Atarudi | mrudishe mpenzi aliyekuacha ||rudisha mahusiano ya Mapenzi yanayotetereka kiurahisi sana

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 66

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 месяца назад +2

    Unajuwa sana kuelekeza nina...nakupenda sana❤️🥰nina

  • @matha7750
    @matha7750 3 года назад +3

    Ofcoz unachokiwaza ndo hutokea mana utaweka juhud nyingi kufanikisha Jambo hilo,,,,

  • @felisteryonah6057
    @felisteryonah6057 4 года назад +4

    Jamn arudi kwel tu maan nampenda mpaka basiii..tatzo anadharau sana

  • @sabrinahashim9213
    @sabrinahashim9213 4 года назад +4

    Ni kweli kabisaa Nakupenda nina me nilijaribu ile ya kurudiana
    na x kwa kumuwazia mazuri na ikawakweli kabisaa nasasa tumerudiana tunapendana kama mwanzo tena ile njia haikuchukua hata wiki akarudi mwenyewe

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  4 года назад +2

      Good!! Nafurahi sana kusikia hivyo

    • @frolaemanueli8590
      @frolaemanueli8590 4 года назад

      Vzr kwa uxhauri wak nimeupend xn nitafanya ivo

    • @mussajabiry3891
      @mussajabiry3891 3 года назад

      Kwer kumbe inawezekan

    • @latifaanuary4911
      @latifaanuary4911 2 года назад

      Sabrina wangu hongera na mimi nipe moyo naitamani furaha

  • @Maxmumvoice
    @Maxmumvoice 9 месяцев назад

    Sijui wapi nilikuwa kitambo kuipata channel bora kama hii nimejifunza mengi toka mornie❤❤

  • @kitalimamasubata6013
    @kitalimamasubata6013 4 года назад +3

    Yes😍its work mamaa thank u a lot nafuraha now

  • @jenifaamosi7454
    @jenifaamosi7454 4 года назад +4

    Na enjoy sanaaa kusikiliza jumbe zako nakujifunza vingi2
    Ubarikiwe sanaaa dia

  • @JacklineyJacobpaul-ex9he
    @JacklineyJacobpaul-ex9he 2 месяца назад

    ❤❤ asante sana rafiki yangu kipenzi

  • @joycedaniel3817
    @joycedaniel3817 4 года назад +3

    daah! Umeongea kama unanijua dada Mungu akuzidishie sana umenifundisha kitu kikubwa sana

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  4 года назад

      Asante

    • @rommydeevan8543
      @rommydeevan8543 2 года назад

      @@Ninamagnet nipe namb zako dada angu nateseka sana sister huyu mwanamke ananitesa sana

  • @frankanatory6801
    @frankanatory6801 2 года назад +1

    It builds love

  • @MwendaNgao-uo5fw
    @MwendaNgao-uo5fw Год назад

    Asante sana dada nimekuelewa vyema

  • @tausisalum4052
    @tausisalum4052 2 года назад +5

    Je kama ameshanzisha mahusiyano mapya je anawezakurudi kwa kufanya hivyo

  • @DreamRiseDaily
    @DreamRiseDaily 4 года назад +1

    Fantastic 🔥

  • @MrSide-n9q
    @MrSide-n9q Год назад

    Maelezo ni mazuri dada hongera

  • @salhaoman5002
    @salhaoman5002 4 года назад +5

    Yanii wewe dada naona km umenizungumzia mimi kwakweli, daaaah! Acha nijifunze

  • @jenifaamosi7454
    @jenifaamosi7454 4 года назад +2

    Nafurahia mafundisho yako na enjoy my dia

  • @efther1291
    @efther1291 3 года назад +2

    Mim boy wangu alipata msichana mwingine nikakimya sai anamwambia dadangu japo kuwa tuliachna lakini tuongee tuu je niongee nae ama ziii

  • @zephaniafaustine9841
    @zephaniafaustine9841 3 года назад +2

    Nice

  • @frankanatory6801
    @frankanatory6801 2 года назад +1

    Really najisikia hata mwepes

  • @priscaaugustino5803
    @priscaaugustino5803 Год назад

    Nakupenda sana unanijenga

  • @benstephano6765
    @benstephano6765 4 года назад +5

    Asante xn dad angu maana unanifungua akili kila napo angalia video zako Mungu akujalie maisha marefu sana

