Usimfukuzie... Mvute kwako(mvutie) / don't chase instead attract him/her

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 74

  • @mariamkitina196
    @mariamkitina196 2 года назад +7

    Kwanzia leo sinto umia mm upendo wangu kwake ndo umeishia hapa nilimpenda sana lakini akujali thamani ya upendo wangu

  • @hamisa3447
    @hamisa3447 3 года назад +11

    Ata mie mwanzo nilijua kumjali sana ndo mapenzi au kila wakati kumtafuta jamanii si kweliii

  • @happinessmathias2447
    @happinessmathias2447 3 года назад +9

    😘😘 Nina thanx alot mamy umenisaidia Sana saiv naenjoy moments hakika inafanya kazi❤️💃💃💃💃

  • @PendoMasha-t8q
    @PendoMasha-t8q Год назад +2

    Asant sana kwa maneno yak mazur yanatia moyo kwa kwel Mungu akubrik.

  • @asyaasya3766
    @asyaasya3766 4 года назад +7

    Nimekupenda wewe mdada duuh umenifunza kitu muhimu Sana mpnzi Mungu akupe maisha marefu

  • @mteulemnyama7858
    @mteulemnyama7858 Год назад +2

    Unasauti nzur sana we mwanamke.... Natamani nikuone uwenda nikataman Zaid kuwa na wewe 🥰

  • @samrufingo
    @samrufingo 2 года назад +4

    Ahsante sana dada nalifanyia kazi kwanzia sasa

  • @OliveMikel-bz8xt
    @OliveMikel-bz8xt 2 месяца назад +1

    Nimeamin dada Asante mwanaume kalud mwenyewe tn mpole km sy yeye

  • @shayograce7193
    @shayograce7193 2 года назад +6

    Yaani wewe dada umenitua zigo la machozi I love you

  • @jacksonsaugah9120
    @jacksonsaugah9120 2 года назад +3

    Nimefarijika sana aman ninayo ya kutosha tofauti na mwanzo

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 года назад +8

    DADA ASANTE SANA MUNOOOOOO NIME TAFUTWA NDANI YA SIKU TATU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @Glorie711
    @Glorie711 2 года назад +3

    Napenda sana mafunzo yako dadang mungu akubariki🙏🙏 🥰🥰

  • @viviancastori2947
    @viviancastori2947 3 года назад +3

    Asante sana dadaangu yaan umenigusa mulemule nakupenda❤️❤️❤️

  • @naomimgaya5085
    @naomimgaya5085 2 года назад +4

    Nakupenda da nina unauponya moyo wangu😍😘

  • @sabrisaid1430
    @sabrisaid1430 Год назад +1

    Asante sana kwa kunipa mbinu nzuri nakupenda sana dada

  • @Omari-g8c
    @Omari-g8c Год назад +1

    Thank you so much

  • @antybakary953
    @antybakary953 28 дней назад

    Asante sanaa ❤❤

  • @husseinmwala5468
    @husseinmwala5468 Год назад +1

    Nice

  • @HusseinKikome
    @HusseinKikome 3 месяца назад

    Shuklani dada uko vizuli mungu akuzidishie

  • @benstephano6765
    @benstephano6765 4 года назад +4

    Dada nakubali xn unaongea point xana na ninafanyia kaz mafundisho yako

  • @viviancastori2947
    @viviancastori2947 3 года назад +5

    Umenipa amani ya moyo jamani naanza kulifanyia kazi

  • @arikadymkenda47
    @arikadymkenda47 3 года назад +1

    Thanks

  • @kingsmanyotabadily9501
    @kingsmanyotabadily9501 3 года назад +3

    Santeh! Ma dame

  • @rahelidanieli3556
    @rahelidanieli3556 3 года назад +2

    Safi sana like it mamy

  • @rehemashomi5026
    @rehemashomi5026 Год назад +1

    Da Nina mbona hupost siku nyingi 😢

  • @khadijafadhil8029
    @khadijafadhil8029 4 года назад +3

    Vizuri dada wallhi umenipa moyo

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 3 года назад +3

    Kweli kabisa jamani

  • @hawamafuru6791
    @hawamafuru6791 7 месяцев назад

    Naamin dada ❤❤❤❤❤❤❤

  • @yunesnyabonyi1728
    @yunesnyabonyi1728 4 года назад +3

    Ukweli kabisa dadangu ❤

  • @zainabukesi2885
    @zainabukesi2885 3 года назад +1

    Axant my nayaon matokeo

  • @rommydeevan8543
    @rommydeevan8543 2 года назад +1

    Daaa sister ni mm huyo kbs mwanamke kajua nampend kwahiyo ananitesa haswa

  • @mariakihwili704
    @mariakihwili704 2 года назад

    Na vip kama akisema he have nothing to share with me what can I do?

