Jinsi ya kumrudisha ex /mpenzi aliyekuacha kwa haraka sana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 295

  • @humphrealdario5403
    @humphrealdario5403 2 года назад +21

    Asante dada...leo nimekosana na mpenz wangu kiukwel nimemkosea sana ...yan ameumia sana na ameniacha ila bado nampenda sana nimeingia RUclips video ya kwanza nimeiona yakwako naiman nikifata maelezo yako nitafanikiea ...Mungu akubariki dada

  • @MariamMgeni-w4d
    @MariamMgeni-w4d 4 месяца назад +2

    Asante sana dada yngu nimependa sana faraja yako na ntafanya hivo na nna imani kwa uwezo wa MUNGU atarudi tuu kwangu siku1 Amen🙏

    • @JacklinePaul-p2z
      @JacklinePaul-p2z 3 месяца назад

      Nipo katika wakati mgumu sana kwa sasa naelewa ulichopitia naumia sana niliishi nae na nimezaa nae ila kinachotokea ni kama ndoto

  • @RamadhaniMsilanga
    @RamadhaniMsilanga 6 месяцев назад +2

    Nashukuru naanza Leo hii kufanyia kazi nimeipenda manake nilikuwa ninamawazo mabaya juu yake tu

  • @JescaLucas-x4d
    @JescaLucas-x4d 10 дней назад

    Asante dada yangu nampenda sana kwa sababu amenifundisha mambo mengi na siku zote nimekuwa nikimuombea siku zote naamini Mwenyezi mungu atanirudishia riziki yangu mungu asimamie na aliongize penzi letu.Amen

  • @ruthgodwin3599
    @ruthgodwin3599 3 года назад +10

    Mambo dada. Nimependa sana mafunzo yako, yanajenga na yanaukweli ndani yake labda tu mtu mwenyewe asiwe na imani au na uelewa kuhusiana na mambo unayoyafundisha.
    Nimesikiliza watu wengi wanaozungumzia maswala ya mahusiano, but toka nianze kutafuta wakunipa maarifa kuhusu upendo na mahusiano, wewe ni mtu wa pili kukukubali na kukuelewa unachofundisha.
    Hongera sana

  • @OditherMbukwa-o2h
    @OditherMbukwa-o2h Год назад +5

    😭😭😭 thanks my dada mpenzi Wang tuliachan mwaka mzim Leo nimefat ushauli wako ameludi aisee

  • @irakozechadiaslimu221
    @irakozechadiaslimu221 10 месяцев назад +3

    Asant sana dada yangu napata kwa ushahuri wako Nina imani atarudi😢❤

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 7 месяцев назад +3

    Asante kwa solo,Ila unaongeya kwauvivu

  • @AbnasiriMohamed
    @AbnasiriMohamed Месяц назад

    Thank you my sister bado nampenda mwanaume wangu naimani atarudi umenitia moyo sana 🙏🙏🙏.

  • @pendomfinanga3744
    @pendomfinanga3744 4 года назад +14

    Wewe dada nakupenda unajua unamwelezea mtu mpaka anakuelewa vizur

  • @BlandinaNgondya-f6j
    @BlandinaNgondya-f6j Год назад +6

    Naamini atarud tu naamini Mungu atanfanyia hvy😭😭

  • @fatmahmhagwa3103
    @fatmahmhagwa3103 4 года назад +10

    Me Nina Imani ananipenda Tena sanaaaaa tu na ipo siku tutakuwa Kama mwanzo

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  4 года назад +5

      Kumbuka matendo yake mema tu.Ukiwaza mema, yatakuja mema zaidi... ukiwaza mabaya, yatakuja mabaya zaidi. Utakachoamini ndicho kitakachotokea

    • @fatmahmhagwa3103
      @fatmahmhagwa3103 4 года назад +2

      @@Ninamagnet amini inshallah

  • @stimajoseph490
    @stimajoseph490 2 года назад +4

    Asante dada na amini ipo siku atarudi na mpenda sana 😍😍😘

  • @aishal1953
    @aishal1953 4 года назад +4

    Asante sana Dada kwa mafunzo mazuri acha Ni jaribu ila nna imani kama tutarudi Ana japo kuwa hatuna mawasiliano nae

  • @kamarizaclaudine3715
    @kamarizaclaudine3715 3 года назад +3

    umenisayidiya.kwakweri.Amerudi.arikawiya.rakini.amerudikweri👏👏👏

  • @moreenmonica3458
    @moreenmonica3458 3 года назад +4

    Asante kwa somo nzur hope one day atarudi😒

  • @EmmanuelRichard-h8e
    @EmmanuelRichard-h8e 10 месяцев назад +1

    Kweli Dada nimepata nguvu mpya nilishakata tamaaAsante kwa mafunzo yako yanaponya maumivu.

