe pmj nawe ktk sfr yako ya muziki hongeraaaaaaaaaaa mwaaaaaaaaaah
Mbeya stand up
❤❤❤❤❤❤❤❤💪💪👄👄👄ninavyo penda iyi nyimbo
Ukhuty khadija hii nyimbo inaiywaje nataka nitafute mana yake jina la nyimbo please na msanii alieiimba
Hongera mno mdogo wangu
Ana style msim huu mlizingua kwa Mariam tu yule Dada alikua shida
Nomaa sana
🔥
Asante dogo
Jamaa anaimba ni fundi
Alafu bado mdogo , Mungu akukuzie kipaji chako.
Ni nipo tafauti hii mambo inakuaga ni uwezo but plus bahati bana .kama unanikubalia gonga like
Ila humu wanafki mwanzo mlikuwa mnamsifia hamis sasa hivii kwa kuwa kaanguk mnaanza kumponda kwel binadam sio watu
Hahahaha
Hongera mungu ni mwema wewe ni muimbaji hatari
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘😘😘
Good
Mimi simkubali masta J. Wala meshak. Hamis ndo alikua mpango mzima. Japo Mm napenda reggae music. Ila hamis ni nooma
I like
Duwa zangu zimepokelewa
Safi sana
Mwenye aliimba wa kwanza naeza mpataje
I would like to join him
Kweli unastahili kaka 🤔 💯💯💯🇫🇮
♥️♥️♥️♥️♥️
Salut
Sjawah kukupa kura yangu lakin hongera mpepo na hamis kidogo maana alikupa changamoto ya kujitma zaidi
daaaah umeshinda kiharali big up
Jamaaaa co pouw kabx
Tunashukuru hm boy na mbeya tumeonekana
Nom cna ongera
@@yunnpaulo8131 asantee
Jamaa anaweza
Meshack mungu ni mwema
ulistahili kupata tunzo kijana kwanza unaonekana unanidhamu
Hongera
Wale tulio mbeya oyeee home boy oyeee nilijua
Kwa straggler hii afu mtu anadhulumiwa asee walaaniwe wote waloshiriki upuuuzii huo
Criaz nkachukuw nyimba ya chrss brown nikaa naataye imba ya reyvan vizur ila yule wa chrss ilye znguwa ataonekana anauwezo mkubwa sana kibongobongo
Dogo ww ni sumu unajua hatar yaani ww ni staa tu haina namna konki huyu dogo
Jamaa anajua sana
Wangempaga tu mapema mbona nilijuaga kua anastahili ushindi hongera Sana meshaki nakutakia mafanikio
Meshack ni msanii zamani huyu
Aiseee he made my day
Million votes
Hi?
Anastahili Jamaa Yuko poa Sana'a
Hivi kumbe alishindaga meshak mwaka uliopita nilikuwa namkubal naye nilizan alishinda sarafina kama naye alishinda.
Mbeya oyeeee
Kweli kbs nilijua
Bonge la star ktka mbeya ongera sana
Kujiamini raha Sana,huwezi kukuta unakosea popote kwa kujiamini kwako.hongera sana
Kweli kabisa kujiamini ndo kila kitu
@@evachengula1473 kabisa yani
Kura nilizopiga hazijaenda bure hongera Meshack Fukuta mbeya boy
Jamaa ameweza kama mwenyew amefufuka dah aiseee ,anabalaa hyu jmaa, congratulation boy marshak
Lady jay dee timiza haadi yako
Kwa kweli alisema ata ritaya
Frank alipotoka jide alikasirika akaondoka hakurud tena
Kiukweli sitegemei kumuona tena maana Frank alikuwa anajua lakn ndo ivo @lady jdee timiza hii haadi plz😊😋
Lkn Hamisi alipaswa kuimba Redemption song ya Bob Marley kwa utulivu wake angewabwaga naamini🇦🇽🇦🇽
meshak SAFIIII,,, unastahil
Mungu amemremember kweli dah
Jomooon hom boy nlikup mia toka nmekuona japo Leonard alikuw akinitixh ckukat tamaa kusem wew and mxhind chezea mbya 2018 tulichukua namb mbil ya asagwile now ni balaaa mbya hatujawah kufel
Yaan watu hawana nyota kabisa pamoja na kufanya vzr ila hamisi ndio maarufu sana utafikiri ndio mshindi wa bss 2019
Viva mbeya
Figisu San hastahili uyu bora hamiss
Hamisi aliaribu Hana heshima Ana kiss mbele ya MA judge
Kilichomwokoa ni kelele za mashabiki tu kweri maleem alikuwa akiimba ivyo mh izi BSS jamani mashabiki kelele tu bas
Daaah Madamu Ritta Hicho Kifua Nifaya
Mborowewe kaziyako kuangaria kifuatu mboro yanko bwege kabisa
@@aginessjacksoni8115 ok kwa we unakifua au uchafu 2
@@ayoubjaphet709 noma madam Lita ni fire
Mimi nilisema mshindi anatoka mbeya kozi dogo unajua jamani
Noma xana jank katixha mbaya mazeee