KAMA MOVIE UMAHIRI WA JWTZ KUOKOA MATEKA WAKIVITA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 окт 2020

Комментарии • 678

  • @francismshumba7564
    @francismshumba7564 3 года назад +100

    Ukiona una amka asubuhi ujue kuna watu wamekesha kwa ajili yako

  • @ezevisionmediastudioezevis7855
    @ezevisionmediastudioezevis7855 3 года назад +2

    Kumbe tupo vizurieeee !
    Hongera sana majeshi yetu kwa kuhakikisha nchini yetu inakuja salama.

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 3 года назад +5

    technology imekuwa sana sasa ivi, kuanzia kwenye mavazi ya kijeshi mpka siraha. Naamini serikali itakuwaimejipanga kwenye hilo. Mungu awasimamie msije mkatumia siraha zenu vibaya, mkapambana na wananchi kwa faida ya wanasiasa. Asante wanajeshi kwa huduma yenu, Nawapenda sna.

    • @user-jj7qv7kh2s
      @user-jj7qv7kh2s 2 месяца назад

      Unaakili kubwa sana wewe mtu, hongera kwa kuwakumbusha wanajeshi hao.

  • @samsonezekiel9232
    @samsonezekiel9232 3 года назад +18

    Hivi kwnn isipitishwe kila mtanzania umri Fulani apitie mafunzo jeshini kwaajili emergency ikitokea coz naipenda inchi yangu

  • @karambolageorge8656
    @karambolageorge8656 3 года назад

    Kujito sadaka hongereni majeshi wetu Mungu atawalipeni kwawkutupigani

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 3 года назад +1

    Safi sana makomandoo wanavyo fanya kazi zao, plole pole,
    Tanzania tunalo Jeshi. Mungu kaa upande wetu. Ameni!

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 года назад

      TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
      ruclips.net/video/mJ5_G0bF-uw/видео.html
      NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 года назад +10

    Baadhi ya vijana wanakoment upuuuzi humu hawajui kuwa imani inayo wafanya wapate nafasi hata hiyo ya kukaa ndani na kichupi na kuanza kukoment ujinga ni kwa sababu ya uwepo wa amani dumishwa na askari wetu hawa.

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 3 года назад

      Mungu ndiy mlinzi wetu hakuna cha jeshi

    • @mcheshcomedy5809
      @mcheshcomedy5809 3 года назад

      🤭🤭🤣🤣🤣🤭🤭

    • @makasionlinetv2205
      @makasionlinetv2205 3 года назад

      Hamna jambo mtwara ilekazi siyo ya police kazi ya wanajeshi tangialini police akapambana na wana jeshi lawa asi la nchi ya kigeni tena wapo 300 wana muachia IGP siwa ndomana wana toloka mana wana kuwa wa mezidiwa wange wachukuaa kama fridi kama jkt wanao jenga ikulu na madalaja

    • @pznmasai9815
      @pznmasai9815 3 года назад +1

      @@makasionlinetv2205 ivi unaona walicho kifanya ? Yaani kikos kizima kimeingia pale je ingekua lile jengo ni mtego na kunabomu kubwa inamaaana wangekufa wote huo ni uzembe wa kwanza
      2 hawana backup ya sniper kuwalinda wala hawakutawanyika baadhi kwaajili ya kugadi walio pewa nafac yakwenda kule inamaana kama ni makomando wanatakiwa kuingia wa wili au wa tatu pekeenakuokoa

