MISSION IMPOSSIBLE [51]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g 2 месяца назад +298

    Jamani mbona km mzee wamisumari kunamchezo anachezewa nakile kibegi anatafuta njia yakumchukua kidem jau ataenda jera mzee wa mishumari km upo na mimi gonga like nyingi

    • @LatifahMohammed-r5f
      @LatifahMohammed-r5f 2 месяца назад +16

      Hapn lazim amwambie nimuoe mdogo wako au uilipe

    • @RashidOmary-c4g
      @RashidOmary-c4g 2 месяца назад +6

      @@LatifahMohammed-r5f kabisa

    • @SukhayraRamadhani
      @SukhayraRamadhani 2 месяца назад +13

      Kweli kile kibegi kitakua na vitu vibaya mtego

    • @LatifahMohammed-r5f
      @LatifahMohammed-r5f 2 месяца назад +10

      @@RashidOmary-c4g tusubir muendelezo

    • @LatifahMohammed-r5f
      @LatifahMohammed-r5f 2 месяца назад +13

      @@SukhayraRamadhani uskute hela za bandio sem mzee wa misumali alivo ona akawa anawenge san ahat alivo beba kibegi kam siyo muuni vile

  • @KijakaziBakari
    @KijakaziBakari 2 месяца назад +15

    Kila kitu Cha Chado Mzee wa misumari mnamfanya mnyonge sana sijapenda

  • @LaurentLukome
    @LaurentLukome 2 месяца назад +67

    Nakushukuru sana eeew Mungu kwa kuniwezesha kuwa wa kwanza toka nianze kuitazama hii movie ,pia wabariki wote wanaofuatilia series hii duniani kote❤

  • @Frankjr-y4k
    @Frankjr-y4k 2 месяца назад +82

    Mungu nilinde na huyo anae soma comment

  • @CynyAkoth
    @CynyAkoth 2 месяца назад +13

    Wahh nmependa sana, chado usiaribu penzi lako limetoka mbali sana kaba Ivo Ivo

  • @HusnaX-u6q
    @HusnaX-u6q 2 месяца назад +37

    Mumeshakomet kila kila kitu leo ,,mm nasema kaka ake najma nampenda sana mpaka homa

    • @HidayaJega-tn9mu
      @HidayaJega-tn9mu 2 месяца назад +1

      Mim nimeumia misumali jmn leo😢

    • @aishaabdullah7227
      @aishaabdullah7227 2 месяца назад +1

      Me pia ila mzee wa misumari round hii kapatikan

  • @FatmahKihwelo
    @FatmahKihwelo 2 месяца назад +25

    Mmejikuta wote mmekua wa kwanza Ila chado mungu anakuona unavyotufanya tunakupenda bure yaaaan baba ngwe ngwe

