Mungu akupe nguvu na wewe omba nguvu kwa Mungu. Nimuda wa kuonyesha uwezo wako mbele za Mungu na muumbaji wetu. Mm mamaangu hata simjui kwa sura lkn leo naishi huku nikimuombea.... Pole sana.
Nafikili hii ngoma ni yangu my mum aliniacha nikiwa 7 yrs nilimuona nikiwa na 24 yrs this song inafanyanga nilie sana nikikubuka mateso niliyo yapita kwa maisha yangu..kuchukiwa,kutusiwa,na ata kukosa chakula,
Naliaaaaaaa nalizwa nadogo,Dah nakumbuka vile mama yetu alipoondoka tukiwa wadogo nakutuacha na babayetu Marehemu masoto tulopitia Kaka yetu mkubwa alikuwa akituambia mama atarudi,mama anatupenda,atatuletea zawadi kila cku mpaka tukawa wakubwa...Mungu wangu..... Mungu wangu Mungu wangu nikama anaimba kwaajili yangu....
Dah cjawai ku comment on youtube, ila wallahy for this one am touched. Mziki ni ile feeling you get ukiuskiliza, na feeling tunayopata tukiskiliza huu mziki unabadilisha nafsi zetu na kutuvisha kiatu cha uzuni. Hongera mdogo wangu, Allah akufanyie wepesi ufike mbali. and usiwe DISSAPOINTED na hizo DISLIKES. Am so sure wote waliodislike NDO WANAANZA KUTUMIA SIMU LEO, ama HAWAELEWI JINSI YA KULIKE. Theres no reason why someone would hate this piece of brilliant art.
Haki... kipaji cha pekee.. Y.P nakutakia kila la heri.. wazazi wanafaa kutazama na kusikiza maneno haya kwa utulivu.. kakangu umeweza... na kama tuko pamoja pita na like👍👍👍👍
Hamad Bakar ila mwandishi wa script katunyima radha kwa huyo baba. Kama baba ana afya njema kwa nn watoto wasisome? Angempa kaugonjwa kadogo ka kuzugia
Oooi mtoto wangu sitawai mwacha ,e wimbo inaguza 😭😭😭😭 what if my son calls me aniimbie hivo oooi nitaokotwa ICU 😭😭😭I love u my kids...pita n like if u love ur kids❤️
I rem my kids wen I hear this sensation,may there never come a time for them to go under such traumatizing times,I decree n declare every family will b intact in Jesus name,Amen
@@prettyraydkhalid4967 hayo ni maisha mke anakuwacha kwa ajili hali yako tuni kasahao Mola ndio mpaji na ajuae ya kesho ni maulana yameyaficha ni confidential
Asanteni kwa wote mnaoendelea kunisupport. kama ungependa kuendelea kusupport kazi zangu ,unaweza ukafanya hivyo kupitia hii namba +255768162755. Asanteni sana Merry Chrismas and a Happy New Year 2021 to you all.
Too much touching I just gat myself listening to the same song...unatupenda....utatuletea zawadi...namsaidia daddy... touching... listening from +974 am a Kenyan tujipee like titarudia watoi wetu
Huu wimbo unagonga panapo faa...dani ya moyo.... hasa kwa yule baba au mama anayetelekeza mwenziwe na wanawe. This song hits where it ought to..deep inside of ones heart especially for those who leave their partners and children
Sio Mchezo DOGO Langu Umeuaaa .. If I was home in TanzaniaKwakweli Ningekutafuta Au Kama Unaweza Kutuwekea Number Yako Ya Sm Pls Tafadhari Sna Weka Maana Umefanya KAZI Nzuri
Cjui ata nalia nn mm aswamm nilie kuwa mbali na watoto wangu kujakuwatafutia daah inauma sana ongera mwanangu mungu akuze kipaji chako na akupe itaji la moyo wako ishaallah
Hii nyimbo inanikumbusha mbali ila km uk na wazazi wako wote mushukuru mwenyezi mungu namesmbia mungu hasante kwa kuwa bd naeza nikawaona wazazi wangu wote thanks be to God
Wadau wenzangu kusema kweli huyu mtoto akona talanta. Wimbo wenyewe mtamu jamani. Kijana hongera ukona nafasi kubwa katika industry ya mziki @diamond kazi kwako, kijana akona kipaji.
