Maneno ya wimbo Jongeeni enyi waamini kwenye karamu karamu ya Bwana x2 Jongeeni wote karibuni sogea mkapokee uzima Ni Yule pale Yule pale Yule pale Yesu ndiye Yule pale Yule pale Yule pale Yesu atuitax2 1. Mezani ni mwili na damu iliyowagwa kwa ajili yetu na kwa ajili ya wengi 2. Ustaarabu wa mbinguni kwenye utamaduni wa dunia sadaka na shukrani 3. Jioni ile Bwana Yesu alialika bila ubaguzi tajiri na masikini 4. Ekaristi chakula bora nguvu ya uhai war oho zetu chemchemi ya wokovu 5. Tule mwili na tunywe damu tukae ndani ya Yesu milele naye awe ndani yetu
I am blessed with the song, great voices 👏👌
Great
Excellent performance 👌
We appreciate. Please keep tuned for more and thanks for the support😊
Kindly share to your friends
Naomba nota mkuu
Drop your email or contact 💪
Or simply email us .. The email is in our profile😊
This is beautiful naomba nota za hii song
Maneno ya wimbo
Jongeeni enyi waamini kwenye karamu karamu ya Bwana x2
Jongeeni wote karibuni sogea mkapokee uzima
Ni Yule pale Yule pale Yule pale Yesu ndiye Yule pale Yule pale Yule pale Yesu atuitax2
1. Mezani ni mwili na damu iliyowagwa kwa ajili yetu na kwa ajili ya wengi
2. Ustaarabu wa mbinguni kwenye utamaduni wa dunia sadaka na shukrani
3. Jioni ile Bwana Yesu alialika bila ubaguzi tajiri na masikini
4. Ekaristi chakula bora nguvu ya uhai war oho zetu chemchemi ya wokovu
5. Tule mwili na tunywe damu tukae ndani ya Yesu milele naye awe ndani yetu
Asante✊💥💫
mbalikiwe🙏
Amen.. More Blessings
Love this song
Wow.. Amazing... Help us evangelise more💥💫
www.youtube.com/@silverthreebrothers9095