MaashaAllah ulamaa east africa tunajivunia kwa Allah uwepo wako Allah akuhifadh kwenye rehma (huruma zake) dunian na qiyama Ahsante sana kwa daawa zenye hekma na elimu.
Mashallah tunakupenda sana kwaajili ya Allah na tunakuombea kila lenye kheri katika maisha yako hapa duniani na kesho akhera Na Allah akupe umri mrefu ili uendelee kuitoa elimu hii yenye manufaa katika vizazi vijavyo
Mashallah Sheikh Othman . Mmungu akubarik na akupe Umri Taweel. Jinsi khutba zako zilivyojaa Taqwa na upana elimu na busara na miongozo mikubwa. Kipindi kigumu sasa duniyani, Vita hivi , maradhi na majanga mengi. Kweli si ya mmoja. Binaadamu tunahitaji khutba kama hizi kulingania haki na usalama na kumjuwa Mmungu wakati mgumu huu. Tuwaombee Duaa wenzetu hawa na kwa kila penye mabalaa ya aina yake. Allah awahifadhi wao na sisi . Aameen
Assalaamaleikum warahmatullah wabarakatuh ya ummati Islam... Allah akupe umri mreeeefu mnooo wenye manufaa na kheri ktk dini... Nakupenda mnoo sheikh wetu kwa ajili ya Allah
Yaani nyie mbona hamueleweki ,waparestina miaaka na miaka wanauwawa na mayahudi wakisaidiwa na marekani mbona hamuliii ,makafiri kigusana kidogo na mahutuba mnatoa
@Salum Juma Ruhaga. Tatizo letu sisi tunatoa maoni bila ya kitu kukifaham sheikh hajamtetea mtu ila mada ya hapo ni usifurahie baya linalomkuta jirani yako hemu kwanz sikiliza vizur alafu utapata lakusema
Waaleikum salam warrahmatuullah wabarakatuh ..MASHA ALLAH...MAWAZO MAREFU YA SHEKH WETU KIPENZI...UKISIMAMA KUTOA MAWAIDHA BASI...NAFURAHIA SANA WALLAH..MAANA NAONDOKA NA VITU MUHIM KUTOKA KWAKO..SINA LA ZAID NI KUKUOMBEA DUA ..ALLAH AKUPE MAKAZ YALIO BORA MEMA PEPON WW NA FAMILY YAKO NA UMMAT WA MUHAMMAD SAW..WANAEKUSIKILIZA..NA AFYA NJEMA ALLAHUMMA AMEEN 🤲
Sunna ya ndevu ni sunna tulioamrishwa na Mtume (saw). Kasema tuache ndevu tutowe masharubu. Nafurahi sana kukuona shekh Uthman na ndevu. Mungu akubarik
Daaah wallah khutba imejaa elimu,Hikma na busara kubwa mnoo ujumbe umegusa uongozi wa nchi yetu na hao wanaopgana Allah tuletee nusra... Mungu akujaalie Jannatu firdaus pamoja na mtume wetu (s.a.w)
Mwenyezi mungu akupepepo wallah miminatamani karma ningekuwa na uwezo niwalainishe rohozao hao wanaouwana waache wasikilizanetu lakini watu ndio kwaanzaa wanachocheatu hilijanga nasisi litatupataabu mungu tusaidie
Sheikh, usemayo ndiyo lakini tutakaa wapi ili tusahau utumwa na ukoloni, ubeberu na unyanyasaji wa wazungu ,leo wasema tuwaombee dua, waache wauwane ,sisi tuliwana kwa fitinisho lao, Mungu ni wetu sote
Yote hayo ni kutomjua ALLAH. Ukimjua ALLAH lzm utakumbuka kuna kufa na kufufuliwa siku ya kiama na utahisabiwa ni lazima. Ukifikiria hivyo unakumbuka yupo ALLAH na ndie Mkuu mwenye sifa zote na uwezo wa kila kitu.