  • @mamasia9741
    @mamasia9741 6 месяцев назад +3

    Asant dada mm sijui ana nini mpenz wangu yani tuna achana tunakaa ata miez miwili bila mawasliano ila mm hua ndo ninaejikuta nimemtafuta natunarud tena,,ila hii ya safari hii amenitamkia mwenyewe kua haez kua namm tena tena bila sababu ivotu kaamua,,, mm nampenda sana na nmeamua nikae kimya kwasasa kama kwel atarud saw haturud bas ila kwel iliniuma mtu kukuambia. Tuachane bila sababu

  • @TygerBoy-ek5py
    @TygerBoy-ek5py Год назад +4

    Dah.....aiseee leo umenikumbisha mbali sanaaa nimemkumbuka mpnz wang mwanamke niliempenda kwny maisha yng hakika somo lako nitalifanyia kazi na atarudi tu siku moja kwa uwezo mng 😢😢😢😢

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад +3

    Ni kwel aisha.anavyosema dada ni kwel kabisa mimi ndo nilivyo nikiacha naachikaga au nikiona dalili mtu kanichoka basi najienguwaga mapema badaye nashangaa mwenyew analudigi kuna bint hivyo hivyo kazin anasema mpenzi wake alimuachaga kwa zarau badaye akaja akapata kazi yule mwanaume akaludi akawa anambeleza kammis warudiane

  • @judithezekiely527
    @judithezekiely527 2 года назад +3

    Asante Sana da Nina nimejifunza kitu nampenda Sana mapenzi wangu natamani arudi, hatukuwa na ugomvi wowote alinambia Yuko bize nimuache kwana atanitafuya mwenyewe, yapata miezi miwil Sasa yupo kimywa

    • @taglo_tz
      @taglo_tz Год назад

      Pole sana

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib Год назад

      Pole juditheze ata Mimi niliumiaga Sana paka Leo bado nampenda na naiman ataludi tu japo yupo mbali hila hisia zilinitesa sana.kuna mtu tuliachana nikakutana na rafiki yake akaniambia mbona alikuwaga kila wakati anakutaja taja ulimuendeaga kwa Babu nini nikamwambia alinipenda tu sana

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib Год назад

      Ndio wanasemaga ukikumbuka mazur ya mtu ni rahisi kumsamehe lakin ukitaka kumchukia mtu ukikumbuka mabaya yake utamchukiq

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib Год назад

      Mimi tuliachana lakin paka leo bado namuesabia na bado namchukulia mpenzi wangu naiman ipo siku tutakuwa wote pamoja

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib Год назад

      Amina asante

  • @drhashimramadhani8596
    @drhashimramadhani8596 Год назад +1

    Point zako nzur ila jipange kwenye maandalizi ya kuzungumzia point unarudiardia maelezo Yani unakua km mtu anataka tu story yake itimie dkk flani iyo kitu hua inaboa waskilizaji thanx

  • @amalali9259
    @amalali9259 3 года назад +5

    Shukran dada imenipa moyo

  • @billyjux9190
    @billyjux9190 3 года назад +8

    Nashukuru sana mi mutuwanga natamani arundi 😍😍😍😍😍

    • @miriamkaseka404
      @miriamkaseka404 2 года назад +1

      Nipokwenyechangamoto hiya nashukulusana maanabadonampenda sana

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib Год назад +1

      Billyjux na Miriam msijal mungu you mwema anaweza waludisha

  • @aminamsalati4770
    @aminamsalati4770 3 года назад +10

    Asante Dada kwakunipa Moyo maana napitia wakati mgumu

  • @iffahdymilan3095
    @iffahdymilan3095 Год назад +1

    You give me strong feelings 😔💔

  • @FatmaMtangi
    @FatmaMtangi 3 месяца назад

    Asantee dada mimi nitazid kumuombea mungu naamin tutaludian Sina niambay nayeye naamini kua mungu ataludisha mapenz mimi naimani tutakaa sawa

