Leo tarehe 25/12/2024 Mungu ni mwema nimeamua kuandika historia mpya katika maisha yangu Mungu anitangulie anishushie amani ya moyo wangu na utulivu katika mambo yangu
Nimeutafuta sana huu wimbo, nilikua nausikia kipindi nipo mtoto lakini sikuujua jina. Nimefurahi sana kuupata. MUNGU awabariki, moyo wangu umeguswa sana.
Nmekumbuka mbali sana 1998 nkiwa drs 1 tulikuwa tunaenda kuangalia TV kwa jirani, masharti hadi unawe miguu kwanza ndo uangalie,, nyimbo inabariki sana hii,,
Being blessed by this song in Christmas 2023, 'Duniani shangilieni,Nuru imewaangazia... Tazama kwa ajili yetu mtoto amezaliwa ,kaucha utukufu ili aje atukomboe' Powerful Mungu awabariki sana watumishi wa Bwana
I was just in primary and my family never stopped playing this songs, am thankful that am watching you guys again, very powerful and Blessed song...Nawapenda mno
same as I......I was just a kid back then and am greatfull to our almighty God that am still here till now and listen the song again in my 20's...I feel blessed with this song...
Hapa Roho wa Bwana alikuwa nanyi tangu wimbo unatungwa, unafanyiwa mazoezi na hadi unarekodiwa! Huu ndiyo wimbo hasa uliowatambulisha vizuri. Mungu awabariki sana watu wa Mungu. Uimbaji wa ubora kama huu kuufikia tena huwa ni kazi kubwa sana kweli kweli.
leo tunaanza kipindi cha kwaresma, tukikumbuka kujaribiwa kwa bwana wetu Yesu Kristu kule jangwani kwa siku 40 bila kula wala kunywa. i miss you terribly Tumaini Choir. wish to see you sing again and again...be blessed always. naupenda sana huu wimbo, never get tired of listening to it.
Wimbo bora sana wa Krismas. Kila ifikapo majira ya Krismas ninapenda mno kuusikiliza. Mungu awabariki sana Tumaini Choir pamoja na mtunzi wa huu wa huu wimbo. Ni furaha kubwa mno kwa nyakati kama hiz za Krismas na mwaka mpya kusikia wimbo mzuri kama huu.
Niliona nyimbo hizi nikiwa shule ya msingi,miaka zaidi ya 20 iliyo pita! Zilinibariki sku zote! Hii Leo nkiwa mchungaji na mtu wa familia bado zinabariki maisha yangu!!! Mungu azidi kuwapaka zaidi kwa ajili ya kazi yake! Huu ndio ujumbe tunaohitaji kutoka kwa waimbaji wa nyimbo za injili
Leo tarehe 25/12/2024 Mungu ni mwema nimeamua kuandika historia mpya katika maisha yangu Mungu anitangulie anishushie amani ya moyo wangu na utulivu katika mambo yangu
Amina sana,Neema na Amani ya Yesu KRISTO iwe pamoja nawe
Mimi nakumbuka nilikuwa nakwenda kuangalia kwa rafiki yangu huko fire Arusha Mr Rugo sasa hivi ni marehemu
Nipoo hapa nawasikiliza 14th December 2024...Shangweeeeee
2024 ....😃😃, Who is here ?
We here 😅😅
Tupo
Nimeutafuta sana huu wimbo, nilikua nausikia kipindi nipo mtoto lakini sikuujua jina. Nimefurahi sana kuupata. MUNGU awabariki, moyo wangu umeguswa sana.
Amen Amen Mungu akubariki zaidi rafiki
Ata mm nilkuwaga nasikia tu upigwa kweny zike redio za kazeti
Mungu ni mwema jaman leo ndo nimeupta nilkuwa nautafta siku nyingi sana
Sio siri jamaa wanajua kuimba
Who's watching in 2021...stay blessed 🙌
X- mass yangu haikamiliki bila kusikiliza huu wimbo mzuri. Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu wote mlioshiriki kuimba
Safi!
Waliimba vizuri sana, hongera sana pia kwa wapiga vyombo waliutendea haki wimbo, salute kwenu.
Tuliokuja baada ya kuona wimbo wa neema gospel mikono juu
Wimbo unanikumbusha mbali Sana MUNGU awatangulie Sana Tumaini nabarikiwa Sana ...nasikiliza 2023
Nikitafakari kwa wimbo huu hapa Australia. Namkumbuka mzee wangu, aliipenda sana hii kwaya. R.I.P Dingi.
Tunaosikiliza 2020 nipeni likes zenu jamani
Nmekumbuka mbali sana 1998 nkiwa drs 1 tulikuwa tunaenda kuangalia TV kwa jirani, masharti hadi unawe miguu kwanza ndo uangalie,, nyimbo inabariki sana hii,,
24/12/2024 nakumbuka mbali mno
Old is gold Mungu aendelee kuwatuz kwaya yang pendwa mbarikiw mno
Wow suis tellement bénis par cette chanson. Ça me rappelle bcp mon enfance vers les années 1998. Mungu ni mwema! I’m literally crying my ass off!
