Shukran bss team kwa kugunduà vipaji vya vijana hawa waliokuwa hatuajui lakini kwa ajili yenu leo hii namjua meshack fukuta kama kijana mwenye kipaji kisicho cha kawaida (best vocalist),frank,leonard, patrick fatuma msafiri, patricia, na wengne waliotoka kabla ya top 10 lakini pia poleni kwa wale wataz wajinga waliokuwa wliokuwa wanawatukana,tambua changamoto zipo,mm na mke wangu Ghati tunashkru sana maana tulikuwa tukiwafatilia toka auditions za Arusha na zngne zilizokuwa zkifanyka hadi final na mm- yeye na watanzania wengne wenye akili timamu tunakubaliana na maamuzi yenu ya halali kabisa!!
I always come back here to watch the ndiza song performance by Meshack...you just did great 🥺🥺
Kumbe sipo peke angu😊
It really hits different❤❤
Same bestie @@allyntepatz
I always come bak to watch ndizaaaa, life isnt fair and will never be, i dont know why meshack isnt a big star yet with such a womderful talent
Ndiza song 🥰 I 'll always be here watching you meshack!! 🤞🤞
Aliyemuona isarito kutoka mbeya one of the best actor in tz tia like
Bado nafuatilia hii bongo start search nazidi pata furaha
Patrick, wow. Napenda vocal , ameweza.
Leonard sunday ns fatma ingekuwa ouk sana
from all the year thiz was the best ever
I love u Frank i love u soooooomuch ilove u
Leonard.... fire. Pricila ...checked.... i love em'
Madame rita 2023 bad naangalia hii season ilikua na vipajiii sijawah ona bss
Huyu alieimba malezi ya mama kiboko mungu akujaalie
Hamis leo kaharibu sana kwa upande wangu kwan sijapenda paformace wake Kama mwehu jamn
Kabisa
Hamis na van wanafanana na Mr ibu yule mchekeshaji Wa Nigeria
Jamani Esther 😂😂😂😂😂 me ibu tena muache mnigeria wa wa2
Hahaaaa
Uyo Dogo meshak ni bala u got my support from Congo to USA 🇺🇸
lady jay de fanya collaboration na zahara wa phedula ,mnafanana afu mta match ,itakuwa ki culture zaidi
Jaman watu kutoka mbeya tunaimba sio uongo meshack tupo pamoja
Patricia,Leonard na frank nawapenda sana
You are gifted and talented keep it up
I just napenda hii show sana,all the people in it...you sure make a mood better...asanti
Mnatudharau sana tunaoangalia RUclips... yaani kuposti shida duuuh.
Wanaotaka kuona top 5 inapostiwa soon gonga like hapa👇
Socceroos JS
He deserves to be winner🏆🎉🏆
I think this season had the most talented contestants 🔥👏👏
Real..
ruclips.net/video/-zS0KZt0xhg/видео.html
Exactly ❤️
ila majaji mnafanya kaz kubwa san much love you
Patricia with njiwa was amazing big up
Hii haina maana tena kwa sababu tulisha jua mshindi!!!
Gonga like kama tuko sawa
coming watching just for ndiza by meshack fukuya 48:13
Hamisi hajafanya vizuri, ila anapendwa tu, ila tuwe wa kweli Hamisi ajafanya vizuri
Kweli
Wanchoangalia sio uimbaji tu bali hata energy yake pamoja na kujiamini
Nakupenda Ray 😍😘
Mariam nakupendaa congrats babygirl 😍😘❤️💋
😂😂😂Ray unioni sina fare yakurudi nyumbani
Alieimba ewe njiwa umeimba vizur sana
jamani bongo mnatisha sana anyway nawapenda sana wa Tanzania wenzangu
Honger san daaa
Frank Charles performed his own song ... like oooh Lord nice song ..touched me
Wanaosubiri kuwaona LEONARD na MESHACK Gonga like Tujuane🙏🏻
Aya sasa
I realize I am quite off topic but do anybody know of a good place to watch new tv shows online?
Ndisa jmn ndisa 😘😘😘😘
Bongo star search this time mmezingua sana meshack anamzid vp frank kuimba
Yaani mpk leo sielewi
Nampenda Sana madam lita
i always come back to watch and listen Leonard
Exactly
Je vous aime beaucoup bongo
Shukran bss team kwa kugunduà vipaji vya vijana hawa waliokuwa hatuajui lakini kwa ajili yenu leo hii namjua meshack fukuta kama kijana mwenye kipaji kisicho cha kawaida (best vocalist),frank,leonard, patrick fatuma msafiri, patricia, na wengne waliotoka kabla ya top 10 lakini pia poleni kwa wale wataz wajinga waliokuwa wliokuwa wanawatukana,tambua changamoto zipo,mm na mke wangu Ghati tunashkru sana maana tulikuwa tukiwafatilia toka auditions za Arusha na zngne zilizokuwa zkifanyka hadi final na mm- yeye na watanzania wengne wenye akili timamu tunakubaliana na maamuzi yenu ya halali kabisa!!
