- Видео 282
- Просмотров 544 350
Bongo Project
США
Добавлен 14 авг 2021
The Official RUclips Channel of the Bongo Project!
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
Wasiliana nasi kwa baruapepe info@bongoproject.org
Tembelea website yetu (www.bongoproject.org) kwa taarifa zaidi, pia pitia ukurasa wetu wa Instagram @bongo_project

MAC DIZZO - Full Interview na Bongo Project
Tulikuwa na mkongwe Mac D, Mac Dizzo. Ametupa madini mengi sana humu. Usikose
#macd #macdizzo #bongoproject #bongofleva #tanzania
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: bongo_project
Facebook: Bongo-Project-102566415873260
TikTok: www.tiktok.com/@bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org

Просмотров: 117
Видео
MAC DIZZO: EXCLUSIVE Kali Kuhusu Tuzo Za Muziki Bongo | Historia | Muanzilishi
Просмотров 1812 месяца назад
Mac Dizzo ametupa exclusive kali sana kuhusu tuzo za muziki Bongo. Jinsi zilivoanzishwa mpaka hapa zilipofikia na mambo yaliyotokea. Usikose hii #macdizzo #jamesdandu #bongoproject #bongofleva #kilimusicawards Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSI...
MAC DIZZO - Kizazi Hiki Hakinijui Kabisa | Watu Wanasahau Watu - Part 3
Просмотров 4392 месяца назад
Hii ni sehemu ya mwisho ya mahojiano kati ya Bongo Project na mkongwe Mac Dizzo. Amefunguka mengi sana humu…usikose hii exclusive. #macdizzo #bongoproject #bongofleva Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongoproject.org/ SOCIAL MEDIA Instagram...
MAC DIZZO - Kuna Watu Wana Password Ya Bongo Fleva Hawataki Kuitoa - Part 2
Просмотров 5262 месяца назад
Hii ni sehemu ya pili ya mazungumzo kati ya Bongo Project na mkongwe Mac Dizzo. Usikose #macdizzo #bongoproject #bongofleva Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongoproject.org/ SOCIAL MEDIA Instagram: bongo_project Facebook: fa...
MAC DIZZO - Huyu Hapa MAC D, MAC DIZZO | Bado Yuko Fiti - Part 1
Просмотров 1,7 тыс.2 месяца назад
Leo tulikuwa na mkongwe mwingine kwenye fani, Mac D, Mac Dizzo. Usikose hii #macd #macdizzo #bongoproject #bongofleva Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongoproject.org/ SOCIAL MEDIA Instagram: bongo_project Facebook: facebook...
O-Ten - Full Interview na Bongo Project
Просмотров 2103 месяца назад
Ilikuwa interview poa sana tukiwa na mkongwe Philipo Nyandindi - O-Ten. Tulimfuata kwao Morogoro, tumepiga story nyingi sana humu. Usikose! #bongoproject #philiponyandindi #oten #bongofleva #morogoro Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake. WEBSITE bongopr...
O-TEN - Alitoka Moro Mpaka Dar Kwa Baiskeli | Anamtafuta Harmonize - Part 3 #harmonize #daresalam
Просмотров 6293 месяца назад
O-TEN - Alitoka Moro Mpaka Dar Kwa Baiskeli | Anamtafuta Harmonize - Part 3 #harmonize #daresalam
O-Ten - Kilichomsibu Mpaka Kupotea Kabisa Kwenye Gemu - Part 2. #bongoproject #bongofleva
Просмотров 1,4 тыс.3 месяца назад
O-Ten - Kilichomsibu Mpaka Kupotea Kabisa Kwenye Gemu - Part 2. #bongoproject #bongofleva
O-TEN - Huyu Hapa O-Ten Tulimfuata Morogoro | Amefunguka - Part 1
Просмотров 7 тыс.3 месяца назад
O-TEN - Huyu Hapa O-Ten Tulimfuata Morogoro | Amefunguka - Part 1
AFANDE SELE - Full Interview na Bongo Project
Просмотров 1,4 тыс.3 месяца назад
AFANDE SELE - Full Interview na Bongo Project
AFANDE SELE - Ana Akili Nyingi Sana | Msikilize Humu | Utaenjoy! - Part 6 (Final)
Просмотров 2,7 тыс.3 месяца назад
AFANDE SELE - Ana Akili Nyingi Sana | Msikilize Humu | Utaenjoy! - Part 6 (Final)
AFANDE SELE - Mama SAMIA SULUHU Alitumwa na Rais Magufuli Akaongee na Afande Sele - Part 5
Просмотров 2,1 тыс.3 месяца назад
AFANDE SELE - Mama SAMIA SULUHU Alitumwa na Rais Magufuli Akaongee na Afande Sele - Part 5
