Dakika 10 Za Maangamizi : Stamina | Planet Bongo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025

Комментарии • 386

  • @Shaidumbeo-zb7jz
    @Shaidumbeo-zb7jz 2 месяца назад +8

    Leo naangalia 2024 kam na wew umekuja Leo kuangalia gonga like apa

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 7 лет назад +194

    Tunajivunia sana kuwa na mtu huyu, kama unamkubali sema oyoooooooo

  • @eliasihande4115
    @eliasihande4115 7 лет назад +16

    "Stamina" MTU mwny ujuzi mkubwa....noma sana aseee big up bro you'll still be de best..

  • @kiokomutua3209
    @kiokomutua3209 6 лет назад +54

    Stamina you got the energy ...Am loving the punch lines from Kenya...karibu upige collabo na khaligraph papa jones baba Yao ...wanna tz gimmie some likes good pipo

  • @petermwenda1186
    @petermwenda1186 6 лет назад +8

    uwa namkubali sana stamina twende zetu jembe like hapa

  • @ronaldomorata8528
    @ronaldomorata8528 7 лет назад +23

    Stamiiiiiinnnnnnnnnnnaaaaaaaaaaa nyooooookkkkkkkkooooo wwwwwwwww kiumbe umetoka sayari gani nakukubariiiiii mchiziiii wannnguuuu. Mbaaaayyyyyyyaaaaa

    • @nadimuch8178
      @nadimuch8178 6 лет назад

      ronaldo morata 🙌🙌🙋🙋🙎🙎🙈🙈

  • @zindunadeson1675
    @zindunadeson1675 7 лет назад +25

    Mnaoxema kazingua mr rostam mmenyimwa hta kipaji cha kutafuna karanga stamina anajua hta mkimchukia hamumxaidii

  • @emmanuelymtamaduni2951
    @emmanuelymtamaduni2951 7 лет назад +34

    Daah karudia mistar mingi sana anzia ile ya clouds michano 101. Sema ndo ivoo muhun #SINAJAMBO

  • @malckimbinga1871
    @malckimbinga1871 Год назад +10

    Kama umesikiliza 2023 tumesikiliza wote

  • @williemwiti5721
    @williemwiti5721 6 лет назад +44

    Young Killer na Fid Q walirap wakisoma mistari kwenye smartphone zao,huyu hasomi popote...#mkaliwao

  • @didamugya6039
    @didamugya6039 7 лет назад +23

    Alichokifanya Stamina hakina tofauti na alichofanya Msodoki, sijajua kwanini mmemmind huyu halafu Killer mnamsifia

    • @frankfabian2437
      @frankfabian2437 6 лет назад

      Mkali sanaa stamina ila akomae sana aje kumfikia mbea chuma

  • @SuleimanSalum-kk7xx
    @SuleimanSalum-kk7xx 5 месяцев назад +3

    Nimesikia 2024

  • @nassibjuma835
    @nassibjuma835 4 года назад +7

    stamina is behind our own papa Jones the OG's and sarkodie in the best Africa rappers

  • @pharergyramson5918
    @pharergyramson5918 7 лет назад +5

    Leo umezingua mzeeeeee baba daaah!!! Umeniangusha kinouma... sasa sijui nan ambaye amebaki labda bado Stosh niletee huyu manz asee!!!

  • @weyamasa6281
    @weyamasa6281 6 лет назад +1

    From Kenya kazi anayo stamina young killer edu boy na dogo dee wako mbele sana

  • @ShomariMrisho
    @ShomariMrisho 4 месяца назад +1

    Mwanangu anajua sana

  • @swedykarongo110
    @swedykarongo110 5 лет назад +9

    stamin ww ninoma saaaana big up brathar

  • @jumatatumtenga8715
    @jumatatumtenga8715 2 года назад

    Unajuwa Saaaaana mze ni wakaflaka toka DRC Congo nafagiliya sana kazi zako bro.

  • @bubaboy25
    @bubaboy25 4 года назад +2

    Da huyu stamina ni shiida hana mpizan km unakubal ilo achia like twende sawa

  • @dennischarles8524
    @dennischarles8524 7 лет назад +7

    Talented, we salute you stamina

  • @nomadlife_ink
    @nomadlife_ink 5 лет назад +1

    Makosa kubwa kutupa jiwe ndani ya kambi.. Stamina always ready. Mad love..