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 2 года назад +2

    Nisha choka kulia 😭 sasa natulia zangu jomn

  • @jacksonsaugah9120
    @jacksonsaugah9120 2 года назад

    Asante dadaetu

  • @SaraLely
    @SaraLely Год назад

    Daah jinsi ninavyo mpenda ctaman ata mwingine najaribu kusahau lakin wapi mm atakama amesema ana mpenz mwingine s waz an bd nampenda tyu

  • @wardaa4121
    @wardaa4121 2 года назад +1

    Mim wangu jana nimechat nae nikamwomba msamah nilipomkosea akasema.nishakusamehe na Mim naomba nisamehe pale nilipokukwaza Nikamwbia OK aksema asante sana Nafurahi sasa hiv tukaagana asante asante lakin nilijikuta nataman tuendele kuchat ila nikasema tulia kwanza

    • @wardaa4121
      @wardaa4121 2 года назад

      kingine Namshukuru Mungu nikiwa na shida ni mwepes sana kunisaidia kwa njia zozote zil hajawah kataa kunisaidia napokuwa na shida ananijal sana Namshukuru Mungu sana japo hatupo sawa ila hajawah acha kusimama kweny shida zangu daima amekuwa msaa mkubwa kwangu

  • @allyamiri3535
    @allyamiri3535 4 года назад +2

    Dada me wangu kachange gafla nampigia cm anakata just a week cjampigia Tena tk nilipompgia alipokuwa ankt cm. Je nifnyj??

  • @sunnypro9146
    @sunnypro9146 4 года назад

    Yes,madam

    • @jskdjully9956
      @jskdjully9956 4 года назад

      Mimi ninaye lakini amefunga roho amekataa

  • @iddimsanifu7672
    @iddimsanifu7672 4 года назад +3

    Dah mm wa kwangu atarudi kweli maana tumegombana hadi tumepigana lkn,bdo nna upendo juu yke

  • @JescaLucas-x4d
    @JescaLucas-x4d 20 дней назад

    Je kama ana mwanamke mwingine

  • @adrianowambura2850
    @adrianowambura2850 4 года назад

    Hngre nmejfunzaaaa ni motooo

  • @pendomfinanga3744
    @pendomfinanga3744 4 года назад +3

    Nakupenda sana ww dada unafundisha sana,sauti yenyewe inavutia nataman tu nikusikilize

  • @TedySulley-ks3du
    @TedySulley-ks3du Год назад +1

    Kwel atarud nataman angerud pia tuna mtoto

    • @SporaSanange
      @SporaSanange 5 месяцев назад

      Kama anakupenda anarudi hata kama anamtu,

  • @TheclaMeinrad-gr9ib
    @TheclaMeinrad-gr9ib Год назад

    Mpenzi wako kazaa kwengine,anaweza akarudi kweli?

  • @njinjitv9350
    @njinjitv9350 4 года назад +1

    Ni ukweli mtupu uloyaongea.

  • @TheodothaTati
    @TheodothaTati Год назад

    Mimi nilimkosea wakwangu nikamuomba msamaha wiki ya kwanza akawa mgumu wa kunisamehee japo niliamini ananipenda na Mimi nampenda wiki ya pili akaanza kunipigia simu anakaa siku 3 ananitafuta baadae akaniomba nimwache anaenda kufanya mitihani akimaliza atanitafuta ila nilijua ana mahusiano mengine baada ya sk 5 akanipigia kunisalimia tuna kama mwezi hatujaonana je nimtafute au nisubiri anitafute

  • @abasiviguro3567
    @abasiviguro3567 3 года назад

    Jamani Mimi nina mwezi nimeachwa yani hapa moyo unanilipuka hata nikitembea njiani naona kila mtu anafanana nae tu na ndotoni namwona nmejarbu kupenda kwingine ila nmeshindwa

  • @felixsapula7444
    @felixsapula7444 4 года назад +1

    Kama mpo mbali mbali unamrudishaje sasa

    • @matha7750
      @matha7750 3 года назад

      Ivo ivo kfkra nzur