AFANDE SELE - Azungumzia Maisha Asili, Maisha ya Shamba, Siasa na Falsafa Zake - Part 4
Просмотров 1,7 тыс.4 месяца назад
AFANDE SELE - Azungumzia Maisha Asili, Maisha ya Shamba, Siasa na Falsafa Zake - Part 4
AFANDE SELE - Ubalozi Wa Marekani Walivyokataa Wimbo Wa Afande Kufungiwa | BASATA Yaaibika - Part 3
Просмотров 2,6 тыс.4 месяца назад
AFANDE SELE - Ubalozi Wa Marekani Walivyokataa Wimbo Wa Afande Kufungiwa | BASATA Yaaibika - Part 3
AFANDE SELE - Dudubaya Alimpeleka Studio Mara ya Kwanza | Alijitabiria Ufalme - Part 2
Просмотров 18 тыс.4 месяца назад
AFANDE SELE - Dudubaya Alimpeleka Studio Mara ya Kwanza | Alijitabiria Ufalme - Part 2
AFANDE SELE - Huyu Hapa Simba Zee! Tulimfuata Morogoro | Anasema Atakufa Mfalme - Part 1
Просмотров 6 тыс.4 месяца назад
AFANDE SELE - Huyu Hapa Simba Zee! Tulimfuata Morogoro | Anasema Atakufa Mfalme - Part 1
RIP Mandojo - (Mazungumzo Yetu Ya Mwisho na Mandojo)
Просмотров 3434 месяца назад
RIP Mandojo - (Mazungumzo Yetu Ya Mwisho na Mandojo)
SAMIR KINYULINYULI - Full Interview na Bongo Project
Просмотров 5145 месяцев назад
SAMIR KINYULINYULI - Full Interview na Bongo Project
SAMIR - Hili Ndo Tukio Baya na Zuri Kwenye Safari Yake Ya Muziki | Mimi ni Mwandishi Bora - Part 3
Просмотров 2185 месяцев назад
SAMIR - Hili Ndo Tukio Baya na Zuri Kwenye Safari Yake Ya Muziki | Mimi ni Mwandishi Bora - Part 3
SAMIR - Ageukia Utayarishaji wa Muziki | Vipaji Bongo Vinaangukia Mikono Sio Salama - Part 2
Просмотров 4675 месяцев назад
SAMIR - Ageukia Utayarishaji wa Muziki | Vipaji Bongo Vinaangukia Mikono Sio Salama - Part 2
SAMIR - Mzee wa Kinyulinyuli Huyu Hapa | Sikiliza Kisa Cha Kweli Cha Ngoma Iliyomtoa - Part 1
Просмотров 1,3 тыс.5 месяцев назад
SAMIR - Mzee wa Kinyulinyuli Huyu Hapa | Sikiliza Kisa Cha Kweli Cha Ngoma Iliyomtoa - Part 1
Q CHILLAH - Full Interview na Bongo Project
Просмотров 3135 месяцев назад
Q CHILLAH - Full Interview na Bongo Project
Q CHILLAH - Alikuwa na Haya ya Mwisho Ya Kusema | Komasava NOO! - Part 3
Просмотров 2715 месяцев назад
Q CHILLAH - Alikuwa na Haya ya Mwisho Ya Kusema | Komasava NOO! - Part 3
Q CHILLAH - Walinikamia Sana | Niliacha Mpira Nikaingia Kwenye Muziki - Part 2
Просмотров 4646 месяцев назад
Q CHILLAH - Walinikamia Sana | Niliacha Mpira Nikaingia Kwenye Muziki - Part 2
Q-CHILLAH - Huyu Hapa Q Chillah, Q Chief, Savimbi - Sikiliza Story Yake Ya Kusisimua - Part 1
Просмотров 8936 месяцев назад
Q-CHILLAH - Huyu Hapa Q Chillah, Q Chief, Savimbi - Sikiliza Story Yake Ya Kusisimua - Part 1
BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project
Просмотров 4506 месяцев назад
BANANA ZORRO - Full Interview na Bongo Project
BANANA ZORRO - Muziki Una Pesa Ya Kutosha | Sihitaji Kazi Nyingine - Part 3
Просмотров 1626 месяцев назад
BANANA ZORRO - Muziki Una Pesa Ya Kutosha | Sihitaji Kazi Nyingine - Part 3
BANANA ZORRO - Muziki Zamani Ulitawaliwa na LOVE | Ampa Sifa Harmonize - Part 2 #bongofleva
Просмотров 2256 месяцев назад
BANANA ZORRO - Muziki Zamani Ulitawaliwa na LOVE | Ampa Sifa Harmonize - Part 2 #bongofleva
BANANA ZORRO - Huyu Hapa Banana Zorro | Anadunda Town Bila Ngoma Mpya - Part 1
Просмотров 1,6 тыс.6 месяцев назад
BANANA ZORRO - Huyu Hapa Banana Zorro | Anadunda Town Bila Ngoma Mpya - Part 1
Wakilisha
This guy was a legend still he is....nyimbo zake kali sana
Nyimbo zako kali sana leo mda huu nimetoka kusikiliza ngoma zako ,usiku huu sa tatu aisee❤❤❤❤❤❤❤
Upo bz broo
Legend
Upo vzr kaka yangu
Congratulation Mark Paul
Wanao coment upuuzi kwenye haya mahojiano wapuuz hawajui mziki ometoka wapi
Watoto wa 2000 mtuache, bado mlikuwa mnavaa nepi
MB DOGG alikua anaimba na kila ali kiba hizo enzi saa hii ali kiba bado ame maintain kwa game siri yake ni nini?