  • @KhadijaAkida-h2x
    @KhadijaAkida-h2x 11 месяцев назад +2

    Nikweli kabcaa ✌️ dada Angu inaumaa 💔😢sana mpenzi wangu nampenda lakini maelewano ..hayap ila namuachaa sinaa budi japo inaumaa 💔😭😭😭

  • @LukasValerian-k9p
    @LukasValerian-k9p 6 месяцев назад +1

    Unashauri vzr kipenz

  • @JohnDaudi-rm3in
    @JohnDaudi-rm3in 7 месяцев назад

    Mungu akubariki sana somo zuri nimeumizwa sana

  • @AnifaHoussein
    @AnifaHoussein 8 месяцев назад +1

    Asante Sana iposikututarudishana

  • @judieesjeremiah2649
    @judieesjeremiah2649 2 месяца назад

    Nimemkosea sana ila natamni Mungu atusamehe wote na aturudishe tuwe pamoja natamani siku zirud nyuma nampenda sana najikuta nampenda kuliko neno lenyew

  • @efther1291
    @efther1291 3 года назад +9

    Nampenda sana mpenzi wangu natamani arudi hata Leo

  • @miriamherman4499
    @miriamherman4499 Год назад +1

    Wawoohh me nimejiwekea Imani kubwa kwamba atakuja kuwa mume wng japo kaniblock naamini ni hasira tuu but naamini kabisa sababu namuwazia kiupendo na Bado nampenda sana mpnz wangu

    • @taglo_tz
      @taglo_tz Год назад

      Hongera sana kwa iman

  • @Mary-tu8yd
    @Mary-tu8yd 8 месяцев назад

    Asante dada niko hapo unaongelelea

  • @Elikenzy126
    @Elikenzy126 11 месяцев назад +1

    I believe you ❤

  • @MolnAnothiata
    @MolnAnothiata 5 месяцев назад

    Jamani ww dada mungu akuweke napitia wakati mugumu saba❤😢

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 3 года назад +3

    My heart has broken.

  • @zeliageorge3311
    @zeliageorge3311 2 года назад +1

    Good ideas.

  • @fatmakhalifa9872
    @fatmakhalifa9872 4 года назад +9

    Dada, asantee Sana am late to get ur message but l get it in the ryt time, coz nampenda lkn amenipa likizo so sijui kaa kaniacha au tupo pamoja but he told me that am not allowed to txt or call him... He said he will check me

    • @ayanadhan6244
      @ayanadhan6244 Год назад

      Htn tofauti aky

    • @TheodothaTati
      @TheodothaTati 11 месяцев назад

      Hata Mimi nimeambiwa nitatafutwa😢

    • @Antigu-j8z
      @Antigu-j8z 6 месяцев назад

      Mimi nimemwambia nitamtafuta akanijibu hata nisijisumbue kumtafuta😢😢

  • @judieesjeremiah2649
    @judieesjeremiah2649 2 месяца назад

    Mungu nisaidie

  • @ruthgodwin3599
    @ruthgodwin3599 3 года назад +4

    Ila pia nina swali! Ikiwa mtu amempenda mume au mke wa mtu, na ikatokea wakaachana na bado anampenda na anatamani kurudiana nae, anaruhusiwa kufanya kama unavyoolekeza!? Maana najua moyo hauchagui wa kumpenda.
    Does it working!?

  • @navone8144
    @navone8144 2 года назад +1

    Dada ujumbe wako no mzuli Sana but najikuta najishangaa Sana an ninemjalibu na mimbaakanijib vibaya lakin bado najikutatu moyo umejikita kwake nifanyaje jaman

  • @joycetulyanje6860
    @joycetulyanje6860 2 года назад +3

    Sina la kusema dada nashukuru kwa ushauri wako😢😢Nampenda mume wangu sana lakin kaniacha

