Wamelogwa wao, na upako huu wote eti tumelogwa, Tumheshimu Mungu jamani, Kisasi pekee amejisazia Mungu ni kupitia kuwasema watumishi wake. Tuepuke laana, ivi ukilaaniwa na mwanposa utafunguliwa na Nani, tujiulize?
Duuuuh Kanisa Ra mwamposa sio Ra kristo Bali niramchanganyiko hakuna roho mtakatifu hapo jamn mnaperekwa motoni bira kujuwa au wenda mnajuwa rakin mmexhapigwa kwenye ufahamu
Naomba mungu anipe kibari nipokee watoto mapacha wakiume na wakike nikija kukutana na mume wangu
Tamasha la Mungu ila nyimbo za dunia hakika bwana Yesu amakaribia sanaa
nyimbo za dunia kivipi kumbuka wañsema msifuni kwa matani na kucheza
jinyo inaonekana una wivu na usisahau kipitia tangañyika packers na kamba yako😅😅😅😅
Yesu moyoni
@@FatuMohmedi hahahahàaaaa
@@Bles-x1vtatizo ni kama wimbo Una matusi lakini kama hauna matusi hamna shida, jee wimbo Una ujumbe gani?
Wamelogwa wao, na upako huu wote eti tumelogwa, Tumheshimu Mungu jamani, Kisasi pekee amejisazia Mungu ni kupitia kuwasema watumishi wake. Tuepuke laana, ivi ukilaaniwa na mwanposa utafunguliwa na Nani, tujiulize?
Umeona ichotu ndoumerukanacho kaaaga ivoivo wezako tunapokea madini
Duuuuh Kanisa Ra mwamposa sio Ra kristo Bali niramchanganyiko hakuna roho mtakatifu hapo jamn mnaperekwa motoni bira kujuwa au wenda mnajuwa rakin mmexhapigwa kwenye ufahamu
Unajikuta Nan kw Mfano