Mimi Mars - MUA (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 659

  • @fahmyabdallah387
    @fahmyabdallah387 5 лет назад +313

    Weeh mtoto ni hatar embu like hapa kma unamkubali mimi mars tz wakuache

    • @latiphamosha1760
      @latiphamosha1760 5 лет назад

      daaah mimi mars amefanana na anne marie

    • @komanyabukanu2174
      @komanyabukanu2174 3 года назад

      Mm murembo

    • @goatrafiki
      @goatrafiki 10 месяцев назад

      Hello for sure so please,Rafiki❤?

    • @goatrafiki
      @goatrafiki 10 месяцев назад

      ​@@latiphamosha1760Hello for sure so please,Rafiki❤?

    • @goatrafiki
      @goatrafiki 10 месяцев назад

      ​@@komanyabukanu2174 Hello for sure so please,Rafiki❤?

  • @aggyparty2990
    @aggyparty2990 5 лет назад +264

    Kama umeona kadri mimi Mars anavyozidi kupungua ndy anazidi kufanana na vanesa gonga like hapa😍😍 lingoma ni fire familia ya mdee mmebarikiwa bhana

    • @tatukawawa1850
      @tatukawawa1850 5 лет назад +2

      Kweli kabisa anafanana na vanesa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 5 лет назад +5

      Nawapenda sana wana vipaji, wana akili na wana jiheshimu sana sio kama ma star wengi wa Bongo

    • @ramadhanaman1550
      @ramadhanaman1550 5 лет назад +2

      Ndio kabisa

    • @goatrafiki
      @goatrafiki 10 месяцев назад

      ​@@ramadhanaman1550Hello for sure so please,Rafiki❤?

    • @VennyChocha
      @VennyChocha 13 дней назад

      ❤❤❤❤❤ xanaaa

  • @kuruthumuramadhanipanduka8231
    @kuruthumuramadhanipanduka8231 5 лет назад +168

    Tuachane na nyimbo kwanza
    jaman huyu Dada ni mzuri

  • @VennyChocha
    @VennyChocha 13 дней назад

    Tamuu kama muwaaaa❤❤❤❤❤❤❤ saf mremboooo

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 10 месяцев назад +1

    Nomasana mtamu kamamuwa❤❤❤❤

  • @GalaxySamsung-zz3bg
    @GalaxySamsung-zz3bg 4 месяца назад +1

    Am a Ugandan who understands nothing she's saying but can sing along till the end😂.that's how good this song makes me feel

  • @sallyshazma5839
    @sallyshazma5839 5 лет назад +41

    The video ni nzuuri imetulia na couple uliyojichagulia ... So 😊🤗🤗😘😘😘😘😘😘🤝

  • @power2-xo2ln
    @power2-xo2ln 4 дня назад +1

    Gone are days

  • @nockytwice4869
    @nockytwice4869 5 лет назад +68

    Gonga like kama unamkubali mimi mars ♥

  • @ericksonmalik6315
    @ericksonmalik6315 5 лет назад +12

    Who else is here after the movie "You Again"
    i say Mimi is so talented

  • @faheemhashim2804
    @faheemhashim2804 5 лет назад +91

    The beauty you got, the smile, charming, sweet, lovely, and seems you are friendly, you don't have that habit showing off that you're a STAR. I LOVE YOUR SONG! BEAUTIFUL ONE! LOVE YOU GIRL! ❤❤. Nice video, good beat, nice flow, you are on TOP! #MimiMars. Give me a like everyone for this beautiful song from beautiful queen #MimiMars

  • @almasially6509
    @almasially6509 5 лет назад +46

    Moja ya ngoma kali sana kwasasa sema kwenye chorus mabaharia tunapata tabu😁😂😂

  • @YENAKINTULO
    @YENAKINTULO 2 месяца назад

    Ndo ukwel uyu mdada mrembo🟠🟢

  • @bwayeazi
    @bwayeazi 5 лет назад +221

    Wale team wasoma comment mpo .. hii unaipa asilimia ngapiii...
    Mimi:90

  • @Tunibabez
    @Tunibabez 4 года назад

    Auuuwwww mimi Mars wow right from the sky hit likes from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @allankimaro4327
    @allankimaro4327 Год назад +2

    This lady is very talented. Good in singing, good in acting.... I really appreciate her

  • @frankmalimba5539
    @frankmalimba5539 5 лет назад +2

    Wale mnao jua nyimbo nzuli mnaopa asilimia ngapi hii ngoma naomba like yako .

