YANINI MIE EPISODE 8 FINAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 259

  • @kijolooally994
    @kijolooally994 2 года назад +5

    Hapa tumetafutiwa stor iendelee maan si kwa mibisu ile
    Sas inabidi tuone muendelezo wa jela hili finish ilikua kumkutanisha casto na mkewe pia kisura kweny fumanizi sio kuuwa bonge la wazo af umaliziaj umekua x mtamu kwa mm nilitamani kumuona casto akifumaniwa mbele ya mkewe na kisura

  • @mahabaclassictwentyseven27mjeu
    @mahabaclassictwentyseven27mjeu 2 года назад +4

    Daaaah sema hii movie imenitowa machozi kwakweli muko vzr

  • @muidinimohamedy2381
    @muidinimohamedy2381 2 года назад +8

    Daaa hiii stori umeniumiza Sana pia imenifuza nn maana ya mapez ubarikiwe Sana na Kila siku muendelee kutuletea madini mapyaa❤️🙏❤️

  • @ibrahimally652
    @ibrahimally652 2 года назад +4

    Movie imeanza vizuri lkn mwisho mbaya kamugisha angetakiwa kumleta mke w Castro amfunanie mume wake Castro n co kuuliwa kwa steering

  • @ndaxhboy4089
    @ndaxhboy4089 2 года назад +3

    Daa hii kal cn nineangalia nyng ila hii kiupandee wng no1 good luck

  • @vedastoerick0001
    @vedastoerick0001 2 года назад +8

    Kuna story ya uyu demu aliyepigwa risasi mwanza.. Gang Gang najua mshanielewa, fanya ivo

  • @BigD742
    @BigD742 2 года назад +2

    Yo that’s was insane bro damm eti una ni chafuwa kweli brother demu ana uma kaka acha masiala basi

  • @sanguissa439
    @sanguissa439 2 года назад +4

    Tamaa mbele kifo nyuma baba mwanamke wa mtu sumu kisu kinakuhusu sasa bati nisnema ingekuwa kweli hivi watu wanasema mengine kazi nzuri inafundisha

  • @sampachino5184
    @sampachino5184 2 года назад +2

    wasabi wote mpo vizur m mangu awape nguvu zaidi

  • @christophermarando4128
    @christophermarando4128 2 года назад +11

    Chumvi kamtia kamugisha bangi 😂😂Sasa wacha kesto alale mahali pema peponi 🔥

  • @muwadhwafbabliy
    @muwadhwafbabliy 2 года назад +2

    Shida ipo pleple kama ya ngoswe penz kitov cha uzembe 😏uanzaji mzur lakin mwisho mbovu ila yteyte na yte hongeren sana mnajituma na kaz nzur tunainjoy mungu azid kuwabless wte mkojan gang

  • @djm.r9832
    @djm.r9832 2 года назад +2

    Asanta sana naenjoy sana hatimae finly nakubali life yako bro kaza 🙏🏿🙏🏿🙏🏿👏🤝✌️

  • @frankamos8388
    @frankamos8388 2 года назад +2

    IKOVIZULI Sana na fuzi kwavijana tunaopenda waremb wa wa2 , MAPEZ YANAUMA

  • @frankwelsonb1262
    @frankwelsonb1262 2 года назад +2

    Mkojani bn darueshi nakukubali sawa bro kaz konk zidi kutuletea vtu vikali kama yanini mie frank from nairobi Kenya

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 2 года назад +1

    Movie kali mno kuanziamwanzo mpaka mwisho hapo kamugisha atatoka jela ataendelea namaishayake ila familia ya castle itabakikua mayatima N.B tamaa mbaya

  • @fadhilaiddi535
    @fadhilaiddi535 2 года назад +2

    Ahsanteni mko vizuri sana kazi iendelee 👏👏👏👌👌

  • @zoozzoz9879
    @zoozzoz9879 2 года назад +9

    Haya sasa...Tunasubiria Hapa Samofi na mkojani ...😅😅😅..twende kazi na Mtoto Wa Dalali

