Nimeujua huu wimbo mwaka 2011, nikiwa form 1, wadada wa UKWATA walikuwa wakiimba kwaya form 4. Na nimeupata leo 18/04/2024, tangu 2011. Wimbo una upako, ndio maana bado unaendelea kuishi mioyoni mwa watu. Miaka yote io tangu nimeusikia mpaka leo bado unaimba. Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema. AMEN
Kwa kweli nimekuwa nikiutafuta sana huu wimbo. Nimefurahi sana kuupata na kwa kweli siachi kuusikiliza mara mbili au zaidi kwa siku. Unanibariki sana hasa nikiangalia safari yangu ya maisha, maana bila yeye Mungu nisingekuwa hivi nilivyo. Ubarikiwe sana uliyetuwekea mtandaoni.
Watunzi wa nyimbo Kama hizi ni tunu na Sasa hawapatikani kwa sababu walitunga nyimbo hizi wakiambatana na wito kutoka mioyoni mwao na sikama wafanyabiashara walio wengi ndani na ya hekalu la Mungu waleeeee ambao YESU aliwachapa vipoko
Barikiwa sana wewe uliyeweka huu wimbo ,nimeutafuta sana miaka mingi .Wimbo huishi hamu ,Maneno ya kukupa nguvu za ushindi.Amina .Naupenda sana wimbo huu.
mimi nikushukuru sana mtumishi....huu wimbo nimeutafuta sana mpaka nikatamani kulia nilipoukosa....yaani nimefurahi sana kuupata huu wimbo....huu ni ushuuda sana kwangu......Naupenda huu wimbo...unanifanya niifikirie safari yangu ya wokovu hapa duniani na tumaini langu ya kwamba sitamuacha Bwana wangu hata iweje
Huu wimbo kabla haujaanza kupigwa mfululizo redioni kwanza niliota ukiimbwa ktk ndoto mwishoni mwa mwaka 2005 na baada ya kuamka nilipata shida sana maana niliusahau na sikumbuki kama niliwahi kuusikia hapo kabla namshukuru Mungu kuanzia mwanzoni mwa 2006 ukawa ni miongoni mwa nyimbo zilizopigwa mara kwa mara redioni
Mpendwa ubarikiwe saaana sana sana... huu wimbo haujawahi chuja ni mzuri ajabu. Tunashukuru kutuletea huu wimbo tusaidie basi na nyingine kama HERI UJE BWANA YESU TWAKULILIA.... @Mleli Sbl
Nimeusikiliza huu wimba ambo tune take niliisikia kitambo sana mpk sasa bado inanibariki nimetoa machoz kweli nyakat ngumu zipo Leo 2023 nausiliza bado asante yesu kwa kunipa nafas ya kuishi
Tunaomba tuwekewe nyimbo nyingine za Albam hii tunawaombea tafadhali tafadhali wahusika huu ndio uimbaji uluotumuka tafadhali Sana wekeni RUclips nyimbo zote
Natafuta wimbo sikumbuki unaitwaje lakini una maneno "kisha nikauona mji ule mtakatifu Yerusalemu , ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu umewekwa tayari, kama bibi harusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe, nikasikia sauti kuu ikisema "tazama maskani ya Mungu I pamoja na wanadamu", naye atakuwa katikati yao, naye atafuta kila chozi kwenye macho yao....."
Hawa jamaa walikorofishaga kipindi cha huu wimbo. Wakazuiwa kuzindua hii album kama kumbukumbu zangu ziko sawa. Kwahiyo sidhani kama hii kanda/dvd iliingizwa sokoni. Ni mda sana hata hivyo. Baadhi ya waimbaji walihama, n.k.
