Nicolas Tesla anajulikana zaid na watu waliofanikiwa kusoma elimu ya juu zaid but newto na albert hata 4m3 art 2 wanamjua coz since form one mnamuona na kumsoma kwenye vitabu na primary jina neton lanatumika kama kizio cha kani sasa tesla mimi mwenyewe hadi advance nilikuwa si mjui
@@guntramngalioma9454 Faraday pia anamchango mkubwa sanaa katika maendeleo ya teknolojia na ni moja ya wanasayansi waliofanya mambo makubwa sanaa lakin hapa tumewataja baadhi tu si wote
Halafu mbona hakuna jina la Kiislamu hata moja hapo? Mlitakiwa mchanganye walau kidogo ndugu zangu. Hivi ni kweli hawa Waislamu hawakutoa mchango wowote katika maendeleo ya Dunia?
Kwa wale wanaohitaji kujua historia ya Nikola Tesla link hii hapa 👇👇
ruclips.net/video/xxlAx8emYeo/видео.html
Mnatisha
One love kaka 🫡🫡
Unyama
Nicolas Tesla anajulikana zaid na watu waliofanikiwa kusoma elimu ya juu zaid but newto na albert hata 4m3 art 2 wanamjua coz since form one mnamuona na kumsoma kwenye vitabu na primary jina neton lanatumika kama kizio cha kani sasa tesla mimi mwenyewe hadi advance nilikuwa si mjui
@@johnsabai 🫡🫡🫡
Kama huna damu ya kiyaudi,hautanadiwa sana.
@msamgunda7684 ndio hivyo kaka watu wanaenda na upepo tu kuna watu wapo wamefanya makubwa na hawaimbwi sana ila wapo....
Sauti ya background nikubwa sana inafanya sauti ya msimuliaji kutosikika vizuri so check it
@@leoraphael5223 Ahsantee kwa maoni nalifanyia kazi hilo tegemea mabadiliko kwenye contents zinazofuata....🙏🙏🙏
Aujui kutangaza
@@frankdanford8245 Ahsantee kwa maoni yako nitalifanyia kazi hilo.. 😊
Wapi didy??
😂😂😂 hahahah diddy yuko jela😂🤣🤣
Wayahudi ni watu wabinafsi sana.nicola tesla kaachwa sababu kwanza, hana damu ya kiyahudi.pili alikuwa mpinzani mkubwa wa myahudi (thomas edson)
Sasa ipo nyingine ingia kwenye channel yangu ipo inayomhusu Nicola tesla na mgogoro wake na edson
Tuleteee ya nicola teslaaa
Usijali hakikisha umesha subscribe na weka notification on hapo inayofata itakua hiyo
I wonder where is nicolous tesla
@@Fahadi-mm3kf historia yake hii hapa 👇
ruclips.net/video/xxlAx8emYeo/видео.html
AHSANTA
🫡🫡
Vpiii wale wabinafsi wa imani km siyo imani Yao unauwawa vpii Sasa ubinafsi wengi acha kuhukumu kiimani
Where is Tesla??
ruclips.net/video/xxlAx8emYeo/видео.html video ya Tesla hii hapa...
Hii story kuna mahali umecopy A To Z
Hamna sikiliza mpaka mwisho hii iko tofauti kdg
Sijamsikia faraday
@@guntramngalioma9454 Faraday pia anamchango mkubwa sanaa katika maendeleo ya teknolojia na ni moja ya wanasayansi waliofanya mambo makubwa sanaa lakin hapa tumewataja baadhi tu si wote
Where is Ibn Sina?
@@kalekela-j1e hawa ni baadhi tu wapo wengi tukisema tuorodheshe wote hatutaweza kuwamaliza
Naona hamjamtaja the highest kings of kings
YESU KRISTO NA PROPHET MOHAMED
Inaonekana hawa jamaa hawalinganishwi😂😂😂😂😂
@@JosephBilombelejosbimtungwa tunaongea facts na sio mambo ya iman kaka😂
Halafu mbona hakuna jina la Kiislamu hata moja hapo? Mlitakiwa mchanganye walau kidogo ndugu zangu. Hivi ni kweli hawa Waislamu hawakutoa mchango wowote katika maendeleo ya Dunia?
Wapo waliotoa mchango wengi sana hawa ni baadhi tu sio wote @kalekela-j1e
Yupo mmoja algebra na shabani Robert mtunga mashaili
@@MAYAGILOMASALU 🫡🫡
Western education imejikita na wazungu na dini yao