  • @mvungigaming
    @mvungigaming 7 лет назад +2

    Nilishasema huyu jamaa Hamnaa kitu mlinibishia haya ss Leo ameaibika cjui atajitetea nn hapo,haya mambo ya wachache jamani mweee!! Tuleteeni nchama the best mbarikiwa wa hz makitu

  • @nellypaul6971
    @nellypaul6971 4 года назад

    Nakupenda Sana mkali stamin mwamba we n kwere hip hop yako

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 2 года назад +3

    Were Mule Is still the best freestyle rapper to ever happen in this studio.

  • @thebobbinjomaster2490
    @thebobbinjomaster2490 7 лет назад +4

    Ahahahahaha Asante Baba Sina Swali Wee Noma Fantastic One Love Kaka Mkubwa

  • @flyboiog9346
    @flyboiog9346 6 лет назад

    Dah napendaga saaaana
    Heez za maangamizi zina nifanya kuwa na hasira za michano heavy

  • @donaldtarimo9280
    @donaldtarimo9280 7 лет назад +6

    Chini Ya Kiwango...!!!
    1. Jay Mo
    2. Baghdad
    3. Songa
    4. Stamina

  • @barakaekuro
    @barakaekuro 2 года назад +2

    Ukitaka kujua kama stamina ni GOAT tafuta FOCUS yake boomplay 🔥🔥🔥

  • @thomastinega271
    @thomastinega271 2 года назад

    naipenda saaaaana iyo sauti ya uyo dem🤣🔥Stamina akispeed kwa mike,ufalme wa Rap ni wake💪mwooo luv from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @johnsonkintu2644
    @johnsonkintu2644 4 года назад

    Braaa braaahhh anauwezo wenye hari yajuu.anasitahiri kuwa king Wa Hipop

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 5 лет назад

    Daah nimekubali mzee baba huna mpinzani bro we kichwa stamina

  • @jacksonkhahange9667
    @jacksonkhahange9667 6 лет назад +1

    Huyu jamaa anajua saana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @moganlumiti2724
    @moganlumiti2724 4 года назад

    Mwanangu utachoma kituo,, 254 representing...

  • @shamssaid7632
    @shamssaid7632 7 лет назад +7

    Jamaaa yuko vizur saana lkn namshauri afanye mazoezi. Maana pumzi inahtajika saana

  • @abelmligo6438
    @abelmligo6438 7 лет назад +1

    fresh sem analudia mistar af kingine anasahau San mistar

  • @magilojofrey
    @magilojofrey 6 лет назад +2

    Sitamina ndio king wa kuandika mistari kuntu gonga like kama una saport

  • @stonerstoner8689
    @stonerstoner8689 3 года назад

    This Stamina Ninja.
    Mambo mbaya

  • @boyclassic5122
    @boyclassic5122 7 лет назад

    Staminaaaaaaaaaaaaaa nomaaaaa saaaanaaaaaaa aminiaaaaa aminaaaaaaa %%%%%

  • @emmasonathanas8586
    @emmasonathanas8586 4 года назад

    Stamina kweli ni staa mwenye vina vyake anaimba toka kichwani hala haangalii popote

  • @rodrickbm8326
    @rodrickbm8326 5 лет назад

    Rapu zngu zinafnyaga xanamu watikixe vichwa oyaaaah uyoo kati ya mafundii w bongo

  • @sefagomez6883
    @sefagomez6883 6 лет назад +2

    Laisi wakichwa changu NI mimi ✔️❤️ Nani mkuba Kat yapesa Na fera

  • @benjaminsabi2509
    @benjaminsabi2509 6 лет назад

    salute mzee.. kweli leo umeswitch

  • @archkeels3753
    @archkeels3753 7 лет назад

    Uyuuuuu ndooooo starrr mwenyeeee vinaaaa kubabeki ase akuna mwingine katumia dk5 tu kuuwa woteee usiguse kaaa mbaliiiiiiii wewe

