We y Prince the done nakukubalee sana sana tu doooo🇧🇭🇧🇭🇧🇭 nikishuka lazima nikutafute nilipo ngoma nazipata kinyama zinanifanya napambana hatareeee we mkali brooooooo
Wow!!!! This boy gotta it all talented , handsome, yaani anaweza I don’t get watu wa dislike this song support this young boy 👦 u don’t pay a penny to give like or subscribe to his channel. He is great keep up young man
Much love dogo, kipaji unacho na nakuombea mwenyezi mungu uzidi kkuza kipaji chako kwasababu ukweli wa mambo utafika far.God bless you boy much love from Kenya ❤❤❤❤❤
This boy is better than some gospel singers here in this country of mine. go! go! go! go! my boy. I wish my my siblings raised in Tanzania. i like natural talented kids. God bless you.
I love this little boy he is such an inspiration may god bless him entirely and may god continue to protect him and grant him with the richest blessings
Harmonize Fanya jambo kweli huyu kijana mtafute aki lets make this kid go viral from 254
Beatrice Karimi kweli kabisa yaan
Dogo uko vzr mungu akusimamie ufikie malengo yako pia usisahau kusoma
Romances
Kabisa
Beatrice Karimi/ata bila usaidizi wake the boy will make it,his destiny,iko kwa mkono wa mungu si binadamu
Huyu dogo cover zake zinakuanga kali kuliko original one... GOD BLESS YOU
Suzee Mnati k
True
Umeona eee
kweli
Suzee Mnati ako poa lkn
Kaza buti ...
Diamond wa baadae na wewe utakuwa na lebo yako tena kubwa sana .. big up prince ..
Aki we mtoto n motoooo
Wapi likes za dogo..Y.prince ... Kali🔥🔥🔥
Sharing the love from Nairobi Kenya
TOP master compilationsp
@@hamissololo7809 yep, how're you
@@topmastercompilations5253 ❤one love
TOP master compilations Dogo unaweza
Masha allah
Nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mdogo angu,,,,,,,,,,, never give up
Huyu dogo mkali kweli...Kenya twaku support
Safiii sana dogo
DJ ATM kanasauti nzuri jameni yoo nic
@@kskdkdjrekkekrkr9033 sana
bana uyu kijanaa ako too sawa... Sauti anayo
Naumiss huu wimbo
Wow wow... Kaliii 🔥 🔥 🔥 nakukubali nikiwa #KENYA +254
Sasa mutinda,sema machakos sio Kenya
nakupenda sana Y PRINCE you are a hero
Oooo Jesus may you open doors for this talented young boy🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💟💟💟💟💟 kenya loves you boy
254 ndaniii
Wow ,little boy have talent ..May God bless .
Talanta
Acha upambavu fala hii jamaa ni muislamu hata Jesus mwenyewe ni muislamu hakujui
@@ibrahimshobow6374 grow up buana🚮...
Harmonize fanya bidii kijanaa anakupenda sana msaidie mungu atazidi kuenua kazi yako mtafute kijanaa plz
Nakukubali dogo
Locked, Nairobi Kenya
We y Prince the done nakukubalee sana sana tu doooo🇧🇭🇧🇭🇧🇭 nikishuka lazima nikutafute nilipo ngoma nazipata kinyama zinanifanya napambana hatareeee we mkali brooooooo
Wowow nilikuwa nausubiria kwahamu sana ...prince wetu❣💕💞🇿🇦💖
Safi sana
keep it up dogo
UK vzr
@@joycealoyce8608 pp
@@ahmedjack4135 p
Wasafi mbona hakufanya kitu kwa huyu mtoto kweli, kipaji cyake kinashangaza watu ,nakupenda petit huku Rwanda wallah
May God open doors of blessing to this young brother.....be blessed
I love u boy God love u .na hapa Kenya tunakupenda na kukuombea bright future, especially in music.