Wally nimelia leo.. kilichoniliza nipo mbali kwajiri ya kusaka pesa na nyumbani wanataka leo kesho nirudi daaah. Km nimeimbiwa mimi vile yani nimelia sana. Sasa nawaza kweli kurudi nyumbani
18/9/2018. ndo kwanza naisikia hii cover ya atarudi ya hamornize. dogo kanitoa machozi sana. nice one mdogo wangu.ningekua bongo ningekutafuta nikupe ongera yako. kipaji unacho mdogo wangu. nice one. love from Sweden.
nikiwa nimewaacha wanangu alafu wanipigie sm wakisema hivi oh Lord mtaniokota ICU my lovely kids sintowaacha popote ata nikiwa na hali ngumu tutavuka pamoja nawapenda sana 2023 stll love this song❤
my name is shalom kalfa I'm from Israel and i love this beautiful amazing song, africa is deep in my heart, African music is so exciting, i know that this song is about mother, nakupenda sana, kenya and rest of Africa
Yes the mother left them with their dad to raise them.Their mother and father used to fight a lot infront of and they can see.Mother left and the boy working heavy jobs to help dad.The sister is I'll send dad trying his best to help them.They are hoping their mother wil return back to them
@@judithtsoi2332 i was in Kenya about 10 times, my wife is Kikuyu, we have 3 children and she lives in Israel 🇮🇱 for 20 years now, she is from a village call ke munyeka ,nir Nakuru, Kenya is a beautiful country , but the coraption is very sad and very bad, beautiful people, bad ledearship
2023 bado iko moto hii nyimbo sana nikisikiza hii nakumbuka mwanangu tu nikiwa mbali ya yy haki kwa miaka mbili sirahisi akiniuliza mama unakuja lini huwa nashindwa kuvumilia haki mungu tu mwangu nakuombea siku moja nitarudi
Wowwww ! Mtototo mbona umeimba.. Mashaa Allah ! Unakipaji cha kipekee. .mungu akuzidishishe..myimbo INA msg ya sisi kina mama .mbona .inatugusa ? Mungu aku zidishie kipaji cha kuimba nyimbo za msg kama hizi.wala siza matusi.HONGERA 👍👍👍 💕💕💕🎤🎵🎼🎷😂😂😂😂🙌🙌
Il parle de sa mère (utarudi) est ce que maman va revenir, depuis que t'es partie maman n'est plus la même ma petite sœur toujour malade, j'ai arrêté mes études pour faire le petit boulot 😭😭😭😭
Kopp 0:10 mmmmmmmmmmmmmmmmm K😊😊😊😊😊😮😢N the best kitanga 😂😂primary a TV nnmm...............mmm.mm.mmk(lkjmmmkklkkkjjmllllhc8p66te109ouu7te2pojyrdshhfsnczz to
Duh inaumiza sana.ni mateso bila wazazi wawili kutokua pamoja kulea watoto.inauma😭 watoto wanateseka kwa mzazi mmoja.😭😭wimbo huu umenigusa sana.mungu akuzidishie kipaji Cha kuimba uwezo unao.bandogo.
Daaah kama kuna mtu kaona chozi la huyo Dada linavyoumiza gonga like hapa...
Lulu Haule wewe lulu haule gani
Yaaaan huyo dada anauzunisha
Talent boy wallahy yuwaliza watuu inshaallaah mungu atakufungulia kila kitu unacho kitaka
Mwimbo unanikumbusha mateso napitia bila mum 😭😭😭😭 mum come back to me 😭😭😭
Mungu akupe nguvu na wewe omba nguvu kwa Mungu. Nimuda wa kuonyesha uwezo wako mbele za Mungu na muumbaji wetu. Mm mamaangu hata simjui kwa sura lkn leo naishi huku nikimuombea.... Pole sana.
