@@freddymello3227 :.GDP inayotangazwa na TBC, isiimini tena. Toka wakataze independdd statistic , sasa kila ni propaganda tu ili isiinekone serikali inafanya vibaya au kukosea. Mwezi uliopita Gazet la citizen, limetangaza.kuwa Tsh imeshuka, likafungwa wiki moja. wakati ukienda kwenye data za kimataifa ni kweli. Serikali huko kusini imeshindwa kununua korosho, ukisema utaambiwa mpotoshaji. Hatusemi JKM alikuwa safi, lakini afadhali yeye alikuwa mkweli na muazi, na kuacha wananchi waongee wanavyotaka na.kulikiwa na amani. leo unaweza ukasingiziwa kesi,.mahakam ikalazimishwe ikufunge au ukateswa, au kupotea au kuwawa na Polisi kituoni . Huoni hatua zozote zikichukuliwa au kukemewa. Tumefungwa 🤐 magufuli midomoni. Heri enzi ya JKM, Tulikuwa tunalalamika na furaha. JKM alikuwa always happy.
Paul Porubsky ,Nakushukuru kwa hoja nzuri sana ulizoainisha. ila sidhani kama unafahamu namna ya mwenye maduka ya Home shopping centre alivyofanya hapa nchini.na sijui kama umehoji yalipoishia maduka Yale.... kifupi tuu nikuambie kuwa J.P.M ni zaidi ya hao wote waliowahi kuikalia hiyo nafasi.huwezi mlinganisha kwa maamuzi,ubora wa fikra,na ukweli na uwazi na yeyote. nchi hii ilikuwa shamba la bibi.jamaa wamejitajilisha kwa kukwepa ushuru wakishirikiana na viongozi wa juu katika Taifa hili.ila J.P.M kadhibiti wizi wote na kampuni feki zilizofanya wizi kwa miaka mingi zimepotea. Tujifunze kuwa wakweli na wenye shukrani. kwani usipomshukuru Binadamu mwenzako hata mwenyezi Mungu huwezi mshukuru. J.k tulimpenda tena sana kama watanzania,alikuwa kijana mcheshi n.k lakini akatuacha kwenye mataa. Taifa likawa soko la madawa ya kulevya.(walioharibika ni kaka na Dada zetu)mf.Mangwea,Masogange,Matonya ,Ray c n.k J.P.M kamaliza biashara hii haramu.Leo hata mateja mitaani ni wakuwatafuta. Watanzania tuache hangover ya mapenzi kwa watu walioshindwa kutusaidia.tumthamini huyu aliyemikononi mwetu mwenye nia ya dhati kutukomboa kama Taifa.asiye mlanguzi wala mfanyabiashara wa madawa ya kulevya au mkwepa ushuru au fisadi kama tulivyozoea. J.P.M simba wa Tanzania "hapa kazi tuu!!!!"
Huyu ndiyo jamaa yetu kipindi chake mtu akikuomba 2000 Unampa 5000 sasa hivi mtu ukimuona ndugu yako ana kuja nyumbani unaanza kutafuta njia ukiofia kuombwa pesa duuuuuhhhhhhh JPM Legeza kidogo tupate kupumua.
Msilete uchonganishi aisee, Jk alifanya yake akamaliza ngoja Jpm naye afanye kazi yake, tunawapenda viongozi wetu wote kwa sababu wanaitakia Tanzania mema
Viongozi wanayoitakia mazuri Tz, inatakiwa wajue tuko mil55. na kila mtu ana mawazo tofauti, na yote hayo matofauti ni ile nchi ieendelee. Sisemi kwamba kiongozi asikilize kila kitu, lakini waTz tunata tuwe na uhuru wa hoja bila woga. na kila mtu aheshimiwe siyo kunyanyaswa na siyo kila mtu aseme " tumsifu JPM, CCM oyee" . Nobody is perfect. Mimi nipigwe risasi au siyo mzalendo kwasababu naona ni vizuri tutumie gas ya Mtwara badala ya kujinga bwawa kwa matrilion la SG? nk...
Kikwete, kikwete ,kikwete , yàaani! Miss u so much mzee! Mungu akubariki na uendelee kwa na maisha mazuri
Kama umekuja hapa kwa AJILI ya kukosa P PAPA,,gonga#imbatokamoyoni,, KISHA LIKE
Pangani yetu Hiyo mungu Aibariki kama umezaliwa Pangani Gonga like.