    • @johnaugustino3389
      @johnaugustino3389 3 года назад

      @@emanuelmwanga4 Acha kifanya kazi ili ujikim kimaisha halafu shinda nyumbani tuu halafu mwambie Mungu aje kukulisha chakula usichokihangaikia! Kama vile unajishughulisha na Mungu anavyokunyanyulia watu wakukupatia fedha na ukabarikiwa kwa kazi ya mikono yako lakini ukiwa unamheshimu aliyekifanya mkono uingie kinywani, vivyo hivyo ndivyo Mungu anaweza kuilinda nchi kupitia watu aliowanyanyua kwa ajili yetu wakawa wanajeshi na tukiamini wanatulinda.
      Muulize Daudi angekaa nyumbani na kuamini tuu Mungu anaweza kumuangusha Goliati bila yeye kuchukua hatua ya kwenda vitani angeweza kuandikwa kwenye biblia? Na umuulize Mungu kwa nini alimtumia Musa kwenda kuwakomboa Wana wa Izrael, na kwa nini alimtumia Daudi kumuangusha Goliati kwa nini asingeshuka yeye mwenyewe?

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 3 года назад +11

    Jeshi letu bado sana, mnafatana Kama nyuki...Sasa adui akitokea kwa nyuma, si mmeisha wote....!! 😂

    • @ama7742
      @ama7742 3 года назад +4

      Naona movies zimekuhalibu

    • @revocatussebastian5698
      @revocatussebastian5698 3 года назад +1

      We kima kweli. Unadhubutu kutukana jeshi tunafuatakama nyuki we unajua nini sasa pimbi tyuu fyuu

    • @yohanemtewa1227
      @yohanemtewa1227 3 года назад +1

      Ww ndo umeona hivoo etiii

    • @rajabueliud1830
      @rajabueliud1830 3 года назад

      Awezi kuonesha mbinu zao iyo nimfano

    • @hassanbinally7127
      @hassanbinally7127 3 года назад +1

      Inafaa unyamaze kama huna unachokijua kwenye jeshi

  • @lightrich790
    @lightrich790 3 года назад +4

    I wish kuja kuwa mke wa mjeda in shaa Allah

  • @henryabisalami4646
    @henryabisalami4646 3 года назад +2

    Nawakubali sana hawa wana hawalali kwa ajiri yetu nilitamani niwe mmoja wao ila daah ndoto imepotea😥😥😥

    • @johncondrad6258
      @johncondrad6258 3 года назад

      Pole Sana haikuwa ridhiki yako! Lakini usihofu Mungu amekuwekea ridhiki yako ingine

  • @sadamissa5687
    @sadamissa5687 3 года назад +2

    Akuna ata ndege inayowashambulia kwa juu😂😹🤣🤣🤣🤣🤣tuone itakuaje

  • @glorysimon775
    @glorysimon775 3 года назад

    Ila wanajeshi kazi yao ni ngumu Mungu awalinde

  • @magamboshabani2459
    @magamboshabani2459 3 года назад +7

    Ngoja Rambo awakute hapo ndio mtalijuwa jiji😁😁

  • @masoudshabani8931
    @masoudshabani8931 3 года назад +1

    Good work 👍

  • @greysonmbembelakarateka5842
    @greysonmbembelakarateka5842 3 года назад +2

    Very, Kalunde Tc

  • @sandenjumbo2596
    @sandenjumbo2596 3 года назад +2

    Jwtz nawa kubali ila muishie kupiga hao magaid msituludie raia sasa maana mme pata moto hadi tunaona hi sasa isije kutulud wenyew mungu awabariki muendelee kutulinda

