khadija bint Suleiman Talaka ambazo zimetajwa 3 ndani ya Quraa,unaacha mara ya kwanza unarejeea mara ya pili unarejeea talaka ya 3 huwezi kurejeea mpaka mwanammke aolewe aachwe akae eda baadae ukamuowe tena,tafuta ndani ya Quraan surat Talaq suratul Nisaa na Suratul Baqara utapata kujua talaka anazozijua Allah hazijatajwa talaka 3 kwa pamoja Allahu aalam
Jamani mbona kila siku tunafundishwa na wazazi, jamii na tunaona mifano kwa watu wengine kabla ya kuingia kwenye mahusiano au ndoa tuchunguzane na watu tunao tukatana nao. Mwisho wa siku yanatokea yanao tokea. Kwann lakini tujifunze watanzania
Kaka angu dula wala usiumie sana,omba mungu utapata mke mwingine kushinda yeye,na wewe sio wa kwanza kuacha,wengi wameachana.Pole sana jamaa yangu yatapita tu
Mmm ndio talaka tatu jaman 🤔 ila huyo mwanamke nae anamapunguvu ndani kwasababu wanaume wote lazima wampe kipigo atakuwa anaulimi mrefu ndani ya nyumba
twende mbele turudi nyumba ivi unazani shangwe zote zile kumkashifu mwanamke Alie achika kuwa mtalaka atakuwa anafuraha ningumu Hawa watu walikua wanapendana ila inawezekana mkemweza kasema tutaona itafika wapi nimtihanindida hio ndoa kwaasilimia kadhaa imehalibiwa hio ndoa juzi t sio kweli bwana kikubwa wajishushe wayaongee maisha yaendelee maana wamependezana sana
😅😅😅 uyo demu alifata tuzo za TMA ndomaana alijifanya aolewe ili lengo tu dulla awe wazi kumpatia alichonacho,mamaee wadada wa mjini ni matapeli sana,walishazoea kuachana achana kwao ni safi tu hawana aibu ya kutombwa tombwa ovyo
ANAMAANISH KIT GAN WW ACHA ZAKO WW UNAO MT MMEKUTANA TUH UNAOA WW UNAWEZ KUFANY IVY ET KWASS HIV AKUN UPEND N MAPENZ TUH SS MAHUSIANO YAKIW KWA STAILI HIYO AKUN KUFIK MBALI ND MAAN UNASKIA MALA KAKIMBIA ML SIJUI NN NADHAN TUMEELWANA
Masikin pole kaka ila naomba usiendekeze kuwaza kaka unaweza usipate hata nguvu zakufanya kazizako nakumbuka marehemu bibi alikua akipenda kutuambia kua mapenzi yanaua saaa kua makin sana katika maumivu yako pole
Ila hajakuja kusema amerafuta pia hajaongea kitu chochote Cha ndani hao waluomtafuta ndo Wana makosa wanataka kujua Kila kitu alafu wanafurahia ndoa za wenzao kuvunjika
Huyo dulla nimchati wa hatari tatz kuwek kila kitu waz mbel z watu ni ujinga usanii n ndoa n vitu viwili tofauti weka maisha yako ya ndoa private yatakusaidia
Dulla alikurupuka kumuoa yule dada maana yule dada alitoka kwenye mahusiano muda mchache tu mara Dullah akamuoa na yule dada alikubari kuolewa na Dullah kwasababu alikuwa anataka kumuumiza X wake na ndiyo maana alichukua maamuzi ya kuolewa na Dullah ila hakuwa na mapenzi kwa Dullah hata kidogo ila Dullah alikuwa seriously na Ndoa
KWA DUNIA YA SASA WAT WENGE WANAOANA KWASBB YA MAPENZ ILA UPEND AKUNA ND,MAAN WAT AWAFIK MBALI NA UTAOAJE MT HARAKA IVYO BILA KUMSOM TABIA NA KASORO ZAKE ..CHANGE WITHOUT ACCEPT AND ACCEPTED WITHOUT CHANGE ..
Astaghfir jamani juma wewe ni shetani unawezaje kufurahia anguko la mwenzio ikiwa talaka arshi ya ALLAH inatikisika ALLAH hapendi talaka eti wewe unashangilia
Dida wewe uka olea jioni uka achika asubui. Mbona munabebelea mwenzenu? Uyo Juma lokole tangu amesema aliachika na mwezie hadi leo hana mke mwengine ao mpenzi mwengine sasa wewe utaoa ao utaolea.