  • @stonn_boy7370
    @stonn_boy7370 6 лет назад

    Big up bwana mkubwa.......unaweza xanaaaaaaaaaaaaaaa

  • @officialkingrlite1935
    @officialkingrlite1935 7 лет назад

    duuuh xio poa stamina hawakuwezi mzee baba

  • @mossesmaduhu2142
    @mossesmaduhu2142 5 лет назад +3

    Hmna rapa Kama huyu kwa saut hii nakubali Kama nwe walubali gonga like

  • @arjunderamtz7249
    @arjunderamtz7249 7 лет назад

    Namkubalii sanaaa Mr bonvenc

  • @artistkilongola422
    @artistkilongola422 7 лет назад

    Morogoro "tunatisha Sanaa big up kwako, kaka stamina

  • @michaelraj7595
    @michaelraj7595 6 лет назад

    nouma xnaaaaa mzee bba umetisha

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 5 лет назад +1

    Ukimdiss STAMINA we huijui hiphop huyu ni FASTER RAPPER so akipiga rap ya dakika kumi sawa na wale wengine nusu saa

  • @mercykaluki1969
    @mercykaluki1969 3 месяца назад +2

    Uyu jamaa ni hatari

  • @user-vv5xd3ye4i
    @user-vv5xd3ye4i 7 лет назад +2

    Leo sikomenti chochote...

  • @smartnyanda7896
    @smartnyanda7896 7 лет назад

    dk 10 za maangamiz
    mafundi wao
    1.scoda# pande za Dom
    2. boshoo# home korogwe tanga
    3. nchama the best# rock city mwanza
    4. maarifa # kibaha pwani
    5. wakiafrika
    tano zangu bora hzo

  • @KasmuhKubuya
    @KasmuhKubuya 3 месяца назад +1

    Stamina mwalimu

  • @ounchyttiger
    @ounchyttiger Год назад +1

    Good saaan unatisha

  • @ProCy-lz4xt
    @ProCy-lz4xt 7 лет назад +7

    Hatari sana👂👂 na hapo ndo bado hajaja kimahangamizi sasa akijihandaa kama wengine itakuwaje????? ....👆👉hiyo ni sauti ya mjomba👈

  • @benardkiulatano2763
    @benardkiulatano2763 4 года назад

    Stamina moro yuko poa sana maisha marefu kwake

  • @jumannenyabuge83
    @jumannenyabuge83 8 месяцев назад

    noma sana anajua hata haspo maliz hizo dakka jaman

  • @hayaishichiza5537
    @hayaishichiza5537 6 лет назад +1

    Bg up my brother , we unatsha kama simba polin.

  • @hamiskiizah6988
    @hamiskiizah6988 7 лет назад

    du stamina noma xn sema mistar urudia bhana

  • @immaamosi9687
    @immaamosi9687 6 лет назад

    Napenda kulapu hata nikifa mniziki studio. Hatali. King stamina

  • @mohamednaaman188
    @mohamednaaman188 7 лет назад +4

    Noma sana Stamina

  • @ramadhaningusi7525
    @ramadhaningusi7525 7 лет назад

    ooooooyyyyy stamina umetisha bayaa 100%√√√√√

  • @magembefrancis9319
    @magembefrancis9319 7 лет назад +8

    umeangamiza mbaya

  • @yohanapetro4937
    @yohanapetro4937 5 лет назад

    Kabla sijasikiliza iyo yastamina itakuwa kali

  • @hamisiabdalla9880
    @hamisiabdalla9880 4 года назад

    Hatari MTU huyu uko sawa bro nakupa shavu mia mia

  • @tonnyjob3982
    @tonnyjob3982 6 лет назад

    mtuletee gifted son uyu mtoto sio kawaida

  • @fejam9223
    @fejam9223 7 лет назад

    woyoooooo kweli mazeee UNAANGIZA

  • @joohcloudy738
    @joohcloudy738 7 лет назад +1

    ajajiandaa ila kaua ingawa karudia sana mistar hyo Mara mbl tatu kutoka kwenye hit song zake

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 6 лет назад

    Duuh nimetowa salute

  • @shamimurajabu3219
    @shamimurajabu3219 3 года назад

    Du brooo anajua sana

  • @archkeels3753
    @archkeels3753 7 лет назад +1

    Nomaaaaaaaa saanaaaaaaa wazeee

  • @fanuelsamwel3437
    @fanuelsamwel3437 5 лет назад

    Stamina is a real stamina,,afya sana,,nguvu sana

  • @todaysnicksstz7017
    @todaysnicksstz7017 6 лет назад

    Umetisha BG boy

  • @dennardleonard1228
    @dennardleonard1228 Год назад +1

    Anajuaa

  • @designengineer6766
    @designengineer6766 7 лет назад

    Aisee nimemkumbuka Ngwair. Jamaa alikuwa mkali wa hii kitu.