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 года назад

    Safi sana aisee🇹🇿🇹🇿💪💪💪

  • @shhaabu
    @shhaabu 3 года назад +4

    Suppressing fire 🔥

  • @abdallahkawambwa9041
    @abdallahkawambwa9041 3 года назад

    Poleni sana mishahar.ni halaliyenu

  • @queenjayztz8615
    @queenjayztz8615 3 года назад

    Mungu awabark❤️❤️

  • @revocatussebastian5698
    @revocatussebastian5698 3 года назад +2

    Daa nalipenda sana jeshi jamani

  • @taliqmaliq4767
    @taliqmaliq4767 3 года назад +21

    the last hope of innocent people all over the world TPDF

  • @salmatiba7739
    @salmatiba7739 3 года назад +2

    Big up

  • @BON357
    @BON357 Год назад +1

    Naona wanalukaluka tu alafu kwenye vyombo vya habari kujizaririsha tu

  • @mpokijasson7872
    @mpokijasson7872 3 года назад

    Jeshi letu imara Sana ...
    Mola azidi kutupambania

  • @theprincejr1417
    @theprincejr1417 3 года назад +2

    Jeshi kama jeshi 💪

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 года назад +1

    Safi sana

  • @hakimhakim9631
    @hakimhakim9631 3 года назад

    tuwapeleke congo tukawajaribu ushujaa

  • @georgegerald4153
    @georgegerald4153 3 года назад +14

    Ilo hema kama kama lime tegwa mabomu c wanaisha wote make wame zama kwa pamoja.

    • @nshonabdll9363
      @nshonabdll9363 3 года назад +1

      Si ndo hp ht mm nashangaa

    • @lwitikokatule7069
      @lwitikokatule7069 3 года назад +1

      Akili ndogo inavyofikiria

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 3 года назад +3

      @@lwitikokatule7069 sio akili ndogo ni fikra tuu. Jifunze kujibu kwa kuonesha ukomavu. Kuna adui wa aina nyingi.. Kuna adui wengine kujiua na kuangamiza wengine ni rahisi kwao. Hivyo kwakuwa wapo adui wa aina nyingi pia Kuna aina nyingi za mazoezi. Mf. Kuokoa mateka mjini ni tofauti na msituni.

    • @alisonngaila1393
      @alisonngaila1393 3 года назад +2

      Hata hiyo move ya Pamoja kama Adui kawaona kabla RPG si inawahusu kiulain.

    • @immasaid667
      @immasaid667 3 года назад +3

      Jinsi alivyoingis kwenye hema🤣🤣,pia wanafatana bila kuachiana nafasi

  • @ngomaaidrisah4415
    @ngomaaidrisah4415 3 года назад +1

    Noma sanaa

  • @himnajuma8463
    @himnajuma8463 3 года назад +1

    Mbona risas zinaenda bure tuingieni Somalia kidogo Apo tukatokomezeni waasi .

  • @mr.royalq7062
    @mr.royalq7062 3 года назад

    Wanaumahiri gani hawa kazi kuuwa watu na kupoka hakinza Watanzania Mungu anawaona

  • @zaynabadam6957
    @zaynabadam6957 3 года назад +1

    Tz tuna pamban na tail za et mazoezi naipenda Tanzania
    😂😂😁😁😁🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💝

    • @jokandagoyetu831
      @jokandagoyetu831 3 года назад

      Hata ujui kinachoendelea hapo ni kheli ukakaa kimya

  • @mukhtaryanhussein6449
    @mukhtaryanhussein6449 3 года назад +3

    Wanajeshi wetu imara sana hajafa hata mmoja😎

    • @freddiemwanyika3804
      @freddiemwanyika3804 3 года назад

      waende kitaya huko wakaokoe ndugu zetu

    • @haganagobu2524
      @haganagobu2524 3 года назад

      Jameni Sasa wanapigana na upepo Nini kwanini hatuoni hao maadui TZ😂😂😂

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 3 года назад

      Haaaah we kichwa maji kweli

  • @speedonechimbamawe1419
    @speedonechimbamawe1419 3 года назад

    Apana jamani tanzania amani baba wetu wa tanzania kamalinza na mueshimiwa wetu wa sasa yuko sawa

  • @datiusleonce9978
    @datiusleonce9978 3 года назад +7

    Hahahahha nimefurahi nikikumbuka walio kimbia na kuacha kifaru @mtwara

  • @josephndimi6135
    @josephndimi6135 3 года назад +1

    Kweli hi Ni mooveee

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 3 года назад +1

    Fire 🔥

  • @omaryally198
    @omaryally198 3 года назад +1

    Nice job

  • @odierohenry500
    @odierohenry500 3 года назад

    Mazoezi na vita ni tofauti sana.hawa bado wajui vita ni nini

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 года назад +1

    Tanzaniaaaaaaaaa

  • @jumannebundala2594
    @jumannebundala2594 3 года назад +1

    Watu wote mnatakiwa kutambua umuhimu wa jeshi letu sidhani kama wewe unaweza kukaa kwa amani na unafanya shughuli zako bila kuwepo kwa ulinzi imara wa jeshi letu lakini kwa ufinyu wa akili ndio maana unashindwa kujua umuhimu nchi hii hata watu walioko nje ya nchi wanaitamani lakini wanajua jeshi lipo makini

