Nahum Boniphace
Nahum Boniphace
  • Видео 8
  • Просмотров 1 699
ASANTE YESU Nabby Travis Ft Godfrey & Doris Prod SAM RECORDSmp4
ASANTE YESU KWA UPENDO , UZIMA NA KIBALI
WEWE NI MKUU SANA KWENYE MAISHA YANGU.
#gospelmusic #kiri #worshipmusic #lifEofvictOry2025 #NabbyTravis
Просмотров: 188

Видео

IBADA YA KIRI LIFE OF VICTORY 2024
Просмотров 11621 день назад
TUNAPOKEA USHINDI KWENYE MAISHA YETU Kwa kuona Upendo wa Mungu kwenye maisha yetu na jinsi alivyo tufanya kwa upekee , kutu umba kwa mfano wake na kwa sura yake ili tufanane nae na kumwakilisha katika dunia hii tunayo ishi. -Maisha tunayo ishi yametokana na Mungu na aliumba vyote kwa utukufu wake yeye mwenyewe , kwa kusudi lake tunaishi na kutawala . -Uwezi kuishi pasipo kukubali ukweli huu kuw...
VILE NILIVYO NI BWANA NABBY TRAVIS LOV2024
Просмотров 2205 месяцев назад
Mimi na Wewe ni watoto wa Mungu , tumechaguliwa na yeye kutoka katika ufalme wa giza na kuwekwa katika ufalme wa nuru hivyo hatuko tena katika utumwa bali tupo katika neema yake , hatuishi chini ya sheria bali katika Neema tuliyo pewa kupitia Yesu Kristo kuingia kwenye maisha Yetu na tulivyo mpokea ametufanya kuwa wana/watoto wa Mungu na ndivyo tulivyo. @Nahum Boniphace #lifEofvictOry2024
MAISHA UANZA NA MUNGU - Nabby Travis Ft David LOV 2024
Просмотров 2768 месяцев назад
Napenda kumshukuru Mungu kwa kibali na neema yake kwa kunipenda na kunichagua kuwa wake na kunifanya kwa sura na mfano wake hivyo naishi kwasababu yake , na kila nilichonacho ni mali yake Uhai , Afya , Baraka , Ulinzi , Ushindi na mengine mengi ambayo amenipatia ni kwajili yake mwenyewe hivyo naishi kwa neema yake na katika pendo lake ... nawajulisha watu matendo yake kwangu na uweza wake kweny...
NAHUM BONIPHACE_ NEEMA BURE ( OFFICIAL VIDEO)
Просмотров 235Год назад
NAHUM BONIPHACE_ NEEMA BURE ( OFFICIAL VIDEO)
Josh Cleopa_Siwezi lolote(TIME OF VICTORY 2023)
Просмотров 179Год назад
@joshcleopa8859 @Thisismylegacytz
NAHUM BONIPHACE-HODARI-#timeofvictory2023
Просмотров 190Год назад
NAHUM BONIPHACE-HODARI-#timeofvictory2023

Комментарии