Teknolojia haikuwa kama hivi leo, ila hawa jamaa walipiga vyombo na mixing ilikuwa ya viwango vya juu sana, Big up sana!! Whos is still listerning in 2024?
Namwomba Mungu kama mim na wengine tuliokuzwa katika kumjua Mungu kupitia kwaya hii na watoto wetu nao wakue katika uwepo wako,kukutumainia na kukujua wew Mungu wa Mbinguni.Amen
Mungu akubariki mama yng ulitufundisha misingi mizuri ya dini kupitia nyimbo hizi enzi hizo tukiwa watoto wadog.. hadi leo 2022 naziangalia hapa RUclips na naweza nikaimba wimbo wote.. Mungu azidi kuwabariki waimbaji 🙏💕
Enzi hizo Kilombero, Morogoro hii ndiyo album iliyokuwa inaangaliwa mpaka ina scratch inanunuliwa nyingine. Mpaka sasa nimekuwa mkubwa na familia ya watoto watatu bado mashairi yapo kichwani na inanipa history Safi
Jmn kila nikisiliza hizi nyimbo za hawa waimbaji , namkumbuka Baba mkwe Wangu mpendwa,,ilikuwa kila pakikucha yy nakwaya,, Mungu akupe pumziko lamilele,,upumzik Kwa Amani,, kiukwel nimemkumbuka Sana 😂😂😂
Watching now from France 🇨🇵😍👌 my childhood were made by SHANGILIYENI in DRCongo. Nashukuru mungu kwa yote.and bless my dad who gave us this as a gift siku zile 🎉
Natamani siku moja nije niwaone hawa watu wa Mungu kazi yao hii imenisaidia kukua katika imani. Tangu mwaka 1999 nimejifunza vitu vingi kwa hizi nyimbo zao
these songs where on repeat in the house all my childhood. until we memorized the whole album and the sequence of songs, up to now they are in my head as fresh as the first day. what a blessing to come across this channel. may the Lord our God bless you guys Shangilieni
You guys, live longer! You made my life. Iam currently in Arusha worshiping neighboring Church "Disciples Nations" but I never stop to think of you reflecting your peak performance back in 1996+
Daah enzi zile 😅 1997 ❤❤❤❤❤
Teknolojia haikuwa kama hivi leo, ila hawa jamaa walipiga vyombo na mixing ilikuwa ya viwango vya juu sana, Big up sana!! Whos is still listerning in 2024?
Amen Amen!
Mwanangu leo hii wakasome mixing hizi
2024
Great muzik csn expressly send u to heaven
Hawa jamaa wana balaa sana
Nani yuko na mimi kuangalia wimbo huu 2023
Wote wanaokiri ku
Ikubali kazi ya huyo mtu wa kinanda na gita la bass gongeni like za kutosha hapa.
Machozi Yana ni dondoka, kwa sasa naishi Congo 🇨🇩, kipindi icho nilikuwa nakaa mbeya, Tanzania
Yaani jamani mungu ni mwema mpka Leo hii tupo hai tunasikiliza nyimbo hizi
Dah Hawa jamaa wanajua Sana ujumbe uliopo humu ndan ya nyimbo hii ni mkubwa Sana wanaosikilza 2020 .....BARIKIWA SANA........twenden sawa
.
.
.
.
.
.
.
.
Daah! inanikumbusha miaka ya utotoni.Mungu awabariki hawa watumishi popote walipo
Tunaoangalia huu wimbo 2024 tujuane
Namwomba Mungu kama mim na wengine tuliokuzwa katika kumjua Mungu kupitia kwaya hii na watoto wetu nao wakue katika uwepo wako,kukutumainia na kukujua wew Mungu wa Mbinguni.Amen
Amen Amen Mungu na asikie maombi haya
Ameeeen Ameeen🙏
Nmezaliwa kwenye hizi nyimbo my parents used to play this cassette natamani wangekuwepo leo RIP my parents
Jinalabwana lipewe sifa kupitia nyimbo zake
Nyie wapiga vyombo Mungu anawaona et, mlijua kunifurahisha ambao bado mpo hai Mungu azidi kuwatunza na kuwabariki ❤🎉
Amen Amen, Sifa na utukufu ni kwa Bwana
Amina sifa na utukufu ni kwa MUNGU aliye juu
tunaoangalia 2025 tujuane
I really like this song 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen nilikuwa msichana Enzi hizo nimetoka muhimbili kujifungua first born mwezi nne 1997 nasikiliza wimbo huu nikijiandaa na pasaka
I miss my parents so much..its like she made me memorize these songs so they can confort me. When i found this chanel i just bawled..thank u.
We are so take with this testimony; We pray for your continued prosperity.
Blessings
Wimbo mzuri sana ninapousikiliza Moyo wangu kwatu kabisa Mungu azidi kuwabarki katika uimbaji wenu.
