Mheshimiwa rais hongera kwa kazi nzuri na kubwa ya kuimarisha serikali,pia ikikupendeza namimi siku moja unipe fursa ya kufanya kazi na wewe,ni mtaalam wa TEHAMA na ninaweza kufanya kazi mbalimbali kama kuwa spokesman wa taasisi yoyote ya serikali n.k,...nawasilisha
Rais,hao mawaziri umewabadili badili kama nguo,hao hao TU wengine wamepauka,nakushauri ufanye recruitment kutoka kwenye young generation graduates uwe na a pool of prospective candidates unaoweza kuwatumia mbeleni
Tanzania National Health Insurance- ianzishwe kwa wananchi wote. Sheria ipitishwe bungeni. Sio kwamba mtu aliye na kazi tu ndio anastahili kupata bima ya afya. Kuwe na mpango wa serikali kwamba aliye na kazi achangie na mkulima asiye na kazi rasmi serikali imchangie. Sasa mwanamke mjamzito hana kazi atahudumiwa na nani. Hata kujifungua ni riski

Mama mwenye hekma nakupenda rais wangu nakupenda 🇹🇿
Asante sana muheshimiwa raisi wetu allaah akulinde na akujaalie umri mrefu nauendele kutuongoza tena aamiin
Mtu mmoja amnaappishwa mara 10 ndani ya miaka mitatu hii nchi kuilewa inahitaji uwe na d 2
Kila la kheri Mh Innocent Bashungwa na makamishina wapya mlioapishwa kuitumikia Wizara nyeti ya mambo ya ndani.
I appreciate you Bashungwa 🎉🎉🎉
Mhe Bashingwa. MUNGU Akushike Mkono kwenye Majukumu yako Mapya Congratulations
Itapendeza sana msiape kwa vitabu vya dini Bora muape mkishika japo sambusa
❤❤❤
Rais,hao mawaziri umewabadili badili kama nguo,hao hao TU wengine wamepauka,nakushauri ufanye recruitment kutoka kwenye young generation graduates uwe na a pool of prospective candidates unaoweza kuwatumia mbeleni
Hongeleni sana waheshimiwa
Muapishwe mkafanye Kaz Wala sio kuenda kupiga domo
the ever smiling Hussein Mwinyi..😄
wanaapa uongo mbele ya kitabu cha mwenyezi Mungu wanachoenda kufanya ni tofauti nchi haiendi mbele coz leader problem
Rais wetu anajitaidi kufanya mabadiliko.ili alete ubora. Naomba mjitume Mama Yetu apate amani.
Nzur MAMA
Mhiii, tuombee nchi tusilalamike.
Tanzania National Health Insurance- ianzishwe kwa wananchi wote. Sheria ipitishwe bungeni. Sio kwamba mtu aliye na kazi tu ndio anastahili kupata bima ya afya. Kuwe na mpango wa serikali kwamba aliye na kazi achangie na mkulima asiye na kazi rasmi serikali imchangie. Sasa mwanamke mjamzito hana kazi atahudumiwa na nani. Hata kujifungua ni riski
Bashungwa hakumsemea kitu!! Je hii ni coincidence?
Hii video ungeikata ianzie dk ya 20 hivi
Masauni mmmh
Masauni R .I..P
Mabalozi wamekuwa wengi
Utopolo tuu
🫡