@@kisaipopo1176 hapana hatukukorofishana mpendwa hii ni kwaya ya vijana tulizindua huu wimbo na tuliuza sana tu tu hii albam, kama unafuatilia kwaya za vijana kuna kipindi kinafika kutokana na majukumu wengine wanahama wngine wanaolewa kwa hiyo wengine wanatoka wengine wanaingia. mimi ni mmoja wa waimbaji wa hii albam bado kundi lipo sema wote tuliomba huu wimbo kwa sasa tupo kwenye kwa ya zingine umri wa ujana ulishatutupa mkono tumeachia wadogo zetu bado wanaipeperusha albam huduma inaendelea.
@@claraphilip3455 ohooo...ila kumbukumbu zangu zinanikumbusha hivo, afu pia nimesema "mlikorofisha" sijasema mlikorofishana. Enewei Ila nnachokumbuka ni mchungaji na Baraza la wazee lilizuia kitu. Kama sio uzinduzi basi kingine. Ila nihivyo. Na Kama ulikuepo enzi zile huu wimbo unaimbwa alie imba solo ni Agnes si ndivyo?! Yote ni mema Kwa utukufu wa MUNGU mpendwa. Barikiwa.
@@kisaipopo1176 ameen mpendwa, ishu haikuhusiana na albam ya ninamjua tulitoa albam nyingne kukawa na mkanganyiko kwenye issue ya wimbo wa kubeba albam, ila hii ya ninamjua tulikuwa poa mwanzo mwisho, aliyueimba solo kwenye wimbo huu ni salome inunu.
Nimeujua huu wimbo mwaka 2011, nikiwa form 1, wadada wa UKWATA walikuwa wakiimba kwaya form 4. Na nimeupata leo 18/04/2024, tangu 2011. Wimbo una upako, ndio maana bado unaendelea kuishi mioyoni mwa watu. Miaka yote io tangu nimeusikia mpaka leo bado unaimba. Mungu atusaidie tuwe na mwisho mwema. AMEN
Amen
Kwa kweli nimekuwa nikiutafuta sana huu wimbo. Nimefurahi sana kuupata na kwa kweli siachi kuusikiliza mara mbili au zaidi kwa siku. Unanibariki sana hasa nikiangalia safari yangu ya maisha, maana bila yeye Mungu nisingekuwa hivi nilivyo. Ubarikiwe sana uliyetuwekea mtandaoni.
Amen
Nami pia unanibariki sana
Machozi yananilengalenga nikikumbuka yaliyopita huu wimbo jamani mbarikiwe waiio
Watunzi wa nyimbo Kama hizi ni tunu na Sasa hawapatikani kwa sababu walitunga nyimbo hizi wakiambatana na wito kutoka mioyoni mwao na sikama wafanyabiashara walio wengi ndani na ya hekalu la Mungu waleeeee ambao YESU aliwachapa vipoko
Mbarikiwe sana huu wimbo ni mzuri unanikumbusha 2007 nikiwa morogoro ndio huwa nausikiliza
mwalimu Ombeni beat zako nazikubari sana
I am still listening in 2020
Still listening
Who is listening this song today. Real I'm blessed with song!
Same here
Barikiwa sana wewe uliyeweka huu wimbo ,nimeutafuta sana miaka mingi .Wimbo huishi hamu ,Maneno ya kukupa nguvu za ushindi.Amina .Naupenda sana wimbo huu.
mimi nikushukuru sana mtumishi....huu wimbo nimeutafuta sana mpaka nikatamani kulia nilipoukosa....yaani nimefurahi sana kuupata huu wimbo....huu ni ushuuda sana kwangu......Naupenda huu wimbo...unanifanya niifikirie safari yangu ya wokovu hapa duniani na tumaini langu ya kwamba sitamuacha Bwana wangu hata iweje
rapahel kamwela Amen
Wimbo huu unanipa nguvu sana! 2020 march listerning one of my best song of ol time!
nmeutafta wimbo huu kwa mda mrefu ila nmeupata leo asante sana
Ya kitambo sana toka nipo shule ya primary 2005 to Leo 2020 ni favorite songs😘😍😍😍
Nice song yaani natamani kulia
VIJANA KKKT TABATA KIMANGA 2007
wameimba kwaya gan mungu akubariki ulie uweka nimeutafuta sana bila mafanikio hakika nimeupata
Ni moja ya nyimbo nzuri na tamu kwa kila kitu na za zamani zenye mafuta ya Roho Mt, hazichuji!