Yaani nimelia mpaka basi hongera mwanangu utafika mbali baba wee tumpeni like zake
inahusunisha sana
Ucija ❤
Asgh
Gd night Uganda
𝑊𝑎𝑚𝑏𝑖𝑒𝑛 𝑚𝑎𝑛𝑒𝑛𝑜 𝑦𝑎 𝑢𝑡𝑢𝑘𝑢𝑓𝑢𝑢❤
29/7/2024 nani ako area? So touching tujaribu kusuluisha shida za kifamilia tusiumize watoto, showing love from Qatar 🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪
Nafikili hii ngoma ni yangu my mum aliniacha nikiwa 7 yrs nilimuona nikiwa na 24 yrs this song inafanyanga nilie sana nikikubuka mateso niliyo yapita kwa maisha yangu..kuchukiwa,kutusiwa,na ata kukosa chakula,
😢😢😢😢
❤❤❤❤
Pole sana dada. Mola akupe utulivu wa moyo.
Pole dada
Pole sana🙏🙏
Mimi ni Team WBC, lakini uyu back mdogo ametoa iyo cover ikawa kali kuliko Vanny. Music to the heart, nmetoa machozi leo!!
Naliaaaaaaa nalizwa nadogo,Dah nakumbuka vile mama yetu alipoondoka tukiwa wadogo nakutuacha na babayetu Marehemu masoto tulopitia Kaka yetu mkubwa alikuwa akituambia mama atarudi,mama anatupenda,atatuletea zawadi kila cku mpaka tukawa wakubwa...Mungu wangu..... Mungu wangu Mungu wangu nikama anaimba kwaajili yangu....
Dah inauma sana dogo kagusa nyoyo za watu wengi
💎 DOGO piga kazi ya kwel
+king_ riharasu kwel
Poleeee
Pole brother'
Naumia san nyimbo inaniumiza san nawaza wanangu nilivo waacha na ila sio kwakupenda mungu nime ujasili
Dah cjawai ku comment on youtube, ila wallahy for this one am touched. Mziki ni ile feeling you get ukiuskiliza, na feeling tunayopata tukiskiliza huu mziki unabadilisha nafsi zetu na kutuvisha kiatu cha uzuni. Hongera mdogo wangu, Allah akufanyie wepesi ufike mbali. and usiwe DISSAPOINTED na hizo DISLIKES. Am so sure wote waliodislike NDO WANAANZA KUTUMIA SIMU LEO, ama HAWAELEWI JINSI YA KULIKE. Theres no reason why someone would hate this piece of brilliant art.
I really love the songs
Huyu mtoto amenitoa machozi yani nimeshindwa kujizuia msg yahuzuni jmn.. Hongera sana mtoto ww
nakutaka ww
nalia sn 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@@mohammedabdulkadir7222 mmmh jmn
+Asiah Mariam mbna unadoubt Asiah mariam
+Asiah Mariam nko serious aky
Dah ww dogo unaweza Ukiwekewa mazingira manzur utakuja kutisha sana kama umeupenda huu gonga like hapa
This song is so emotional 😭😭. This boy really has a talent. May God protect your star 🙏
Haki... kipaji cha pekee.. Y.P nakutakia kila la heri.. wazazi wanafaa kutazama na kusikiza maneno haya kwa utulivu.. kakangu umeweza... na kama tuko pamoja pita na like👍👍👍👍
Duuuh huyu dogo noma sana. Ukiwa na roho nyepesi waweza kuangusha machozi debe
Greyson Mbwila hahahaa,machoz debe
Hamad Bakar ila mwandishi wa script katunyima radha kwa huyo baba. Kama baba ana afya njema kwa nn watoto wasisome? Angempa kaugonjwa kadogo ka kuzugia
Mi japokuwa mgumu wa kutoa machoz lakin Dogo kaniweza! Yan kanikumbuxha nlivokuwa natoa machoz wakat naangalia movie za Kihindi enz hizoo!!! 😆😆
haha haha😂😂😂😂😂kaugonjwa
du
Just can't avoid being trapped......go prince go soon you wanna be a king......if una agree gonga like 254blessed
So Natur talanten, das ist Natur talanten. Afrika ist GOTT es Kontinent,mit vollen talanten. Unglaublich talanten.
