Mama yake Abuutwalib Mshery wa Yanga asema mwanae hamjui baba yake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 май 2024
  • Mama yake Abuutwalib Mshery amebainisha kuwa mwanaye hajawahi kumuona baba yake kwa kuwa mzazi wake huyo alifariki wakati yeye akiwa na ujauzito wa Abuutwalib.
    Kaka zake Abuutwalib Mshery wampa ushauri mdogo wao ya kwamba ajifunze kutoka kwa Djigui Diarra.
    Dada zake nao wazungumza kuhusu mdogo wao
    Timu ya #AzamTV ikiongozwa na Fatma Chikawe, imefika nyumbani kwa Mshery, Mwang’ombe jijini Tanga ikiwa ni shamrashamra za kuelekea mchezo wa nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup
  • СпортСпорт

Комментарии • 42

  • @aisahafidhi6093
    @aisahafidhi6093 24 дня назад +10

    Kikubwa Allah amembariki anaupendo kutoka kwa familia yake na namuombe kwa Allah azidi kukikuza kipaji chake big up kaka👊

  • @halimasawa611
    @halimasawa611 24 дня назад +7

    Vila nampenda mshery wallah kila siku namuombe Allah amzidishie baraka

  • @user-br7fz4zd5x
    @user-br7fz4zd5x 24 дня назад +4

    Daa mwenyezimungu azidi kumjaalia msheri inshaallah kocha ampe nafasi kipaji chake kizidi kukua ila mama jamani acheni aitwe mama mlokua nao watunzeni nasisi ambao wakwetu wametangulia mbele ya haki tusichoke kuwaombea wapumzike kwa amani 😊😊😊😊

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 24 дня назад +3

    Hapo kwa Asmah! Mshery tutayajenga vizuri

  • @madibasenior412
    @madibasenior412 24 дня назад +4

    Ila dadake mshery mwenye gauni la dongo jekundu mzuri kama umeshtukia ilo gonga like apa

    • @lilmojr7
      @lilmojr7 22 дня назад +1

      Weeee mbayaaaa..😀😀😀

  • @user-qw4gh8so2p
    @user-qw4gh8so2p 24 дня назад +3

    Mshery ver charming❤

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 24 дня назад +2

    Allah azidi kukubariki mdogo wangu Butwalib

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 24 дня назад +3

    😢😢kama mm tu hapa ckumuona ety alifariki nikiwa na miaka 2 jmn ila Mungu ni mwema sai niko 23yrs namuombea mama angu umri mrefu

  • @sadahamad6158
    @sadahamad6158 24 дня назад +2

    Mama ❤❤❤❤ familia 🎉🎉🎉

  • @chamgiwadu
    @chamgiwadu 18 дней назад

    Hapo kwa Max Nzengeli. The young man is good, a very good Player. Young Africans supporter from Nairobi Kenya 🇰🇪

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 24 дня назад +2

    Mzee Hamidu Mshery Allah amrehemu

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 24 дня назад +2

    mashaal mshery una dadaa mzuriii

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 24 дня назад +1

    Safi sana mwamba Abutwalib Mshery

  • @user-yk7ff9ks6q
    @user-yk7ff9ks6q 24 дня назад +2

    Mungu amemleta msheri yanga

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv 24 дня назад +1

    Dah mapenzi mazuri kwa mama mashallah

  • @bakarirajabu3783
    @bakarirajabu3783 24 дня назад +1

    Abu twalibuh mshery pole Sana mdogo wangu muhim hongeza juhudi mdogo wangu umetoka mbali lkn usjl mungu atakujalia

  • @anodearsulusi7536
    @anodearsulusi7536 24 дня назад +1

    Nimependa familia yake inavyompa moyo 🙏🙏🙏

  • @josephinejoseph3919
    @josephinejoseph3919 24 дня назад +1

    Waoow

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f 24 дня назад +1

    Nic san

  • @temuramadhani5134
    @temuramadhani5134 20 дней назад +1

    Tatizo lipo kw a mama

  • @omarymzuri8012
    @omarymzuri8012 24 дня назад +1

    ASALAAM WALKHUM ASMAH!!

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 24 дня назад +2

    nimejikuta nalia

  • @youtube.mwosatv
    @youtube.mwosatv 24 дня назад +1

    Honestly 😢 Azam tv broadcast u have done better thing ... Mpaka machozi yamentok

  • @iddkessy
    @iddkessy 23 дня назад

    Hiyo simu ya msher na mama imenitoa machozi nimemkumbuka mama yangu aliyeyangulia mbele za haki

  • @timcee2670
    @timcee2670 24 дня назад +1

    rekenisheni kichwa kwamba alifariki kabla Msheri hajazaliwa, kusema mtoto hamjui baba yake ina maana nyingi sana zikiwemo zenye kumjengea picha mbaya mama.

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 24 дня назад

      @timcee2670 hapo kuna ajenda gani ya kuuliza hayo elewa hamjui baba,ujuwe umri wa mtu kutambua.

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 24 дня назад +4

    Mbona me nimejikuta nalia 😭😭😭

  • @mustafamandindi6434
    @mustafamandindi6434 24 дня назад

    Kwaiyo ata wewe mama umjui baba yake c umtajie ili amjue

    • @waolive963
      @waolive963 24 дня назад +1

      Elewa uyo niwa mwisho ko mzee alifariki akiwa mdogo Sana ata mwaka bado

    • @gabrielmoses6860
      @gabrielmoses6860 24 дня назад

      Ahsante kwa kumuelewesha

  • @komboame5492
    @komboame5492 24 дня назад

    yeye anamjua amwabie au amuoneshe, haina afya ata kidogo kutuambia upumbavu uo

    • @evdsam7286
      @evdsam7286 24 дня назад +2

      Inaonekana wewe ndio mpumbavu sasa maana umewahi kukoment bila kusikiliza kilichozungumzwa, Mama anasema Baba yake alimuacha tumboni yaani Baba alifariki akiwa hajazaliwa.

    • @zabibuking8704
      @zabibuking8704 24 дня назад +3

      Tatizo la Afya ya akili inaongezeka bila ya jamii kujua,hili ni tatizo unatukana pasi na kuskiliza kwanza hili ni tatizo ndugu Mtanzania Mwenzangu...Mungu akujalie upate matibabu kabla hali haijakuzidia

    • @ngorshermelody2021
      @ngorshermelody2021 23 дня назад

      ​@@evdsam7286lakin wametuchanganya mwishon Huyo alieongea wameandika jina hamidu mshery wakasem mzee ndomn wametuchanganya

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 24 дня назад +1

    Hivi huyu Mshery baba yake ni yule mchezaji aliecheza Yanga Abdallah Mshery

    • @amoursuleiman9773
      @amoursuleiman9773 24 дня назад +1

      hapana baba yake ni mzee mmoja hivi alikuwa kiongozi wa african sports ya huku tanga kwa sasa ni marehemu jina alikuwa anatumia mwanzo mgumu

    • @amoursuleiman9773
      @amoursuleiman9773 24 дня назад

      @amoursuleiman9773
      39 minutes ago
      hapana baba yake ni mzee mmoja hivi alikuwa kiongozi wa african sports ya huku tanga kwa sasa ni marehemu jina alikuwa anatumia mwanzo mgumu

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 24 дня назад

      Asante kwa Taarifa mdugu yangu amoursuleiman.