Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Afande Sele na Dudu Baya ndio wasanii pekee walikua wanawataja watoto wao kwenye nyumbo zao, nyimbo za dudu baya nyingi itasikia jina la Wile, ma Afande jina la Tunda 💯💯
upo sahihi....bila shaka kwa umri wako weee ni Anko mwenzangu😊😊😊😊😊😊
Afande is a legacy act na anastahili heshima especially kwenye kutunza maadili kwenye ushairi wake.Anastahili kuwa museaum
Swadakta
Ili udumu unahitaji kuwa na nidhamu ya kudumu sio ya kumzuga mwalimu utajihuku. Nakubali sana babake Tunda Jema #huna atia #
Hatari ngoma hiyo
Nme enjoy sana ...nice show ❤❤❤❤
Pamoja sana mwamba!
Asante afande sele kwa mawe mazito au madina big up
Siyo madina ni madini nasahihisha
Legend baba tunda respect mzee
Salute Sana Mwamba!
Pamoja 💯
Kikosi cha mizinga mstari wa mbele
Leo BAVUGA Umekutana na mgodi madini
💯
HAPO GM HOTEL.KAMA SIKOSEI
Kabisa kabisa. Ndio tuliweka kambi
Capten sele simba dume
Sound mbovuuuu mnoooo!!! Setup yenu ipoje jmn???!
Jaribu kusikiliza kwa kutumia device nyingine…au kama umetumia earphone jaribu kuzitoa…sidhani kama sauti ni mbovu kiasi hicho
Sound mbovu
Sound mbovu kinoma
Mbona ipo poa au masikio yako yana tatzo 😊
Roh mbaya tu😂