Hehehehe zamani ungenunua hivyo vitu kweli au ungekwenda kununua ulaya Asante 👏
Kama kuna aliyemuona kikwetw anaxbr chenj agonge like hapa
MUNGU akupemaisha marefu mstafu kikwete tumekumiss
Man of the people.
Allah akupe afya JK
Safi mtu wetu jakaya baba mwenye nyumba dah nakuamini sana mzee
Mic u mr president
Pangani yetu mashaallah mungu akujaalie umri mrefu muheshimiwa jakaya
Uko poah sanaaaa kikwete
Si mulisema mm mpole mpole sasa nawaletea chuma hichi kinatema cheche aaaa mstaafu kikwete daima tutakukumbuka ww ni genius in politics
lakini hatukusema tunataka dikteta.
amek -02 AMEIR Mmmh kweli mburula hawaishi.
Wataisha wala usijali kwan tumeona for 7.1% of GNI per capital ilivyokuwa
@@freddymello3227 :.GDP inayotangazwa na TBC, isiimini tena. Toka wakataze independdd statistic , sasa kila ni propaganda tu ili isiinekone serikali inafanya vibaya au kukosea. Mwezi uliopita Gazet la citizen, limetangaza.kuwa Tsh imeshuka, likafungwa wiki moja. wakati ukienda kwenye data za kimataifa ni kweli. Serikali huko kusini imeshindwa kununua korosho, ukisema utaambiwa mpotoshaji. Hatusemi JKM alikuwa safi, lakini afadhali yeye alikuwa mkweli na muazi, na kuacha wananchi waongee wanavyotaka na.kulikiwa na amani. leo unaweza ukasingiziwa kesi,.mahakam ikalazimishwe ikufunge au ukateswa, au kupotea au kuwawa na Polisi kituoni . Huoni hatua zozote zikichukuliwa au kukemewa. Tumefungwa 🤐 magufuli midomoni. Heri enzi ya JKM, Tulikuwa tunalalamika na furaha. JKM alikuwa always happy.
Paul Porubsky ,Nakushukuru kwa hoja nzuri sana ulizoainisha.
ila sidhani kama unafahamu namna ya mwenye maduka ya Home shopping centre alivyofanya hapa nchini.na sijui kama umehoji yalipoishia maduka Yale....
kifupi tuu nikuambie kuwa J.P.M ni zaidi ya hao wote waliowahi kuikalia hiyo nafasi.huwezi mlinganisha kwa maamuzi,ubora wa fikra,na ukweli na uwazi na yeyote.
nchi hii ilikuwa shamba la bibi.jamaa wamejitajilisha kwa kukwepa ushuru wakishirikiana na viongozi wa juu katika Taifa hili.ila J.P.M kadhibiti wizi wote na kampuni feki zilizofanya wizi kwa miaka mingi zimepotea.
Tujifunze kuwa wakweli na wenye shukrani.
kwani usipomshukuru Binadamu mwenzako hata mwenyezi Mungu huwezi mshukuru.
J.k tulimpenda tena sana kama watanzania,alikuwa kijana mcheshi n.k lakini akatuacha kwenye mataa.
Taifa likawa soko la madawa ya kulevya.(walioharibika ni kaka na Dada zetu)mf.Mangwea,Masogange,Matonya ,Ray c n.k
J.P.M kamaliza biashara hii haramu.Leo hata mateja mitaani ni wakuwatafuta.
Watanzania tuache hangover ya mapenzi kwa watu walioshindwa kutusaidia.tumthamini huyu aliyemikononi mwetu mwenye nia ya dhati kutukomboa kama Taifa.asiye mlanguzi wala mfanyabiashara wa madawa ya kulevya au mkwepa ushuru au fisadi kama tulivyozoea.
J.P.M simba wa Tanzania
"hapa kazi tuu!!!!"
morelife
We miss you JK❤️
SOCIAL PRESIDENT EVER IN TZ
Mzee anatufundisha maisha ya kawaida tu ni mazuri kabisa.