Huu wimbo nikiusikia machozi yananilega jamani tunatoka mbali nyie Nipo hapa 23/12/2024
We used to play whole this album every now and then, 1998-2003, good old days
Being blessed by this song in Christmas 2023,
'Duniani shangilieni,Nuru imewaangazia...
Tazama kwa ajili yetu mtoto amezaliwa ,kaucha utukufu ili aje atukomboe'
Powerful
Mungu awabariki sana watumishi wa Bwana
Amina Amina na barikiwa Sana na huu wimbo tukiwa tuna karibia kuzaliwa kwake yesu 2024
16 December 2024... Najiskia vizuri kila nikisikiliza huu wimbo msimu wa Christmas ❤
Hakika ni Shangwe , tunashangilia na kukumbuka kuzaliwa kwa mwokozi wa Ulimwengu -YESU KRISTO ❤❤❤❤
Miaka buku hawatachuja kamwe
Barikiwa sana😘
Nikisikia huu wimbo unanikumbusha mbali sana... Leo Sunday Nov 10,2024 - 19:51Hr
Nimeangalia tena Dec 24,2024 14:09Hrs
Nikibatikiwa na wimbo huu naupenda sana 2024
Thank you JESUS for saving me...
Merry Christmas to y'all who still watch this song in December 2021
Merry Christmass to you and your beloved ones
I was just in primary and my family never stopped playing this songs, am thankful that am watching you guys again, very powerful and Blessed song...Nawapenda mno
barikiwa Xana aisee
same as I......I was just a kid back then and am greatfull to our almighty God that am still here till now and listen the song again in my 20's...I feel blessed with this song...
1
Barikiwa Sana tulikuaga wadogo sana kipind hicho kwenye nyumba za wakristo huwezi kosa hii kwaya album yao
Yaaani huu wimbo natamani hata niukumbatie maana ni mzuri sanaaa... nikamkumbushie mama atafurahi sana kuuskia tena
Hapa nilikuwa mdogo Bukavu DRC tuliufurahiya huu wimbo saana.
Na Mimi nime barikiwa na mwimbo uyu
Bado upo moyoni 2023
Ni miaka mingi imepita ila ujumbe na upako ni uleule🤲
Haita tokea kwaya kama hii tanzania mungu awatie nguvu watumishi mliopo
Hapa Roho wa Bwana alikuwa nanyi tangu wimbo unatungwa, unafanyiwa mazoezi na hadi unarekodiwa! Huu ndiyo wimbo hasa uliowatambulisha vizuri. Mungu awabariki sana watu wa Mungu.
Uimbaji wa ubora kama huu kuufikia tena huwa ni kazi kubwa sana kweli kweli.
This song will last forever, blessed are the singers 🎉🙏
This is Gospel music exactly as supposed to be. God bless you.
The good old days I can’t imagine the people I was surrounded with some are gone
Nimeutafuta sana huu wimbo niliusikia tangu 1996 kweny mkutano wa reinbonke shule ya msingi loruvani Arusha asante mbarikiwe sana
Nyimbo zenye ubako wa mungu hongora sana
Dada mwenye dimpo nimefurahi kumuona
Kumbe tupo wengi ee 😂🔥🔥
Wimbo mzuri sana....nawapenda sana.Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi. 🙏
leo tunaanza kipindi cha kwaresma, tukikumbuka kujaribiwa kwa bwana wetu Yesu Kristu kule jangwani kwa siku 40 bila kula wala kunywa. i miss you terribly Tumaini Choir. wish to see you sing again and again...be blessed always. naupenda sana huu wimbo, never get tired of listening to it.
Wimbo naupenda sana tena sana Mungu azidi kuwabariki
Wimbo bora sana wa Krismas. Kila ifikapo majira ya Krismas ninapenda mno kuusikiliza. Mungu awabariki sana Tumaini Choir pamoja na mtunzi wa huu wa huu wimbo. Ni furaha kubwa mno kwa nyakati kama hiz za Krismas na mwaka mpya kusikia wimbo mzuri kama huu.
Marry Christmas 2023 .......my childhood was so great
shangilieni MUNGU awabariki sana nabarikiwa apa
Yesu Kristo ni Yeye Yule Jana Leo na Hata Milele Daima.. Utukufu una yeye mwokozi wetu.. Barikiweni
Naukubali sana huu Wimbo
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...Enzi hizo.nilikuwa Primary zaidi ya Miaka kama 20 imepita.
MUNGU awabariki wimbo hauchuji huu
Hakika ni mzuri sana,pia niliutafuta kwa mda sana,mungu azidi kutubarikinao,
The song made you who your today.. Mbarikiwe sana. huu wimbo haujawahi kuchuja.