Nimebarikiwa saana kupitia wimbo huu,hata iweje sito muacha bwana wangu ni hakika nashangilia ushindi...Amen
Nabarikiwa sana na wimbo huu ipo nguvu katika hii nyimbo,MUNGU ni MUNGU tu
Nambuka enzi nasoma Nyakato secondary-Bukoba 2006-2009,wimbo huu walikuwa wanauimba sana Bukoba Lutheran secondary school!!!tukiwa tuko joint mass Ihungo, Kahororo, Rugambwa, Kagemu, omumwani, da!!.Nmemisss ukwata
😂😂😂,
nina zaidi ya mwaka ninautafuta wimbo huu niliusikiliza sana miaka 2006-2009 asante mleli family
Blessing to all who listenining a such kind beautifully gospel song like this🙏🙏🙏
Ni zaidi ya miaka minne nautafuta huu wimbo, hakika Mungu yupo yote haya yanawezekana kwasababu yake
upendo ulaya Amen
upendo ulaya Amen
Yaan acha tu huu wimbo unanikumbusha mbali sana, hata mm niliutafuta sana
Mimi nautafuta tangu 2009
Yani mm toka 2014 nautafuta ndo nauona leo jaman daah unanikumbusha Chome Sec school
Unanikumbusha mbali sana huu wimbo, na ninaupenda una ujumbe nzuri sana
Kwa kweli Mungu ni mkuu
A beautiful and blessed song touches my heart, I really appreciate this song and the message found within....👏👏 blessed all
Ppp0799
Huu wimbo kabla haujaanza kupigwa mfululizo redioni kwanza niliota ukiimbwa ktk ndoto mwishoni mwa mwaka 2005 na baada ya kuamka nilipata shida sana maana niliusahau na sikumbuki kama niliwahi kuusikia hapo kabla namshukuru Mungu kuanzia mwanzoni mwa 2006 ukawa ni miongoni mwa nyimbo zilizopigwa mara kwa mara redioni
Samahani naomba kujua umeimbwa na kwaya gani?...
Dah hatimae nimeupata huu wimbo🎉🎉
Huu ni unjilisti kamili! Powerful song and does wonders in my life!
Mpendwa ubarikiwe saaana sana sana... huu wimbo haujawahi chuja ni mzuri ajabu. Tunashukuru kutuletea huu wimbo tusaidie basi na nyingine kama HERI UJE BWANA YESU TWAKULILIA.... @Mleli Sbl
Wiki mzuri mno!! Wimbo una ujumbe mzito, wimbo unaburudisha kwa kiwango, waimbaji wake Mungu wa mbinguni awape miaka mingi nyie na uzao wenu.
Nimeusikiliza huu wimba ambo tune take niliisikia kitambo sana mpk sasa bado inanibariki nimetoa machoz kweli nyakat ngumu zipo Leo 2023 nausiliza bado asante yesu kwa kunipa nafas ya kuishi
Mwalimu wangu ombeni da alipiga kinanda kwA ustadi mkubwa barikiwa kk
nabalikiwa Sana na huu wmbo....... kwa hakika nmeweka na mungu apa dunian😢
Wimbo wa zamanii lkn ni mpya kwng kila siku, naukumbuka Sana miaka ya 2004 nasubiri kwnza advance
Sarome mwalimu wangu darasa la kipaimara 2007and 2008 mungu akutunze uendele kumtumikia 🙏🙏