  • @msawanga
    @msawanga 3 года назад

    Napongeza kwa juhud za ulinzi zinazofanywa na nchi. Tunajivunia Tanzania na tunaipenda nchi yetu. Lakin hizo movement ambazo tumeonyeshwa hapo ni rahisi kwa adui asiekuwa na siraha na mbinu unless wataisha au wataomba backup ata mala nne ili wafanikiwe.
    Labda ningepewa nafasi ya kuuliza maswali kadhaa ili nieleweshwe. Pengine ulikua ni uvamiz wa maharamia wa kawaida maana operation hazifanani

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 3 года назад

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @djungleulaya1792
    @djungleulaya1792 3 года назад +2

    Mnamaliza risasi tuu

  • @polytarimo324
    @polytarimo324 3 года назад

    Duuh wako vizuriii

  • @michaelmickey7652
    @michaelmickey7652 3 года назад

    Like it,,,,,

  • @wistonkapilipili4853
    @wistonkapilipili4853 3 года назад

    Haya ss wakaende mtwara kitaya uko field

  • @zaynabadam6957
    @zaynabadam6957 3 года назад

    Wana pigana na nani😁😁😁😁💝💝🇹🇿

  • @USDisdoomed
    @USDisdoomed 3 года назад

    Wanaskia raha kushoot tu wanapenda izo sauti hya malizeni risasi mukipiga hewa na nyasi😂😂

  • @donatusngowi2267
    @donatusngowi2267 3 года назад

    Kwenye uwasili hakuna muda huu ,hawa jamaa ni noma

  • @mauricempinga935
    @mauricempinga935 3 года назад

    Hapo msumbiji mmechemka subilieni suprise

  • @madooog6067
    @madooog6067 3 года назад

    Yallabi wabaliki wanajeshi wetu

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 3 года назад

    Kiongozi mashuhuli huyo dada. Ahahaha

  • @jimmybernad8930
    @jimmybernad8930 3 года назад +5

    Uo umahiri waupeleke mtwara😅

    • @shedrackjacob6038
      @shedrackjacob6038 3 года назад

      Unadhan hawajafika au

    • @amidumselle5659
      @amidumselle5659 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huku wapo mkuu ndo mana mpaka sasa tunashuhudia wanavyokamatwa kama kuku wa kisasa yan Jeshi letu lipo makini sana

    • @sadamissa5687
      @sadamissa5687 3 года назад

      😂😹😂😂😂😂🤣🤣

    • @amidumselle5659
      @amidumselle5659 3 года назад

      Kipekee nalikubali sana jeshi la nchi yetu M/Mungu azidi kuwapa nguvu

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 3 года назад +2

    Hapa ni twara au

  • @johndamas8880
    @johndamas8880 3 года назад

    Hapo kwote xifuri

  • @kiblahmchengule129
    @kiblahmchengule129 3 года назад +2

    Mtwara Kijiji cha kitaya mpakani na mozambek wamewateka wanakijiji nendeni mkawakombowe Kama kweli mpo vizur

    • @benjaminonpiano304
      @benjaminonpiano304 3 года назад

      Mjinga kweli wewe

    • @bennie7239
      @bennie7239 3 года назад

      Ulitaka wakutaarif kila wanachofanya, au ww unajua sana utendaji kazi wa vikosi vya kiusalama??

