Huo ndio uwezo wa kufanya cover kwani umejaribu kuingiza baadhi ya maneno yako ambayo yamewafanya baadhi ya watu kujuwa kuwa huyu sio harmoniz kulingana na vitu ulivyo viingiza, kingine umeufanya huu wimbo manenoyake kusikika zaidi namtu kuyaelewa zaidi kuliko alivyoiimba mwenye nyimbo,,,anae kubaliana na maonoyangu dondosha Like za kutosha,,
@@reginawitacha7921 naufaham mzikivizulisana napia nawafatilia sana hawa machalii zaidi ya mwaka wapili nanusu sasa nawapendasna kwazi staili, haswa bosco tone dahh jamaayule ni mtaalam sana wa cover
I love my Africana people wherever you from, I’m proud to say I’m from the most beautiful continent, We’re special, Our food, Our dress code, our color that United US, Damn even our music is noticeable ❤️ mama Africa
daah! Gold boy you have done something good. you are real gold. sichoki kuiangalia hii cover asee it is good than the original one to me. Gnga like twende sawa kama unaamini #KIGOMAHATOKIFALA #BOSCO TONES#NORMAL TZ#GLORY SHAVU#BEKABOY na wengine kibao
When I first heard this young soul sing I couldn't believe he was the one with such a phenomenal voice and because of this I promise to support him in his music career.....
kila ua linalonukia lazma nyuki watazamia❤❤❤ unajua mpaka unaboa Gold boy ungekuwa unabetika aisee ningeweka kwako maana unajua mpaka homa an❤❤ wew sio Gold boy bali wew ni Golden Voice!!! god bless u olover
Gold boy fanya mpango uanze kutoa nyimbo zako. Maana kama ni jina umeshatengeneza kupitia covers na mashabiki tumeshakubali uwezo wako. So fanya utoke huku.
Gold boy congratulations, umetoboa ktoka kasangezi village kasulu kigoma now umeanza kushine dar, work hard u have nyc vocal, singing is your talent, keep on struggling utafika mbal xn, from kg mwisho w reli kwel huku kg kna vpaj atar, tsha xn cover zako nazkbal 100%
Vipaji bado vinakuja ndohivi navingine nasauti bado zinakuja kina mondi watazimaga tu kumbe mda ukifika. Naamini wasanii wanaokuja watakuwa niwasomi kuliko waliopo maana Elimu sasa inapamba moto namziki unapamba moto mziki na Elimu ndo vizazi vijavyo kuanzia sasa tunaovyoona mfano huu Hapo 🔥🔥🔥🔥🔥
Kama we ni Kenyan na unafuatilia huyu boy gonga like
Tuko
Gold boy umeweza.from +254 gonga like iwapo umemkubali
Mlipaushru Nonginya pixie kakoito
Hizo lyks zifike 254
Unamauwezooo
kigoma ni mkoa ulio jaa vipaji from diamond, alikiba ,chege up to golden boy never giv up
cidi somali ah ee soo radisey heestan like isar 👍👍👍
Noradin updiqadir mohamed war way so xadeen
Noradin updiqadir mohamed kkkkkkk aniga
Sxb heesta originalka ah ninkan ma qaado Hormonize chanellkaas ka eeg
Tupo wengi bro hahaha
Ceebey tacaal tuugo ayaan noqonay
Huyu Dogo ni fundi aiseeeee..... Gonga like kwa Golden boy
Kama umerudia zaid ya mara 1 gonga like hapa twende sawa TEAM AFRO COVERS
antony manyenye noma uyu kjana daa namy ngoja nibue nyota yangu
Zephania Stan mwegoha dogo unatshaaa sana
gonna like chn hapa kama unamkubar
Kama ulijua
Sjawah comment covers zako but hiii umetisha gold boy
Kabisa hii kauaa coz nilikuwaga simuelewi
Ahahahaha kumbe tupo wengi jamaa anazid jiongezea fans tyu kauwa saana
abelinho johnson aiseeee huyu dogo yuko juuu atatoka tuuu onedy
Kaza dogo utafikatu
Hatar sana voice ake anajua kucheza na camera hatr nabless kaz zake
Kama unamkubali huyu kijana kuwa anajua gonga like 🔥🔥
Harmonize amemuona....ulibebwa na wewe uwabebe vijana kama huyu..