Nimeutafuta huu wimbo finally thank you God
Du wimbo huu bila ya RUclips zingepotea kabisa
Sintamuacha bwana wangu ninashangilia ushindi Asante mungu wangu
Uwiiiii jamani huuu wimbo naupenda sana mungu aibariki hii kwaya
Daaah!! Wimbo wangu, naupenda sana
Umenikumbusha zamani mno. Dah!! UBARIKIWE SANA. 🙏
Dah wimbo huu haujawahi kunikinai,, utukufu kwa BWANA
Glory to God ,huu wimbo niliusikia kitambo sana kama sikosei miaka ya 2000
2005
My song 2023 🥰🥰
Mungu awabariki sana na kuwainua, huu ujumbe ni zaidi ya mahubiri
2022 BADO NIKO HAPA NA NINAMJUA ALIYENIWEKA DUNIANI...HATA IWEJE SITAMUACHA BWANA WANGU!
mungu nitie nguvu katika safari yangu
Baraka za Bwana ziwe juu yenu
Vijana - Kimanga. Niliipata Audio Tape 2005 na pia 2007 .
naupenda Sana huu wimbo
daah kkkt kimanga .... ninamjua Yesu.... shukrani kwa aliyeuweka
Naupenda Sana huu wimbo
Asante sana kwa kuwataja waimbaji
Nabalikiwa sana nahuu wimbo
Nimejikuta nakumbuka huu asubuhi. Hakika Hakuna Aliye Mkuu zaidi ya Mungu . 🙏🙏🙏
kwel jaman dunian hapa kuna aliye tuweka hapa tena kwa makusudi yake .
Tunaomba tuwekewe nyimbo nyingine za Albam hii tunawaombea tafadhali tafadhali wahusika huu ndio uimbaji uluotumuka tafadhali Sana wekeni RUclips nyimbo zote
What anice song it keeps me going.🙏🙏
Mungu yupoooo yote haya yanawezekana kwa sababu wewe Mungu upon nimebarikiwa sana
Rehema gud song
Jamani naomba kujua albam yake inaitwaje
i love this song
Vema mmenigusa barikiwa
Sichoki kuusikiliza unanibariki sana huu wimbo
Am in love with this blessed song🙏
Nafarijika Sana nisikilizapo wimbohuu
L
Naupenda sana huu wimbo mpaka nachanganyikiwa jamani
Naupenda sana huu wimbo mno
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOD MESSAGE!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hata iweje sitamuacha MUNGU wangu ,,,,, ooh thanks JESUS.
Aupenda mno huu wimbo Hakika duniani nimewekwa na mungu na si mwanadam
Still blessed by the Song Dec 2021
Nice song
Ninamjua ✍️💞
Hakika Yesu ni rafiki wa kweli.
Tuzipate wapi tafakari zenye kuponya Kama hizi jamani? Mungu wambinguni azidi kuwainua wanna wake
Hakika muliimba
Napenda ujumbehuu mungu yupo
Amen amenivusha na megi sana Yesu awainuwe zaidi
Mungu yupo yote haya yanawezekana kwa sababu Mungu yupo 🙏🙏🙏
2024....Ninanmjua alieniweka duniani
Nampenda huyu yesu sana mana amenishindia na mengi mungu awabarik waimbaji hakika yesu ni jibu
Mungu anapoandikwa "mungu" maana inabadilika kuonyesha mmoja wa miungu.
Nyimbo inankumbusha mbali sana hii
Natafuta wimbo sikumbuki unaitwaje lakini una maneno "kisha nikauona mji ule mtakatifu Yerusalemu , ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu umewekwa tayari, kama bibi harusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe, nikasikia sauti kuu ikisema "tazama maskani ya Mungu I pamoja na wanadamu", naye atakuwa katikati yao, naye atafuta kila chozi kwenye macho yao....."
Safi sana
Mungu wa mbinguni awabariki watu wa Mungu!!!
Nakumbuka mbal kwel, stil hittng 2019✌🏽
Georgina Mtika Karibu sana kimanga
Real Sitamuacha Bwana.Hii ni ahadi yangu kwa Mungu wangu.
