MIMI NIMEPOKEA SMS "SAMAHANI BUT NINA OMBI MOJA!!!!! Naomba tusitishe mahusiano yetu naongea hivi namaanisha kutoka moyoni coz sielewi niko wapi,,naomba tusitishe tu kwa amani nianze moja nikiwa peke yangu!! Najua umepambana sana juu yangu Asante nashukuru🙏🙏 but naomba nibaki peke angu!!! Kusalimiana kuwepo na kama kuna lolote utanishirikisha na mimi kama ntakuwa na chakukushirikisha nitakushirikisha coz hatuna ugomvi!!!! But OMBI langu tusitishe mahusiano. Na mimi naomba ushauri nahofia kukurupuka kujibu ombi hilo
Utakuwa sawa tu niswala la muda tu ipo siku itakuwa istoria tu mungu atakusaidia hata mim ilinitokeaga tulipendana but ghafla akazingua ila niliumia Sana kabisa but now nishamsau nishamtoa moyon but imebakia stor tu...simpendi tena...naamin nawewe ipo siku utamsahau japokuwa sio rahisi but u will be fine dear..mungu akusaidie
Jamen mm wangu n wa online hatujamit sasa nikimuambia shida zangu anastuk yaan tunasaidian kam wapenzi ansem anatk kuniowa lakin yuko na mawasiliano hafifu sn achangamki niliongea nae ansem wew kua free na mm sas m ata naishiwa nguvu sms mara hajbu had ajisikie ndo ajbu lakin kiupnde mwengin yuko saw ananieshim sn tuko na miez7 nakutok tumeptn online mawasiliano yke yalikua hvyo had saii siongei ten nikinyamz anasem nimenyqmz mhhhhh😢😢😢😢
Mm kuna mwanamke nampenda cn na nilijarib kumwambia akanijib kwamb mm siko tayar kuw na ww ila upo yawezekan wakuw marafiki na mm siwez kukaa bila yee je unawez kulisemeaj ili suala
Karibu kujiunga na group letu la USHAURI kwa Ada ya shilingi elf 2 tuu
chat.whatsapp.com/J9TmVsMHxqn9xnjO9TIQqo
MIMI NIMEPOKEA SMS
"SAMAHANI BUT NINA OMBI MOJA!!!!!
Naomba tusitishe mahusiano yetu naongea hivi namaanisha kutoka moyoni coz sielewi niko wapi,,naomba tusitishe tu kwa amani nianze moja nikiwa peke yangu!! Najua umepambana sana juu yangu Asante nashukuru🙏🙏 but naomba nibaki peke angu!!!
Kusalimiana kuwepo na kama kuna lolote utanishirikisha na mimi kama ntakuwa na chakukushirikisha nitakushirikisha coz hatuna ugomvi!!!!
But OMBI langu tusitishe mahusiano.
Na mimi naomba ushauri nahofia kukurupuka kujibu ombi hilo
😢🎉
Daah polee sana baba
Umetisha sana mama,,ya kweli sana sana dah mapenzi yanahitaji moyo tunakushukuru mama kwa somo zuri
Mimi naumizwa sana nahiyohali nanimekosa dawa sana ,hanijali kabisa najua ila hanitoki moyoni😢
Ushauri wangu kwako ongeza bidii kwenye kutafuta ela utakuja nishukuru
Utakuwa sawa tu niswala la muda tu ipo siku itakuwa istoria tu mungu atakusaidia hata mim ilinitokeaga tulipendana but ghafla akazingua ila niliumia Sana kabisa but now nishamsau nishamtoa moyon but imebakia stor tu...simpendi tena...naamin nawewe ipo siku utamsahau japokuwa sio rahisi but u will be fine dear..mungu akusaidie
pole sna
Unajielezea vizur tatizo vingereza vyenu munazenguwa sana ungea Swahili
kuna maua hapa 🌹🌹yanakufaa san big up lessons
Oky so tunafanyaje kujua kuwa ulie nae nakupenda
Amen🎉
Jamen mm wangu n wa online hatujamit sasa nikimuambia shida zangu anastuk yaan tunasaidian kam wapenzi ansem anatk kuniowa lakin yuko na mawasiliano hafifu sn achangamki niliongea nae ansem wew kua free na mm sas m ata naishiwa nguvu sms mara hajbu had ajisikie ndo ajbu lakin kiupnde mwengin yuko saw ananieshim sn tuko na miez7 nakutok tumeptn online mawasiliano yke yalikua hvyo had saii siongei ten nikinyamz anasem nimenyqmz mhhhhh😢😢😢😢
😢😢
Kweri Asante sana iminikuta iyo
Daah kumbe ananipenda ila mapepe yangu tyyu
Vp jaman mtu anakuachia hela kila ukikutana nae haraf hakwambii anakupenda
😂
Mimi na mpezi wangu akinitafta jua anataka hera na kila mwisho wa mweZ lazma aombe pesa
😂😂😂😂😂😂
Nimeyahama mazima ya nauzi unaandika hujibiwi hatari sana
Pole sana
😂😂😂😂
Dada tangu nimeanza kusikiliz naona yote ni Mimi nafanya lkn sifanyiwi
Uhakika sis ta apo umeongea kwely
Daah, dada mimi nikilasiku ndonaaza kumtafuta😢😢😢.
Jaribu pia kutomuanza uone mahusiano yenu yamesimamia wapi.
@@lizamedia dada nipe mawasirianoyako nipate ata ushauri kutokakwako napitia maumivu sana nisaidie kwahilo😥😥
@@lizamedia nimejaribu hiyo link kila nikitaka kujoin inafel cjajua nini tatizo ila nisaidie ushaur fasaa dadaangu ninamengi yakukueleza
Mimi yupo ,anatabia hizo ila hana siku nyingi nitampiga chini
Kwer Hinaboa Afu Unampa
Mpensiwako pesa Ajiunge Bando Atajiunga Afu kwenye kuku check Kwa sms Au tafazali Nipigie
Yaaani wote wako hivyo😊
Mm. Kunakitu kinaniumiz san kwamweza wangu make hanipi md wakuwa kalibu na wewe nifanyeje
Yaaani mapenzi yanatutesa sana
Mapenzi bhana tuwaachie wenyewe
Sana
❤
Unaongea kichoovu,uzungu mwiingiiii,
Mm kuna mwanamke nampenda cn na nilijarib kumwambia akanijib kwamb mm siko tayar kuw na ww ila upo yawezekan wakuw marafiki na mm siwez kukaa bila yee je unawez kulisemeaj ili suala
Nakuomba msome ana penda Nini hasa na angalia msimamo wake