My mum loved them.May she RIP
Asanteni kwa hii injili njema. Ya siku nyingi lakin nzuri
Who is in 2024 enjoying this powerfull song
Hi 👋
Me
Mungu akubariki mama yng ulitufundisha misingi mizuri ya dini kupitia nyimbo hizi enzi hizo tukiwa watoto wadog.. hadi leo 2022 naziangalia hapa RUclips na naweza nikaimba wimbo wote.. Mungu azidi kuwabariki waimbaji 🙏💕
Kama Mimi ,hongera sana Kila nikisikiliza nakumbuka sana Mama yangu Mungu azidi kumlinda na kumpa miaka mingi ❤
Mie ninapo sikiliza hizi nyimbo Zina nibaliki sana sana
Hakika nimejengwa sana na nyimbo zenye kujaa mafundisho na upako mwingi mon.
2022 still watching this song. A real gospel. May God bless you ❤️
Nyimbo za zamani zina upako bwana ,hizi za skuizi ni changamoto... Watu waliku wanaimba toka moyoni..
This song will live forever
Waimbaji kama hawa akipatikana mmoja wao asiingie mbinguni, shetani atamtesa sana. Huwezi kuomba kiroho namna hii halafu usimjue Mungu aliyekuokoa!
🙌🙌🙌🤲🤲
🎸
Mbarikiweni sana. Mlifanya vyema sana hizo enzi na hata sasa nyimbo zenu bado zina ujumbe wa kutufaa sisi.
Yaan kwaya hii inanibariki sana tangu enzi hizo,.... nlikariri nyimbo zote. Mungu awabariki wapendwa
Happyness Masere umeonae
Ulikuwa na umri ngapi?
Have grown listening to them since i was primary mpaka sasa na miaka 31 , mbarikiwe we love U Guy's n miss this
2024 am still going through this songs nikiziliza niza zama lakini ujumbe upo
Lots of love from Kenya. Be blessed tanzanians
Much love to you too dear friend.
Daaaah kipindi kwaya ikienda studio inajua nini inaenda kukifanya👏👏👏👏
mbarikiwe sana
Anno pius najisikia raha
Am so blessing with this choir
Kweli kabisa! Kabisa!
Kabisaaaaa
Enzi hizo Kilombero, Morogoro hii ndiyo album iliyokuwa inaangaliwa mpaka ina scratch inanunuliwa nyingine. Mpaka sasa nimekuwa mkubwa na familia ya watoto watatu bado mashairi yapo kichwani na inanipa history Safi
Kabisa ilikuwa ni mwendo wa kuazimana tu kwa wale wasiokuwa nayo. Gone were the days bro.
Hizi nyimbo zina mafuta ya nguvu sana kulizo zote za sasa from rwanda
Mungu ni mwema sana kwetu huu wimbo umenitoa adi chozi miaka mingi mno ndio tujue kuzitambua nyimbo zilizoimbwa katika loho na kweli
Amen, Sifa na utukufu ni kwa Bwana Yesu
Watu walimwimbia Mungu.
Hakika waliuwasha moto.
Haswaaaa.
Nilifikiri Nalia peke yangu
Tupo rafiki nyimbo nzuri sana
if you knew this before, my friend you are a LEGEND 😃 n be blessed
Mbarikiwe sana ambao bado mnasikiliza 2019 gonga like twende pamoja
2020
I am glad to hear this song because it bring back my memory in 2002.
Childhood memories 😪❤️☺️
Mimi ni mkenya lakini naikumbuka vizuri sana ngoma hii yanikumbusha zama zile
Karibuni tena KKKT Kimara, mlitubariki sana
2021 still watching this is real gospel God bless this choir
Tangu 2001 bado watching nikiwa MACHAKOS KENYA🇰🇪 Barikiweni na MUNGU ,,,,,, AMINA🙏🙏🙏
Inanikumbusha mbali sana nikiwa kisumu mwaka wa 1999
Kwakweli Mungu awabariki,nilikua nikitazama huu wimbo nilipojifungua mtoto wangu ambae sasa ana maliza chuo kikuu, haijachuja barikiweni sana
Mob love from kenya, bringing back memories since the year 2000
Not only the Word of GOD lkn ichi kinandaa mm adi keshoo siuchoki huu wimbo
Nyimbo nzuri sana hii.......Good work ever....🙏🙏
Jmn kila nikisiliza hizi nyimbo za hawa waimbaji , namkumbuka Baba mkwe Wangu mpendwa,,ilikuwa kila pakikucha yy nakwaya,, Mungu akupe pumziko lamilele,,upumzik Kwa Amani,, kiukwel nimemkumbuka Sana 😂😂😂
Jamani naipenda Kwaya ya Tumaini Shangilieni St. James mno. Nyimbo zenu zina upako wa Roho Mtakatifu wa Mungu. Naomba Bwana YESU awabariki sana.