Dulla makabila ana mikosi nn shida kila ndoa yake wana Isha kwa ubaya tn kwa talaka tatu angetulia kwanza Au aende vijijini mbali auko auowe uko uko tena iwe kimya kimya
Pole gani Kwa huyu na ule umama ako nao alishoboka kajifanya anajua kupokanya watu mabibi na istoshe mdomo hana tofauti na mama mjamzito atafte amani Kwa wasanii wenzake alichomfanyia meja kunta hata mimi sijafurahia so he deserve this ,hasidi haambiwi pole,huyu ni mxhumba tu wa kawaida,
@@elizabethmbombo3990 Kabisa. Unajua kunawatu huwa hawaelewi, sio kila mtu kwa hii dunia anatakiwa kuowa au kuolewa. Ndoa sio ya kila mtu. Be single and enjoy life, acha kuumiza roho za watu na roho yako pia!
Pole Sana ndugu hakuwa wako endelea kumuomba Allah atakujali mke sahihi WA maisha yako
Mungu msimamie apate mke mwema pole sanaaa
Mwenyewe sie
Mm naona wislmu ulitizame hiri
Pole sana dulla haikuwa ridhik yako endelea kumuomba allah akujalie mke mwema
M.mungu afanye wepesi
khadija bint Suleiman Talaka ambazo zimetajwa 3 ndani ya Quraa,unaacha mara ya kwanza unarejeea mara ya pili unarejeea talaka ya 3 huwezi kurejeea mpaka mwanammke aolewe aachwe akae eda baadae ukamuowe tena,tafuta ndani ya Quraan surat Talaq suratul Nisaa na Suratul Baqara utapata kujua talaka anazozijua Allah hazijatajwa talaka 3 kwa pamoja Allahu aalam
Pole sana na pia hongera sana kwa kuweka usanii pembeni na kuwajibu kiutuuzima
pole sana dula nimeumia sana kusikia ndoa yenu imevunjika
Jamani mbona kila siku tunafundishwa na wazazi, jamii na tunaona mifano kwa watu wengine kabla ya kuingia kwenye mahusiano au ndoa tuchunguzane na watu tunao tukatana nao. Mwisho wa siku yanatokea yanao tokea. Kwann lakini tujifunze watanzania
Yan kaka tafuta maisha acha biashara za wanawake , uje kuoa kijijini achana na wanawake wa mjini umiza kichwa sana , utakufa wenzako wanakula bata
Jamani hata miezi 3 Bado mara ndoa imevunjika Wallah mtihani. Wasanii kazi mnayo
Yaan duh,
Dah pole bro muombe mwenyezi mungu atakujalia tu
Mpk juma namuoneahuruma Dah kwel dullakaumia😢.
Someni dini talaka 3 kwa ni Moja nyie nyie someni dini na huo zai akae eda 😂😂😂😂 nimejikuta nacheka Astaghfiru llah ya Allah tulindie ndoa zetu 🤲
Inshallah kama alikuwa fungu lako litarudi sio Kila mtu anapenda furahaa za wezao
Pore kk allah akutie nguvu nimeumia sn allah akupatie mke mwema kwakweli inauma sn
Yeye mwenyewe mwema?
Pole sana dulla
Maskn Dulla analia nimeumia sana😢😢😢😢
Poleee Sanaa broo inshallah mung atakupa make mwemaa amen
Woiye dula pole bro. I hope y'all resolve this.
Kaka angu dula wala usiumie sana,omba mungu utapata mke mwingine kushinda yeye,na wewe sio wa kwanza kuacha,wengi wameachana.Pole sana jamaa yangu yatapita tu
Innalillahi wa inna ilaiyhi Rajiuun mambo ya mitandao noma saana 🙄
Mara moja tu dullah unatoa talaka Tatu eisei hasira hasara dullah ukiwa nahasira usiwe muamuzi wajambo tulia kwanza utajuta baadae
Nanajuta kweli, kamua kuleta vita na Manara 😂😂
Pole sana bro
Pole sana dulla mungu adhidi kukulinda na hakupe mke sahii👏👏👏👏
Wasanii hao unawezakuta kiki yakutoa Ngoma mpya
.. Nasubir ngoma mpya natega sikio 👂👂nikopale nasubiri goma la kufunga mwaka 👊
Juma ana mambo ya kisenge huyu kaka
Afurahia 😢
Saana tena
Ataishia kuwa shoga hivyo hivyo.
