hizi nyimbo ni nzuri sana sababu zina nguvu ya Mungu naamini hamkutumia akili kuzitunga bali Roho Mtakatifu aliwaongoza, naomba Mungu azidi kuwaongoza mtunge nyimbo nzuri zaidi na zenye nguvu ya Mungu pasipo kutegemea akili zenu,, barikiwa sana,, natamani kuona nyimbo kama hizi tena, God bless you..
Dada Angu Beatrice Na Waimbaji wote mbarikiwe Sana nimekumbuka mbali Sana Aisee Ni mda now tushakua watu wazima saivi Ni kwa Neema tu My all time Choir of all time🙏
I still don't understand why this of our generation can't sing such spiritual songs.personally listened to this song since I was young and not stopping anytime soon.
Haleluya! Kwa kweli natamani siku zirud nyuma. Mungu awainue watumishi wa Bwana mzidi kushikamana na muepuka migawanyo ili kwaya hiyo idumu daima. Tambueni kuwa mnawaponya na kuwavuta wengi kwa Kristo. Fanyeni kama kwa Kristo!
Mtumishi kama ulikuwa hujalijua hilo basi Beatrice atakuwa your mother instead of your sister. Anyway, Jina la Bwana lizidi kuhimidiwa kwa ajili yake na yako pia.
I wish could turn the clock back to those days where gospel used to be gospel. May God bless this choir, I was a little boy when this song or album came out but I still have with him, I listen to changilieni choir wherever I'm. To me this song will never get older.
Huzi ndo nyimbo Hadi kwenye kilindi cha moyo siyo za sasahivi pamoja na mavyombo ya kisasa hazifui dafu hii CD mkiweka kwenye Makitaba hii inatafutwa sana
Tumain st james choir Arusha nawakubali sana Mungu azidi kuwatunza. Nakumbuka nikiwa mdogo nilikua namuibia mama 50 naenda kulipia video ili niwaone. Nawapenda sana. Natamani siku moja niwaone kwa macho ya nyama
Hizi nyimbo huwa zinanikumbusha mbali sana miaka karibia 25 iliyopita lkn bado nazipenda sana. Siku noja muungane tena mtoe nyimbo pamoja jamani. Tunawapenda sana
I was young now I'm aging but this is music I will choose any day because it is pure encouragement, pure truth and pure gospel. Keep singing great choir.
Basically songs i grew up litsening to. And i always litsen now that im older and i pray to God that i may plant such songs to my children and their generation. This song is so good. Bwana amefufuka 🎉
Nyimbo hizo kutoka kwa kwaya hii ya Tumaini Shangilieni,, nikizisikia sasa najisikia kulia maana zinanikumbusha mbali sana,, jamani kweli muda unakwenda tumrudie tu Mungu,,maana yote ni ubatili mtupu,, me ni msabato lakini Hakuna kwaya naipenda hapa Tanzania kama Shangilieni,, nawapenda na mkitaka kuamini mnialike hata kwenye harambee zenu lazima nifanye kitu,,wasalimie wanakwaya wote
01.08.2020 ( 01:00 am) nipo Iringa kwa sasa, Nimepata msukumo wa sauti iliyonijia mara kadha, iliyokuwa ikiimba nyimbo za Kwaya hii usiku huu, imenibidi nianze kuzitafuta na kuanza kusikiliza. Nipo namwimbia Bwana kwa sauti usiku huu wa manane.zinanibariki sana na zinanikumbusha nilipokuwa mtoto. Mungu mwema sana.
waaau sifa na utukufu tunamrudishia Bwana yesu.Mungu awabariki sana na kuwainua viwango vingine.asanteni kutuwekea albamu hizi kwa u tube.mimi ni mkereketwa wenu tangu zamani sana niko msa kenya.Naombeni muwekehata ile albamu yenu ya audio toleo la kwanza njoni njoni.naipenda sana sana inanikumbusha mbali na matendo makuu ya Mungu.
Daa natamani kulia 1999 ndio niliitazama hii nyimbo kwa mara ya kwanza 20 years ago.Huyo jamaa anaepiga gita ya bezi siku hizi ni kibonge hatari. Sjui wengine wapo wapi?