  • @AnwarHupa
    @AnwarHupa 2 месяца назад +97

    Cheuc na bonge naomba muepo kweny CHEKA TU 😂😂😂😂

    • @youngpeter9098
      @youngpeter9098 2 месяца назад +2

      Au tuwapeleke kwa pididi😁

    • @jamesjohn6685
      @jamesjohn6685 2 месяца назад +2

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 месяца назад +2

      😂😂😂

    • @AnwarHupa
      @AnwarHupa 2 месяца назад +4

      @@youngpeter9098 kwa pdidy bonge hapawez Atalia tuuu🤣🤣🤣🤣

    • @SheilaKitiada
      @SheilaKitiada 2 месяца назад +1

      Kwakwel

  • @RashidMwegelo
    @RashidMwegelo 2 месяца назад +27

    Me nampenda sanaaa najmah anafanya kazi nzuri Sanaa yupo serious

  • @SaidMussa-s2j
    @SaidMussa-s2j 2 месяца назад +12

    Respect chado ongera kwa kazi mzuli ❤❤❤❤❤ cheus ungekua pemba ushaolewa 😅😅😅

  • @oman-l8r7k
    @oman-l8r7k 2 месяца назад +139

    Anayesom coment hii Mungu ambariki amfungulie kil lililogumu Amen❤

  • @YusraSiyaleo-yk2fz
    @YusraSiyaleo-yk2fz 2 месяца назад +51

    Kuwaachanisha chado na kidem jau hiyo ni mission impossible

  • @TitusWekesa-do7hb
    @TitusWekesa-do7hb 2 месяца назад +15

    From Kenya 🇰🇪 Aki nyinyi ni vigogo .... Waaaah kaende kaende

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi 2 месяца назад +27

    Leo mission impossible 51 inaraha yake bwana yani nlikuwa nmenuna lkn vicheko😂😂😂😂 na nderemo zimtandaa kote, big up saana kwa wahusika wote❤❤❤❤❤❤

  • @NkurikiyeChadia
    @NkurikiyeChadia 2 месяца назад +17

    Nakupenda bure chado from Burundi 🇧🇮 love u so much❤❤❤😘😘 ukicheka sasa dhaaa ndo unaniua kbsaaaaaa❤

  • @MourineSteven
    @MourineSteven 2 месяца назад +39

    😂😂😂😂 et sehem ya kubonyeza ye ametoboa nmeipenda io

  • @BucumiErick
    @BucumiErick 2 месяца назад +16

    Chado mstaa nimeshukulu sana ukiwa uhai lakini kunawenye wanagu chongea kwa najuma chunga cheusi na bonge

  • @qatarabcde8228
    @qatarabcde8228 2 месяца назад +11

    😂😂 Aaaah leo Cheusi na Bonge mumeweza 😂😂 bongee katingisha haga, cheusi jamani kumbe wachamba ivyooo😂Alafu Chado napenda msimamo wako kwa kidem Jau❤

    • @rahemh1234
      @rahemh1234 2 месяца назад

      😂😂😂et bonge katingisha haga bonge na haga niwapi nawapi 😂😂😂😂

    • @qatarabcde8228
      @qatarabcde8228 2 месяца назад

      @@rahemh1234 🤣🤣 hukuona aki twerk 🤣🤣 RE -WATCH

  • @EkronMasilu-d3j
    @EkronMasilu-d3j 2 месяца назад +20

    Mwambien Bonge anaonyeshaje Jicho hajui kama kuna Pidid et anakatika kabsaaaa looh😂😂

  • @MrInfiniteTz
    @MrInfiniteTz 2 месяца назад +20

    Daah Cheusi na bonge nakubali munaniachaga hoyi sana 😂😂😂

  • @Titusintrumental
    @Titusintrumental 2 месяца назад +50

    Anyone who is reading this, May God fulfill your dreams 🙏🙏

  • @Jojohkatoto
    @Jojohkatoto 2 месяца назад +96

    Nqhis mister manyonga ndio baba ake ngwengwe na ndio kaka ake chado🙌

  • @EliudEliud-w9f
    @EliudEliud-w9f 2 месяца назад +22

    Nilijua tu manyongaa atamchora misumari ila chenye naona babake na ngwengwe huenda akawa manyonga wanao niunga mkono likes zangu

  • @KatayaVincent
    @KatayaVincent 2 месяца назад +15

    Pole sana mzee wa misumali kwa magumu uliopata

    • @khadijahalfan1408
      @khadijahalfan1408 2 месяца назад

      Ni mafunzo afadhali utafute pesa kwa jasho lako kuliko kumtegemea binadamu

  • @HabibaHamad-p9p
    @HabibaHamad-p9p 2 месяца назад +43

    Naombeni na mm laiki leo

  • @ShadidahHairun
    @ShadidahHairun 2 месяца назад +36

    wanaum mngekuw n uamnif kam w chado ingkuw raha sana❤❤

    • @magangatv
      @magangatv 2 месяца назад +1

      Tupo mbn

    • @MourineSteven
      @MourineSteven 2 месяца назад +2

      Tafta muhun utaenjoy kupendwa

    • @kenedynashon9717
      @kenedynashon9717 2 месяца назад +1

      Sasa wanaume wanakuaje waaminifu ikiwa mnaotongwa hamkatai😂😂,kataeni tuone kama hatutokuwa waaminifu