  • @taglo_tz
    @taglo_tz Год назад +1

    Ahsante sana dada,

  • @RithaNshekanabo
    @RithaNshekanabo Год назад

    Asante sana nimemkosea mpenzi wangu kwani alinipenda sana

  • @eliminatamassawe4788
    @eliminatamassawe4788 4 года назад +8

    Ila yupo mbali sana

    • @floramafwenga286
      @floramafwenga286 2 года назад

      Dada nampenda sana mume wangu Ila kwasasa hata kuniona atak na ameowa je inaweza fanya kazi

  • @valerianagiro4927
    @valerianagiro4927 3 года назад +6

    Imekaaa kiimani zaidi

  • @najmahamisi-mr8pg
    @najmahamisi-mr8pg Год назад

    Asanteeeeh na amin mpenzi atarud

  • @mc.forzee7903
    @mc.forzee7903 7 месяцев назад

    Ok umeeleweka sana dada,,,

  • @adampeter7030
    @adampeter7030 3 года назад +3

    Adam namwitaji sisika the way home

  • @nicksonmusa194
    @nicksonmusa194 3 года назад +2

    Asantee nimeona videoo hiii muda muhafaka

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn 7 месяцев назад

    Dada aksante,jmn mim nahisi hata machozi mie,yaan umenigusa,kama uliniona vil,ni kwel mpenz wang nilimkosea na kuniacha ghafla na alinipenda san,lakin nilishafany hayo yote lakin bado tu hajarudi kama zaman,ila kwa muonekano ananipenda na ananihitaji ila ujasiri wa kunioa ndo anakosa,na ashawah nambia kuwa ananipenda bado ila ana hofu ya kuishi na mim kam mme na mke,tunajikuta tu wot tunaumia wakati mwingin tunalia hata kulia,ni mwaka wa nne(4)sasa toka tugomban,sasa nafanyaj,na nampenda san na hata simfikirii mwanaum mwingin,naumia

  • @maryjengo5679
    @maryjengo5679 3 года назад +2

    Asante dada bado niko nahope kuwa kila kitu kitakuwa sawa kat ya mimi nayeye ni gafla tu

  • @aminaathuma3193
    @aminaathuma3193 3 года назад +3

    Je sister angu kama mlipendana na mkaweka ahad ya kuoana mwisho wa sku wazaz wake hawakutak bila kukuona inakuaje?

  • @hassansasi2130
    @hassansasi2130 4 года назад +4

    Ni kweli dada

  • @naomileonald8895
    @naomileonald8895 2 года назад

    Nimefurahi kusikiliza hii daaaah nzur

  • @SalmaZuber-h5z
    @SalmaZuber-h5z 3 месяца назад

    Dah siarudi tu 😭😭😭😭😭😭

  • @luciaisack5412
    @luciaisack5412 2 года назад +1

    Mimi nimekua na mahusiano na mpenzi wangu Kama miaka mitano hivi lkn kwa Sasa ananiambia tuachane na nampenda tulikua na mipango mingi tusha panga nae nishauri sster

  • @belinaburchard286
    @belinaburchard286 2 года назад +2

    Me, kaniacha bila sababu kwann Nina Kama week sas bado naumia na penzi letu lilikuwa lina mwez ghafla ndo kunambia anitaki

  • @sofiahamisi9373
    @sofiahamisi9373 3 года назад +1

    Nashukur sana ss tymenuniana tu😞😞bt inaniuma

  • @neematemu768
    @neematemu768 2 года назад +1

    Ninaimani atarudiii tuuuu

  • @sylvestershaib7012
    @sylvestershaib7012 4 года назад +2

    Asante dada

  • @fatushaibu9929
    @fatushaibu9929 2 года назад +4

    Mooo thanx my lovely Dada cose mependa ushauri wako jmn nimepotezeana nae mwaka sasa but toka hapo sjapenda mtu mwingine na hata sjawahi pita week nisimuwaze but akiongea na rafk zang anasema hata yey hunikumbuka na ananipenda pia na anapitia wakat mgum kama Wang Ila nikimtext mim hanijibu ety tatizo linaanzia hapo but my hope one day atakua kiganjani wacha niendelee kujifukiza hahahahha