Wapi like zake
Wow so good
NEVER GIVE UP MY YOUNG BROTHER
LIKE
ABDI AMAR
Good
Waah,harmonize kwa kweli Fanya jambo
The best and young in bongo flavor...keep it up
mungu akuongoze katika maisha yako😘
I see NOTHING more than talented African child, I am proud of you... More likes from Qatar Doha🇧🇭
Me too here happy in california
Kipaji kipo prince tunakupenda sana hapa Kenya ..sauti nzuri
Huyu dogo ana sauti nzuriii... nampenda yaani
Mwanabgu kunja. Mweyesimungu. Ako ako nawe.u will be more good than. Anyone..kipe it up
Wow!!!! This boy gotta it all talented , handsome, yaani anaweza I don’t get watu wa dislike this song support this young boy 👦 u don’t pay a penny to give like or subscribe to his channel. He is great keep up young man
Dogo umetisha....wasafi fanyeni kazi yenu....pamoja
My prince never disappoint... God akufungulie kipaji chako
Wew
nani mwingine amelike na kucomment ata before asikize kama Mimi? katoto hodari kweli haka..mob love from Kenya prince
y prince ngazi ushaupanda bro ,umeangusha tena ..tena kali, wimbo kal wenye imani ,,maulana atazidi kukuinua
u I'll be president of music
this is so awesome,tz ur blessed ......ezzkenya
Good one Y-Prince umeweza tu sana......Mondi...Harmo...okoa kipaji hiki tafadhali....+254 ndani yake
I love your songs...Kenya twakupenda sana Toto.....never give up
Wow
Wow!!big up bro,utaenda far,unayo talent
so nice dogo keep it up God bless you
Wasafi wanafaa Watabue kiapaji cha huyu Dogo .... He''s a talented Boy may God keep pushing you far 🙏
Wow I love this boy .....big up prince
dua my baby mungu akufanye wepes
I love the boy, may God bless u beyond the boundaries.
Dogo juzi tu nimeangaliaa kazi yako ilee super nikakubarii unajuaa , untishaaa sanaa chaliii ilaa komaa na shule na mziki
nice one dogo penda ww,from Kenya twakupenda
mjanja janja ghh
Cool
Mungu akufungulie njia kijana unacho kipaji na utasonga mbali. God bless u.
Watching from SOUTH AFRICA... that what I call heavenly gifted, keep bringing more
Dah huyu dogo anafaa na anaweza kipaji chake chafaa kiangaliwe sana lazima atoke tena kwa haraka wapi 254 wanaokubaliana nami
Huyu mtoto nampenda mie💞 mungu akuzidishie umri Inshaallah
dogo we mkalii don't give up
uko vizuri dogo pambana
Uko na sauti nzuri daddy MashaAllah keep going never give up
nakupenda sana harmonice huyu Mtoto anakupenda sana😍😍😍😍
First one to comment all the way from Kenya wapi likes zangu jameni
Abigael Frumenzio mko kila pahali 😂😂😂😂
Kenyans we are the first to support
I really love this Kidd...much love from Kenya y.prince
The voice brought me here go far young boy Kangwana Media 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
PRINCE UKO POA DOGO NIMEKUBALI KINYAMA SAFIIIIIII @Y PRINCE
Much love dogo, kipaji unacho na nakuombea mwenyezi mungu uzidi kkuza kipaji chako kwasababu ukweli wa mambo utafika far.God bless you boy much love from Kenya ❤❤❤❤❤
Kwqnini uyu dogo mnamchelewesha ustaaa ivii😊😊 anawezaaaa sanaa harmonize mchukue dogo uyu aise
This boy is better than some gospel singers here in this country of mine. go! go! go! go! my boy. I wish my my siblings raised in Tanzania. i like natural talented kids. God bless you.
This kid is going far...hope harmonize you're watching 👀...nyc one ..big up.b blessed and continue with that streght..🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mashaallah anaweza sana mungu aendelee kukuza kipaji chake
The lord x ur strength boy..
Watching from Nigeria
huyu Prince ameweza kweli,angusha likes kama umekubali
Dogo umeweza, mungu akuzidishe zaidi, na azidii kubariki sauti yako..nice song #nevergiveupever#
Kaka mkuu..kama kafika Fanya kitu mzito....respect sana.
