Àsante Happy kwa ufafanuzi wako. Mie nimewekeza kwenye mifuko miwili. WEKEZA MAISHA NA FUND BOND. Nauliza wameshatoa vitambulusho? Maana Nina A/c number tu za mifuko yangu
Wameandika kwenye Website yao: uttamis.co.tz au uwatembelee ofisini kwao. Video niliyonayo kuhusu mifuko ya UTT hii hapa: ruclips.net/video/5QeskniGSjs/видео.htmlsi=-7rNIOlywVsKI4K-
Elimu nzuri saana hii ambayo hatukuwahi kuipata tulipokuwa shule. Nina maswali mawili. 1. Je mtu mmoja anaweza kuwekeza kwenye mifuko zaidi ya mmoja? 2. Ninapojiunga kwenye mfuko mmoja kisha baada ya muda ya labda miaka kadhaa nikajitoa, kisha nikakaa kwa muda, Je ninapotaka kurudi tena kwenye mfuko uleule nalazimika kujiunga up ya au natumia akaunti ileile? Ahsante.
Asante. Nadhani hapa unaongelea mifuko ya UTT. 1. Kwenye swali la kwanza, Ndio unaweza kujiunga mfuko zaidi ya mmoja 2. Kwenye swali la pili, sina uhakika sana, ni vyema ukawauliza UTT
Nimeingia uvivu kusikiliza mbwembwe nyingii. punguza pozi kidogo na kuwa serious katika kazi tofauti na wauza sura 🤣🤣 nimeona tabu kuendelea kukusikiliza.
Soma zuri dada sema punguza amm...amn zimekuwa nyingi
Sawa
😂😂😂amm anmm😂😂🎉
Umejitahidi mwaya
😂😂😂@@happymsale
❤❤😂😂😂aamamm@@happymsale
Acha wivu bhana😅sa ammh inashida gan
Unaeleza vzr lakini hutupi information vzr faida n.k
Habari ni johana kutoka kenya.mafunzo mazuri
Asante
Safi sana Asante sana dada kwa mafunzo mazuri
Karibu
Nina amini nita jifunza zaidi kuhusu UTT na Government Bonds toka kwako.
Great video .......
Asante na karibu
Unamafua au
Àsante Happy kwa ufafanuzi wako. Mie nimewekeza kwenye mifuko miwili. WEKEZA MAISHA NA FUND BOND. Nauliza wameshatoa vitambulusho? Maana Nina A/c number tu za mifuko yangu
Sijui. Waulize UTT watakupa jibu
Hbar can we get yur email?@@happymsale
Mm nauliza kuna video yako yoyote inayonesha njia ya kupita mwanzo mwisho namna ya kujiunga na utt ktka kuekeza
Wameandika kwenye Website yao: uttamis.co.tz au uwatembelee ofisini kwao.
Video niliyonayo kuhusu mifuko ya UTT hii hapa: ruclips.net/video/5QeskniGSjs/видео.htmlsi=-7rNIOlywVsKI4K-
Happy holi somo zuri
Asante
Nimeelewa vizuri,naomba link ya free online training ambayo wanatoa certificate
Unaongelea dar tu
Tanzania
Elimu nzuri saana hii ambayo hatukuwahi kuipata tulipokuwa shule.
Nina maswali mawili.
1. Je mtu mmoja anaweza kuwekeza kwenye mifuko zaidi ya mmoja?
2. Ninapojiunga kwenye mfuko mmoja kisha baada ya muda ya labda miaka kadhaa nikajitoa, kisha nikakaa kwa muda, Je ninapotaka kurudi tena kwenye mfuko uleule nalazimika kujiunga up ya au natumia akaunti ileile?
Ahsante.
Asante. Nadhani hapa unaongelea mifuko ya UTT.
1. Kwenye swali la kwanza, Ndio unaweza kujiunga mfuko zaidi ya mmoja
2. Kwenye swali la pili, sina uhakika sana, ni vyema ukawauliza UTT
Nimeingia uvivu kusikiliza mbwembwe nyingii. punguza pozi kidogo na kuwa serious katika kazi tofauti na wauza sura 🤣🤣 nimeona tabu kuendelea kukusikiliza.
Kiwango cha chini cha kuwekeza Kwenye Hisa ni HISA 10 Tu, siyo 100.
Sawa,Asante
Kwa ambao wako nje wanawezaje
Unawasaliana na kampuni husika wakupe taratibu/ vitu unavyohitaji ili uweze kuwekeza