Mbona chi za waislam hampazi sauti,mssichana wakizanzibar yupo gerezani Kenya miaaka imekarka alishikwa akienda masomoni sudani,wakasema at l S,mbona hampazi sauti,
Sheikh huyo allah atampa kheir za dunia na akheira maana anajuwa kitu gani anakisema...hawa ndo masheikh ambayo sllah kawapa elimu na vipaje ....hazungumzi kuropoka kasoma na anajuwa dini lakini baadhi ya wengine ni kuzudisha number tuu..allah atuhidi sote na akupe kila la kheir sheikh othoman
Mola akupe Umri wa afya,Maneno yako hekima,ndio tulivyoamrishwa,kuwa n washauri kila pahala.kwani linapofika halifiki kwa MMOJA ila ni DUNIA nzima yatatuangamiza
Asalaam alaykum sheikh wetu Palestinians walipo pigwa mabomu ya nuclear na Israeli takribani watu 2200 waliouwawa na Israel mbona amja react kama hivi subhannallah
Shehe kwenye uislam hakuna demokrasia kwbb demokrasia imekuja juzi na demokrasia ni mfumo wa kutenganisha dini na maisha kwa maana utenganishe maisha na maelekezo ya Allah hiyo ndio demokrasia. Sasa shehe unaposema uislam una demokrasia maana yake unautukanisha na unautia dowa la ukafiri. Wakat uislam ni mfumo wa Allah aliyetakasika na kila kasoro.
SHK OTHUMAN MAALIM:ANAZUNGUMZIA VITA INAYOENDELEA UKRAIN/ NA UISLAM UNALIZUNGUMZIAJE SUALA HILI. eti jaman ni kweli hichi ndo alichokizungumzia shekh? Nyie Riyadh tv muogopeni Allah. ACHENI UONGO
@@sabunisop1050 Hujui sisa za kimataifa wewe ata kidogo najipendekeza kwa kumtetea Ukraine wakati mmeshindwa kuwa tete wapalestina wairaqi na walibya Tatizo hamna elimu mmesoma Quran peke yake
@@husseinmkanga8182 mim ninafuata Salafu. Huyo ni Msanii.anaejivika vyeo vya Uwanachuoni au Ulamaa Kwa sabab Aonekana kweny TV na radion akiskika. Kama hukusoma huwez kiwajua Maulamaa ni kina nan
@@أبوفيصل-د3ش wewe bado hujawa salafi wewe ni muhuni tu, salahi hawakuwahi kujibeza na kudhalilisha watu wala kuwakataa wanazuoni kwa itikadi na mafundisho yao kawasome vzr maimam walivyo kua wakiheshimu hoja za wanazuoni wenzao hata kama walikua hawazikubali. Kwa kifupi kaka wewe ndo msanii tu. Watafuta nn sasa huku mitandaoni?
MaashaAllah ulamaa east africa tunajivunia kwa Allah uwepo wako Allah akuhifadh kwenye rehma (huruma zake) dunian na qiyama Ahsante sana kwa daawa zenye hekma na elimu.
Alhamdulillah kwa hii khutba iliyojaa ilm, hikma na Takwa. Allah akuhifadhi Hapa duniani na kesho akhera.
Masha Allah Allah akupe mwisho mwema sheikh wetu
Mashaaallah nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh Othman, Allah akujaalie umri mrefu
Mashallah tunakupenda sana kwaajili ya Allah na tunakuombea kila lenye kheri katika maisha yako hapa duniani na kesho akhera
Na Allah akupe umri mrefu ili uendelee kuitoa elimu hii yenye manufaa katika vizazi vijavyo
MashaAllah tabaraka Allah mwenyezi Mungu akupe uzima, afya na amani na imani na atupe mwisho mwema
Amiin Inshaalah!!!!!!
Mashallah Sheikh Othman . Mmungu akubarik na akupe Umri Taweel. Jinsi khutba zako zilivyojaa Taqwa na upana elimu na busara na miongozo mikubwa. Kipindi kigumu sasa duniyani, Vita hivi , maradhi na majanga mengi. Kweli si ya mmoja. Binaadamu tunahitaji khutba kama hizi kulingania haki na usalama na kumjuwa Mmungu wakati mgumu huu. Tuwaombee Duaa wenzetu hawa na kwa kila penye mabalaa ya aina yake. Allah awahifadhi wao na sisi . Aameen
Amin Amin Amin 🤲🤲🤲
Amiin Amiin Amiin
Aameen
aamiin Aamiiiiin AllahumaAmiin
MASHA ALLAH BARAAKKALLAH ...NAMPENDA SHEKH OSMAN SANAAA ..ALLAH AKULINDE AKUPEE AFYA .ILI TUENDEELEE KUPAATA MAWAIDHA MAZUR .. AMEEEN
Ya Allah mfnyie wepesi Sheykh Othman Maalimu yeye na wazazi wake wawe miongoni mwa watakaoingia peponi Aamin
Maalim wew hutaki kuingia peponi???