  • @cleverphd7158
    @cleverphd7158 5 лет назад +40

    Adi namuonea wivu Crispin "Ngoma kali kichupa kikali"

  • @babyggg1509
    @babyggg1509 5 лет назад +1

    Mimi huu wimbo Kama uliniimbia mim

  • @salomesafi1226
    @salomesafi1226 5 лет назад +2

    Kama na wewe una amini kama ana mfanana vanesa gonga like yako twende sawa

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 5 лет назад

    Hi ngoma c mchezo mazee,ni noma xanaaa

  • @totoclass2470
    @totoclass2470 5 лет назад

    Kijinyimbo kinasisimua kinomaaaaaa katoaaaaa

  • @sharifasalum8743
    @sharifasalum8743 5 лет назад +25

    Kuna watu wana raha lov song eti tamu Kama MUA hongera kwa wote walio ktk relationship

  • @othmadulla3615
    @othmadulla3615 5 лет назад

    Unajua sana mzee wa koli koli hapa

  • @deograsianamhagama3587
    @deograsianamhagama3587 4 года назад

    Tupo pamoj upo good 😍😍😍😍😍

  • @kevinguyo9139
    @kevinguyo9139 5 лет назад +34

    this song deserves more than a million views.

  • @adventinabenedicto9679
    @adventinabenedicto9679 5 лет назад

    Huwa nampenda sana mdada hyu

  • @kingmauzo3974
    @kingmauzo3974 2 года назад

    Maria wangu keep moving

  • @jojoalvin8584
    @jojoalvin8584 5 лет назад

    Kawimbo kazuri Sana kama wew

  • @fadhiliachinda418
    @fadhiliachinda418 5 лет назад +17

    She look very alike like Vanessa mdee wooooo 😳🙆🏽‍♀️ very beautiful lady. Beautiful voice and beautiful song. ❤️❤️❤️

  • @rahmaabdullatifu7737
    @rahmaabdullatifu7737 5 лет назад

    Yani namkubari Sana uyu dada tangu enz za utangazaji wa tv 1

  • @babyggg1509
    @babyggg1509 5 лет назад +1

    Naupenda Sana huu wimbo

  • @leylasaid2616
    @leylasaid2616 5 лет назад +20

    Waliopenda chorus kama Mimi toa like hapa

  • @abigailmini9992
    @abigailmini9992 3 года назад

    Yani Mimi i watched all of your videos songs right now umetish sana may all of your dreams cm tr

  • @abigailjoctan4830
    @abigailjoctan4830 4 года назад +1

    Mtamu kama mua mua mua mua nampenda sana mdada huyu

  • @saidamsangi5716
    @saidamsangi5716 5 лет назад

    Watu wenye vidole vifupi wanakuaga wazuri sana wenye akili sana na roho nzuri pia vote anavo Dada etu

  • @midtwotv8961
    @midtwotv8961 5 лет назад +1

    Mnyama mkali umetishaaa

  • @lakitanoofficial1138
    @lakitanoofficial1138 5 лет назад +6

    Mimi mars na vennesa mdee wanafanana kisura

  • @jeffcash5437
    @jeffcash5437 5 лет назад

    Video king c ndo yule shoga perfected crispin

  • @humphreymgeni7194
    @humphreymgeni7194 5 лет назад

    Natamani ningekuwa huyo kijana hata kwa dakika moja,hakika itanifaa

  • @chatseries3915
    @chatseries3915 5 лет назад

    Kafanana na bebe rexha kwa mbali kwene hii vedio

  • @neemamlay7230
    @neemamlay7230 5 лет назад +7

    Ngoma kali saaaaaaaaaaana❤❤❤❤

  • @bosscomwallongo7906
    @bosscomwallongo7906 5 лет назад

    Kazi nzuriiiii mdada nakupendajeee

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 лет назад

    Ukisia maisha yasiyo na uhalisia ndio haya

  • @eliudychaneltvjohn2544
    @eliudychaneltvjohn2544 3 года назад

    Dah jmn kiukwer huyu dada anajua kuimbaa love songs ananifanya nijiskie vzur sana

  • @elizabethmacoco1754
    @elizabethmacoco1754 5 лет назад

    Tukisikia huo mdundo the whole family tunakutana sitting room 😊😊 best song ever

  • @zaxonygm7700
    @zaxonygm7700 5 лет назад +1

    dah ngalikuw na uwezo ngekulipa uje uperfom hii ngoma mbele ya macho ang, i hope nge enjoy

  • @DealDeskPro
    @DealDeskPro 2 года назад +4

    This song is magical, The lyrics and notations are perfect..Am so proud of you dada.