@@ndaganoanastazia2658 umeona eeeehhh kweli aswaa
Sure..namkubali kabisaa
Amekua
Mbasa Zakalia nice
inta calaf doon ka soo maqshaY ee soo raadisY like hayla dhaafin
I've listened to this cover more times than the original. Get signed boy you gat talent... Shout out from Kenya
me too
Blank Blank copie is copie
Dgo unajua sasa mbn unachelewa mzaz
Huo ndio uwezo wa kufanya cover kwani umejaribu kuingiza baadhi ya maneno yako ambayo yamewafanya baadhi ya watu kujuwa kuwa huyu sio harmoniz kulingana na vitu ulivyo viingiza, kingine umeufanya huu wimbo manenoyake kusikika zaidi namtu kuyaelewa zaidi kuliko alivyoiimba mwenye nyimbo,,,anae kubaliana na maonoyangu dondosha Like za kutosha,,
Juma Kaswelele kumbe na ww unajua mziki tuko pamoja dogo anajua
Kweli dogo hajatuangusha
Nikweli kabisa
@@reginawitacha7921 naufaham mzikivizulisana napia nawafatilia sana hawa machalii zaidi ya mwaka wapili nanusu sasa nawapendasna kwazi staili, haswa bosco tone dahh jamaayule ni mtaalam sana wa cover
nakubaliana nawe
Wakenya let’s gather here for this young talented boy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥
hatareeeeee
kali
This boy ni hatareee
so talented
Amefanya nmemkumbuka Marlaw
Sauti tuh ina tisha like kama uko na mimi
Dogo yupo vizuri, never give up..
Anna kigoma hiyo moja kwao na mzik
Haadii aad heesta so radisey like ii sara walalo
Kkkkkkk joof iyo johorad ayaan qishka kasoo helay
Heesta yarkan ma qaadin asag xita copy wayo
@@Thefootballer2023 kkkkkkk kana masoo gafay kii heesta originally leh magaciisa ma haysaa halkaana aan iska xaadiriyee
Harmonize never give up ku qora RUclips ka wad arkeysa
Musiga haa lakin laxanka iyo ereyada maslax isaga iska leh somalida waxba laso xaday unbay kaga dhagtay kan yar xata isagu male ila 10 qof ba copy dhahday heeskan
I love my Africana people wherever you from, I’m proud to say I’m from the most beautiful continent, We’re special, Our food, Our dress code, our color that United US, Damn even our music is noticeable ❤️ mama Africa
True that sis
Talent from kigoma... Kwetu
Big up sana...Anaeona dogo kapatia kama ninavyoona mimi agonge like hapa ☝️🇹🇿🔊🎶
Kaza uko vizuri
Gonga like km unapajua KASANGEZ huko Kasulu ndichiiii kabisaaa
daah! Gold boy you have done something good. you are real gold. sichoki kuiangalia hii cover asee it is good than the original one to me. Gnga like twende sawa kama unaamini #KIGOMAHATOKIFALA #BOSCO TONES#NORMAL TZ#GLORY SHAVU#BEKABOY na wengine kibao
tunakubali dogo mungu akusimamie
Alierudia Mara mbili kusikiliza huu wimbo gonga like za kumwaga
This' my 6th time. This boy's so talented👌
Nakukubali Dogo God bless u
Mmmh lovely voice and msg too on top
Emmanuel Magambo yani mimi nakesha huku kuuangalia ata og siitaki😂😂😂😂😂
Zaidi 2
We nomaa sanaaa ipaisheee KIGOMAAAAAAAAAA MKOA WETU
Kma we wa kigoma ganga like ala
Kigoma hatoki fara
Shabani Chaye unaferi wew , kigomba wasanii kma wotee wa kina kiba ,mond na wengne alaf unasema kgm hatok mtu😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀🎧🎧🎧🎧🎧🎶🎶🎶
Hii ni kali sijawah comment wala kulike cover zako
#Goldenboy
Hint like kma unakubali kma mimi
Kwel kabisa
Haaaa
Mnoda Wizdom I
Ulokabha umusanii akuze chane kumbe ni from house of tarent iwachuuuuuu hongera mdogo wetu sauti yako tu balaaaa ulatishaaaaa
Utabk kuwa juuu mor love
When I first heard this young soul sing I couldn't believe he was the one with such a phenomenal voice and because of this I promise to support him in his music career.....
Dhuluufikli Hassan fantastical
@@depaypaniikimaro491 if I had a chance to meet him, I could support him in producing cool videos of his songs
Support him...kijana anaenda mbali kimuziki
I will wait for his response then we can discuss on how he can produce legit videos
Hellooo.did you follow up on supporting him Gold boy.The guy is almost losing it.if there's anything you can do to help .
