MAISHA UANZA NA MUNGU - Nabby Travis Ft David LOV 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 13

  • @innocenttalentedperson9552
    @innocenttalentedperson9552 8 месяцев назад +1

    Iko poa mdogo wangu miziki inalia Mungu akubariki

  • @wilsonsolomon2796
    @wilsonsolomon2796 8 месяцев назад +1

    Keep it up man of God 💪

  • @YUSTOALFREDYMWANKUNDASinger
    @YUSTOALFREDYMWANKUNDASinger 8 месяцев назад +1

    Pig up songa mbele

  • @Quee97940
    @Quee97940 3 месяца назад +2

    Mungu akuinue katika viwango vya juu ..wewe sio wa kawaida bro🔥🔥

  • @MODrummer-rh5qg
    @MODrummer-rh5qg 8 месяцев назад

    🎉 Hii imekaa poa saana

    • @nahumboniphace3394
      @nahumboniphace3394  8 месяцев назад

      My drummer Boy nafurahia kuiskia kazi yako ya baraka kwenye huduma hii ambayo Mungu ametuita kuitenda kazi yake kwa utukufu wa jina lake
      Mazuri yanakuja #lifEofvictOry2024

  • @RAYMOND_FLOYD
    @RAYMOND_FLOYD 8 месяцев назад +1

    Hongera kaka

  • @ministermbotomaarifa950
    @ministermbotomaarifa950 8 месяцев назад

    MTU wa Mungu wa maana kabisa

    • @nahumboniphace3394
      @nahumboniphace3394  8 месяцев назад

      Kwa UPENDO wa Mungu kwenye maisha Yetu tunamuona akituweka pamoja kwajili ya utukufu wake
      Mazuri yanakuja #lifEofvictOry2024

    • @hyasintadamian3251
      @hyasintadamian3251 8 месяцев назад

      Hongera sana Mungu azidi kuwapa nguvu ya kumtumikia daima

  • @Quee97940
    @Quee97940 3 месяца назад +2

    Mungu akuinue katika viwango vya juu ..wewe sio wa kawaida bro🔥🔥