Uyuu Mtoi ameimba Vizuri kuliko Original nani amegunduwa ivyoo...!
Na kumbuka baba alivyo tuachia mama na mama nae akaumwa bado tuwadogo sana
kwer
Ke Ramah nimegundua
Ke Ramah mi wakwanza
Ke Ramah kabisa
ameweza. many of us have passed through such situations but God is great. 254.gonga like hapa
Indeed, God is good
Amen
Oooi mtoto wangu sitawai mwacha ,e wimbo inaguza 😭😭😭😭 what if my son calls me aniimbie hivo oooi nitaokotwa ICU 😭😭😭I love u my kids...pita n like if u love ur kids❤️
Criaz
@@damariswairimu2061 o😅🌻🤣
@@damariswairimu2061 🤔
I love my baby
Very insightful
I rem my kids wen I hear this sensation,may there never come a time for them to go under such traumatizing times,I decree n declare every family will b intact in Jesus name,Amen
Amen
Amen
🙏
Mdogo wangu uko mbele kinyama kaza buti utasonga far congratulations brother
conf km l'IFK kg skkkwbxb
Ndo mara ya kwanza kuitizama hii ni kali sana. One love from DRCongo to USA.20 09 2018
Mutoto wangu sitawai macha, embo unaguza😢😢, l love you my kids❤❤
Nakupenda sana mwanangu sitaweza kukuacha mwanangu mungu akubaliki uishi salama siku zote nakupenda
'usingempisha shetani apite, mkae chini wazazi mzungumzee, ila siezi kulaumu huneda uko sawa' in deep feelings
Aki inaliza
Yuko vizuri dogo
musicpeople car audio
@@fatmaali7624 j
Dogo ameweza sana...Tanzania mnapaa kweli....mtoto usitupe io zawadi....254 twakupenda
dogo ukoo poa
janerose maranga bonsoir
i am so blown away.....waaaat???....this is raw talent.... Diamond and Harmonize kuzeni hiki kipaji aiseee please.
Laila Hassan true
@@sundaysmasimple5083 bhhhih
🖕🖕🖕
Wimbo naupenda sana ameimba kwahisia pia fundisho kubwa sana
Wimbo huu umeniliza nilivyo achiwa binti yangu akiwa miaka miwili nimemlea mwenyewe mpaka amefika miaka kumi na miwili......
Patrick Ochola pole sana chief
Pole bro
Asanteni sana
@@prettyraydkhalid4967 hayo ni maisha mke anakuwacha kwa ajili hali yako tuni kasahao Mola ndio mpaji na ajuae ya kesho ni maulana yameyaficha ni confidential
Congrats @patrick,may God give you strength uwendelee kumlea
Asanteni kwa wote mnaoendelea kunisupport. kama ungependa kuendelea kusupport kazi zangu ,unaweza ukafanya hivyo kupitia hii namba +255768162755. Asanteni sana Merry Chrismas and a Happy New Year 2021 to you all.
Kazi safii broo
Moi mon père ma d'jà laissez😦😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭
@@divinekabwiz6658 on est dans le même bateau ⛵ ma sœur
Too much touching I just gat myself listening to the same song...unatupenda....utatuletea zawadi...namsaidia daddy... touching... listening from +974 am a Kenyan tujipee like titarudia watoi wetu
konde msikie dogo
This song is so emotional,the boy needs an award to those in authority.
This true my brother
True dis 😢🙏❤️🤔
Actually his government needs to look thru dis and raise that child for the great voice en talent
Nitarudi wanangu,,, nimekumba watoto wangu May God bless our childrens wherever they are......
Je suis Sènègalais et jaime cette belle Musique da la Tanzanie!
