Gospel time# Madam Martha / Martha Baraka aweka wazi mahusiano yake na Huduma

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 21

  • @robertjoseph8968
    @robertjoseph8968 23 дня назад

    Daah Martha baraka ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @helenamwashivyala3315
    @helenamwashivyala3315 Год назад

    Ameen Mungu akutiye nguvu mtumishi

  • @shadrackmbilinyi3510
    @shadrackmbilinyi3510 7 месяцев назад

    Jamani mnatuchanganya tunaomba muwe mnatuambia sababu

  • @ZunguMgogoSafiZungumgogosafi
    @ZunguMgogoSafiZungumgogosafi Год назад

    Barikiwa

  • @andersonkahindi2506
    @andersonkahindi2506 Год назад

    Nimebarikiwa sana na maongezi yenyu na madam Martha

  • @mathatiandizigiye6050
    @mathatiandizigiye6050 Год назад +1

    Maongezi mazuri

  • @mosesabi2617
    @mosesabi2617 Год назад

    BWANA MUNGU!
    ASANTE SANA MADAM MARTHA.

  • @ElizabethNelson-bh2ij
    @ElizabethNelson-bh2ij Год назад

    Tangu ulivyo achika yaan nmekuchukia basi2

  • @deboraleonard3441
    @deboraleonard3441 Год назад +1

    Yani we imba uimbavyo lakini ukiwa kinyume na maandiko ni kazi bure

    • @efrosinamoris503
      @efrosinamoris503 Год назад

      Hakika yaan umenena dear nami naungana na usemalo na Wala cwez hukumu ila dada martha nataman alijue hili kuwa biblia ni neno la Mungu na limehakikishwa ..... Halina mbadala likisema imesema.., na Kama anaeza anichek dada yangu TU kwa upendo .... Naitwa Efro Moris nataman tushirkishane tuuuu na tusaidiane ..... Npo kwenye ndoa nauelewa .... Mwisho tunakupenda sana dada Matha .

  • @mosesabi2617
    @mosesabi2617 Год назад

    "UTAUTUMIA WAPI UMILELE?"
    (MUNGU ANATAKA KULIJENGA KANISA LAKE NDANI YA MOYO WAKO KWA SABABU HAKAI KATIKA HEMA ZILIZOTENGENEZWA NA WANADAMU !!!)
    MUDA UNAKIMBIA HARAKA SANA!
    Ikiwa una umri wa miaka sitini, unaweza kuwa na miaka mingine kumi na mitano ya kuishi!
    Ikiwa una umri wa miaka hamsini, unaweza kuwa na miaka ishirini na mitano iliyobaki!
    Ikiwa una miaka arobaini, unaweza kuwa na miaka mingine thelathini na mitano!
    Ikiwa una miaka ishirini na tano, unaweza kuwa na miaka hamsini nyingine ya kwenda!
    Ikiwa una miaka kumi na tano, unaweza kuwa na miaka sitini zaidi!

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Год назад

    Kahaba wakutupwa

  • @andreaotaigo40
    @andreaotaigo40 9 месяцев назад

    Mrudie Mme wako tu bibie

  • @sophiajacksonjacksonmeshac1468

    Kosa gani lisilosamehewa ludi kwa mmeo

  • @jeremiahmwasomola1252
    @jeremiahmwasomola1252 Год назад +1

    Kwann mnapofanikiwa mnabadiri wanaume mwanzo wako matha ulikuwa na baraka kwenye dhiki nimewabeba kwenye Bajaj had Mungu anakupa gar unakaa block t

    • @lazaroekela
      @lazaroekela Год назад

      Kwanza sio neno kumwaacha mume au mke pili hakuna mahali mama aliongoza kanisa

    • @davidmdadila4080
      @davidmdadila4080 Год назад +1

      Yaani na Mimi napata shida Mana huyu tuliskia kuwa ametoka kwa mumewe labda imekuweje wengine hatujaelewa mtupatie ufafanuzi ili tuwe na amani watu wote

    • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
      @MaryMichaelMaryMichael-i7o 8 месяцев назад

      Yahn hawa waimbaji waskie tu wengi mbingu wataiskia

  • @siporajemes773
    @siporajemes773 Год назад

    Baraka ni jina la mmeo la baba yakp nani?

  • @judithsingano1018
    @judithsingano1018 Год назад

    Wewe ni mtu wa tamaa ndo Mana umekwepa swali