Daniel Pyuza kwakweli...Big up guys😍😍😍😍...
katika viimbe vyote
Nikiusikia winbo huu nahisi kubarikiwa amen
🎉Waimbaji wa zamani mlinoga na bado mnanoga sana kwa umakini,uhalisia na kumtukuza Mungu zaidi kuliko kujitukuza❤☑️✍️
Aiseee! Wimbo wangu bora
Nakumbuka miaka hiyo nikiwa mdogo sana kule Kyaka Kagera daah nimekumbuka mbali sana kipindi hicho kanda za kaseti
It reminds me of those good old days when God was worshiped with high respect and reverence. Tunabarikiwa tena 2020!
Kanda ikiisha naludisha na peni ❤😂😂😂
Wimbo unanikumbusha mbali mwaka 1999 najisikia faraja sana
Hizo ndo nyimbo ambazo mungu alikua pamoja nawo Hawa watu wa mungu mubarikiwe sana
Naupenda sana huu wimbo. Mungu awabariki wanakwaya na aliye uapload
Eti nauliza hawa waaimbaji wetu wapo ,
Wengi wao bado wapo.
Brethren, kwaya ipo; Tafadhali tembelea Channel yetu kwa nyimbo zaidi;ruclips.net/channel/UCgsqklKJeQ5Talp2bibZoHg
Niliona nyimbo hizi nikiwa shule ya msingi,miaka zaidi ya 20 iliyo pita! Zilinibariki sku zote! Hii Leo nkiwa mchungaji na mtu wa familia bado zinabariki maisha yangu!!! Mungu azidi kuwapaka zaidi kwa ajili ya kazi yake! Huu ndio ujumbe tunaohitaji kutoka kwa waimbaji wa nyimbo za injili
@@TumainiShangilieniChoir jamani kopy au album yake nitaipata wapi?
Album zipo na zinapatikana hata kwenye flash
25 December 2024 ...Thanks Lord
Dr lupaa nawapenda sana tumaini mumekuwa Baraka ktk maisha yangu na mafanikio pia
nawapenda San jama
jaman tuseme ule kweli hizi nyimbo ni tamu sana mubarikiwe sana
Moyo wangu uliandaliwa kumjua Kristo nikiwa mdogo sana kupitia huu wimbo. Mungu awabariki sana mmefanya jambo kubwa sana maishani mwangu
Huu wimbo unanifanya nikumbuke zamani sana miaka ya 2000 kama sikosei
2024 utukufu Kwa Mungu
Walitamba sana miaka hiyo
Wow, amazing, i remember this from back in 1998.Glory to God.
Mbarikiwe saana mnanikumbush mbal kwel
My Childhood memory, mbarikiwe saana. ❤
mbarikiwe Sana Tumaini Choir toka tupo wadogo mpaka 2023
I can't have enough of this album. The whole of it is just awesome
Kwaya ya pekee, Wimbo tuupendao
Merry Christmas 🎅 🎄 2023.... still listening to this.....
2024 Leo December 3 naskiliza huu utamu
Asante Yesu kwa kutukomboa..😍
Amezaliwa mwokozi wa ulimwengu
Hallelujah..... Nikisikia huu wimbo najisikia kuzaliwa upya...
Mungu awabariki popote mlipo kweli kwaya ya zamani no nzuri sana sana miaka hii sijui waimbaji wanakosea wapi
September 2021 like zenu....huyu solorist ni hataree hii kwaya ina vipaji kwakweli
Unaenda kanisani unafurahi unapata neno kwa kwaya nzuri mungu awabariki sana ninafarijika sana moyoni
25/12/2024 Utukufu una MUNGU...
dash Amani sana hihi Mwaka 2002 nikiwa mbeya
Feel like yesterday, big memories for my lovely Shem Flora kp on resting in peace,
Hakika mnabaiki sana watumishi. Mbarikiwe sana. Nawapenda
25 Dec 2022 bado nasikiliza huu wimbo
hakika ni habari njema kuuona huu wimbo, nakumbuka tulikuwa tunasikiliza redio cassete miaka ya 2003, thanks gus for making our childhood awesome
Naupenda sana huu wimbo, sanaaa...
Nawapenda sana shangilieni kwaya.watu wa Mungu mmenikuza toka utotoni.mjomba angu aliinunua kanda hii na sasa ni Marehemu.Mungu amuhifadhi.Amen
2023...
Naikumba hii kwaya mbalikiwe sana
Safi sana watunzi hasa barikiweni
Huyu mama Alie sollo huu wimbo atakua wapi sahivi?Naupenda huu wimbo hadi leo.Kweli Mungu alijua kuwatumia hakika.
Thank u youtube
I can see my favorite songs as a kid❤️
Hizi nyombo old is gold
My favourite song ❤ miaka yote nyakati za sikukuu ya Christmas unanikumbusha utotoni
Old is gold na inainuwa mioyo sawa kabisa