Si wamfukuze juma apo wasafiii
Yaan juma htr 😂😂😂
Ukumbuke makonzi siku ingine ukiadiwa please
Juma lokole ACHA ujinga Sasa unafurahia nini 😂😂😂😂
😂😂😂😂
Hahahahah mnafik😂😂😂
Usirudie tena kuchukua mwanamke katoboa pua siwanawake hao kaka
Pole mzee baba muwe mnaowa ata mtaani mtazoeana taratibu ata kama wanasura ngum mtazoeana taratibu du inasikitisha umesikia fedhea kwenye jamii huruma
Ndoa za ista izi mtihan juma roho kwatu nyooooo
Kweli kabsaaaaa Kila kitu mtandao 🙌🙌🙌 mweeeee
Juma😊
Dullah usilie jmn 😢😢😢😢😢uwenda alikuwa sio wako jmn daaaaaaa mtoto wa kiume mbaka analia mhhh kaumia 😢
KAWAID HIY UNAKULPUKA TUH KUOA MT UNAMJUA WW YUPOJE UJUI MMEKUTANA UNAOA HIY N MBAYA SANA
Mwache limkute anamtesa Yule dad kamzalisha alafu anananga mitandaon kila siku
@@aishajuma18wewe ndo umesema
@@aishajuma18 tena alie haswa yeye kaliza wangapi
Sema dida una sauti nzuriii
Mmm ndio talaka tatu jaman 🤔 ila huyo mwanamke nae anamapunguvu ndani kwasababu wanaume wote lazima wampe kipigo atakuwa anaulimi mrefu ndani ya nyumba
twende mbele turudi nyumba ivi unazani shangwe zote zile kumkashifu mwanamke Alie achika kuwa mtalaka atakuwa anafuraha ningumu Hawa watu walikua wanapendana ila inawezekana mkemweza kasema tutaona itafika wapi nimtihanindida hio ndoa kwaasilimia kadhaa imehalibiwa hio ndoa juzi t sio kweli bwana kikubwa wajishushe wayaongee maisha yaendelee maana wamependezana sana
Mm nilijuwa movi part 1 hyo 😅😅
😅😅😅 uyo demu alifata tuzo za TMA ndomaana alijifanya aolewe ili lengo tu dulla awe wazi kumpatia alichonacho,mamaee wadada wa mjini ni matapeli sana,walishazoea kuachana achana kwao ni safi tu hawana aibu ya kutombwa tombwa ovyo
Daah! 😢😢😢
Juma msenge
Ama former boyfriend amewaroga nn 😂😂😂 maana aliumia sanaaa😂
Huyo demu malaya sana
Hii ndoa ya 4 kaachwa 😅😅
Dah ndoa ya 4 ana mtihani huyu dada
Huyo Dulla je hii ndoa yake ya ngapi? Nae ni malayer vile vile shubamit
Shekhe Abdullah njoo unioe. Kumbe ndio mpole hivo jamaaani😢😢😢. Njoo bwana na mie ni Zay
Kina zay moton😅😅😅
Pole sana Dulla😥😥
Juma mxhawiiiiii khaaaa
Hakuna talaka 3 hapo inahesabika ni moja
Znahesabik mbili upoo
alijitabiria na wimbo wake. Asioe kwanza mbaka ajue kabila
Yule dada anaonesha malaya tu alioleka alikua anatafuta kiki mwenzake alikua anamanisha😢😢
Kabisa aisee
Inaumiza sana jamani😰
Umpende mtu afu ye hakupendi dah
Mungu akuponye dullah
Mtihani wallahi
ANAMAANISH KIT GAN WW ACHA ZAKO WW UNAO MT MMEKUTANA TUH UNAOA WW UNAWEZ KUFANY IVY ET KWASS HIV AKUN UPEND N MAPENZ TUH SS MAHUSIANO YAKIW KWA STAILI HIYO AKUN KUFIK MBALI ND MAAN UNASKIA MALA KAKIMBIA ML SIJUI NN NADHAN TUMEELWANA
@@Emiliana97TUMEUMBWA KUPENDA NDG YANG SIO KUPENNDWA N KUPENDA TUH WW UNAPENDA NA YY ANAPENDA SIO KUPENDWA
