Sababu zipo nyingi....Lakini moja ya sababu ni kuwa Call to action zote zinazopeleka Tangazo Nje ya mfumo huwa zinakaguliwa sana kuliko ambazo zinambakisha aliyekutana na tangazo lako kama profile visits,facebook page likes, Direct message... Ila whatsapp ni platform Ambayo inamtoa nje kabisa mteja.... Ndio maana kuna uangalifu mkubwa wa kile unachopost...Landing page ili isifungwe inatakiwa iwe full optimized... let say huwezi mleta mteja whatsapp halafu hujaweka hata profile picture. Hujajaza catalog... Nk... Ila point nyingine ya msingi ni kuwa Fb&Insta hawapendi mtu anayemleta mteja kwenye landing ya kuwasiliana naye moja kwa moja... Wanapenda sana umpitishe ktk chujio fulani(funnel) Kwa hiyo robot zao muda mwingine zikidetect tu Tangazo X halina funnel wanalipiga 🔒 .... Lakini ssbabu ya mwisho ambayo huenda isiwe ya msingi sana ila mimi naona ni ya msingi.... Wanataka matangazo ambayo yapo connected na whatsapp, mtu ayasetie whatsapp kulekule ndipo yaje kuonekana fb... Na sio yatoke fb yampeleke mtu whatsApp maana whatsapp haijaingiza hela naweza sema tangu ianze ndio maana haina matangazo yoyote... I hope nimekujibu swali lako
Me nataka engagement ili wanifollow nafanyaje
Tazama video hii ruclips.net/video/BmtPqLbn7OM/видео.html nimeleeza hatua zote
ASANTEH SANA BRO
Tupo Pamoja Rumisha.... Lets change the world Together
Hivi ni Kwa nini mara nyingi mtu akitumia option ya Website visiters akaweka link ya WhatsApp, Tangazo huwa linazuiliwa???
Sababu zipo nyingi....Lakini moja ya sababu ni kuwa Call to action zote zinazopeleka Tangazo Nje ya mfumo huwa zinakaguliwa sana kuliko ambazo zinambakisha aliyekutana na tangazo lako kama profile visits,facebook page likes, Direct message... Ila whatsapp ni platform Ambayo inamtoa nje kabisa mteja.... Ndio maana kuna uangalifu mkubwa wa kile unachopost...Landing page ili isifungwe inatakiwa iwe full optimized... let say huwezi mleta mteja whatsapp halafu hujaweka hata profile picture. Hujajaza catalog... Nk...
Ila point nyingine ya msingi ni kuwa Fb&Insta hawapendi mtu anayemleta mteja kwenye landing ya kuwasiliana naye moja kwa moja... Wanapenda sana umpitishe ktk chujio fulani(funnel) Kwa hiyo robot zao muda mwingine zikidetect tu Tangazo X halina funnel wanalipiga 🔒 .... Lakini ssbabu ya mwisho ambayo huenda isiwe ya msingi sana ila mimi naona ni ya msingi.... Wanataka matangazo ambayo yapo connected na whatsapp, mtu ayasetie whatsapp kulekule ndipo yaje kuonekana fb... Na sio yatoke fb yampeleke mtu whatsApp maana whatsapp haijaingiza hela naweza sema tangu ianze ndio maana haina matangazo yoyote... I hope nimekujibu swali lako
@@WantedlifeMarkerting asante sana Mwalim nimekuelewa, ila ningependa kujua nini kifanyike kuepuka hilo??