200
Lol mai enten rien lol 🤣
Wa Maama Mnasikiaje
Hii nyimbo imeniliza sana sijamuona mama angu miaka 15 yupo ulaya halaf me ndio Dada mkubwa na wadogo wng 6 lkn inshallah ipo ck mama utarud tz znz🙏🙏
Pole Sana dear
Pore sana dad
Huu wimbo unagonga panapo faa...dani ya moyo.... hasa kwa yule baba au mama anayetelekeza mwenziwe na wanawe.
This song hits where it ought to..deep inside of ones heart especially for those who leave their partners and children
Dah 😭😭😭😭 Hongera sana mdogo angu👏👏😘😍😍😍❤ kama umeikubali kama mimi
like hapa
👇
Sio Mchezo DOGO Langu Umeuaaa .. If I was home in TanzaniaKwakweli Ningekutafuta Au Kama Unaweza Kutuwekea Number Yako Ya Sm Pls Tafadhari Sna Weka Maana Umefanya KAZI Nzuri
Agnes Muller Kabisa
Zainabu al tz Al bv
Zainabu al tz Al l can't stop crying😢😢😢
Sifa Maombi 😭🙏
Woii nmelia Yangu yote😭😭😭😭 harmonize huyu mtoto amekufunika mara 100000000
Mimi ni mtu mzima... naahidi kutoisikiliza wala kuitazama hii video.
Nalia mbele za watoto
True...am crying
Nimafundisho nikitasama ivideo naliaya sana na kumbuka watt wangu wakiwa kenya niko saudi nikiwatafudiya fees
Cjui ata nalia nn mm aswamm nilie kuwa mbali na watoto wangu kujakuwatafutia daah inauma sana ongera mwanangu mungu akuze kipaji chako na akupe itaji la moyo wako ishaallah
umeniliza ukweli naongea, ombi kwa wale wa kuza vipaji, naombeni mumuangalie huyu mdogo wetu, ni cover ya majozi sana. asante sana mdogo wangu.
Najikuta nikilia jaman 😭😭😭 yan kama umeleng mim maan nimetup watoto wang kisa visa vyabwan wang😭😭😭 narudi kulea watoto wang😭😭😭
rudi Dada maisha ndo hayahaya
nice song haki
Mungu akupe wepesi ukalee wanao kwa kweli
Jipe moyo dada visa havikosi kote kote
Bddb Bxbxb thanks sana rudi ukalee watoto kwa sababu yao
Nice song, kaza mwendo mudogo wangu utafika usichoke
Jobard Bruno Xx
Hii nyimbo inanikumbusha mbali ila km uk na wazazi wako wote mushukuru mwenyezi mungu namesmbia mungu hasante kwa kuwa bd naeza nikawaona wazazi wangu wote thanks be to God
Unaweza jikuta tu machozi yanashuka bila hata notification dah Tena kwa sisi yaliotukuta...Lakini mungu sio wa upande mmoja #UTARUDI_MAMA 😥😥😥🙏🙏🆑✔✔✔✔
pole
Prince Wa Wazigua TZ kabisa yann
iko2 swa but no huruma
Mungu nikuzie wanangu huko walipo kma mama naumia sana😭🤲🏽
Wadau wenzangu kusema kweli huyu mtoto akona talanta. Wimbo wenyewe mtamu jamani. Kijana hongera ukona nafasi kubwa katika industry ya mziki @diamond kazi kwako, kijana akona kipaji.
Mtoto anajua sana hadi kanidondosha machozi aisee duh....! amezidi hadi original ya hii nyimbo
wenzangu yanikumbusha miaka kumi tangy mama aende
Am Samuel23 daaaah inaumasan
Rsp.