    • @issayahya1640
      @issayahya1640 3 года назад

      Your very right, drills alone without testcases are plays. Wale waliojaa znz ndio wangesongeshwa mtwara mapema asubuhi

  • @salamawadh6150
    @salamawadh6150 3 года назад +2

    Nimeipenda hii hongeran Wana jwtz

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 года назад

      TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
      ruclips.net/video/mJ5_G0bF-uw/видео.html
      NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dicksonkimambo3855
    @dicksonkimambo3855 2 года назад

    Kwn hizooo wanazopig siyoo risas kwn ukipigw risas ya kichw itakuwajee hapo

  • @hassanmassaga2476
    @hassanmassaga2476 3 года назад +2

    Millard unazingua...bora ungeweka clip ya call of duty

    • @blessanthony9905
      @blessanthony9905 3 года назад

      😂😂😂

    • @hamzanangameta6243
      @hamzanangameta6243 3 года назад

      Unajifanya shujaa kwa kuwa uko kwa mama, chai unaletewa mezani, unaenda disco na bodaboda

  • @abdillahshabani7810
    @abdillahshabani7810 3 года назад +7

    Miladi Ayo unatuzingua sasa mazoezi unatuletea ya nn nenda kalete habari za mtwara

    • @sophiamfikwa7340
      @sophiamfikwa7340 3 года назад

      Kwakweli akatuletee Jabari za mtwala kwakweli

  • @hamzaforogo
    @hamzaforogo 3 года назад

    Mbona wanakaa pamoja pamoja kama ndege. Wakipigwa bomu hapo sishughuri imeisha.

  • @TheTemba1
    @TheTemba1 3 года назад +1

    Ebwana hapo sijaelewa kabisa hivi mbona Kama hawako serious, ebwana Mimi naona warudie Tena , maana wakienda hivi vitani wataisha haki ya Nani wataisha,

  • @catharinacostantine3429
    @catharinacostantine3429 3 года назад +6

    Haya sas tz nayo inatoa move jii mbon trela 😁😁😁😁

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 3 года назад +2

    Kwa mfano ndo vita sasa weee , 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @georgeisdory9998
    @georgeisdory9998 3 года назад +2

    Tz 🇹🇿 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @johnsospeter1762
    @johnsospeter1762 3 года назад

    Safi Sana najisikia was naamani

  • @Martin-lv1xw
    @Martin-lv1xw 3 года назад

    sikuhiz majeshi yanatumia high tech...adui anapgwa hukohuko aliko bila kelele wala chenga...ifike wakt wabadilike😏

  • @allybinally1901
    @allybinally1901 3 года назад +1

    Kumbee mazoez niljuaa kimenukaaa muwee mnatueleweshaa mapema
    Mana nilklkuaa najiulza mbonaa maadui awarudshii mashambulizii

  • @castoagust7073
    @castoagust7073 3 года назад

    Huyo last man mbona halindi nyuma anatembea tu Kama kandoo

  • @wenseslauspeter6824
    @wenseslauspeter6824 3 года назад

    Kumekuwa na utekaji sana wa ovyo lkn hakuna ata sungu sungu aliyejitokeza japo na kiwembe mkononi

    • @WASHATube
      @WASHATube 3 года назад

      TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
      ruclips.net/video/mJ5_G0bF-uw/видео.html
      NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ramachambela1802
    @ramachambela1802 3 года назад +1

    Mazoez ama

  • @elisantemrita9894
    @elisantemrita9894 2 года назад

    Raha sana jamani kazi naitamani Sana hii 😭😭😭😭😭😭😭

  • @scolajapheth487
    @scolajapheth487 3 года назад

    Tz we are winner

  • @stevenjoshua9437
    @stevenjoshua9437 3 года назад +3

    Kuna kenge wengine wana comment upuuzi hum mnazan hapo wanapika ugali mungu ibariki tanzania na jeshi letu

  • @graysonmarcelin2472
    @graysonmarcelin2472 3 года назад

    hii channel uongo kuzoea

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 3 года назад +6

    Mbona sasa wanaenda kundi lote hawajatuma hata chambo, mimi sijaona iokoaji wa ivo. Sasa ilo hema kama kuna bomu je