    • @daviesdennis5038
      @daviesdennis5038 2 месяца назад

      😂

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 2 месяца назад +18

    Cheusi nakupenda sana😂😂😂😂🙌🙌🙌

  • @FzvvzChhxgdgd
    @FzvvzChhxgdgd 2 месяца назад +3

    Ivi wanaume wote wangekuwa km chado c tungenenepa jmn nmm nmipee like basi

  • @rachelhassanary4091
    @rachelhassanary4091 2 месяца назад +55

    Mmmh,nikajua nimewahi jamani kumbe mshafika watu like zang bc🎉🎉

  • @NancyAtandi
    @NancyAtandi 2 месяца назад +46

    Jamani Mimi ndo sijawai pata like ata moja

  • @AmaniMbyarwanabagabo
    @AmaniMbyarwanabagabo 2 месяца назад +14

    Wakwanza tena from Rwanda we love you guys

  • @MerianNyoha-bg5cb
    @MerianNyoha-bg5cb 2 месяца назад +6

    maneno uliompa video kwin angesikia najima angeringa dunia nzima asingewahi kupokea hata salamu kwa mwanaume yeyote ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @hamisiomary4147
    @hamisiomary4147 2 месяца назад +133

    Wakwaza nipeni like zangu

    • @SubiraSalumu-w7r
      @SubiraSalumu-w7r 2 месяца назад +2

      😂😂😂yani cheusi

    • @AshiruHussen
      @AshiruHussen 2 месяца назад +2

      Chado nakukubali balaa man umenifundishaa vi2 Ving san

    • @LitoFoxi
      @LitoFoxi 2 месяца назад

      Umetisha

  • @TabibuMagawa
    @TabibuMagawa 2 месяца назад +2

    Daaah imeniuma sana mzee wamisumal kuchukuliw beg

  • @JohnWarioba-j2z
    @JohnWarioba-j2z 2 месяца назад +67

    😂😂 cheusi na bonge wamenishinda tabia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 2 месяца назад +11

    Eeee chado utamsomea kisomo akauke kama mti😂😂😂😂chado jamani we kweli kiboko ❤❤❤❤nakupenda bure tu

  • @yusrakagunga3066
    @yusrakagunga3066 2 месяца назад +20

    Hatimae leo nmewahi dkk ya 3 tuh aomben like zang 😊

  • @CollinsMalingi-l4c
    @CollinsMalingi-l4c 24 дня назад

    Wazito Niko nyuma sana Kwa hii movie lakni nimeipenda naifatilia adi niwafikie

  • @AnnahGowele
    @AnnahGowele 2 месяца назад +50

    Chado me ctaki movie iishe mpaka umpe mimba kidemu juu😘😘😘😘😘

  • @annaki318
    @annaki318 2 месяца назад +51

    Ila Leo kumechangamka hukuuu😂😂
    Mpaka taarabu jamaniiii
    Langu jichoooo mieeeee Ila bonge😂😂😂

    • @RukiaManga-z1t
      @RukiaManga-z1t 2 месяца назад +1

      Hadi raha na tako linatingishwa😂😂😂

    • @annaki318
      @annaki318 2 месяца назад +1

      @@RukiaManga-z1t ni balaaa

    • @annasamba9067
      @annasamba9067 2 месяца назад

      Hatareeee

  • @peterphabian-l4z
    @peterphabian-l4z 2 месяца назад +35

    wanaomkubali CHADO NA KIDEMU JAU like hapaa❤❤

  • @TimeAly-z1l
    @TimeAly-z1l 2 месяца назад +4

    Tena mwambie asa asitake kukuharibia penz lako kwa kidemu jau wetu tunapenda sana mapenz yenu yazidi kushamir❤❤❤