Am Samuel23 kaimba vzr
Wally nimelia leo.. kilichoniliza nipo mbali kwajiri ya kusaka pesa na nyumbani wanataka leo kesho nirudi daaah. Km nimeimbiwa mimi vile yani nimelia sana. Sasa nawaza kweli kurudi nyumbani
Aisha Daimu rud kawasalimu tyu
Pole mm pia cpo na me pia niliacha mtt kwa baba loho inauma ila bas ndio kutafuta maisha ipo tutalud home
Wee acha tu. Ila ntajitaidi nirudi kwetu, hata nikisema nitafute pesa vipi wala ctoitwa tajiri
@@aminamohamed9955 asante amina. Turudi kwetu tu
@@aishadaimu4025 insha'Allah Aisha nimebakiza mwaka na miezi kazaa nitalud nyumbani nikamkute mwanangu pia
Aki hadi nimekumbuka mbali..mwenyezi mungu akangarishe nyota yako mtoi
Kudadaaaaadeeeeekiiii... Mtoto yuko on fiiireee
Mtoto katisha sana
dogo noma sana ata hii ndio inafaa kua original n frank from Kenya dope sana congrats
Hii yenyew mpka audio ninazo 2 ila harmonaiz katoa kopy
18/9/2018. ndo kwanza naisikia hii cover ya atarudi ya hamornize. dogo kanitoa machozi sana. nice one mdogo wangu.ningekua bongo ningekutafuta nikupe ongera yako. kipaji unacho mdogo wangu. nice one. love from Sweden.
Mahmoud Aziz bado unauwezo wa kumpa mbona? kama ni cash mpe mbona rahisi san?
@@josiahjapheth7639 hahahaaa
Mahmoud Aziz t
huyu mtoto ameniliza
Dogo nishida xana
nikiwa nimewaacha wanangu alafu wanipigie sm wakisema hivi oh Lord mtaniokota ICU my lovely kids sintowaacha popote ata nikiwa na hali ngumu tutavuka pamoja nawapenda sana 2023 stll love this song❤
King kiba, mondi mko wapi jmn...okoeni kipaji hiki kinahitaji sapoti kiweze kufika mlipo ninyi
Hii kali kuriko
Kazi mzuri sana sauutiiiiiiii imetisha yani yechu yechu
Kama unaamini #harmonize kaichek zaidi ya mara mbili na kutikisa kichwa kwamba dogo ana uwezo gonga like hapa!!
wimbo unaoleta ujumbe kwa jamii,..!
Kwakwel kuondoka kwamwanamke kwammeo cikwakupe NDA ilayakifika shingon ndio maamuZ hufanyika
Huyu Boychild ameweza na cover ata kuliko original yake walai
@@jeskamaratu9047da noma
Daaaa walai nimelia machoz huu wimbo umenigusa mpaka moyoni mwangu nimemkumbuka mwanangu marehemu Mungu ahilaze roho yake mahali pema peponi 😭😭😭😭
Tz nawapenda sana, from +254 Kenya
congrates young boy seeing you making Big in lyf kip it up
my name is shalom kalfa I'm from Israel and i love this beautiful amazing song, africa is deep in my heart, African music is so exciting, i know that this song is about mother, nakupenda sana, kenya and rest of Africa
Yes the mother left them with their dad to raise them.Their mother and father used to fight a lot infront of and they can see.Mother left and the boy working heavy jobs to help dad.The sister is I'll send dad trying his best to help them.They are hoping their mother wil return back to them
Shalom welcome to kenya .....a God loving nation
@@judithtsoi2332 i was in Kenya about 10 times, my wife is Kikuyu, we have 3 children and she lives in Israel 🇮🇱 for 20 years now, she is from a village call ke munyeka ,nir Nakuru, Kenya is a beautiful country , but the coraption is very sad and very bad, beautiful people, bad ledearship
@@babaganushkkk would love to visit Israel one day
@@annmwangi8489 i would love to see you here
NOMA SANA!!! HII INAINGIA 1M HII WIKI WALAI #RONGRENDE
Wakadinali dogo anajua ameifunika
penda sana uko vizur kakika umeugusa moyo wangu. unakipaji nitazidi kukuombea utimize ndoto zako I love u so much
Kabisa man
ki ukweli dogo ngoma ni kaliii
Wakadinali
🥺🥺🥺hii wimbo hukaa real
Thumb up Kali hii hapa jembe mwenyewe
Wimbo mzuri sana ..