Thank you so much ❤️🫂
Ukovizuri sana jaman💋💋💋💋💋💋💋
Ulikua mshindi frank ilacjui figisu walizokufanya mungu akulipe kivingine Naikawe hivo kwako #nakupendasana
Veronica Daniel haswaaa
Nani mshindi kwani
Kuna maku amenidm...anasema cyno umekuwa waki kinoma,,unahang na wakina vibegi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tunatupa maweeeee eeeeeeeh maweeee tunatupa maweeeee eeeeeh maweee 💃🏻💃🏻💃🏻💃🏻
Hahhh hamisi u make mi smile much even if I was angry
B I HB vyovyote a b hehas. Vvvvbe a
So amazing
Yes
Waoooh Patricia we ni mkali
Big up Leonard....like yuuu
RayVanny kafata nn apo hana idea ya mziki na tone tofauti tofauti.I miss you Dully Skyes
Hizo nguo wanabebaga au mashindano yakiisha wanarudisha dukani
Sheila Kilosa nafikiri ni zao wanabebaka nyumbani kwao
Wana kuwa wame zawadiwa hizo vitu.
🤣
Mwenye aliimba mama aliweza🔥💯🇰🇪
Amazing 🔥
Wapi like za Bella aliyeimba wimbo wa nani kama mamaa jamaa naye kapatia sana👌👌👌
Maryam Una sauti Nzur adi unaboa.african voice
nampenda khamis ila hapa kaimba kama yule WA "hata Sha wa master Jay kanyaga" 😊😊😊😊
😂😂😂
🤣🤣🤣💔
Ubarikiwe sana nakukubali sana mimi
Leonard alitisha sanaaa
Hamisi alivyo sikia hatoki yaani karuka hadi mjusi wangu umebadilika na kuwa mamba! Sio kwa shangwe hiyo🤔🤔
Jamani frank❤
Frank🔥🔥🔥🔥
Namkubali sana hamiss
From the USA Asante for the show jamani.
meshak umeimba vizuri ndizaaaa ndizaaaa ndizaaaa
Still watchin saut ya patricial
Cool
❤️❤️
Basi hata izo nyimbo mgekua mnaandka majina Kuna zingine tunazipenda tunasearch tabu kuzipata
All like to ndiza boy
Hamis minilikua napenda saut yake naanavyopig gitaaa ila kupafirm anavyoluka luka naona aibu mm aki hapan
Mwasiti Iddy 😂😂😂😂
Yaan wew ndo mm😂😂
@@florachrist9602 😅😅😅
@@annalekule2180 😅😅😅😅
Uwiiii hata mimi sikuelewa ule mzuka😂😂
Leonard nakukubali sana kaka yangu
Kama umechukiya alichokifanya master jay kwamzinguwa hamis ngonga like tujuwane
Master J alikuwa sawa kabisaaa
Kumwambia mtu anajua wakati hajui ni unafiki kiwango cha PhD master j kaongea uhalisia..
Frank unafanana na Neyo
Mnajishaua
The guy who did tarabxligangala did well
Patrick weeee👍👍👍👍👍👍
Bado naangalia performance ya Leonard Sunday year to year
daaaaaaaaaaaaaaah...Meshaaaaaaaaaaaaaaack
Frank charz we ninoma sana jamaa angu na wewe na meshack mlikuwa mnatoana kwa penati ila wimbo uliouchagua siku ya fainal ndo shida
m nafkr Patrick alifanya vzr sana..
Woh patrick
Meshack Fukuta, MeshaAmaizing ameua sana na Ndiza kila nikiikumbuka performance yake nakuja kucheek hii scene
Izo nywele ray van hasijakupendeza
Ni star, yuko huru ku tunza nywele jinsi apendavyo.
Aliemba njiwa kama mchiriku doh!
Msjaji watu kwa upendeleo
Ry van kama mwanamke imekosekana sketi 2.
Iyo nyimbo c ya jay dee
Frank charles🙌
7
Jaman mludishen hamis nampenda
Ila Master anasemaga kweli
Madam Rita na Idriss kuna kitu kinaendelea, when their eyes collides only adults can relate
Bro Frank we ni noma ssna
Hamis voice ikikomaa huyu Jamaa ni performer
final video iko wapi mbona mko hivo jaman wengine hatuna startimes tunasubiri huku
Waooooh Rayvanny👏
Frank Charles such an affectionate song "wambiee tu"
Frank anaweza
Kweli nimeamini Master j ni Msenge sana!!!!!
Nyie ni wa ajabu sana siku zote tumesubiri mpandishe hii halafu mmekaa kimya leo ndo mnaiweka ina maana gani sasa kaeni nayo tuu
Wanataka tuiangalie kwa star times kwanza🤔😂😂😂 wakisha rudisha faida ndio watuletee mabaki
Me pia nawashangaa sana
@@ilovejesus9303 🤣🤣🤣🤣🤣
Wew rey kila mtu yupo sawa tyu hata hukosoi jamn
Hana lolote huyo wamejichanganya kumuarika
Meshack ipo vizuri sana.D.R.C
Meshack🙏
Sema hii mlizingua huyo jamaa alikuwa bado saaaana kushinda
Mbona hampost ep 10 ile ya double performance
Kwann jamani
Kanumba
Mariamu kweny shoo hii ulikua unatetemek mamii ila unakipaj
Bhana acheni mapoz 2nasubir ki2 hapa