    • @isaacmallio7110
      @isaacmallio7110 2 года назад

      Nimecheka zezet samofi Cha ukolofi mkojani

  • @nassorosayd781
    @nassorosayd781 2 года назад +3

    Chumvi katoa wazo 😄😄 Castle anyolewe ndevu😂😂😂

  • @mcdanta6919
    @mcdanta6919 2 года назад +3

    Chumvi fala Sana kamugisha Leo ana pigwa bangi😀😀dah chumvi akili zako zilo

  • @muidinimohamedy2381
    @muidinimohamedy2381 2 года назад +4

    Tuko pamoja endeleeni kutuletea store mzur zaid mungu awasimamie katika kazi zenu mungu vizur sana 💯🙏🙏🙏

  • @kambikashama4619
    @kambikashama4619 2 года назад +4

    😂😂😂😂 chumvi Nyingi Acha Bangeee Eti Kisuraaa Daaaah.!

  • @saidaabudula565
    @saidaabudula565 2 года назад +4

    Biga up snaa kamgsha Ila chumv nying et bange😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @TheBosco1987
    @TheBosco1987 2 года назад +16

    Zingatieni maoni yangu. Story ni nzuri sana, ila mmezingua sana mwishoni! Haikupaswa kuisha hivyo, mahusiano ya Kamugisha na jinsi alivyoyahangaikia hakupaswa kuishia Jela. Tabia za Castle hakupaswa kuishia kaburini, alipaswa kujifunza ili aache hiyo tabia. Kwa maana ya kwamba, Kamugisha alipopanga fumanizi na mpenzi wake Shuu, alitakiwa ampitie mke wa Castle ili kumuaibisha jamaa, na hiyo ingemuacha huru yeye abaki na mpenzi wake uraiani, huku ndoa ya Castle ikiishia kuvunjika. All in all mmejitahidi kufikisha ujumbe ila next time malizeni vizuri. Kati ya watazamaji wenu, kuna waandishi wa story pia, hivyo ongezeni umakini ili msikosolewe zaidi

    • @salummussa4528
      @salummussa4528 2 года назад +2

      Kaka naungana na wewe maana hapo mwisho inatufuza tuue tu.tukiingiwa kwenye mahusiano kitu ambacho sio sawa

    • @TheBosco1987
      @TheBosco1987 2 года назад

      Ni kweli kabisa aisee

    • @HalimaHalima-id2cb
      @HalimaHalima-id2cb 2 года назад +1

      Nimekuelewa sana

    • @topaztz7601
      @topaztz7601 2 года назад +3

      Ushauri mzuri sana huu

    • @muddytv1513
      @muddytv1513 2 года назад +1

      We mwamba unajua aiseeeeee

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 2 года назад +1

    Kamugisha umejitahid sana ila casto ilibidi akodiwe watu aliwe nyuma na asife ili iwe funzo na mke wake aje alijue ilo na aje amuache casto kwa aibu ili iwe funzo

  • @bobosu3235
    @bobosu3235 2 года назад +3

    Mapenz ya Kisha ingiliwa na watatu nishida sana maumivu ya natupa mtu kujifunza mengi sana

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 года назад +3

    Hasanteni sana team mkojani gang ⚓⚓⚓ mumefanya kazi nzuri

  • @suleimanngare6707
    @suleimanngare6707 2 года назад +3

    Thanks bro for this history....nimejifunza kitu kikubwa sana apa...Allah akupe uwezo wakuandika history nzuri zaidi 🙏🙏🙏🇰🇪🤝

  • @omarymzuri8012
    @omarymzuri8012 2 года назад

    Nice Move ....Nice Action And Nice Story Lakin Na Imani Hii MOVE Ingelikuwa Tamu Sana Kama MKOJANI Na SAMOFI Angelikuwepo Mngetisha SANA BIG UP

  • @khamiskheiry1145
    @khamiskheiry1145 2 года назад +2

    Finishing mbovu sana tofaut naulivoanzia.