Dogo hongera sana .. Y.prince
Djs LifeClubtz asante sana
Yaani nimetoa machoz co siri,imenigusa saana.
254 tuwaonyeshe wenzetu upendo, gonga like... Dogo anakipaji kweli.. 💖💖
Nice
Umetisha baba wakina aslay nao walitoka ukouko
saruta.KwaKo
Yuko vizur dogo
@@imanhaule3881 😢
These are the kind of songs that make a man cry .nalia ninapokumbuka utoto wangu.
Kwa mala ya kwanza nilivyoisikia hii ngoma machozi yalinitoka hongera sana dogo
Dogo anajitahidi sana. Big up!
The boy is talented is not everyone can do this next time the boy will come up with his own song 👏👏
Mery Donald
duu
Mery Donald umeimba vizur
Huyu Mtoto atakuja Kuwa bonge la star Tanzania Dah umenitoa machozi dogo
Gelly mwasiti
Sure
Nomeipenda hiyosauti nzuri
Co kwa tanzania hii
Ana kipaji cha kuimba,,, akaze juu ya uandishi
2023 bado iko moto hii nyimbo sana nikisikiza hii nakumbuka mwanangu tu nikiwa mbali ya yy haki kwa miaka mbili sirahisi akiniuliza mama unakuja lini huwa nashindwa kuvumilia haki mungu tu mwangu nakuombea siku moja nitarudi
Pure talent Tanzania future inaonekana.gonga like kama umependa
Talented boy
Kanitoa machozi mdogo wangu
Umenitoa machozi dogo.talanta unayo mwanangu.mungu akufungulie milango
history. mabmoso
Nzur
Wowwww ! Mtototo mbona umeimba.. Mashaa Allah ! Unakipaji cha kipekee. .mungu akuzidishishe..myimbo INA msg ya sisi kina mama .mbona .inatugusa ? Mungu aku zidishie kipaji cha kuimba nyimbo za msg kama hizi.wala siza matusi.HONGERA 👍👍👍 💕💕💕🎤🎵🎼🎷😂😂😂😂🙌🙌
sultana s
sultana swaleh vq
Mashallah!jazakallah kher?
I like your comment mashallah🤑🤑🤑🤑
sultana swaleh oh
From Kenya wimbo mzuri huo...Kenyans ziko wapi like zenu
Tunakusanya kusanya
kenya tunakupeleka na rieng..ama vile wamnyonyezzz..wamlambez...
Dr Rev Natasha
j'adore
Kijana bigup icant hold my tears,kijana waweza
I can't stop shedding tears,this is for women no matter what try to fix for the sake of your kids
I have just loved this song so much from +254, congrats dogo
weka nambar za cm
😭😭😭😭😭better than the original one brother mdogo una kipaji kubwa sanaaaa mungu akujalie maisha mazuri "no one like a mother"
😭😭😭😭😭😭
Hater original is original ... U understand Mr juma lokole
La
Mhb
Paz,
Ais,,,
Amaizing. Kipaji kikubwa sana. Namuona mbali sana dogo
If You still listening this song in August 2024 Pokea Sifa✊ Much love from 🇧🇮
2025
Je ne comprends pas cette langue mais cette chanson ❤️ a une très forte émotion 😔🇸🇳
Bilaye houreye fall meme moi
Il parle de sa mère (utarudi) est ce que maman va revenir, depuis que t'es partie maman n'est plus la même ma petite sœur toujour malade, j'ai arrêté mes études pour faire le petit boulot 😭😭😭😭
En effet oui ça fait une vibrante émotions qui passe dans cette couple d après la chanson
Kopp 0:10 mmmmmmmmmmmmmmmmm
K😊😊😊😊😊😮😢N the best kitanga 😂😂primary a TV nnmm...............mmm.mm.mmk(lkjmmmkklkkkjjmllllhc8p66te109ouu7te2pojyrdshhfsnczz to
Pareillement 😢
Hey,, Harmonze amtafute Huyu anjenge talata yake,, nakukubali Kaka,, endelea hivo
Hii nyimbo sichoki kusikiza na unipa isia kali sana Nakumbukaa WANANGU wakiwa kenya😭😭😭😭😭😭😭
Uliwatoroka nn
Binesi Ha
run Mwalizuma
@@yasintakikwembe4706 Naam
Pole Benesi kutafuta huku ndo kwa tuweka mbali
Same here Walai nalia kama mtoto. I just want to hug my kids kiss them and be around them always
Daaaah huu wimbo huwa unaniumiza mim mwenzenu
Aisee huu wimbo umenifanya niagize bia badala ya soda
Good talent
😂 😂
😂😂😂😂😂
muh
@@merryn4891 Mbona waguna mama
+Mfaume Fundi bia
Duh machoz yanitoka jamn nipeni like mana dah!