  • @StephenSalum-c2p
    @StephenSalum-c2p 2 месяца назад +47

    Wakwanza leo jamani naombeni like zangu

  • @saheemally1411
    @saheemally1411 2 месяца назад +9

    Ila cheusiii umetisha sana mbea asiekuwa na kumbukumbu

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 2 месяца назад +20

    Nakubali sana master movie chado😂😊😊😂😊😂😊😂😊🎉😊🎉😊🎉😊😢😊😊😢😊🎉😊😊😊😊

  • @ConfusedAurora-np2dl
    @ConfusedAurora-np2dl 2 месяца назад +11

    Jojo: aaaaah kakaaaa............
    Chado: nyokoooo............
    😂😂😂😂😂😂😂 nakubali Sana kaz yko broh

  • @NowmeRzk
    @NowmeRzk 2 месяца назад +16

    Weeeeeew😂nimekimbiiia nusu nijikwaae mje mlike

  • @HassanAbdullahBenge
    @HassanAbdullahBenge 2 месяца назад +8

    Kitengo umefeli kwakwel mwanamke hapigwi ivo sija wahi kuku eleza hivi ila unajua kaz yako good job.

  • @DeeDan-sj1mr
    @DeeDan-sj1mr 2 месяца назад +30

    TUNAAZA NA MUNGU KWA KUSEMA AHSANTE MWENYEZ MUNGU KWA KUONA SIKU NYINGINE NAOMBA UWE NASI POPOTE TUENDAPO JINA LAKO LITUKUZWE INSHAALLAH 🙏🙏
    Niwatakie j.5 tulivu kwenu woteeee mashabiki wenzangu wa CHADO MASTER 🙏🙏