Njoo kwangu jamqni makabila
Masikin pole kaka ila naomba usiendekeze kuwaza kaka unaweza usipate hata nguvu zakufanya kazizako nakumbuka marehemu bibi alikua akipenda kutuambia kua mapenzi yanaua saaa kua makin sana katika maumivu yako pole
Pole😢
Jaman ndoa ip hyo ya juz au mbona vituko bongo
Mama mtoto wa dula makabila anacheka tu
jamani ndoa sio kitu cha kuongelea hewani , mulioawana nyinyi wawili mbona sana uje utuambie . mungu hapendi jamani
Ila hajakuja kusema amerafuta pia hajaongea kitu chochote Cha ndani hao waluomtafuta ndo Wana makosa wanataka kujua Kila kitu alafu wanafurahia ndoa za wenzao kuvunjika
Juma münâfıki
Juma we kiboko😊😊😊😊
🎉🎉🎉🎉🎉
linavyocheka linaonesha kabisa ni SHOGA Viongoz wetu simameni🇹🇿🇹🇿
Huyo dulla nimchati wa hatari tatz kuwek kila kitu waz mbel z watu ni ujinga usanii n ndoa n vitu viwili tofauti weka maisha yako ya ndoa private yatakusaidia
Dulla anaumeya itakuwa yule mke wake do alimuumiza kwasa babu mke wake ajali kabisa dulla do alipenda sana bibi yake sana pole kaka😢😢😢
Ama kweli mashaitwani ni ktk majini na watu, ssa ww unafurahia nn???
😂😂😂
😂😂😂
Huyu dada hajatulia
Jumaa rokoreee
Ila juma Jimbo lipo wazi Kwa dulah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mumuache Diamond abaki bila ndoa. Wenye mmetanguliya mnaogopesha hamna hata haya duu
Mpaka na nywele akanyoa ooh jamn
Hivi hamna washenga au hii nyimbo mpya inasema BORA TUACHANE 2"""
😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Hata km nyimbo. Mwanaume akisema km mke kamuacha apo hapana ndoa.
huyo kwenye TUZO aliongea hirizi imemsaidia kushinda tuzo si maombi wala dua..akachapwa barabaraaa shareholders yote gharama duh
Dulla alikurupuka kumuoa yule dada maana yule dada alitoka kwenye mahusiano muda mchache tu mara Dullah akamuoa na yule dada alikubari kuolewa na Dullah kwasababu alikuwa anataka kumuumiza X wake na ndiyo maana alichukua maamuzi ya kuolewa na Dullah ila hakuwa na mapenzi kwa Dullah hata kidogo ila Dullah alikuwa seriously na Ndoa
Umejuwaje
@😂😂😂
Kabisa
Nyimbo ya mingo irikuwa inamaana sijuiwi mingo arijuwa kwamba akuna ndowa ya kudumu ira kaka dura usijari mungu atakupa wako uyo siowako arikuwa
RIP Swahili 😂
@@Mina.15Ila mina Huwa napenda comment zako zinanifurahisha😂😂 hadi nawaza uwe dadangu
KWA DUNIA YA SASA WAT WENGE WANAOANA KWASBB YA MAPENZ ILA UPEND AKUNA ND,MAAN WAT AWAFIK MBALI NA UTAOAJE MT HARAKA IVYO BILA KUMSOM TABIA NA KASORO ZAKE ..CHANGE WITHOUT ACCEPT AND ACCEPTED WITHOUT CHANGE ..
Mukome kuowa watu maarufu mwengekwenda kuowa vijijini huko
Ata sisi tupo apa awatuoni jamani😅😅😅siwaje basi kutuowa tutatulia
@@JemimaNyange-si8cr😂😂😂😂
Pole utapata alio chaguo lako akua chaguo lako uyo
Huyo juma au ni shoga?