He is talented imagine mastering the lyrics within 24 hours and doing it this well.... you are a star
Natasha Wendy is a star and hi is too talented for his age
kila ua linalonukia lazma nyuki watazamia❤❤❤ unajua mpaka unaboa Gold boy ungekuwa unabetika aisee ningeweka kwako maana unajua mpaka homa an❤❤ wew sio Gold boy bali wew ni Golden Voice!!! god bless u olover
Brooow I salute you nakukubali 100%
Waziiii nakukubali dogo
Kigoma woooooza shemej huyo we ni zaid ya fundi
Shokal
Umenimaliza Gold...Sina huwezooo....aah bac wakenya wenzangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪si mnipe like zake bac hacheni kunipita ivo mie mwenzenu
Choma na ngoma.....taaamu hadi kwapani#Hii ndo ingekuwa original alafu ile original iwe cover. Bomba sana
ukiwa na kipaji raha sana cheki anavoringa na kujiamini dah keep up bro
mshindo mohamedi but anafanyisha mdomo vibaya
Yyyu
Kkkkk
Boscotones akipanda hiyo cover atakuua na kukuzika mdogo wangu. Omba asipandeee tu coz atakufunika tu. Anayekubaliana na mimi gonga like mingiiii
That's your opinion.personally he did great no one is gonna change that.
Duh unaimba kuliko Mwenye nyimbo,,, big Up Kwa Wa chigoma
Daaah Kigoma moja hyo...uko vizur Dogo never give up
Am your no.1 fan from +254. In love with your choice😍
aseeeee cover imekoshaaa sanaaa....fika mbali sana braza
Jamani kuna watu wana talent big up bro more love ❤️ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Homeboy Kigoma moja, nakubaliii🙌🙌🙌
Mm natoka nae kijiji komoja
nipee number zake kaa ni homeboy bro
Duuuh!!!! @Godboy KizaZi Sana mzeee chenyewe kabisa mzaziiiiii @RamsoBoy
bro jitahidi kuandika nyimba zako mwenyewe hizi cover una zina kuharibu Huto tengeneza ngoma yako Kali kama ww
Gold boy fanya mpango uanze kutoa nyimbo zako. Maana kama ni jina umeshatengeneza kupitia covers na mashabiki tumeshakubali uwezo wako. So fanya utoke huku.
Woooow...umeweza kuliko mwenye wimbo❤
Nimekuelewa mdogo wangu jilani yetu wewe kasangezi mimi Rusesa. Nakuona mbali sana never give up. Tulihamweewww
tumekubali dogo .....unaeza tena sana...watu wa kilifi mko wapi tumpe huyu dogo like zake..
War somaliyeey 🇸🇴 like ta hanala dhafina.
From somalia 🇸🇴🤟🤙
🇸🇴💙🇸🇴💙💯💖☝️
Konkiii jmn love it kama umekubali gonga like hapoooo
Dah, , , nmejizuia kukoment ila nmeshindwa ###kifupi umeuaaaa yaaaaan tht's murder
Dogo unajua sanaaa yan Jah bless u i see u on the air
wow napenda mdogo wangu God bless you..huna kipaji kaka waonyeshe bigup
This boy is too fast manze.. Bro I bow down for you. .. Heshima kibao
Mjengo Specialist usikate tamaa pambana kila kona unaweza sana much love best yangu
Gold boy congratulations, umetoboa ktoka kasangezi village kasulu kigoma now umeanza kushine dar, work hard u have nyc vocal, singing is your talent, keep on struggling utafika mbal xn, from kg mwisho w reli kwel huku kg kna vpaj atar, tsha xn cover zako nazkbal 100%
Yudas R Sakitwe good
Jameni haka kajamaa kameiva mbaya ,,,nani anakubali nami✋✋
Ni atariiii
Sana kibro nakubali kabisa
nakapenda kwnavoimba
Kama maisha safari...sijafika...av got a long way to go..sky ain't your limit.blessed at 254
this is amazing cover ...even you never give up boy ..show lov💞
Unajua sana mpaka unaboa, nakuombea dua ufike mbali zaidi ya hapo
Best cover so far!!! Harmonize tried but I still like this one.... Courage petit Frere! 🇨🇩🇬🇧
Iragi Zihalirwa me too
Even me
niko pamoJa
Yan huyu jamaa anaimbaga zaid ya og!!