Toka mdogo nilikuwa naupenda huu wimbo mpaka leo 2024 mpaka sasa na miaka 38
Amen Amen, Sifa na Utukufu ni kwa Bwana Yesu
hizi nyimbo ni nzuri sana sababu zina nguvu ya Mungu naamini hamkutumia akili kuzitunga bali Roho Mtakatifu aliwaongoza, naomba Mungu azidi kuwaongoza mtunge nyimbo nzuri zaidi na zenye nguvu ya Mungu pasipo kutegemea akili zenu,, barikiwa sana,, natamani kuona nyimbo kama hizi tena, God bless you..
Vita imekoma hakika ' nyimbo hii itadumu vizazina vizazi waimbaji mtunzi nlishukiwa narohomtakatfu wakat wakatunga nakuimba hi nyimbo
Bora Mhone,acha akina Christina Shusho wanatetea uovu tuu,. "Hapo Tumaini shangilieni mnanikumbusha kipindi kilee 1999, hongereni zenu🙏👍📖📖
Jamani nyimbo hizi Zina ujazo wa roho mtakatifu kutoka Lusaka❤❤😅😅
Dada Angu Beatrice Na Waimbaji wote mbarikiwe Sana nimekumbuka mbali Sana Aisee Ni mda now tushakua watu wazima saivi Ni kwa Neema tu My all time Choir of all time🙏
Hivi hii album ilitoka lini maana mie nakumbuka nimeanza kuiona na kuisikiliza mwaka 2002 mwanzoni!
I still don't understand why this of our generation can't sing such spiritual songs.personally listened to this song since I was young and not stopping anytime soon.
Hakika nyimbo hizo Zina upako wa Hali ya juu .lihimidiwe jina lako bwana Yesu na Dunia yote na isudu jina lako maana ni jina lipitalo majina yote.
Mmmh miaka hiyo wakati hatujachakachua miili yetu
Hizi nyimbo zko Na heshima YA wokovu barikiweni sana ❤
Hao waliopiga magitaa ya solo, rythm na bass katika wimbo huu wamenibariki sana, nami naomba Mungu awabariki wao mara elfu moja, ameni
Nilikuwa naupenda huu wimbo sana mbarikiwe miaka hiyo nskumbuka mbali nikiwa napita kwenye dhiki nikiimba huu wimbo nafarijika
Haleluya! Kwa kweli natamani siku zirud nyuma. Mungu awainue watumishi wa Bwana mzidi kushikamana na muepuka migawanyo ili kwaya hiyo idumu daima.
Tambueni kuwa mnawaponya na kuwavuta wengi kwa Kristo. Fanyeni kama kwa Kristo!
Kabisa hawa watu wanaimba sana 👏👏👏🙌
Toka mdogo nilikua naipenda Sana huu wimbo mpaka sasa 2022 mbarikiwe Sana waimbaji wote.
2023 bado tuko hapaaa
My sister Beatrice Muhone kumbe umetoka mbali Mungu akutunze milele
Amen.
Is Beatrice Muhone the lead singer????
Hapa ndo kuna nyimbo za dini sasa suluali mawigi kucha haaa hizi ndo nyimbo
Na mme wake yupo hapo umemwona??
Mtumishi kama ulikuwa hujalijua hilo basi Beatrice atakuwa your mother instead of your sister. Anyway, Jina la Bwana lizidi kuhimidiwa kwa ajili yake na yako pia.
Ahsante sana Bwana Yesu kwa kunikomboa kutoka katika utumwa wa dhambi
2020❤️ like hapa
Natamani Sana majira haya yangerudi tena
Kwakweli
Kabsaa
The best tz
Mimi piya
Mungu awabariki waimbaji na wanamuziki wa kwaya hii popote walipo, Ameni.
I wish could turn the clock back to those days where gospel used to be gospel. May God bless this choir, I was a little boy when this song or album came out but I still have with him, I listen to changilieni choir wherever I'm. To me this song will never get older.