Assalaamaleikum warahmatullah wabarakatuh ya ummati Islam... Allah akupe umri mreeeefu mnooo wenye manufaa na kheri ktk dini... Nakupenda mnoo sheikh wetu kwa ajili ya Allah
Mashaalah sheikh allah azidi kukulinda nahasad zawalimwengu, nakupenda kwaajili ya allah.
MASHALLA UJUMBE MZURI SANA
Kwa kipi hasa ambacho ni kipya,huyo shee Hana jipya,ana taka watu waingie peponi kama bi halusi
@@salumjumaruhaga2513 wewe utakuwa kafir tu
89
Tunakupenda sheikh Kwa minajili ya Allah SW. Allah akupe jazaa na atupe hidaya katika Amr bil maarif nahi 'anil munkar. Isiolo Kenya
Allah amuhifadhi sheikh Othman Maalim
Yaani nyie mbona hamueleweki ,waparestina miaaka na miaka wanauwawa na mayahudi wakisaidiwa na marekani mbona hamuliii ,makafiri kigusana kidogo na mahutuba mnatoa
@Salum Juma Ruhaga. Tatizo letu sisi tunatoa maoni bila ya kitu kukifaham sheikh hajamtetea mtu ila mada ya hapo ni usifurahie baya linalomkuta jirani yako hemu kwanz sikiliza vizur alafu utapata lakusema
Maashaallah ALLAH akupe nguvu usichoke kutufikishia nasaha...
jazakallah khayran sheikh Othman kwa mawaidha nzuri sana
Allah akulipe shekhe wetu duniani pamoja na akhera
Masha Allah she othmaan nakufananisha na swahabha flan Allah aruhifadh sote Tena kwa khee
Assalam alaykm ya sheikh Othman Maalim, Allah the greatest may bless you this world and hereafter, ameen
Mashaallah Allah akupe umri mrefu wenye kheri na mafanikio ns uzidi kutupa elimu ya dini
Maashaallah Allah akupe mwisho mwema Inshallah
Maashaallah
Mashalaah, mungu akuweke, akupe zaid ya elimu ulionayo, mawaidha yako, ni mazuri sana mashallah
Mashallah Mungu akufanyie wepes kwa kila jamb lako Shekh wang
Waaleikum salam warrahmatuullah wabarakatuh
..MASHA ALLAH...MAWAZO MAREFU YA SHEKH WETU KIPENZI...UKISIMAMA KUTOA MAWAIDHA BASI...NAFURAHIA SANA WALLAH..MAANA NAONDOKA NA VITU MUHIM KUTOKA KWAKO..SINA LA ZAID NI KUKUOMBEA DUA ..ALLAH AKUPE MAKAZ YALIO BORA MEMA PEPON WW NA FAMILY YAKO NA UMMAT WA MUHAMMAD SAW..WANAEKUSIKILIZA..NA AFYA NJEMA ALLAHUMMA AMEEN 🤲
MashaAllah alhamdu lillah jazakum Allahu kheir sheikhi alhabib wataqabbala minkum amin mkono kwa mkono hadi peponi 🌹
Mimi nimkristo ila napenda kumskiliza sana sheikh Othman 👍👍😘🙏🙏🙏🙏🙏
Mungo akupe hidaya uingia katika uslaam mimi kutoka makaa
Sunna ya ndevu ni sunna tulioamrishwa na Mtume (saw). Kasema tuache ndevu tutowe masharubu. Nafurahi sana kukuona shekh Uthman na ndevu. Mungu akubarik
usipokuwa na ndevu huwi mwislam ana au lazima kuwa nazo
@@bigmanfish6346 ndio
@@heyumi2340 nipe number
@@bigmanfish6346 njoo mesenger andika Ayumi Ayumi utaniona
@@heyumi2340 umeambiwa ni sunnah, sunnah iko na thawabu kubwa na fadhila zake ni kubwa mno
Amiina manshahallah Allah akuzidishie 🙏
Maneno makubwa sana hayo Allah akulipe kheri
Allah akupe umri mrefu pia akuzidishie ujuz zaid utupe mawaidha yaliyo bora zaid
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh jazakalh kheri kiogozi Allah akulipe kila lakheri Insha Allah
Daaah wallah khutba imejaa elimu,Hikma na busara kubwa mnoo ujumbe umegusa uongozi wa nchi yetu na hao wanaopgana Allah tuletee nusra... Mungu akujaalie Jannatu firdaus pamoja na mtume wetu (s.a.w)
Ameen YaRabb. Ameen
MASHAA ALLAH. ALLAH akuzifishiye furaha apa duniani na kesho kiyama amin amin YARABI amin.