  • @ignasjohn6090
    @ignasjohn6090 2 года назад +1

    Mwenyezi mungu awaongoze mutoe zaidi ya hii asante kwa somo mzuri

  • @nasraismail5367
    @nasraismail5367 2 года назад +2

    Daaah jmn tunatakiwa tujifunze hapo kutulia na mtu mmoja tamaa mbaya,tamaa mbele maut nyuma ndo hayo yaliyomkuta Castle

  • @ahmadgrujic9297
    @ahmadgrujic9297 2 года назад +2

    Huyu cesto anajua mpaka anakera😂😂😂😂👏🏿

  • @steveiginansi8586
    @steveiginansi8586 2 года назад +1

    Iv myinyi maon afatilii mnatumalzia mb mnazngua

  • @3kings63
    @3kings63 2 года назад +3

    Uwezi shindana na ulipo toka wanaume waeshimuni wanawake pia wanawake punguzeni tamaa
    Team Kamugisha tukale kodi za watu wa uraiani kwani iko nin🏃🏃😜

  • @tafaogtz1745
    @tafaogtz1745 2 года назад +3

    Daaah kweli mitiyani hasila hasalaa

  • @happyjanicki2868
    @happyjanicki2868 2 года назад +2

    Wallahy kazi nzuri sanaa .... please endeleeni

  • @muskidjr3064
    @muskidjr3064 2 года назад +2

    Kwa kweli u guys u made it de movie its good en more blessing to de director good idea

  • @khamisyaa6927
    @khamisyaa6927 2 года назад +2

    Big up team mkojani aki nimejifunza sana Allah bless you All

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 2 года назад +5

    Kamugisha n chumvi nyingi 😂😂😂👏👏👏

  • @chrisregisiradukunda1574
    @chrisregisiradukunda1574 2 года назад +2

    Heshima kwako Director Plenty Salt

  • @habibtyhabibty840
    @habibtyhabibty840 2 года назад +2

    Nzuri sana, nasubiri kazi mpya 🔥🔥👍

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 2 года назад +2

    Endelrzeni kasto apone na kamugisha atoke tuone adabu ya kasto itakuwaje

  • @u-thantmaijo5134
    @u-thantmaijo5134 2 года назад +3

    kitu kizuri kamgisha,lkn naona huyo casto alikuwa wa kulapua makofi tu chari,bisu kama umemuonea tuuu,huyo ni kama mtoto wa mama,unamshika mtu analegea mwenyewe tu,tuletee kitu kingine kijana big up,chumvi nyingi aminia sana japo unakoleza🤣🤣🤣

  • @justblackcode
    @justblackcode 2 года назад +12

    Gonga like hapa kama umeipenda🇰🇪😘

  • @advocatemwanjara5652
    @advocatemwanjara5652 2 года назад +5

    Ukweli Mkojani na kundi lako mnafanya vizuri sana kwenye sanaa, hii "Yanini Mie" ni nzuri sanaa na inafunzo kubwa sana ndani yake.
    Ushauri wangu kwa Mkojani na kundi zima ongezeni juhudi zaidi. Kamugisha ameitendea haki nafasi yake ya muhusika mkuu, karibia wasanii woote wamefanya vizuri. Mkojani una deni letu la Episode za Uchawi Uchawi zinachelewa sanaaa.
    Final imeisha vizuri sanaaaaaaa, huu ndio mwisho uliokuwa unatarajiwa japo sikutarajia mauwaji.

  • @abdallahtalib3757
    @abdallahtalib3757 2 года назад +2

    Ila story ni nzuri sana

  • @hemdimaneno2397
    @hemdimaneno2397 2 года назад

    Naipenda filamu ya ugai gai ni nzuri sanaa na saramu zangu zimfikie bwana mambwende

  • @richardkameme2526
    @richardkameme2526 2 года назад +2

    Et kula bangi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 chumviiii kamugishaaaaaa umetisha sana broo

  • @flexmedianinja2114
    @flexmedianinja2114 2 года назад +1

    Chumvi nakubali sana bro....mlishebange

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад +1

    Mdunge kisu amezidi mjeuri sana 🤣🤣🤣🤣🤣nimependa hio

  • @husseinsalim7211
    @husseinsalim7211 2 года назад

    Hongera sna mkojani kwa team yko lkini hio picha imenifunza kitu n hio song naipenda niambieni mwimbaji aitwa nani asanteni imenifunza kitu kikubwa sna

  • @Westsidemose
    @Westsidemose 2 года назад +2

    They call me bullet proof (nziki Kali) mkajani na mangengen asantii sana tumejifunza mengi sana . From Kenya you got my support everyday but saii Niko Qatar you make feel nikiwa home 🏡