    • @Pulse_tips
      @Pulse_tips 3 года назад +1

      We movi za kihindi zinakupotosha

    • @nshonabdll9363
      @nshonabdll9363 3 года назад

      Yn ht mm sio jeshi lkn kwa umahili ni ziro kbs ss hp km Kuna bomu si wanakuwa kbs Tena wasiigize ujinga wao wakatuona watu wanje wakativamia hp

    • @rubetaalexis8235
      @rubetaalexis8235 3 года назад

      Movie zinawandanganya nyinyi🤣 mna Watch Indian movies sana🤣

    • @omypaxtore8740
      @omypaxtore8740 3 года назад +1

      @@nshonabdll9363 ujuaji mwingi ww na wao nani anayejua zaidi? Usilete American movie theory kweny mambo ya kweli vp ww medali yyt ya kivita hd uwe na uelewa kuwazidi walioandaa hiki k2 au..

    • @nshonabdll9363
      @nshonabdll9363 3 года назад

      @@omypaxtore8740 ww Kanye mbele uko

  • @abdielyusuf71
    @abdielyusuf71 3 года назад

    Mazowezi hayo yakuwauwa wazanzibar

  • @silasokode3728
    @silasokode3728 3 года назад

    Kweli Tz Bado sana Yaani unapambna na upepo Alf unajiita Komandoo , Alf unajifariji na Kawimbo kabisa,, Cj na huyu mgeni rasmi Ataende kusimulia heti nimeona makamandi

    • @travsscott6603
      @travsscott6603 3 года назад

      Kama ujui chochote kuhusu jeshi ni heri ukatulia

    • @fredmushendwa357
      @fredmushendwa357 3 года назад +2

      Acheni kulibeza jeshi letu,kama hauna cha kuongea nyamaza.kama wanapambana na upepo kakae mbele yao basi wapambane na wewe.
      Duniani kote hakuna jeshi ambalo halifanyi wanachokifanya katika hoyo video.

  • @metv6385
    @metv6385 3 года назад +1

    Mtwala hawaend hawa

  • @shukurkatembo2807
    @shukurkatembo2807 3 года назад +2

    Kuna baadhi ya comments humu zinasikitisha. Kwasababu mtu analala na kuamka salama, anapata wasaa wa kuchat kwa utulivu na amani basi ni kudharau kila kitu hamjui tu ila ogopa sana ukazisikia BM zinaunguruma hapakaliki. Hao watu unaweza kuona wanafanya kama maigizo ila ndiyo wanasababisha tuwe na uhakika wa kufanya shughuli zetu kila siku.

    • @kalebuwilliam1014
      @kalebuwilliam1014 2 года назад

      watu huwa wanachukulia easy tu,kama hawa watu wasingekuwa wa kesha porini hii nchi isingekuwepo

  • @tonyshineafrica8278
    @tonyshineafrica8278 3 года назад

    Alee wi..... Yanyukwe........

  • @jamalzubeir7136
    @jamalzubeir7136 3 года назад

    strongest 🇹🇿

  • @emanuelmwanga4
    @emanuelmwanga4 3 года назад +9

    Haya maigizo haya fanyeni kweli kama amjachakazwa tz jeshi hakuna zaid police ccm

    • @petermachondo8285
      @petermachondo8285 3 года назад +1

      Haujuw chochote ndugu bara ukae kimya

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад +1

      Kwa nn usifanye utafiti? Bando lako litumie kuuliza mambo ya maana, uliza Tz ya ngapi kwa Afrika kuwa na jeshi bora sio kuropoka