  • @jamessanchez3802
    @jamessanchez3802 4 года назад +3

    UK vizur

  • @lydiamangas2579
    @lydiamangas2579 3 года назад +3

    Nimeandikiwa sms mbaya na baby Leo ati nimwache kwanza let me deal with this ,nimelia leo

  • @josselinijosiah8370
    @josselinijosiah8370 3 года назад +2

    ❤️❤️

  • @salamakhamis4558
    @salamakhamis4558 3 года назад +2

    Nakukubali dada

  • @jamessanchez3802
    @jamessanchez3802 4 года назад +1

    Ubalikiwe dad angu

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 3 года назад +1

    Hi dear

  • @frolamussa9437
    @frolamussa9437 4 года назад +1

    Post nyingine mbona zinachelewa mamy

  • @RODASAULI
    @RODASAULI 6 месяцев назад

    🙏

  • @DreamRiseDaily
    @DreamRiseDaily 4 года назад +3

    🥰💖

  • @zenajuma159
    @zenajuma159 3 года назад +1

    Ngoja kwaza nitoe shuklani kwa dada kwakweli nilikua sijibiw sms sim kupigiwa mtiani kazi napiga Mimi nikafanya zoezi la kuka kimya aa siku nne tu mtu huyu Sasa saluti sms ata sekunde aishi anajibu

    • @rehemakaminyoge2584
      @rehemakaminyoge2584 2 года назад +1

      Bola wew mi had mwez hajibu hata nikijifanya simtafiti naye hajihangaishi sijui nifanywe nin jaman

  • @veronicamaganga6176
    @veronicamaganga6176 Год назад

    Nimeachana nae nilimuota Hadi sa Hz Nina amani ndani yang je na yy huko ananiwaza au ikoje?

  • @angelpeter1854
    @angelpeter1854 4 года назад +2

    😘😘😘

  • @mmsh3720
    @mmsh3720 3 года назад

    Shukurn

    • @maryamuabdallah7487
      @maryamuabdallah7487 2 года назад

      Jamn huyu haya maneno umepata wapi jamn umezid kunipa moyo maan nilikata tamaa

  • @glorymbwambo6650
    @glorymbwambo6650 3 года назад

    Ndicho.kilichonikuta nimependa saaaana lkn kaondoka

  • @RaphaelRobert-gv1oz
    @RaphaelRobert-gv1oz 19 дней назад

    Naomba namba yako

  • @chershabdallah1180
    @chershabdallah1180 3 года назад

    Je kama yupo mbal yan yupo mkoa mwingine na ww upo mko mwaingine

  • @matha7750
    @matha7750 3 года назад +1

    What you are saying is right kbs now he is after me jmn ananitafuta kwel mmmh ngoja nimsklizie akolee kbs

  • @LovelyJackrabbit-ke9qz
    @LovelyJackrabbit-ke9qz 5 месяцев назад

    Sauti ndogo

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 года назад

    Number zako dada

  • @pendomfinanga3744
    @pendomfinanga3744 4 года назад +1

    Wakati huo nikirud nyuma tunaendelea kuwasiliana au,na je kama yy anitext nifanyaje

  • @sophiashabani5278
    @sophiashabani5278 4 года назад +1

    Shogaang 🔥🔥💋

  • @hildavicent7126
    @hildavicent7126 4 года назад

    Naomba namba yako dear

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  4 года назад

      Ok, nitaipost

    • @iddymgaya8211
      @iddymgaya8211 4 года назад

      Daah yan uyu dada anatunza mengi na nishayafanyia kaz na nimefanikiwa

  • @williamsteven6433
    @williamsteven6433 2 года назад

    Dada tunapenda mafu disho Yako lakini atupati nambako ya watsap unaweza tuekea nambaako

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  2 года назад +1

      0656731892

    • @Ninamagnet
      @Ninamagnet  2 года назад

      Instagram @ninamagnet

    • @jacksonsaugah9120
      @jacksonsaugah9120 2 года назад

      Dada nikifanikiwa hili ntakupa zawadi japo baada ya kusikia ukitoa nasaha mawazo yote yametoweka kabisa, umenifariji