  • @imransaid2613
    @imransaid2613 6 лет назад

    pumz hana uyo stamina mkali young kila

  • @samuelbatholomeo9530
    @samuelbatholomeo9530 7 лет назад +1

    unajua sema dakik 10 hazijawah kumwacha mtu safe

  • @erickanthon7822
    @erickanthon7822 7 лет назад

    Stamina fire
    #huyu jamaa anajuaa xanaa

  • @kelvinmhina1685
    @kelvinmhina1685 6 лет назад +2

    "........naitwa Shorobwenzi a.k.a fundi chuma, nayajua mapenzi mpaka wananiita fundi............."

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 лет назад +4

    *Kama unamkubali stamina gonga like*

  • @emmanuelymfuse2509
    @emmanuelymfuse2509 7 лет назад +10

    aaaaah, kaza mwana naona pumzi inazingua mpaka unashindwa kuangamiza 🔇🔇🔇

  • @husseingwanone7887
    @husseingwanone7887 7 лет назад +9

    stamina unajua mpaka UNAKERA

  • @makavelli2packshakur524
    @makavelli2packshakur524 7 лет назад +1

    Stamina anajua anaweza anatusua

  • @fatumamasoud8
    @fatumamasoud8 5 лет назад +2

    Amazing keep it on

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 6 лет назад +1

    mh sijaona mnachompondea stamina, mbona amefanya vizuri sana!!

  • @abdulazizhamza3388
    @abdulazizhamza3388 7 лет назад

    kazinguaaa...edu boy still on top

  • @jossonchauler1707
    @jossonchauler1707 5 месяцев назад +1

    2024

  • @yonathanyona2926
    @yonathanyona2926 7 лет назад +1

    we ndo sholo breeze yan fund chuma,unayajua mapenz mpaka wanakuita fund ........ ,,,,😘😘😘😂😂😂😂😂😂Yan nilishasema ww ndo raisi wa hip hop broooo hao wanaokushindanisha nao wanafuata baada yako,ww ni ninja ambaye umebarikiwa,na kama bado we ni sumu usiepoa kwa maziwa........nooooowma bro stamina

  • @everythingidoformybutterfly07
    @everythingidoformybutterfly07 4 года назад

    Namkubali Sana stamina💕🤗

  • @matanokizibo7742
    @matanokizibo7742 2 года назад

    Stamina hauna mpinzani brooo

  • @wolframkombo7917
    @wolframkombo7917 7 лет назад

    Leo jamaa kschemka ila namkubali sana dulaa nwambie stamina tunataka vtu vipya kama nangwe nasio tunavyoweza kuimba wote

  • @mwikaamusa761
    @mwikaamusa761 6 лет назад

    oyooooooo mbona barida stamina.

  • @thomasbuhunile3926
    @thomasbuhunile3926 7 лет назад +2

    Hiyo mistari ya kingereza ipo wack to the fullest! Ila mchizi akijitahidi anaweza kufanya zaidi ya hapo.

  • @nassermtitu7426
    @nassermtitu7426 7 лет назад +1

    Cjaujua mkubwa yup kati ya #Pesa Au #Fela

  • @chandraboyfficiel-sd5li
    @chandraboyfficiel-sd5li Год назад

    Nakubali saaana stamina 🥍🥍

  • @noahefelemu9395
    @noahefelemu9395 7 лет назад

    Ujazooooo staminaaaa

  • @kalumboisihaka4239
    @kalumboisihaka4239 4 года назад +1

    Stamina home boy ninoma sana

  • @mussabilali2929
    @mussabilali2929 7 лет назад +3

    first comment ya tokaa kwangu

    • @sidemathias1700
      @sidemathias1700 5 лет назад

      mussa bilali shikamoooooo stamina nishida namdogo wangu yankiila nishida

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 7 лет назад

    stamina umezingua sana mpaka maandaground wamekukimbiza du