Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Nabarikiwa ninapo usikia wimbo huu
Nice song🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri Sana nakumbuka mengi mnoo jmn
Kila nikisikia wimbo huu nauona ukuu WA MUNGU katika maisha yangu, toeni video jaman
Kweli. Mungu ametuvusha katika majaribu mengi.asante muimbaji MUNGU AKUBARIKI KWA HUDUMA YAKO.
Amen Amen Amen mpendwa
Mungu akubariki kwa wimbo wa faraja.
Amen
Huyu wimbo 2024 Bado unahudumia maisha Yangu.Hata iweje sitamuacha BWANA wangu.
2023 bado nasikiliza
Huu wimbo jamanii, barikiwa sana mtumishi
Jamani naupenda sana huu wimbo mpaka naona kuchanganyikiwa Mungu akubariki sana muimbaji
Jaman tunasubir video ya hii nyimbo naipenda sana nabarikiwa sana na huu wimbo.
Hallelujah, umenivusha huu wimbo.
Ninyi ni kwaya kubwa sana tupeni burudani ya video:
Wimbo bora katika maisha yangu
KARIBU UMOJA WA VIJANA.KKKT - KIMANGA UPATE COPY YAKO NA VIDEO MBALI MBALI ZA KWAYA YA UMOJA WA VIJANA KIMANGA
Safi mtumishi
Kwaya inaitwaje hii?
KKKT tabata kimanga nakumbuka mbali sana
Nabarikiwa ninapo usikia wimbo huu
Nice song🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri Sana nakumbuka mengi mnoo jmn
Kila nikisikia wimbo huu nauona ukuu WA MUNGU katika maisha yangu, toeni video jaman
Kweli. Mungu ametuvusha katika majaribu mengi.asante muimbaji MUNGU AKUBARIKI KWA HUDUMA YAKO.
Amen Amen Amen mpendwa
Mungu akubariki kwa wimbo wa faraja.
Amen
Huyu wimbo 2024 Bado unahudumia maisha Yangu.
Hata iweje sitamuacha BWANA wangu.