Watching now from France 🇨🇵😍👌 my childhood were made by SHANGILIYENI in DRCongo. Nashukuru mungu kwa yote.and bless my dad who gave us this as a gift siku zile 🎉
Ni kama jana tu nyimbo imetoka kumbe ina miaka❤
❤
Long time kwa kweli
Mi namkumbuka John wakat anapiga Wimborne ewe mwanadam
Nawakumbuka jamaa zangu ...mpaka machozi yananitoka mbarikiwe sana
Barikiwa Sana na hii nyimbo
This song hunikumbusha mbali sana mbarikiwe na Bwana!!
Kazi hii inatusogeza karibu Mungu asanteni sana
Natamani sana YESU siku moja atupekibari cha kuimba pamoja tena nawamiss kuliko kawaidaaa
Kitambo Mungu ni mwema
daah . kitambo sana. 2000 kama sijakosea
Barikiwa sanaaaaaa watumishi wa Mungu
2054 still a banger
JESUS IS KING
Hii ndiyo kwaya bhana Wana adabu ujumbe mziri
Mimi hapa kutoka kenya
Wimbo unanifariji sana mie natamani jumapili moja nami slfajiri ya leo niachiwe na kamba za umasikini
Reminding me of my teenage years and of my parents (RIP)
Love this dong. Amen Jesus Christ gave his life for us.
Hii choir aisee imenikumbusha mbalii sanaaa daaahhh when I was Younger 🙏🏽🍾
We are humbled
nawapenda tumaini, huu mwimbo nashauri my umodify said kwa sasa kwani ni bonge la mwimbo
Hongereni sana kwa ujumbe mzuri
Kwaya hii ynibariki sana..One of my best songs since child hood
Those days with my Dad i miss him so much😢
2023 still listening 🥰 blessed song
Vyombo vimetulia mnoooo napenda
Nyimbo ziliimbwa kwa ufundi mkubwa,sauti unazisikia zote
Nyimbo zinadumu zaidi ya miaka 100 zikiwa na ubora uleule
namuona dada mackfaren na wilson na wengine walikua vijana kabisa
Natamani siku moja nije niwaone hawa watu wa Mungu kazi yao hii imenisaidia kukua katika imani. Tangu mwaka 1999 nimejifunza vitu vingi kwa hizi nyimbo zao
Jamani wimbo mzuri sana nitawapataje.mlio na namba zao nitumie basi watumishi wa Mungu.
Daaah !!! Jamani Raha Sana!!
jamani nimekaa na dadangu tukaanza kuimba ikabidi niwatafute. nilikua nawapendaa hadi sasa nawapenda.
Naomba msaada hii kwaya inaitwaje nsipenda sanaa
@@brianadolfbabat1180 Tumaini shangilieni
Nawapenda jamani mbarikiwa sana,Arusha moja hiyo Safi sanaaaa
my best song from tumaini hadi HUWA nauota huu mwimbo
Hawa jamaa walikuwa wanaujua kweli.
Mungu ni mwema
Kama wote mpo hai kwakweli mungu awatie nguvu
2020 still the best song
2020 🙏
Mubarikiwe sana huu Wimbo yame ni tia nguvu sana katika wokovu
Hakuna Kwaya itakakuja tokea kama Hii, Dah najua mtakataa ila Hakuna
Tungefurahi kuwasiliana nawewe ; 0765637590
@@TumainiShangilieniChoirhuwa natamani nitoe sadaka yangu ndogo kwa SHANGILIENI,KWA JINSI NILIVYOMJUWA MUNGU KUPITIA NINYI,MBARIKIWE MNOOO
My mom's favorite album aki. She loved these songs. RIP mom
May she continue Resting Peace
Natamani wanangu wajue haya Pia kuwa kuna MTETEZI ambaye yupo hata kama tusipokuwepo sisi....LALA PEMA MAMA YANGU ELIPENDEZA
2022,waoh,bado tunaangalia
Congratilation, l still well, god blessed us
❤❤❤❤❤ina upako wa namna ya kipekee sanaaa
Amen, Sifa na Utukufu ni kwa Bwana Yesu
Mungu awabaliki sana
♥️♥️♥️♥️♥️💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏Mungu awabarik woteee mnaockiliza.
Nakumbuka mbali sana
Missed my mom nikisiliza hizi nyimbo
Mmbarikiwe saaana watumishi nakumbuka mbali
Amen Amen
Halleluya Halleluya Bwana amefufuka
these songs where on repeat in the house all my childhood. until we memorized the whole album and the sequence of songs, up to now they are in my head as fresh as the first day. what a blessing to come across this channel. may the Lord our God bless you guys Shangilieni
Amen Amen, May the good Lord bless us all
You guys, live longer! You made my life. Iam currently in Arusha worshiping neighboring Church "Disciples Nations" but I never stop to think of you reflecting your peak performance back in 1996+
Ilikuwa ukiitwa na mama kula unajifanya hujasikia hadi wimbo uishe
Ha ha ha haaaa
Nabarikiwa Sana nikisikiliza nyimbo hizi.
Mpigakinanda angefungua academy kwakweli. Hii ndio maana ya kwaya kila sauti na chombo kinasikika. Raha Sana