Better than diamond, better than soo many EA artists.. This man is legendary, kenyan concert Asap
Presenter makin sana
Pamoja
Kamanda mwenyewe Bizman
mkongwe wa wakongwe , respect
Legend
Kwaheri Kwaheri Nakohoa mara ishirini na nne daktari ❤❤❤❤ Nilipeda huo muziki
Milifanya mkubwa mno ata ukisaau nisawa tu
Bonsoir boss ulienda wapi nipe Num yako tuonane Whatsapp
Ndakwemwera cyanee❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yesu juu
Kwamba kaanza mziki 97? Kwamba wakati akina Mr 2 anakiwasha kipindi kile nae alikua kwenye game tayari?
Yeap
@@bongo_project respect kwake
❤❤❤
Anasoma wimbo au?.
Mkali Wa bongo FLAVA
Natamani sana urudi brother wewe ni machine zaidi ya machine broo
Nakumbuka mwamba huyu akitoa nyimbo yake ndo namaliza class 7 Namkubali sana brother
Toka Congo 🇨🇩 ongera ferooz 👏
Noma sanaaa❤
❤
Bro ongera sana kwa hizi interview Awa ndo wanatufnya tusikilize mziki tukiwa na stress uku ulaya Yani bro ongera sana na endelea kutuletea wasanii wetu wa kipind iko Wanaleta furaha sana na memory nyingi mnooo
Shukrani sana mwamba. Tuko pamoja
Huu wimbo mzuriiiiiiiiiiiiii na mama ana sautiiii
Napnda kusikiliza😊
Yes Huyu ni Mfalme wa muda wote wa mashairi hakuna mwengine hata anayemkaribia kwa nchi hii hayupo
Akili kubwa Sana 🤝🤝🤝
Moja ya Interview bora kabisa, Afande Sele ana madini mengi sana na hongera kwa mtangazaji huna mapepe wala huingilii maongezi unamuacha anaeleza jambo kwa kina, Hongera Sana
Shukrani kamanda
hio ngoma inaotwaje
Nasikitika kunitosa
We jamaa hatari🤔
Seleman Msindi one of the best music icon from Tanzania . Mkali wa rhymes
Feroz upo nilikua mdogo Sana nyimbo Yako ya kwaherini
MB Dogg.. Long time since I saw him...Dude was ahead of his time. Glad to see he is doing fine. Wish he knew how big he was in Kenya those days..
Beautiful comment! Yeap he is doing good
Moja ya Interview nzuri ambazo Nimefurahia ni hii ya Mwamba Bizzman Safi sana
Shukrani mzazi
Mzee wa njoo ucheze nami,jumba bovu ,shuga mami namkubali mwamba mack dizzo
Siyo kila musan ni kiyo cha jami wengine mizigo ya jam wakipata tatizo ndio wanakumbuka kama jamii ipo ili iwachangie kwenye matatizo yao
Please come back we love you
Ludi kwenye game kaka😂😂😂
Vp wimbo wake wa Mademu wa kibongo mbona hujamuuliza ulimpa mafanikio gani na vp K basili na wimbo wake riziki ilikuaje hadi wakafanya chemistry ile mtangazaji hebu nipe nafasi hapo kwenye kuwahoji hao wasanii namimi nitakua na chagusia gusia
Huwa tunatoa nafasi ya mashabiki kuja na maswali yao. Vitu ni vingi sana…ni vigumu kila swali kuulizwa
So he didn't have Aids?? He was coughing in that song
ferroz
Sio dini tu hata elimu tumeletewa wewe lichaam cha kanga.
latifah was fire na fire