Masha Allaah hekima yahali yajuu viongozi wetu wakiwatumiya tutafika mbali Isha allaah
Naam Shekh inshallah Allah atufanyiye wepesi
Mashaa allah❤
Amiin yaarabaliaalaamiin yarab tuhifadh na utulinde pamoja na mashekh wetu na viumbe nyako
Mashallah bonito meu sheikh allah huakbaru
Allah akupe umri zaidi shegh
Allah amuhifadhi sheikh wetu
Walaikum msalaam, mashaaAllah, fajazakumullah khairan
Mashallah Allah ni mwema
GOD restore peace in Ukraine
MashaAllah Allah ni Mkubwa na ni mfalme wa mbingu na ardhi
Tabaraka llah ujumbe umefika
Mashallah Allah atujalie amani
Maa shaa allah, jazakallah sheikh wetu.
Sheikh mungu kakupa khekima
na elmu nanimfasihi wa kauli
Mwenyezi mungu akupepepo wallah miminatamani karma ningekuwa na uwezo niwalainishe rohozao hao wanaouwana waache wasikilizanetu lakini watu ndio kwaanzaa wanachocheatu hilijanga nasisi litatupataabu mungu tusaidie
Subhana llaah kinacho bakia kwetu n kuwaombea wenzetu dua yaarabaliaalaamiin kiskie kilo chetu yaarabaliaalaamiin
Tuwaombeeni wamalize Vita ivyo insha'Allah
Mashallah Allah 💕
Allah Akbar mweyezimungu atupe mwisho mwema
Umeongea vizuri sana Othman na tunomba uendelee kufamisha jamii
Asallam Allykm.m/mungu akujalie afya njema
Hadithi ya panya na kuku ni nzuri inafundisho zuri sana.
Hakika tuwe makini inshaa allah
Masha Allah shekh
Allah akulipe sheikh
Amin yarabby, kweli yashatufika, petrol imeshapanda bei na bidhaa zote zitapanda ,
Alaah akulind shk naatulinde na viongozi wabaya
Jazakallah Khairan
Urusi anatakiwa ashinde vita hivi vya Ukraine Inshaalah
Allah akujaalie mwisho ulio mwema
Shukrani
Sheikh, usemayo ndiyo lakini tutakaa wapi ili tusahau utumwa na ukoloni, ubeberu na unyanyasaji wa wazungu ,leo wasema tuwaombee dua, waache wauwane ,sisi tuliwana kwa fitinisho lao, Mungu ni wetu sote
Safi inapendeza kuona shekh anaenda na wakati km mtume alivokua
Mm ni mkristo ila nampenda sana maalim , othman..
Mashallah....maneno ya kisomi
Mashallah wa marhaba
MashaaAllah sheikh uko vizuri
Maasha Allah
Maashaallaah
Yote hayo ni kutomjua ALLAH. Ukimjua ALLAH lzm utakumbuka kuna kufa na kufufuliwa siku ya kiama na utahisabiwa ni lazima. Ukifikiria hivyo unakumbuka yupo ALLAH na ndie Mkuu mwenye sifa zote na uwezo wa kila kitu.
Naenda maswali sheikh
Asallam maalequ maaishaala maaishaala maaishaala maaishaala shek
Gombea urais shekh Zanzibar utapita bila kupingwa
Mbona chi za waislam hampazi sauti,mssichana wakizanzibar yupo gerezani Kenya miaaka imekarka alishikwa akienda masomoni sudani,wakasema at l S,mbona hampazi sauti,
😳😳
Twayyib
Wew ushafanya jitihada gan juu ya hilo ??
Halafu una uhakika gan kuwa sheikh analijua jambo hilo ??
Big up
Hakuna kitu UISLAMU uliacha ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️✊✊
Kweli mpk wazaramo na wandengereko hawana lugha zao kisa kiarabu!