  • @youngfuture461
    @youngfuture461 2 года назад +1

    Ila siku ya kifo maiti huwa na kiburi sana

  • @emmanuelmbwambo933
    @emmanuelmbwambo933 2 года назад +1

    Sjapenda kamugisha alicho fanya sizon iendelee jelaa huko huko uone had madem wanavyoliwa kindez ndez🙌🙌🙌

  • @vullump9231
    @vullump9231 2 года назад +1

    Nakubali story inzuli sanaa jamani ishiishe

  • @maguetomfalme5815
    @maguetomfalme5815 2 года назад +5

    Big up sana mkojani gang

  • @rajabumwamuh8396
    @rajabumwamuh8396 2 года назад

    Hongeren San mkoja na team yakoo hii kazii imenifunza kitu kikubwa sana

  • @twahakeim6603
    @twahakeim6603 2 года назад +3

    Mkojani na Mkojani gang big up Mungu awasaidie 🔥🔥🔥

  • @ahmeddhize5728
    @ahmeddhize5728 2 года назад +5

    Big up Mkojani Gang 💪
    Much love from 🇶🇦🇰🇪

  • @Maryam-kl6gj
    @Maryam-kl6gj 2 года назад +1

    Duuh? Story tamm tam. Ahsanten sana

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu 2 года назад +3

    HONGERENI SAANA AISE NIMEFATILIA MWANZO MPAKA HAPA MWISHO KI UKWELI MMEFANYA KAZI NZURI SAANA WATANZANIA HUWA TUNASHINDWA SAANA KUMALIZA MOVIE ILA HII IMEISHA VIZURI SAANA HONGERENI SAANA TUMEJIFUNZA SAANA

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 2 года назад +5

    Castor Apewe Ulinzi 😀😀😀😀😀😀

  • @tafaogtz1745
    @tafaogtz1745 2 года назад +3

    Pamoja sana ndugu zanguu

  • @gilbertevarist5186
    @gilbertevarist5186 2 года назад +1

    Daaaah so good so creativity I like that coz I learn many thing

  • @salymbakery6911
    @salymbakery6911 2 года назад +5

    Ilikuwa nzr xna idea nzr keep it up mkojani gang forever

  • @abdillahali4982
    @abdillahali4982 2 года назад +1

    Nice kazi nzuri,

  • @ferouzmasoud4870
    @ferouzmasoud4870 2 года назад +1

    Kazi nzur Sanaa 👊🇹🇿❤️

  • @suleimansuleiman1127
    @suleimansuleiman1127 2 года назад +1

    Kamugisha umetisha sana namna iyo tia bisu tu mtu afie mbali

  • @greydimpoz5425
    @greydimpoz5425 2 года назад +2

    Bonge la movie japo nilitaman casto afurie na kisura apate ukimw wajutie alafu kamugisha apate hela nying sana afurhie maish ila nzir sana

  • @djm.r9832
    @djm.r9832 2 года назад +1

    Nice broo thank you bro for me

  • @saidaliy5173
    @saidaliy5173 2 года назад +1

    Ah mchezo mbovu Bora wangembaka ungeisha uzuri

  • @alexluckyfunnytiktok189
    @alexluckyfunnytiktok189 2 года назад +2

    Love you kamugisha thanks for updating final episode one love

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 2 года назад

    Kwakweli kabisa hapo Kuna cha kujifunze natuelewe story nzur hongera zenu

  • @AllySalumu-eo4pg
    @AllySalumu-eo4pg 8 месяцев назад

    Kazi nzuri sana wameji tahid sanaa

  • @amrzaqmlawa4015
    @amrzaqmlawa4015 2 года назад +2

    Sema huyu Mndengeleko Chumvi anajua Sana

  • @aliyamohammed4112
    @aliyamohammed4112 2 года назад

    Mwambwende,kamgisha,mandondo this guy can kill me 😂😂😂nawapendanga buree team mkojani gang Star's ✨✨🌟 muniambie jina la hiy song yakumizwa n mapenz Nani kaimba

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 2 года назад +4

    HISTORY NZURY 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @pascaldelim636
    @pascaldelim636 2 года назад +1