Uyo shoga anafurahi wenzio kuachana uyo mtu wa Aina gani
Niliwa ambia miezi sita haitofika
Hamnaga talaka 3 kwa mkupuo hiyo nimoja ukitaka kumrejea bado unamrejea
Kisa nenga na Nandy wameowan wakaamuwa kuiga kila msanii bong anaowa na kuolewa 😂😂😂😂😅😅
Nakwambia 😂😂😂😂 nyieee
Astaghfir jamani juma wewe ni shetani unawezaje kufurahia anguko la mwenzio ikiwa talaka arshi ya ALLAH inatikisika ALLAH hapendi talaka eti wewe unashangilia
Huyo ni shoga hna heri kabisa
Dida kimbelembele wewe mbona unaachwa kila kukicha
Unaambiwa bora sheytwan wakijini kuliko sheytwan wakibinadam
Kwani lokole utamuweka kwenye jamii ya F ,M
Choko la Domo huyo.. Ww unazani aliendaga Dubai kucheza dance tu.. ndo kashapoteza kibanio...
Dida wewe uka olea jioni uka achika asubui. Mbona munabebelea mwenzenu? Uyo Juma lokole tangu amesema aliachika na mwezie hadi leo hana mke mwengine ao mpenzi mwengine sasa wewe utaoa ao utaolea.
Eti nini?? Nanyie muna penda kuchukua watu hamuwajui kiundani pole sana kaka DULLA ,
Ati auli kweli 😂😂😂
Demu cheche hyo mtt wa mjini hjmlz bdo then sio kila mwanamke anwez akawa mke
Juma jamani enjoy😂😂
Ndo apunguze kuoa Kila siku
Sasa juma chakuchekesha nn ovyooo kma sengeeeee
Juma unashangilia 😢😢😢😢daaa
Sijui likojeeee😢😢
Dulla makabila ana mikosi nn shida kila ndoa yake wana Isha kwa ubaya tn kwa talaka tatu angetulia kwanza Au aende vijijini mbali auko auowe uko uko tena iwe kimya kimya
Kuna dada aliwahi kumuacha vibaya huyo dada alilia sana huenda ndy laana huyo dada ni msanii wa movie nimemsahau jina
Mwanamke yule anashida
Yeye mwenyewe hajijuwi wala hajitambui ndo maana anafurahia talaka za wenziwe yeye anadhambi tu hapo alipo mke hana
Jmn dura mimi nipo sina mme njoo kwangu
Na ww ni wale wale wa mambo mengi tu tena waonekana kabisaaaaa😅😅
Juma anaroho mbaya sana kufurahiya watu wanayeachana anakoseya sana
Ukiwa single unafurahia mnoooo watu wakiachana wewe jua ivo tu! Mi mwenyewe hapa naona raaaaaaha ingawa hata hawanihusu but wananihusu umo ma insta😅
Ndo mkome miezi miwili
Uyoo dulla jogoooo halipandiiiiiiii mlimaaaaaa mbona anawabwaga sana mademuuuuujj wakeeeee
Mimi piya najisikiya Naliya pole Sana mdoqo wanqu😭😭😭🇰🇪🇰🇪 kutoka
MAHUSIANO YAO YA SHOW OFF AKUN UPEND NA MAPENZ TUJ MAHUSIANO YA SASA N MPENZ AKUN UPEND
❤
Pole gani Kwa huyu na ule umama ako nao alishoboka kajifanya anajua kupokanya watu mabibi na istoshe mdomo hana tofauti na mama mjamzito atafte amani Kwa wasanii wenzake alichomfanyia meja kunta hata mimi sijafurahia so he deserve this ,hasidi haambiwi pole,huyu ni mxhumba tu wa kawaida,
Juma lokole eti kaingia imani😅
Wololo lokole jamanii 😀😀😀😀
Juma jamani 😂
Hivi anaeshangilia na kucheza juu ya hicho unamanisha nini
Dulla usioe tena kwa sasa pumzika and enjoy life please 🙏
True. Akae atulie.
@@elizabethmbombo3990 Kabisa. Unajua kunawatu huwa hawaelewi, sio kila mtu kwa hii dunia anatakiwa kuowa au kuolewa. Ndoa sio ya kila mtu. Be single and enjoy life, acha kuumiza roho za watu na roho yako pia!
Ndoa za KISTAA hizo...