Sheikh huyo allah atampa kheir za dunia na akheira maana anajuwa kitu gani anakisema...hawa ndo masheikh ambayo sllah kawapa elimu na vipaje ....hazungumzi kuropoka kasoma na anajuwa dini lakini baadhi ya wengine ni kuzudisha number tuu..allah atuhidi sote na akupe kila la kheir sheikh othoman
Mashaallah
Adui muombee njaa shekh ,na mtanganyika apaswi kuchangia Vita hii toa Banz jichoni mwako Kwanza bora we mzenji utofautian na na myukrain
Mola akupe Umri wa afya,Maneno yako hekima,ndio tulivyoamrishwa,kuwa n washauri kila pahala.kwani linapofika halifiki kwa MMOJA ila ni DUNIA nzima yatatuangamiza
مساء الله
SHK wangu
Asalaam alaykum sheikh wetu Palestinians walipo pigwa mabomu ya nuclear na Israeli takribani watu 2200 waliouwawa na Israel mbona amja react kama hivi subhannallah
Anazungumzia sana ayo sheikh tafuta mawaidha yke
Kwanza uifahamu mada yeye hajatetea anachosema yeye usifurahie baya linalomkuta jirani yako kwa iyo usizungumze kama hujafaham kwanza
🙏🙏🙏🙏
Waleiku salam warahmatullah wabarakatuh
🔥🔥🙏
Othumani wewe unaitaji kuwa mshauri wa dunia hii hikima unayo Kama vile Mungu alivyo mpa suluemani hikima
Mmm! Ashauri dunia gani na mijitu mikafiri. Hawamjui M'mungu na hawamdhamini kabisaaa!
mashaallah tunakuombea duwa sana sheikh odhman mali allah akupe mwisho mwema
Da mbona hamkua mkisema parestina waislam walipokua wanapigwa na kuuliwa!!!
🙏🙏
Ndo namwona mwislamu mwenye hekima nakili sana wengi wamejaa mihemko ya chuki juu ya watu fulani waliokinyume nao
Ia
Shehe kwenye uislam hakuna demokrasia kwbb demokrasia imekuja juzi na demokrasia ni mfumo wa kutenganisha dini na maisha kwa maana utenganishe maisha na maelekezo ya Allah hiyo ndio demokrasia. Sasa shehe unaposema uislam una demokrasia maana yake unautukanisha na unautia dowa la ukafiri. Wakat uislam ni mfumo wa Allah aliyetakasika na kila kasoro.
Sheikh aboud rogo Samir khan Ibrahim rogo Hassan rahimullah
😢 now 2025
Huna lolote we ni mushiriki unaleta mfano usio wa kweli
Waache wazungu wapambane ndio maana salafi wanakupinga. Ao wote makafiri waache wauane.
Una ndugu aliekua huki ndiomana unasema ivyo
SHK OTHUMAN MAALIM:ANAZUNGUMZIA VITA INAYOENDELEA UKRAIN/ NA UISLAM UNALIZUNGUMZIAJE SUALA HILI. eti jaman ni kweli hichi ndo alichokizungumzia shekh? Nyie Riyadh tv muogopeni Allah. ACHENI UONGO
Shekhe apo mimi siku ungi mkono kabixa wao miaka yote walinyamaza kimiya wakati waislamu wa Palestine wanauwawa sasa wewe unawaombea wao ili iweje
Hujui din na maana ya dini hujui ,na uwezo wa kufikir pia Ni mdogo sana. (Akili finyu)
@@sabunisop1050 Hujui sisa za kimataifa wewe ata kidogo najipendekeza kwa kumtetea Ukraine wakati mmeshindwa kuwa tete wapalestina wairaqi na walibya Tatizo hamna elimu mmesoma Quran peke yake
Hii ni hekma
Kwan Huyo Athumani Ni Sheikh!???Au Ni Sufi
je ww ni nan,unajua nn kuhusu dini ww....????je unajilinganisha nae..?
@@husseinmkanga8182 mim ninafuata Salafu.
Huyo ni Msanii.anaejivika vyeo vya Uwanachuoni au Ulamaa Kwa sabab Aonekana kweny TV na radion akiskika.
Kama hukusoma huwez kiwajua Maulamaa ni kina nan
@@أبوفيصل-د3ش basi hujajua uislamu vizuri🚮

Afwaan