Rosemary Karoli safi dogo
Ameimba vitu vinavyotokea kweli. Mungu amuongezee maisha na kumpandisha zaidi ktk kipaji chake.
Hongera toto
Safiii sanaaaa
Mpaka nimelia dahh! Dogo anajua sana.
Watz wanajua mpaka wanakera 😂😂🇹🇿
Duh inaumiza sana.ni mateso bila wazazi wawili kutokua pamoja kulea watoto.inauma😭 watoto wanateseka kwa mzazi mmoja.😭😭wimbo huu umenigusa sana.mungu akuzidishie kipaji Cha kuimba uwezo unao.bandogo.
254 tushakubali kipaji unayo super star👊
Dogo. Mkali
Kabisa
Nimekubali
Kabisa
100%√√
Huu wimbo kwa kweli unapendeza siku zote.
chozi limenitoka kwakweli tumeacha watoto tunatafuta maisha wallah inauma sana watoto wanakosa mapenzi ya mama eeeh mungu wape subra watoto wetu
Kweli dia yaaani inauma sanaaaa moyo unavuja damu imiss my daughter so much huko alipo Mungu ampe subra Mama Atarudi maisha tu Ndo inatutenga
Kbs mungu awape subri kubwa tutarudi nomaisha yaritufana tuondoke tunawapenda sana
Same here
Inaumasa sana
Amiin inshaa Allah 😘
Very talented young boy.
May he go far in Jesus name.
Wazazi walo na kiburi ya msamaha basi wimbo ndo huu dedicated to you by this lil champ!
Emotionally song
Anaeamini hii inagusa kuliko original version agonge like twende pamoja
like
daaaaaaaa its pain
Aise amenifanya niongeze bia kiukwer
Can someone explain this music to me even I don’t understood the language but am in love with the music
1
We ni talented wa JUU sana
watu wa USA gonga like apa💪😂 #Y_prince
Je ne comprends pas ce qu'il disait mais l'instrumental me donne de la chaire alors je vous aime.depuis 🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹haïti
dogo ameweza sana ..wapi likes za +254
👍👍👍👍
this song make me cry😭😭
tanzania ya vipaji .naomben like pliz
Phesto Olang daah🤔🤔
x
Hapa ndio watanzania mnatushida sisi wakenyaa ...Kenya huwezi ona supoort kama hii
Swet home tz
Moi RAMLi je suis très nevre et trés triste 😭☹☹😫😫😭😭
Hapa kenya tumeipenda sana hii. Wakenya wote like hapa
👇
Mwenyezimungu akujarie utafika mbali nc
Good san
Ad huzun ila amefany vzr kuliko ata weny nyimbo yake
kenyanssssssssss
Safi kabisa
Prince wangu Niko pamoja nawe mpaka mwisho
Kwa umri ulionao na ulichofanya uongo mbaya umeutendea haki
kunawe nginewa kweli
Alimentos
Popó
the best cover ever... dogo yangu tano brathee.. watching it from USA north Carolina... usingempisha shetani..... deep feelings
machozi yananitoka
I love dit kwani ni msomo na mafunzo kwa all parents is the reality
Une chanson touchante vraiment.
utarudi kabisa niwimbo mzuri