Blessed boy,watching from Kenya big up
Dhu! Uyu mtoto anajua xna huwa akoseagi hta kidogo
Never give up
Bad nah Bad Bwoy!!!Fi 🙏👌🔥🔥🔥Blessed musically Never Never give up.Big thingz nah gwan my Boy.🌈💞✈🌏
Big up boy utaenda far let's believe in Allah,,,,,Never give up Y Prince
Nice song. Jikaze dogo mungu atakuinuwa siku moja utafika mbali
I really love y prince..... Keep going... May God bless you
Wawooooo
@@queenmtatu6733 keep up price.... God bless you..... Uko n kipawa soon utakuwa harmonize kadogo
Konde usimuache
Upo vizuri daaah nakupend bure mdg wang
Namkubali Huyu dogo
Y prince uko fity sana u never know one of this fine days u gone be the star ya Molla ni mengi
May the God almighty open doors for you love you from Zambia 🇿🇲
😂😂😂😂😂👍👍👍👍🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹👌👌👌👌👌👌👌👌👌 Mutoto mwenyekipaji kikubwa sana👉💯💯
Woo nice bby boy...trust me you’re going far,,kindly make cover ya inama.lll gonna appreciate sana
Anita Anita Cv
listening from +254 Kenya wapi likes za Y-Prince
kijana motoooooo
Ce petit est un ❤️. Il est pétri de talent. Dieu te protège.
Daaahh nimeishiwaa nguvu wew unawezaa dogo
This boy is very talented may the almighty king of all see you through 👍
Waoooh truly you are a prince and a King in future
I looove u baby gospel artist ,,,, prosperities in ur ways 💥
Talented young man big up and don't give up...watching from kenya
WCB huyu dogo jaribuni kumtungia mashahiri yy ndie the next Simba wa bongo for real # big up dogo
My princito my favourite....MPE likes kama wabelieve anaenda mbaaaaaaali
Kipawa kapewa huyu ndogo yangu ❤️
Dogo upo vizuri God bless you
Nakukubali we dogo mungu akuongeze misks
Nimeupenda huu wimbo kwa ajili ya hyuu dgo saloot kwako
Mashaallah. Watanzania tuna talent. Taifa la wenye bongo. Kumbe tunataka tufutwe vumbi tu tutaonekana uzuri wetu. Big up kid
I love this little boy he is such an inspiration may god bless him entirely and may god continue to protect him and grant him with the richest blessings
Dioes te poehja palavida
Aka katoto jamani kanakipaji kwakweli mutafute diamond akuunge na wasafi GOD BLESS YOU😗😗😗😗
Keep it up bro,,,,viewing frm Nairobi🇰🇪🇰🇪
Kiukweli dogo yupo good sana
Eeeeh kabisaa,,,,anafanya kazi poa,,,,anatoa hisia kwenye nyimbo zke,,, doing it great. KENYA twampenda.
Ameweza... Watching from #machakos..
Hamonize
Uyu mtoto ananikoshaga sana ajawai kukosea jitaidi mtoto utafika mbali inshallah
dogo endelea hivyo hivyo usikate tamaa #nevergivup 🙏💪👊
Unaweza boy ,komaa never give up true
never give up iwafikie upcoming musician
Good
Noma sana Dogo... Naikubali Mwanetu
🔥🔥🔥🔥🔥Never give up💪, Kenya we have kartello
Na simple boy🙄😜
Mrembo hiyo in ukweli,ata mchafue collabo,mmeweza
KARTELLO NI GARI YA KUENDA WAPI
@@tshirtprints254 BUNGOMA
abadulai
Dogo kweli amebarikiwa n kipaji u a hv blessed
Kenya tuko wpy???? Like kwa #y_Prince plz👇👇👇👇
Kazi safi sana....big ups 💪
rada
Tomze Desparter kbsa
Silas Jonas dogo anaweza tunaomba aendelee ivyo kwauwezo wake muumba! ahmen!!!!!!!!
Kenya tuko #kazi safi sana mkwe
😘😘😘 Harmonize Yuko wapi,,you r an inspiration to this kid. Mtafute
Même si je ne comprends pas la langue, sache que le son est validé par un ivoirien 🇨🇮🇨🇮🇨🇮🇨🇮
I knew it..Chase your dreams young one👌👏🙏
Nakuombea kwa mungu aakilnde daima kipaji chako na ufanikiwe kufika pale unapotaka kufika
Very talented big up to him💪💪💪💪
Mashallah huyu mtoto ana kipaji god bless him...243......