    Yeah kamugisha nakubaliii kk new steve kn

  • @nuruheartaman5925
    @nuruheartaman5925 2 года назад +1

    Movie nzuri sana 🔥🔥🔥🔥

  • @shabanabdallah9849
    @shabanabdallah9849 2 года назад +1

    Kazi nzuri mkojani gang

  • @benhamza5649
    @benhamza5649 2 года назад +7

    To Director of the series:
    I’ve been watching the series and I got to tell you, it’s been a pleasure and quiet entertaining. However, couple of points I would like to pint out.
    This FINAL was 20min long but we enjoyed 15 and 5min of black screen.
    Through out the movie, there’s a waste of times especially when someone is walking towards other people or places. Why we don’t fill in those seconds with conversation/ interactions instead of background musing only? If you decided to create something like this, you should be thinking about what to do with those downtimes .
    All and all , ✊ respect to all the actors .
    Kiswahili changu si imara ndo maana nikumia lugha geni. Thanks

    • @TheBosco1987
      @TheBosco1987 2 года назад

      Very true, too many gaps in the movie. I appreciate what you guys tried to deliver, but u better be more creative for your own good

    • @justusaganyilatvonline1417
      @justusaganyilatvonline1417 Год назад

      Bro hamza appreciate to you ✊
      If they will work out on your points in the future it will be incredible....!!! Thanks much brother

  • @husseinmwinyi7173
    @husseinmwinyi7173 2 года назад +2

    Namba ya ya Shu huyo castle kaipateje hapo pamenichanganya sana

  • @ahmedsentafinga9725
    @ahmedsentafinga9725 2 года назад

    Mkojani kakangu hii story bado sana haijaishia hapo kuna story ndefu bado inaendelea mbele

  • @mcoastlaubizy2069
    @mcoastlaubizy2069 2 года назад +2

    Chumvi nyingi umeharibu ona sasa baaria kaua 😆😆😆😆😂 Anyway its a good creativities keep goin 👌👌👌😊

  • @hamisimjaka8664
    @hamisimjaka8664 2 года назад

    brother kamugishe naona brother Kila siku upo kwenye ubora mxuri hongera kaka tuna enjoy na burudani zako

  • @ammytheboy3098
    @ammytheboy3098 2 года назад

    Mmetisha sana kitu bomba hii

  • @thetrends472
    @thetrends472 2 года назад

    hiyo nyimbo hebu tupandishie kwanza mana ipo cool sana

  • @rogamediakenya4832
    @rogamediakenya4832 2 года назад +4

    KENYA TUMEIPENDA MOVIE

  • @hajimairu2754
    @hajimairu2754 2 года назад +2

    Chumvi unamuita mwenzio kisura🤣🤣🤣🤣

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 2 года назад

    Asee Kamugisha mm namkubali sna uyu jamaa yup serious sna

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 2 года назад +1

    Yaani mmemaliza vizuri sana

  • @sanguissa439
    @sanguissa439 2 года назад +2

    Usiuwe kwa sa babu ya mwanamke

  • @malikinalino2583
    @malikinalino2583 2 года назад +1

    Nakubali kazi zenu

  • @richardkameme2526
    @richardkameme2526 2 года назад +1

    Kamugiiiiiiiiiisha wewe ni nyokooooooooooo kakaaaaaaaa umetisha nakukubaliiiiiiiii ila hii move inalizaaaaa 😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 umetishaaaaaaa

  • @babdaubabdau8229
    @babdaubabdau8229 2 года назад

    Story nzur sana big up mkojan gang

  • @iddymashaka37
    @iddymashaka37 2 года назад +1

    Asante sana kwa kaz nzur tumeinjoy sana

  • @rehemakatundu7027
    @rehemakatundu7027 2 года назад +1

    Kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад

    Mafunzo kibao big up bro 💪

  • @leah1187
    @leah1187 2 года назад

    Ahahah kamugisha mko.vzur sana mnatupa vitu vitam😋😋😋

  • @abdallahtalib3757
    @abdallahtalib3757 2 года назад

    Mm kiukweli umalizikaji wake sijaupenda ilitakiwa kutokana kamugisha kasha haso sana na mapenzi alitakiwa asimuue alitakiwa amfanyiw kitendo na yeye jamaa apate tabu kwenye maisha yake