  • @midnog3717
    @midnog3717 5 лет назад

    Mimi mars featuring charlotte dipanda
    Mimi mars featuring daphné
    Mimi mars featuring blanche bailly.
    Cameroon.

  • @dainessyohana8924
    @dainessyohana8924 5 лет назад

    Noma sanaaa we mdadaa

  • @denquekym9845
    @denquekym9845 5 лет назад +4

    am kenyan bt sitaweka roho ya chuma kwa hii ngoma...nishaikubali....vida iko lit🔥msg iko dope...

  • @asharamadhani527
    @asharamadhani527 5 лет назад +1

    Ukitoa Kali 2 kama hii utawafunika wote

  • @ramyhappy1955
    @ramyhappy1955 5 лет назад

    Jamani mim iyi nyimbo scoki kuiona kuiskia pia mwezi Ramadhani duuh Mungu nisame

  • @joviasonia917
    @joviasonia917 11 месяцев назад +1

    Can't get enough of this song since 4yrs ago❤bah I don't understand the language😭i understand little words,I wish I knew what every word meant

  • @elickjohn3760
    @elickjohn3760 5 лет назад

    Unaweza sana mtoto mzuriii

  • @HustleOnTv
    @HustleOnTv 5 лет назад

    Huyu dada hatoagi ngoma Mbovu kabisa asee

  • @janemichael9625
    @janemichael9625 5 лет назад

    Nice video penda sana hii nyimbo do de best mi mars

  • @bongotowntv5943
    @bongotowntv5943 5 лет назад

    Perfect crispine ameitendea haki hii video huyo demu anamfaa kabisaa

  • @lucymayelias3114
    @lucymayelias3114 5 лет назад +1

    Sawa mmi mars 🙌🙌 I surrender fr yaaaaa!💞💞😘👌

  • @joanalfred1074
    @joanalfred1074 5 лет назад +24

    Haki Mimi Mars mi sijui nisemeje nakupenda uelewe ...your head to toe is dope!! And this video dadeqqqq is the dopest ❤️ nakupenda mama

  • @tangoboy1439
    @tangoboy1439 4 года назад

    Dah huyu ni mzuriiiiiiii

  • @amiryjanja1746
    @amiryjanja1746 5 лет назад

    Nilikuja kumuangalia perfect

  • @pascalprince4408
    @pascalprince4408 5 лет назад +57

    Kama umemuona parfect chrispin mnyama mkali gonga lke

  • @mwambajrking7575
    @mwambajrking7575 5 лет назад +6

    Nilimis sana wimbo mpya kutoka kwako MiMi Mars ngoma kali kinoma alaf naomba fanya mpango upige collabo na V-money plz.....

  • @wardamwarami4789
    @wardamwarami4789 5 лет назад +45

    It's simple, classic and amazing I love mimi mars ❤❤😍😍

  • @juniorrukangura5926
    @juniorrukangura5926 5 лет назад

    Mnyama mkali umetuwakilisha vzr na we ndo umenifanya niangalie hii video #perfect noma

  • @nuhuibrahim5282
    @nuhuibrahim5282 4 года назад

    Nikiachana na nyimbo we dada mzur mashalah!

  • @mikaeljames6844
    @mikaeljames6844 3 года назад

    Even after 2 years hili stil jiwe

  • @boniphectoboniphace7187
    @boniphectoboniphace7187 5 лет назад

    Parfecto ushamalza game kakaaaa

  • @lucywilson5875
    @lucywilson5875 5 лет назад

    Dah! nimejikuta nauandika nikamwimbie….

  • @michaeldaffa9371
    @michaeldaffa9371 5 лет назад

    Nice my dd ngoma kali

  • @jackleenmandary2632
    @jackleenmandary2632 5 лет назад

    Dah tamuuu htr mtoto hana mapepe anaimba kwa utulivu mpk basi yani mwaaaaaaa

  • @remimingwaa8766
    @remimingwaa8766 5 лет назад +1

    Nimeipenda Sana one love Mimi Mars Mungu akujalie katika miziki yako

  • @lucyndeto1913
    @lucyndeto1913 4 года назад +1

    Nimekam baada ya marioo kulia diamond kampokonya

  • @florahkayuni4344
    @florahkayuni4344 5 лет назад

    Mim mars yupo juu

  • @damianshemzigwa8243
    @damianshemzigwa8243 5 лет назад

    Jamn kweli mua ngekuwa staa ngekumendea mpare

  • @modannygrafx737
    @modannygrafx737 5 лет назад

    Mimi mars 😍😘😘😘📹 wacha niburudike taratibuu japo hichi kibaba kimefaidi😂😂😂 natamani wimbo ujao niwe mimi