Dogo hongera sana Mungu mwenyezi akufikishe mbali na kipaji chako. Karibu Nkundutsi kasulu
Sauti tu jameni.... Napenda kazi zako Sana Gold boy..... Nakutakia kila laheri
I don't know why WASAFI don't come for you. Keep the dream going
we mwehu kweli... wasafi ndo nini? atoke kivyake anauwezo mkubwa sana atengeneze wasafi yake
Jamani c mm nakupenda bure kaka
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sijachoka kuangalia yani ninomasana kamavip nahitaj kumwona #BOSCO ila dogo umetisha mwendo wa cover #HALAAAAA
Kalii gold boy... Umeweza
The BEST cover for NEVER GIVE UP so far. You are blessed bro. Love from NAMIBIA
Upo vizuri dogo, kigoma hatoki Boya
saut nzury..... na hy mikogo
duuuuh......💖 much Gold
Wow...i really appreciate your work....don't give up
Wow never give up like that song, keep it up nice voice ❤️🇰🇪
kigoma kweli wako vizuri
Wow Gold boy you have talent first time kupenda cover from a Kenyan unaenda far can't stop listening to your covers nazipenda
This is pure talent..... Great work Gold boy
Honestly I love this,umefanya hii cover Kali kuliko original song
One love to you bro from Liberia🇱🇷🇱🇷west Africa. Africans are wonderful and gifted people. God bless Mama Africa and God bless you too bro...
Daah uwezo Sana #gold boy
ningekuwa harmo ningekuzingua walahi, wimbo mkali kuliko wenyewe.........heeeee hatari sana.😁😁😁😁😁😁😁 ningekuzinguaaaaaaaaaa......
I Lyk Da energy GOLD Boy u are a super star,asante sana bwana
gold nilikuwa naisubili kwa hamu sio poa umeuwaaaaaaa
sio poa boy
kwelly wasanii mnakesha studio nahii ushaishika mh.....but ur the besty I like it never give up carry on
Voice2 inamaliz
Unajua kuimba sana mwana nyie mlopata nafasi kazen saana wengine ndo tunahaso kitaaa kutafuta nafasi Kama yako
Tuwakilishe vizuri kak kigoma moja nafasi ulo ipata itendee haki mi pia naisaka leo kesho ili nioneshe nlicho nacho
Mkaka hapa umemfunika nice...
Naipenda hongera kwa beka Kwa kukupiga tafu...
umeua kwenye cover gold boy big gaaaaap
💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥 kali sana hii hongera kijana, kazana utatusua tu,#nevergiveup
Happy Phaniah og
Dogo we ni nyoko aisee daaaaaah!
am always after ur covers, never frustrate, much love from 254. never give up boy
kudos
uko fresh chaliangu yani ume tisha kuliko mwenye mali
hongera,imekaa poa
Dogo anakipaji kwel hakuna wa kupinga namkubali sanaaaaaaaaaaaa
Kali Sana gold boy Tisha Sana kizazi sana. #Nevergiveupchallenge
Wow...you have a talent...nisaidie kumwambia never give up....from kenya🇦🇪
Upp Kent MTT mzur
@@seth9japheth488 ruclips.net/video/Q8GVW_ylVus/видео.html
Ngoma Kali Aiseee
Tolea Cover ya Patoranking mpya Wilmer
One of my favorite song❤
I support a lot #harmonize keep going
Jamn nimekupnda bureeee oooh god bless u
Love you more and more mdogo wangu never never give up. From California USA.
Dogo one day yes,hii cover umemfunika mpaka mwenyewe,kaza Dogo..!
Bro keep up man we love you from U.S.A
He is hero
🙌🙌🙌🙌 we dogo ni moto. umemfunia adi Mwenye wimbo!!!!!!!!!!.
Duhhhh.... Kijana unajua hadi unaharibuuu... Jesus..
Heii...!!
Dah! Jamaaa aememfunika konde boy
Yan Abdul huyu anafanyaga cover nyng ad Daimond aly kiba aliwafunika
Kweli yaani
Nakubuli #Kigoma vipaji Kama vyote Kama unakubali tigita na like
Kigoma like kiba
Never give up
Mbele kwa mbele mkazo tu young
Vipaji bado vinakuja ndohivi navingine nasauti bado zinakuja kina mondi watazimaga tu kumbe mda ukifika. Naamini wasanii wanaokuja watakuwa niwasomi kuliko waliopo maana Elimu sasa inapamba moto namziki unapamba moto mziki na Elimu ndo vizazi vijavyo kuanzia sasa tunaovyoona mfano huu Hapo 🔥🔥🔥🔥🔥
Daaah unajuaa sanaaa, Mungu akupe kila hitaji la moyo wakaz kaz nzur sana