Dahh madam nmekuelewa mm ila kma tayari anatak kuowa kabisaa wkt ww ndo bado unampenda na najitahidi kukaa nae mbali lkn bado unampenda jee nifanyeje mm??
Kwanzia leo tarehe 9 mtoto wa mama mkwe asipo nitafuta simtafuti tena ila naimani ipo siku atamic usumbufu wangu wakumpigia kila siku bt usipo muanza akutafuti sasa ataisoma namba
Duh!!!!nimechwa mwez wa tano huu unaenda na kaniambia kabisa kwamba mimi na yy tubaki kuwa marafiki tu😥😥😥na tulikuwa wote kwa miaka sita alisema akimaliza ujenzi atanioa lakini ujenzi umeisha amehamia kwake nimeambulia kuachwa hatuna hata mawasiliano yoyote.
@@Ninamagnet ndio nilijuwa nikimbembeleza napiga Sim hapokei Baada yakufuatilia video zako nikafka nakaa kimya sikumtafuta tena Alafu akarudi mwenyewe tukawa tunaongea lakini ivi hanitafuti wiki2 bila mawasiliano
Nina mamie nmekaa mwezi mzima tyri kama ulivyoniambia lkn jana ndugu yake alinipgia akaongea sana maneno mabaya na kusema kwamba asa hv nna mtu mwngne kwahiyo niwe na uyo niliyenae kwa kuwa akutukane na hana wana wivu wala hasira nawe
Kunasiku nilimbipu nilishindwa kuvumilia nilitaka japo kusikia sauti yake na nilijua atanipotezea tuu nikashangaa kabiga na anaongea kwataratibu akanmbia kua nimem' bipu nikashindwa chakujibu nikamwambia itakua cm imejibipu bahat mbya😀😀😀 bc akakata cm ila nilihic bado ananitaji na yye da nina kwer itakua ivo nilivo hic
Ivii da Nina , ukijihisi kama unamuwaza mpnzi wako ukiwa kama mna sex, inakuwaje hii ..? Yeye ndio anakuwa amekuwazia ivo au, maana sina mawasiliano na ex wangu muda tuu lkn inatokea namuwaza hivyo kihisia
Shikamoo mbinu ya kuandika upendacho kwenye karatasi na kulala nacho kwa mto matokeo ndani ya masaa tyuu yametimia asnte
Kwel una lala nayo Siku ngap??? Na je ukiiandika mumewangu .inakuwaj hapo. Nisaidie
Me niliachwa nikasahau akatokea mwingine akanithamin akanijali akaniheshim nikazama mazima nae kaniacha kafufuwa makaburi😢😢😢😢
Nimekupenda bure mdogo wangu.Mungu aendelee kukupigania
Am so proud of u nina
Asante dada nitafany hivy
Wisely nina😘😍
Nice namba
Asante nakukubari sana nina
Asanteee dada nitafanya hivo hivo
Nmependa sana intaanza by kesho maana nkona kondoo mmoja hapa ni jeuri na akona dharau kama zote ila ntalifanyia kazi inshallah
🤣🤣🤣
Ahsante dadangu nishajifunza mengi kutoka kwako mungu akubariki sna
Asante
Thanks allot dear🙏♥️
Kama nimtuu wa hasira mkigombana ukimuongelesh hakujib anakwenda utafanyaje?
asante mwalim wangu
Asante dada
Dahh madam nmekuelewa mm ila kma tayari anatak kuowa kabisaa wkt ww ndo bado unampenda na najitahidi kukaa nae mbali lkn bado unampenda jee nifanyeje mm??
Kwanzia leo tarehe 9 mtoto wa mama mkwe asipo nitafuta simtafuti tena ila naimani ipo siku atamic usumbufu wangu wakumpigia kila siku bt usipo muanza akutafuti sasa ataisoma namba
Naomba namba zako
Duh!!!!nimechwa mwez wa tano huu unaenda na kaniambia kabisa kwamba mimi na yy tubaki kuwa marafiki tu😥😥😥na tulikuwa wote kwa miaka sita alisema akimaliza ujenzi atanioa lakini ujenzi umeisha amehamia kwake nimeambulia kuachwa hatuna hata mawasiliano yoyote.