  • @DamianMumba-h2u
    @DamianMumba-h2u 2 месяца назад +8

    Leo nimehawahii❤❤all the way from Zambia

  • @ZainoMussa-ct4qo
    @ZainoMussa-ct4qo 2 месяца назад +11

    Leo wakwanza from Mozambique nnaomna like zang

  • @omanoman2923
    @omanoman2923 2 месяца назад +25

    Chado yupo romantic na penz lake MashaAllah wanaume wote mngekuwa kama chado

    • @lazarogaudensi5623
      @lazarogaudensi5623 2 месяца назад +1

      MgOnjwa ww

    • @ZongaTz
      @ZongaTz 2 месяца назад +1

      Mami apa niko kama chado

    • @SakinaMujib
      @SakinaMujib 2 месяца назад

      Kweli walai hadi nahisi wivu😢

    • @aishaabdullah7227
      @aishaabdullah7227 2 месяца назад

      Chado yup vizur yan mpenz 2 lkn ana react km mume 😂😂😂😂

    • @aishaabdullah7227
      @aishaabdullah7227 2 месяца назад

      ​@@ZongaTz😂😂😂 mh

  • @yusrakagunga3066
    @yusrakagunga3066 2 месяца назад +10

    Mzee wa misumar leo katiwa yeye misumar😂😂😂

  • @MayasaMohamed-m8m
    @MayasaMohamed-m8m 2 месяца назад +5

    Cheusi umeua kwa hiyo nyimbo yenu.mwanamke hulka

  • @munalove-x4u
    @munalove-x4u 2 месяца назад +28

    Jaman leo nipen like kila siku amnipi

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 месяца назад +6

    Kazi nzuri sana team Chado Masta🇹🇿

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 2 месяца назад +41

    Team strong mpo wapi naombeni like zangu ❤❤❤🎉😂😂

  • @irenebenbella
    @irenebenbella 2 месяца назад +9

    Thatha chado thatha nakupenda 😂😂🙌🙌

  • @NajmaRamadhani-k3g
    @NajmaRamadhani-k3g 2 месяца назад +7

    Hahahahaa mwanamke hulka and langu jicho😂😂😂😂

  • @fatuma46ramadhan18
    @fatuma46ramadhan18 2 месяца назад +13

    Bonge na cheus tii wanajua kutufurahisha na taarabu wanazijua😂😂😂😂

  • @Deloveally-o8g
    @Deloveally-o8g 2 месяца назад +11

    Waooooo leo nam nimewai😂😂weeuweeeee💃💃💃💃💃

  • @JumaMzongi
    @JumaMzongi 2 месяца назад +7

    ❤mjomba dady nakukubaliii ile kinomah

  • @VanessaGikundiro
    @VanessaGikundiro 2 месяца назад +11

    ❤yaani épisode ya leo imenifurahisha kwa kwl❤❤❤❤❤❤😅😅😮😂

  • @JumanneIdrissa
    @JumanneIdrissa 2 месяца назад +1

    Wewe brother chado wewe daaaaah mungu akujalie uwe na kipaji icho icho nakukubali Sana

  • @BebiChico
    @BebiChico 2 месяца назад +7

    I love chadoo kwa huo mbaooo kwa video queen 😀😀😀

  • @Leeobite
    @Leeobite 2 месяца назад +6

    Manyonga anachokifanya sio kizuri. amempa mzgo Dadi apeleke mahali alafu anawatuma watu wakampore..dah

    • @Leeobite
      @Leeobite 2 месяца назад

      Apo hiyo Kali saaana yaan dqha😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @happydominic2145
    @happydominic2145 2 месяца назад +16

    😂😂😂 yaan cheusi na bknge hamkomi tuu

  • @Lissemansimba
    @Lissemansimba 2 месяца назад +2

    Hii ndo movie kali sana toka kwa kitengo brother Chado masta

  • @ZafalanMapondela
    @ZafalanMapondela 2 месяца назад +13

    kwasababu ulilalia kifua ndomana umechelewa nawapenda sana❤

  • @NancyElianz
    @NancyElianz 2 месяца назад +11

    Tangu mwanzo mpaka saiv nipo na nyie sambamba😂😂❤❤❤

  • @AhmadyAbdalla
    @AhmadyAbdalla 2 месяца назад +15

    Team_Chado-Master❤❤❤🎉🎉
    Kitengooo❤❤one more kichwa njichoo❤

  • @SabrinaShaibu
    @SabrinaShaibu 2 месяца назад +9

    Jmny
    Kina cheusi na bonge hamjaacha tu umbeya wenu tu😢mtakufa nyinyiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @ChimamyErnest-pf7ij
    @ChimamyErnest-pf7ij 2 месяца назад +25

    Wa kwanz leo❤❤

  • @kulwakibasa5396
    @kulwakibasa5396 2 месяца назад +5

    Jamani kidem jau anapenda vibaya lla mahaba yao yanapendeza sana

  • @WilliamJoel-kz2jv
    @WilliamJoel-kz2jv 2 месяца назад +15

    Mapema sana nimewah leo🎉🎉🎉🎉

  • @SleepyBacon-hy2lv
    @SleepyBacon-hy2lv 2 месяца назад +2

    😢😢daa mzee wa misumari kibeg lazima atauponza jmn

  • @MissFreeda
    @MissFreeda 2 месяца назад +10

    Jmni cheusi mmbea jmni mmmmh ten mmbea wa kujizima data. Kitengo kwl umtaki Jojo jmni😂😂

    • @MwanswidaSwida
      @MwanswidaSwida 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂cheusi kiboko

  • @Rehema-r5p
    @Rehema-r5p 2 месяца назад +2

    Kidemu jau we noma upo vizuri

  • @Rizikinassoro
    @Rizikinassoro 2 месяца назад +7

    Kaz zuri sana chado na kukubali

  • @garirehema767
    @garirehema767 2 месяца назад +12

    Maskini jojo nakuonea huruma..kama unataka kaka basi fuata masharti sawa mama...