Wimbo ulinibariki na hata sasa unanibariki
Nilishautafuta huu wimbo mpk asante leo nimeupata
consolater Lema Mimi je ni zaidi yako shukrani kwa aliyeuweka
kweli ushindi nimeupata waimbaji mbarikiwe sana
Daaaa kama kuna wimbo huwa nautafuta basi huu Leo nilikuwa najaribu tu nikaupata hakika huwa unanibariki sana
Hey 2022...
Tujuane hapa
Tabata kimanga asanteni kwa ujumbe mzuri.
Mungu nimwema sana
Namtafuta aliyeimba huu wimbi jamani
glory to God ❤❤❤
asante sana kwa wimbo huu
JOHN FRANCIS abarikiwe sana aliyeuweka
Very nice
Kweli kabisa Mungu yupo. Na yote yanawezekana
Kwaya ya Vijana KKKT Tabata Kimanga. Wimbo umenikumbusha mbali sana.
Niliutafuta wimbo huu toka 2011 nikaupata 2018 kwa mleli family
Hakika huu wimbo unanikumbusha mbali sana, nimetafuta albamu ya hii kwaya haipatikani! Mwenye kujua naipataje kwa garama yoyote plz
Ukiipata naomba uniambie na mimi asee
Hawa jamaa walikorofishaga kipindi cha huu wimbo. Wakazuiwa kuzindua hii album kama kumbukumbu zangu ziko sawa. Kwahiyo sidhani kama hii kanda/dvd iliingizwa sokoni.
Ni mda sana hata hivyo. Baadhi ya waimbaji walihama, n.k.
@@kisaipopo1176 hapana hatukukorofishana mpendwa hii ni kwaya ya vijana tulizindua huu wimbo na tuliuza sana tu tu hii albam, kama unafuatilia kwaya za vijana kuna kipindi kinafika kutokana na majukumu wengine wanahama wngine wanaolewa kwa hiyo wengine wanatoka wengine wanaingia. mimi ni mmoja wa waimbaji wa hii albam bado kundi lipo sema wote tuliomba huu wimbo kwa sasa tupo kwenye kwa ya zingine umri wa ujana ulishatutupa mkono tumeachia wadogo zetu bado wanaipeperusha albam huduma inaendelea.
@@claraphilip3455 ohooo...ila kumbukumbu zangu zinanikumbusha hivo, afu pia nimesema "mlikorofisha" sijasema mlikorofishana. Enewei Ila nnachokumbuka ni mchungaji na Baraza la wazee lilizuia kitu. Kama sio uzinduzi basi kingine. Ila nihivyo. Na Kama ulikuepo enzi zile huu wimbo unaimbwa alie imba solo ni Agnes si ndivyo?! Yote ni mema Kwa utukufu wa MUNGU mpendwa.
Barikiwa.
@@kisaipopo1176 ameen mpendwa, ishu haikuhusiana na albam ya ninamjua tulitoa albam nyingne kukawa na mkanganyiko kwenye issue ya wimbo wa kubeba albam, ila hii ya ninamjua tulikuwa poa mwanzo mwisho, aliyueimba solo kwenye wimbo huu ni salome inunu.
Huwa sichoki kuusikiliza.
MUNGU Yuko hakika
Naomba kujua huu wimbo uliimbwa na kwaya gani?
Still enjoying Oct 2022
aisee long time ago......
Wimbo mzuri sana
Barikiwa sana kkkt kimanga
2021 still listening🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Wimbo ulio bora kabisa
God is good wapendwa
Nimeutafuta mda sana inanimate nimeshinda kukumbuka wenye waliimba na siwezi download maana hata haupo Mahali pengine zaidi ya hapa
Dah ctaki kuamin kama nimeupata huu wimbo miaka zaid ya 10 nautafuta hatimaye meupata
This song is the best
prenge moshi Ipo albam mpya inaenda kwa jina la Nmpenda Bwana tutakuja moshi
Huu wimbo unanikumbusha mbali Sana 😭
Very nice app for community
Haleluyaaaaah.....
1.1.2025 my song ❤
Asanteni Sana mungu awabariki sana