  • @agathaagathesher2291
    @agathaagathesher2291 3 года назад +2

    I believe

  • @IreneMarambo
    @IreneMarambo Год назад +1

    Jaman na mm nimeachwa nifanyeje

  • @NduwayoPhilbert-r6k
    @NduwayoPhilbert-r6k Год назад

    Kbx unaweza

  • @hammytototundu9292
    @hammytototundu9292 2 года назад +4

    Nimeipenda hii na Nina imani IPO siku atarudi kwangu

    • @Faudida
      @Faudida 7 месяцев назад

      Dad me wang kakasika asaaa

  • @SalmaHussein-g7f
    @SalmaHussein-g7f 3 месяца назад

    Mie nikikumbuka mema yake roho ndio inazidi kuniuma sana

  • @lamerveillesofia9053
    @lamerveillesofia9053 4 года назад +1

    Asante sana

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 3 года назад +5

    Asante Dada kwa somo zuri mimi kila nikilala usiku nawaza kesho nitakuta sms yake Lakin kila nikiamka naangalia simu hakuna kitu daah 🤦‍♂️

  • @lailathhussein4975
    @lailathhussein4975 2 года назад

    Mm ananijub ety acha kuzingua tufany ishu za kazi kwel ananipend huy

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Mimi nashukur nipo mwembamba haina haja ya dayat hila najipanga vizur kimaisha akiludi atashangaa atakuta pengine nishajenga

  • @elhammahamuod4248
    @elhammahamuod4248 4 года назад +3

    Duh naima nikifanya hv atarud tu Mana nimechoka kumtafuta mm tu nikikaa kimya naye kimya

    • @aminakalinga9017
      @aminakalinga9017 3 года назад

      Duu Kama Mimi tu nikikaa kimya naye anakaa kimya

  • @ابننوفلالحيدريُّ

    Hello! Naitwa haydar ila samahan mm shda kubwa kwa mpenz wangu hatuelewani na tukiwa na maelewano n kwa muda wa siku tatu week tayar maugomvi namalumbano na hali hiyo saivi imemaliza mwaka japo namfanyia kla ktu kujarbu kuweka sawa lakni the end of the day ndo kama ivo tunacheka alaf malumbano mpka mida mwengne nahic kama tumerogwa hvi nfanyej ili kufanya hal ikae sawa mana anafkia mahal anasema anavunjika moyo hajui afanyej wala aoni muelekeo wowote nan kwel ata mm pia ss nfanyej?

  • @eunicelaizer250
    @eunicelaizer250 4 года назад +4

    Ni kweli dada imani ni jambo unalo nitarajia

  • @luciananyarash1681
    @luciananyarash1681 6 месяцев назад

    Naomba mnishike mkono pia nitashukuru please subscribe like and share

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Год назад

    Ndio mimi ndo nilivyo nakubaligi kuachika badaye mwenyewe analudi tena ukikaa kimya ndo anaweza akaludi hisia zina nguvu

  • @barakaobama6066
    @barakaobama6066 3 года назад +1

    Vzr dad a nmependaa hyo

  • @kamarizaclaudine3715
    @kamarizaclaudine3715 3 года назад

    Asante.san@.dada.ngu.Amerudi

  • @josasafarms.4718
    @josasafarms.4718 Год назад

    Ninekubalii saana

  • @wendeyjoseph9632
    @wendeyjoseph9632 3 года назад +4

    Duh sasa mimi ameniblock jamani hataki hata kuniona ..uyo atarudi kweli???

    • @hamisasalum4471
      @hamisasalum4471 3 года назад

      Atarudi we tulia,pendeza usionyeshe km unaumia,usipost uzuni kweny stutas yako na mengine mengi

    • @hijahsaidy1562
      @hijahsaidy1562 3 года назад

      Polee mapenzi yanauma

  • @CatherineJoseph-pg3gs
    @CatherineJoseph-pg3gs Год назад +1

    Tatz wew dad unaongea sna ongea point bhn yaan unasikilz mpk unchoka

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 6 дней назад

      Amesema kuwa ukimpenda mtu mfikirie Vizuriii atarudi ukifikiria vibaya,,, itakuwa hivo Hivo

  • @nanajoseph2356
    @nanajoseph2356 3 года назад +2

    Mh me cjui kama ntakuj kusamehewa kwa kwel manake alinikosea nikaw nalia tu bro angu mwanajesh akaniulz shid nn nikamuelezea sa ngp asimfate kumzingua jmn ntasamehewa kwali mm