Nakwambia sina hamu hii wiki sasa iyo sentens ya marafik inauzi mnoo bas tu
Mipia miaka 6 now anataka tuwe washikaji 😔😔😟
Atarudi vipi kama ashapata mwengine
Dada Nina nauliz waeza kufkiri n kuamn kuw anateseka n Nikaw n muwazia mazur ainashida hiyo ukifanya hivo Kama ulivo eleza
Daaah mm ndo nilimwambia tuachane na bado nampenda nifanyaje anipende tena
🤣🤣🤣kimeumana
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Asntee mama angu 😘😘😘
hivi kwa mfano mpenz wako akutafuti kabsaa, tena yuko mbali na yeye na akutafuti miezi kama miwili itakuwaje?? ipo cku akutafuta??
ndio atakutaft wengn inachkua ata miez6.. ila km umewek kumbkmb nzur kwake
Ivi inakuwa Wiki 2 hakuna call au msg najikaza siwezi kumuanza kwa msg au call lakini nateseka japo simtafuti
😘💔❤️
Nitaipata vp no yako
hii nguvu nikweli kwasabab kuna sku tumeumia pamoja na kuna sku pia tumeongea neno moja kwa wakati mmoja
Kwel kabisa
Hellow dear naomba namba yako ya WhatsApp please
Sasa Kama ninaishi nae nifanyeje
Ndo utajua unanina tu🤣🤣🤣
Nilikata mawasiliano miezi 3 sasa.karudi amekuwa.km ndo mpya
Nina mambo nilifatilia Kila video nikafatisha ulivyo elekeza na mwenyewe Karuzi lakini connex sio nzuri yani hakuna mawasiliano nifanyej dear??
ulikata mawasiliano? alirudi baada ya mda gani?
@@Ninamagnet Baada ya myezi3 ndo amerudi
@@Ninamagnet ndio nilijuwa nikimbembeleza napiga Sim hapokei Baada yakufuatilia video zako nikafka nakaa kimya sikumtafuta tena Alafu akarudi mwenyewe tukawa tunaongea lakini ivi hanitafuti wiki2 bila mawasiliano
Aliporudi alikwambia nini? Mliongelea kuhusu mahusiano yenu? Nicheck watsap 0656731892
Wote mliopo uku ina maana tume umizwa wot
😅😅😅😅
Nina mamie nmekaa mwezi mzima tyri kama ulivyoniambia lkn jana ndugu yake alinipgia akaongea sana maneno mabaya na kusema kwamba asa hv nna mtu mwngne kwahiyo niwe na uyo niliyenae kwa kuwa akutukane na hana wana wivu wala hasira nawe
Mtafute yeye mwenyewe uongee nae bila ugomvi umwambie umeamua kujitenga nae ili uishi kwa amani na wala hauna mtu.
@@Ninamagnet sawaa mama angu ntafanya hvyo, maana naona upendo haupo kbsa kwake
Upendo upo, ongea nae kwanza then utasema kasemaje.Be positive
@@Ninamagnet sawaa mama angu ntaongea nae ubarikiwe siku zotee 🙏🙏🙏
Na wewe unajiskiaje baada ya huo mwezi bila mawasiliano?
mm kunamuda nakua nanguvu ykumuacha kabisa ila baada ya muda naanza kumia tena jmani hadi nachoka yani
Kunasiku nilimbipu nilishindwa kuvumilia nilitaka japo kusikia sauti yake na nilijua atanipotezea tuu nikashangaa kabiga na anaongea kwataratibu akanmbia kua nimem' bipu nikashindwa chakujibu nikamwambia itakua cm imejibipu bahat mbya😀😀😀 bc akakata cm ila nilihic bado ananitaji na yye da nina kwer itakua ivo nilivo hic
Ivii da Nina , ukijihisi kama unamuwaza mpnzi wako ukiwa kama mna sex, inakuwaje hii ..? Yeye ndio anakuwa amekuwazia ivo au, maana sina mawasiliano na ex wangu muda tuu lkn inatokea namuwaza hivyo kihisia
Unawaza kila siku? Next video nitaelezea ishara zitakazokueleza kuwa mpenzi wako anakufikiria/kukumiss
@@Ninamagnet hapana sio kila siku lkn inanitokea mara nyingii nyingi hiyo hali
1