    • @mhandomussa5232
      @mhandomussa5232 3 года назад

      Wewe utakuwa mkimbizi nina mashaka na wewe

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 3 года назад

      Sio maigizo ni kweli na Tz ni moja ya nchi zenye majeshi bora kabisa duniani. Ndio maana wakufunzi wa jeshi na vikosi vya marekani huja Tz, China huja Tz, Uganda na Rwanda huja Tz, Nchi za SADC ndio usiseme wakufunzi wanatoka Tz kwenda kutoa mafunzo ya kijeshi, Ndio maana wanajeshi wa tz wamepelekwa sehemu mbalimbali kusimamia operation mf. Congo, Sudan, Liberia, Sierra Leone, Lebanon, Seashells.
      Jivunie JWTZ ni jeshi lenye:-
      Nidhamu,
      Vifaa,
      Weledi
      Wataalamu wa aina zote
      Wakiwa vikosi aina zote Maji, Anga, Ardhi.
      Tumebakiza kwenda anga za mbali kwenye sayari nyingine na mwezi. Iko siku tutaanza kwa kurusha satellite anga za Juu sana.

    • @emanuelmwanga4
      @emanuelmwanga4 3 года назад

      @@rewaatesh4877 hhhhhhhhhh mbn waoga sasa kwanza mafunzo mbona Congo walichakazwa wale 14 amna kitu labda kupigana na chadema

  • @captainsamafa5467
    @captainsamafa5467 3 года назад

    mstutishe na kutumalizia MB kwenye vita mukae ivooo alaaaa vita vinashangiriwa

  • @shabanikamsawa181
    @shabanikamsawa181 3 года назад

    Siwaende mtwara hao mashuhuli mnatuletea comedy huku nduguzetu mtwara hatujui walipo bongo bwana tuna leta comedy huku tunaumia wakawahokoe ndugu zetu walio tekwa mtwara cyo huo mchezo wa kumbolela wakujifichaficha tulisha cheza utotoni mnazingua

  • @ikrammahonda4566
    @ikrammahonda4566 3 года назад +1

    Ivi ilikuwaje walivyoenda kule kipindi kile walilud kofia tu na buti tu au mafunzo yalikua ayajakolea

  • @deborahkiunoswaf5907
    @deborahkiunoswaf5907 3 года назад

    Aisee ndo maana wanakufa Kongo kama kuku hawako makini katka Distance na kusoma mazingira ya kivita na commandment ya captain haiko sawa katika swala la kuwapanga askar katika swala la kuwakabili maadui utapoteza askar wengi kwa uzembe

  • @victorsomba867
    @victorsomba867 3 года назад +2

    Mtwara vipiiiiiiiiiiiii

    • @zikirination6769
      @zikirination6769 3 года назад

      Washakimbia na kule wameenda ffu tu wale wachumba mzee hatuwezi peleka Hawa wazee wa Kazi kwa wahuni wa msumbiji so achana na story za mtandaoni

  • @egibartrespicius6748
    @egibartrespicius6748 3 года назад

    🔥🔥

  • @onesphoryo407
    @onesphoryo407 3 года назад +4

    Upuuzi tu walishaga uliwa kitambo ,,,no such kind of troop nowadays they have to watch themselves twice

  • @mbuchimjungu3236
    @mbuchimjungu3236 3 года назад

    ... Nimeimiss sanaaa RPG 7 VELL 40 MM MANUVAL.....

  • @jjumageu6357
    @jjumageu6357 3 года назад +1

    Najivunia tz

  • @issamchocho4623
    @issamchocho4623 3 года назад

    Iyo ndio kazi sio kazi kuiba kura za watu

  • @mwinyimohammed9846
    @mwinyimohammed9846 3 года назад

    Bado sana 😂😂😂.....njooni Kenya tueafunze

  • @allyhamadi678
    @allyhamadi678 3 года назад

    ongera jeshi letu kwa mazoezi mazuri

  • @nshonabdll9363
    @nshonabdll9363 3 года назад

    Ss I kweli au mafunzo jmn kaa

  • @lauedwardwilliam2584
    @lauedwardwilliam2584 3 года назад

    Leo nimewakubali

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 3 года назад

    Nime lipenda hili movie