    • @azizauheche5944
      @azizauheche5944 10 месяцев назад

      😂😂😂 bro kama bro atak uzinguliwe

  • @Winfrida-bf5sb
    @Winfrida-bf5sb 8 месяцев назад +1

    Wewe Dada nais ujawah kuachwa laiti ingekuwa umesha wah kuumizwa usinge sema kwamba unabidi ukumbuke mema yake tu uko nikuzidi kujiumiza maana utawaza Mambo mazur wakati yy akufuki lii

  • @zuhurambwana5062
    @zuhurambwana5062 3 года назад +1

    Ila inauma

  • @jeniphaemmanuel1631
    @jeniphaemmanuel1631 3 года назад +2

    Dah sas dada me sijagombana nae ila kaa amuw tu kukaa kimy kila Niki mchek ana dai yuko busy nakuchek ila hanicheki nifanyeje Mimi na nikikumbuka mazur yake ndio naumia zaidi

  • @laidenmahenge8906
    @laidenmahenge8906 4 года назад +7

    Shida sasa unamuwaza mtu ambaye hata ajui kama unamuwaza wewe unamuwaza yeye na yeye anamuwaza mwingne just is why we say love is like a chain

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  4 года назад +6

      Kama unaweza kumtoa akilini ni heri! ila kama huwezi na bado unampenda fuata psychology nliyosema coz huna cha kupoteza.. Love is never a chain,thoughts zko ndo zinacreate chain..love is energy ukiamini anamuwaza mwingine energy will flow there na itatokea hivyo kwel,ukiamini anakuwaza wewe energy will flow between u two na itatokea hivyo kwel.. both negative and positive are real! Choice is yours,u attract what u feel

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  4 года назад +5

      Na kwa nn unahofia anamuwaza mwingine? Je na yeye akiwaza kuwa wewe unamuwaza mtu mwingine utafurah?😂futa hiyo negativity anachowaza yeye is not your business.. just care about u.. about what u think😊

    • @mercykenedy4872
      @mercykenedy4872 3 года назад +1

      @@Ninamagnet asante kwa ushaur naamin atarud kwang

    • @lamadinews3124
      @lamadinews3124 2 года назад +1

      Jaman dada anatutia Moto huyuu mungu akuweke

    • @JujuAdam-uf1je
      @JujuAdam-uf1je Год назад

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko 11 месяцев назад

    Na mpenda boyfriend Wangu mimi 😢😢😢😢😢

  • @godsoninestory7877
    @godsoninestory7877 2 года назад +1

    Kweli Dada me wangu ameludi

  • @pamellangonyaningonyani7662
    @pamellangonyaningonyani7662 10 месяцев назад

    Nitanyia kaz hii

  • @rosemesha2143
    @rosemesha2143 3 года назад +1

    Nampnda saaan yan tunapendan ila ndy hv changamoto zshatokea nae tyr kaoa but bdo tunapendan ingawa mm ndy nlianza mkosea

  • @daddymunga874
    @daddymunga874 6 месяцев назад

    Nani ako na contact ya WhatsApp ya Nina please mnisaidie

  • @UmmyOmarry
    @UmmyOmarry 9 месяцев назад +4

    😢😢😢 mapenzi yanauma nyieee😭😭

  • @fatumafatumaalli8774
    @fatumafatumaalli8774 3 года назад

    Thanks sister

  • @nasmakhaji
    @nasmakhaji 4 месяца назад

    mm nampenda sana ila yy kashapat mtu mwengn

    • @zeynabmohamedzeynab4753
      @zeynabmohamedzeynab4753 4 месяца назад +1

      Kam mnaconection kubwa n mtu wako unayo nguv y kumrudish at km ana mtu

  • @predymushi2246
    @predymushi2246 3 года назад

    Jmani we mdada , nahitji ushaur naon unaeza nisaidia,, nitakupataje

  • @vicksccott3782
    @vicksccott3782 2 года назад

    I hope ataniludia lkn knachofanya asilud Ni maisha yngu ya nyuma na kaz nlokua nafanya Kila nlipomuomba msamah alikumbushia ya nyuma na nimezaa nae Ila Leo hii nimekubali kuachana nae

  • @monicaamos8488
    @monicaamos8488 4 года назад +1

    Asante mumy

  • @fatmakhalifa9872
    @fatmakhalifa9872 4 года назад +4

    So l put my trust that one day will check me an marry me inshallah