  • @hergee5538
    @hergee5538 5 лет назад +4

    Mars.....I jct like ur hits.....girlieeeohh...u rock it......***wapare bana tuacheni***

  • @mohamedyusuph1321
    @mohamedyusuph1321 5 лет назад

    Usikate tamaa unakuja vizuri sana kaza na komaaa utafikia malengo yako

  • @jackmollel5424
    @jackmollel5424 3 года назад +1

    Mimi mars nakuelewa sana

  • @hasanmustapha5577
    @hasanmustapha5577 5 лет назад

    Umetisha mtoto mzuri bonge la ngoma mua

  • @rosegabriel7367
    @rosegabriel7367 7 месяцев назад

    Such a beautiful song❤❤

  • @chekhatdusta9694
    @chekhatdusta9694 5 лет назад

    Yana mim mars upo vzr mua ...mtam sana ka unapenda mua eb gonga lyk once

  • @samweljared9029
    @samweljared9029 5 лет назад +1

    Daaaah wimbo mkali sana

  • @hallelujahtv9072
    @hallelujahtv9072 5 лет назад

    Nakupenda sana mm mars

  • @latifasaidi2082
    @latifasaidi2082 5 лет назад +36

    kama unamkubali Mimi mars gonga like hap

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 5 лет назад +1

    Mimi my gal....wimbo tamu kama muwa

  • @rehemabonza4529
    @rehemabonza4529 5 лет назад

    Napendaga tu sura ya Mimi mars, da ni kisura kuliko Dada mkubwa.

  • @vivianpaul1842
    @vivianpaul1842 5 лет назад

    Pendyaa sana ww mm mars

  • @jackiedaniel6009
    @jackiedaniel6009 5 лет назад +19

    can't get enough of this song u nailed it girl😍😘🙌❤💕💖👍

  • @silyviaMtalo
    @silyviaMtalo 8 месяцев назад

    Aki kifua chahuyo boy kimenimaliza kinyama

  • @kiokomoses7754
    @kiokomoses7754 5 лет назад +11

    Moto...I love love it from Kenya...imeweza mama..

  • @mlokap3071
    @mlokap3071 5 лет назад

    Nakupenda mim mars

  • @venerandadamian1246
    @venerandadamian1246 5 лет назад

    Marianne Mdeee👌👌👌

  • @dionizdamian9526
    @dionizdamian9526 5 лет назад

    Mimi mars uko poa sana alafu wewe mrembo mpk mimi sielewi kabisa

  • @kayondohamiidu
    @kayondohamiidu 5 лет назад +2

    Team uganda
    We love youu
    Bigtune...mo fire

    • @emanuelkavishe5573
      @emanuelkavishe5573 5 лет назад +1

      Jamaniiiiiìï 😂😂😂🌱🍯🌱🌱🍯🌱🐝🌱
      🌱🍯🌱🌱🍯🌱🌱🌱
      🌱🍯🍯🍯🍯🌱🍯🌱
      🌱🍯🌱🌱🍯🌱🍯🌱
      🌱🍯🌱🌱🍯🌱🍯🌱
      🌼🌱 Hi honey! 🌱🌼
      🎤🎤🎤🎤💋💋🎤🎤
      🎤🎤🎤🎤💋🎤💋💋
      🎤🎤🎤🎤💋💋🎤🎤
      🎤🎤🎤🎤💋💋💋💋
      🎤🎤🎤🎤💋🎤💋💋
      🎤🎤🎤🎤💋🎤🎤🎤
      🎤💋💋💋💋🎤🎤🎤
      💋💋💋💋💋🎤🎤🎤
      💋💋💋💋💋🎤🎤🎤
      🎤💋💋💋🎤🎤🎤🎤

  • @marymoris6411
    @marymoris6411 5 лет назад

    Wow ur like ur sistr mpo juuuuu

  • @matindematiku5718
    @matindematiku5718 4 года назад

    Naukubari wimbooo jamani8iiiiiiiiiiii

  • @majotv3405
    @majotv3405 5 лет назад +3

    Jamaa kapitisha kama za gwajiboy😁😁😁

    • @bwayeazi
      @bwayeazi 5 лет назад +1

      Umenchekesha ww😂😂😂😂😂😂 sio poa kabisa

    • @majotv3405
      @majotv3405 5 лет назад

      Bway Eazi 😁😁😁

  • @smartestkid7012
    @smartestkid7012 5 лет назад

    yaaan,fantastic mimimars