SHUHUDIA RAYVANNY ALIVYOAMSURPRISE MTUME MWAMPOSA KWENYE MKESHA USIOSAHAULIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 19

  • @Bles-x1v
    @Bles-x1v День назад +6

    mungu ampe maisha marefu apostle mwamposa anatuonyesha njia iliyosahihi

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 День назад +8

    BIBLE inasema MUNGU awajua walio wake acha watangetange na dunia wee ila cku icyo na jina wenyewe wataacha yote ya ulimwengu watacmama kumtumikia MUNGU alie hai😍😍😍😍

    • @Bles-x1v
      @Bles-x1v День назад

      aiseee nimeipenda mungu ni mkubwa

    • @Juyo56
      @Juyo56 День назад

      Amen

  • @Zainabumsangi-wu8gk
    @Zainabumsangi-wu8gk День назад

    Ameen utukufu kwa mungu

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 День назад +2

    Safi sana Kijana mungu atafungua utamtumikia mungu

  • @ChristinaEneza
    @ChristinaEneza День назад

    Mungu ampiganie azidi kumjua na kumtumikia

  • @MonicaMkombwe
    @MonicaMkombwe День назад

    Amen baba napokea na mimi baraka zako

  • @AishaTarimo-h9d
    @AishaTarimo-h9d День назад +2

    Hakika ulikuwa mkesha wa miujiza kwangu asant Mungu

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe День назад

      Wallah nahisi mkosefu nilipo pitiwa na usingizi

  • @DghettoTz
    @DghettoTz День назад +2

    Kweli dogo mungu yupo

  • @JudyUrio-zy7ri
    @JudyUrio-zy7ri День назад +6

    Mnaosema watu wanatangatanga baadae mtasema kwanini nilichelewa

    • @AishaTarimo-h9d
      @AishaTarimo-h9d День назад

      Ni kweli kabis

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe День назад +1

      Wewe waache hawajapata shida

    • @JudyUrio-zy7ri
      @JudyUrio-zy7ri День назад

      @MonicaMkombwe wanazo basi tu wanaleta udini kwenye hamna

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe День назад +1

      @@JudyUrio-zy7ri watakaa sawa mda kidg ila kikubwa tusijibizane nao maana MTUME ametukanya mara kadhaa wa kadhaa kuwa tupite kama hatuski

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 День назад +1

    Upako wa nguvu kapata

  • @MaishanaDavid-ej1ic
    @MaishanaDavid-ej1ic День назад +3

    Bulldoza na bado mpaka waseme