Anayetizama hii video 2023 ubarikiwe sana ,wimbo unagusa moyo wangu huu
Mungu ni mwema natamani na mimi siku moja niwe apoo🙏🙏🙏
Nakumbuka mbali kwa kweli, nabarikiwa sanaa, tangu 1996,7,8. Dah!! Mbarikiwe sana, Mungu awakumbuke kwa kazi hii kubwa 🙏🙏
Yaani nyie ndo waimbaji haswa, naomba mfike mbinguni 👏👏👏👏👏🙌
Nimeanza kusikiliza wimbo huu tangu 1999 hadi leo ninaukubali
MUNGU azidi kuibariki huduma yenu na kuiinua kwa viwango vya juu zaidi
Natatamani kuwabariki na big lunch...35 yrs listening to this album
Wimbo mtam sana huu!❤❤
Hawa waimbaji nihatari tupu Mungu awabariki.
Wanaimba vizuri muhindo from drc
Huzi ndo nyimbo Hadi kwenye kilindi cha moyo siyo za sasahivi pamoja na mavyombo ya kisasa hazifui dafu hii CD mkiweka kwenye Makitaba hii inatafutwa sana
From Goma DRC, this song reminds me past years!
May God bless the choir. Hope singers are still alive and happy❤
Wimbo wakiroho kweli. Waimbaji hawa Mungu awabariki
Tumain st james choir Arusha nawakubali sana Mungu azidi kuwatunza.
Nakumbuka nikiwa mdogo nilikua namuibia mama 50 naenda kulipia video ili niwaone.
Nawapenda sana.
Natamani siku moja niwaone kwa macho ya nyama
Amina Beatrice mhone nakupenda sana
Hawajamaa wanàjua Sana sio kwaya zaleo hakunakitu
Hizi nyimbo huwa zinanikumbusha mbali sana miaka karibia 25 iliyopita lkn bado nazipenda sana. Siku noja muungane tena mtoe nyimbo pamoja jamani. Tunawapenda sana
Nahitaji ule wimbo wa "Mimi ndimi mzabibu asema Bwana."
nyimbo haziishi utukufu
Ujumbe murwa kwelikweli. Utunzi unaozingatia neno la Bwana. Mungu ainuliwe.
Hakika hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana
I was young now I'm aging but this is music I will choose any day because it is pure encouragement, pure truth and pure gospel. Keep singing great choir.
Daaa nakumbuka mbali sana. Wimbo mtamu sana, yaani unajikuta tayari uko mbinguni!
Basically songs i grew up litsening to. And i always litsen now that im older and i pray to God that i may plant such songs to my children and their generation. This song is so good. Bwana amefufuka 🎉
Nice 👍 one,,Kwanza io combination ya guitar,,,❤
2021 mnipe like
Aisee mimi ni kijana lakini hizi nyimbo, album yote pleaseeeee... naitafuta sana
Who is still watching this wonderful album in August 2021
I do.....very good
2023... still listening 🎶 👌 ❤️
Nyimbo hizo kutoka kwa kwaya hii ya Tumaini Shangilieni,, nikizisikia sasa najisikia kulia maana zinanikumbusha mbali sana,, jamani kweli muda unakwenda tumrudie tu Mungu,,maana yote ni ubatili mtupu,, me ni msabato lakini Hakuna kwaya naipenda hapa Tanzania kama Shangilieni,, nawapenda na mkitaka kuamini mnialike hata kwenye harambee zenu lazima nifanye kitu,,wasalimie wanakwaya wote
Hallelujah, long time ,mbarikiwe
Huu wimbo Unanikumbusha mbali sana. Kwakweli wimbo huu uko na mguso mkuu wa kiroho
Hivi vita vimekoma sasa,vimeshindwa na nguvu ya uhai.Bwana Yesu amenitendea.Namsifu yeye tu.
Huu wimbo hauchuji...
Aleluya Bwana amefufuka kwelikweli
Lead singer such a beautiful voice
Nakumbuka nikiwa Arusha usariva
01.08.2020 ( 01:00 am) nipo Iringa kwa sasa, Nimepata msukumo wa sauti iliyonijia mara kadha, iliyokuwa ikiimba nyimbo za Kwaya hii usiku huu, imenibidi nianze kuzitafuta na kuanza kusikiliza.
Nipo namwimbia Bwana kwa sauti usiku huu wa manane.zinanibariki sana na zinanikumbusha nilipokuwa mtoto. Mungu mwema sana.