  • @Lightness-j2m
    @Lightness-j2m 2 месяца назад +20

    Watu sijui mnalala humu mbn Kila nikijaribu kuwahi nashindwa

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 2 месяца назад +11

    Wapi kelele kwa team chado master❤❤🎉🎉

  • @MourineSteven
    @MourineSteven 2 месяца назад +7

    Leo kunavi2 adim kwnye episode hii,,, ni tam mwanzo mwisho 🫶🫶🫶🫶

  • @AnnahAlbert
    @AnnahAlbert 2 месяца назад +3

    Jamani move inafundisha mengi sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @OfficialZarry
    @OfficialZarry 2 месяца назад +6

    Cheusi tiii njoo Zanzibar uolewe😂

  • @NuruMussa-i8m
    @NuruMussa-i8m 2 месяца назад +1

    Hahahaha kumbe kiteng sheikh Leo kaja nakichina mwisho jaman me ndo I like

  • @HappyCompass-vh4vq
    @HappyCompass-vh4vq 2 месяца назад +16

    🎉🎉🎉🎉🎉namba 1

  • @user-AnordBGB
    @user-AnordBGB 2 месяца назад +6

    Uwiiiiiiiiii cheusi na mwenzake bonge hahahhaahahahhahahahah

  • @SabrinaBon-pu8st
    @SabrinaBon-pu8st 2 месяца назад +10

    Wamwisho jamani😅😢 nipeni like zangu

  • @PauloLUCAS-qh3dw
    @PauloLUCAS-qh3dw Месяц назад

    Bonge and cheusi mnachekesha sana et bonge anakata mauno 🎉🎉🎉🎉😢😢😢😢😂😂😂😂

  • @DORCASNAVELI-pp9it
    @DORCASNAVELI-pp9it 2 месяца назад +7

    Assalamualaikum..mtu anajua jina la wimbo uliochezwa wa mwisho anambie please ❤much love from Kenya 😘

  • @FadhiliKaloto
    @FadhiliKaloto 2 месяца назад +1

    Tim chado master mtakuja kutuua jamani daaah!, Nawakubari Sana..

  • @BebiChico
    @BebiChico 2 месяца назад +19

    Mpenzi wangu awe kama chado jamani awe na hofu ya kunipoteza😂😂

    • @FurahaHamisi-s1x
      @FurahaHamisi-s1x 2 месяца назад

      😂😂😂😂😅

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 2 месяца назад

      Amka usingizini kumekucha 😂

    • @BebiChico
      @BebiChico 2 месяца назад +1

      @@rizikisam6481 hahahahahahah nimesha amka jamani

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 2 месяца назад

      @@BebiChico 😂😂

    • @BebiChico
      @BebiChico 2 месяца назад

      @@rizikisam6481 ila sio siri alafu sio uongo kudate namsela mvuta skanka ni rahaaa kwanza wanamapenz ya ukweli alafu ni nginja nginja sooo powaa😂😂😂

  • @FabligassMwanginde
    @FabligassMwanginde 28 дней назад +1

    Jamani ilaa awaa ni wambea sana 🎉😂😂

  • @bakarisaad6612
    @bakarisaad6612 2 месяца назад +9

    Waaaooo ongeza dk zifike ata 30 kaka chado

  • @neemamayco1051
    @neemamayco1051 2 месяца назад

    Mzeee wa misumar huyo mzee cyo mtu mzur jamani atakupoteza mdogo wako itakuaje sasa 😢😢😢😢

  • @johnkalee
    @johnkalee 2 месяца назад +9

    Hahah cheusi tititi bhana 😂 mzee umbea anaujua😅😅 aungane na lokole

  • @chibbuimsodocki
    @chibbuimsodocki 2 месяца назад +8

    Dah! 😂😂 leo nmekuwa wa mwisho ila anywey From PBA chake_chake 🎉🎉

  • @ESTERNTONYERA-bc7jx
    @ESTERNTONYERA-bc7jx 2 месяца назад +6

    Jaman mzee wa misumari wanataka mfanya nin au manyonga kafanya yake tayal ili amshtumu kaka wa watu 😢

  • @hamasilver
    @hamasilver 2 месяца назад

    Hili dude limeandikwa kitaalam sana alieandika big up kwake story Kali sana