Wewe mtangazaji upo serious kweli?. 20 wewe ni mwanamziki mzuri na nyimbo zako ni kweli zipo moyoni. Mimi na mumewangu tunaishi marekani na haipiti week tunasikiliza nyimbo zako. Please toa number ya simu mashabiki wako wa ukweli tukuchangie. Shanika yako from Rockville, Maryland USA 🇺🇸
❤
Mon artiste préféré, toutes les chansons que tu chantes sont meilleurs.
Depuis RDC
Shukrani! Tunawapenda DRC. Na sisi tunapenda sana muziki wa Congo
Kak we fundi wa muzik mungu azid kukuongoza kwa kila jambo jema ufanikiwe
Uko vizuri Sana kaka mkubwa
Mwamba yupo na vibe kinoma
Bonge la shoo Ili big up 20%
Shukrani! Usisahau kusubscribe
Il est toujours meilleur de tous les temps ce qui 20%
💯
Bado best naso
Tutamsaka. Usisahau kusubscribe...
Tuletee best naso
Tunaomba huo wimbo
Wewe mtangazaji upo serious kweli?. 20 wewe ni mwanamziki mzuri na nyimbo zako ni kweli zipo moyoni. Mimi na mumewangu tunaishi marekani na haipiti week tunasikiliza nyimbo zako. Please toa number ya simu mashabiki wako wa ukweli tukuchangie. Shanika yako from Rockville, Maryland USA 🇺🇸
Tunaweza kukuconnect moja kwa moja na 20%. Kama unatumia Instagram fanya kutuDM. Page yetu ni @bongo_project
Ni kitu gani mtangazaji hakuwa serious?
@@bongo_project okey
Mlete Chid Beenziii
Pamoja
Walahi 20% kagusa ganja
Ww bangitu
Kumbe Luge alikua anaua vipaji kweli.😂😂😂 nimesikia sauti yake hapo
Tutafutie OCG
Wa Akwelina? Sio?
Nakkubl kk