@@TumainiShangilieniChoir Amina Kubwa!
bado naangalia 2019. John Mtango
Jamanii walimu wa kwaya wa zamani wako wapi watusaidi mahali tulipo kwama?? Asante Mungu kwa utume huu
Wapo Ila tatizo hawapewi nafasi wanambiwa wamepitwa na wkt, saizi ni mwendo wa singeli na viduku
😢😢
my favourite song ever,i can watch more n more blessed a lot
boniphace wambura Wimbo Mzuri una Maana Kubwa , Vita Vimekwisha , vimeshindwa na Uzima Huu 💪
Naupendaga sana winbo huu hakika utaishi mile huu wimbo
Dah upako ulitiririka sana mpk leo yunabarikiwa kwa nyimbo hii
Amen, Sifa na Utukufu ni kwa Bwana Yesu
The Great Singers of all Times I see Beatrice with her natural beauty till now keep up with your hubby.Sweet voice as always.
2021 feb 28 be blessed
its so fantastic sana, naipenda sana kwaya hii kwani inanikumbusha mbali sanaaaaaaa, sifa na utukufu ni kwa Bwanaa
Hii Albam kati ya mwaka 1997 au 98
waaau sifa na utukufu tunamrudishia Bwana yesu.Mungu awabariki sana na kuwainua viwango vingine.asanteni kutuwekea albamu hizi kwa u tube.mimi ni mkereketwa wenu tangu zamani sana niko msa kenya.Naombeni muwekehata ile albamu yenu ya audio toleo la kwanza njoni njoni.naipenda sana sana inanikumbusha mbali na matendo makuu ya Mungu.
Hiz zilikuw nyimbo za ukwel
Ni siku nying Sana hakika kwaya za zamani zilikua Tamu,barkiwen Sana watumish wa mungu
Vita vimeshindwa kweliii....
Vizuri sana. Kwa ile cassette ya silaha ya ushindi, kuna wimbo kama wanafunzi chomboni na pia samson, mjaribu kuweka kwa youtube asante
2022🙏🙏🙏
Kuna mpiga gitaa ya rithim anacheza Hadi mabega safi sana kaka mungu awape maisha marefu
Ni mpiga besi sio ridhimu. Anaitwa John Mtangoo
Mungu awabariki sana...my fav choir!😚😚😚
June 2021 my favorite always....
Daa natamani kulia 1999 ndio niliitazama hii nyimbo kwa mara ya kwanza 20 years ago.Huyo jamaa anaepiga gita ya bezi siku hizi ni kibonge hatari. Sjui wengine wapo wapi?
jamani tunaomba na wimbo unaitwa ee bwana uni rehemu sikumbuki ni Albamu gani
Amina.....all the way from Nakumbuka babangu akituletea mkanda huu nikiwa mdogo. mungu apewe sifa
Nyimbo nzuri Sana inaleta upako hongereni Sana Tumaini kwaya
Betrice muhone hongera Sana kwa sauti tamu
John .
Beatrice muhone yuko wapi sik hizi?
Nipo 2024
CHILDHOOD TREASURE hunt
The same to me!
Jamani duuuuh!!!???? Mmenikumbusha mbali sanaaaaaaa,Mungu awabariki sanaaaaa,natamani miaka irudi nyuma
My song in 1997
Mungu awbariki sana
My favourite! Mkiufanyia remix huu wimbo mkatuwekea video yake ya kisasa kama zile nyingine mtakuwa mmetisha
Apewe Sifa BWANa YESU 🙏🏼
Amen Amen
Amina milele amina
Mnanibariki tangu utotoni
Nyimbo nzuri zenye sifa zote: 1,zina upako 2,zina ujumbe unao eleweka 3, ni fupi 4,zina bariki
nyimbo nzuli mublikiwe
Muhone, where are you?
One of the best choir sichoki sikiliza hii albamu
Thing song blessed me when i was still young, I would like to meet them and tell them how much i love them
October 2020 still my favorite
sijaona nyimbo za zamani katika toleo katika kanda iliitwa "tukisoma mathayo"
Sifa na utukufu ni kwenu. Mnaimba kwa kuimanisha sio za siku hizi...barikiweni
Mbarikiwe sana since day one mpaka 2020 nawakubali
The brother with glasses enjoyed the song so much,:
❤amen❤amen❤amen😇🌹✝️🇮🇱
my favorite album from its days
Same here. Listened to this on a DVD deck growing up. Great music, great memories.
🙏