We miss u
Hii ndiyo faida ya Tanzania. Rais unastaafu kwa raha zako
Wewe unajua izo nchi nyengine wanaostafu wanakua hali gani
alistaafu bila kungangania madaraka kwasababu hakumuonea mtu, hakumpiga mtu risasi, hata wale waliompinga aliwalinda.
@@hamedmaskari518 temebea uone nchi nyingi za Africa.
Raisi kikwete wetu safi!!
Love you jk wetu
Good baba
Duhhh hal ngumu kwel mzee hajaacha hta change😂😂😂😂
Hatariiii
🤣🤣🤣🤣🤣
Gigy alisema papa samaki ,leo mh.kikwete amekosa papa,tena papa umuunge nazi.
Naona watu wanajisikia furaha kabisa kukutana na huyu rais mstaafu, nadhani ni video nzuri
Pangani nyumbani kwetu..
Huyu ndiyo jamaa yetu kipindi chake mtu akikuomba 2000 Unampa 5000 sasa hivi mtu ukimuona ndugu yako ana kuja nyumbani unaanza kutafuta njia ukiofia kuombwa pesa duuuuuhhhhhhh JPM Legeza kidogo tupate kupumua.
People's president👆😁
Wabongo tuna visa
Dah sa hivi ningekuwa meamia kwenye nyumba yangu ila dah mebki kueka kibubu mh nwaka wa nne sasa
Raisi rafiki
Huyu mzee noma san
Hii pangani.duh nimekumis sana nyumbani.30.03.19.
Msilete uchonganishi aisee, Jk alifanya yake akamaliza ngoja Jpm naye afanye kazi yake, tunawapenda viongozi wetu wote kwa sababu wanaitakia Tanzania mema
Viongozi wanayoitakia mazuri Tz, inatakiwa wajue tuko mil55. na kila mtu ana mawazo tofauti, na yote hayo matofauti ni ile nchi ieendelee. Sisemi kwamba kiongozi asikilize kila kitu, lakini waTz tunata tuwe na uhuru wa hoja bila woga. na kila mtu aheshimiwe siyo kunyanyaswa na siyo kila mtu aseme " tumsifu JPM, CCM oyee" . Nobody is perfect. Mimi nipigwe risasi au siyo mzalendo kwasababu naona ni vizuri tutumie gas ya Mtwara badala ya kujinga bwawa kwa matrilion la SG? nk...
Upole sio kosa ila ukatili ni dhambi, nimepamisi sana Pangani, Mkwaja Sadan
Angekuwa mpole Babu seya angeozea jela? Acha uchawa huo
Tunakumiss baba rudi ugombee tena
Agombee nn? Ili majizi yaendelee kushamiri? Sasa kuna jipya gan la kurudi agombee? Tunataka vijana wazalendo kama akina Makonda kuchukua nchi hii
Wazalendo wa media wale sio wanchi hii
Jk♥️♥️♥️
video cyo quality
Ukiwa mwema kwa wananchi hawawezi kukutupa. Hivi mkapa alienda wapiii.
Honest Balilo nahic mkapa ndo rahic pendwa ukiacha nyerere
@@atukuzweluhanga7401 Labda kinafiki kama inavyoendelea sasa.
Kikwete nomaa
Wamuulize gigy kapeleka wapi Papa.
😂😂😂😂
Huyu tunamkumbuka sana, ila meeengi sana alifeli ktk uongozi wake
Masunga acha kuvuta bangi.JK kashindwa mambo gani?,kama sio usukuma wako unakusumbua.
@@jorampaulo7008 mwambie afahamu
Jamaa jibu kapiga palepale yani😁😁
Papa?haya baba😂😂
mtu wa watu
Mkuu anataka papa wameshindwa kumuuzia
Mzee katinga shati lakijani kabisa...alijua kuna neema...wakat mkuu kesha staaf
Hamna hata maelezo chini ya caption kueleza mheshimiwa alikuwa wapi na kwa sababu zipi? Kuwa na weledi Millard Ayo.
Eti nn?? mzee baba kakosa #PAPA 😂😂😂😂😂
Tumefarijika sana kwa ujio wako wa Pangani
Mjomba
Duuh!! Kuvua pp 16m??
Kikwwte anatakapapa azidishe munkari siombaya
Jembe letu hilo
We still remember you mr president
Kikwete mtu wa watu.
uyo jamaa amepiga mule mule swal 😂😂
c kukosa papa 2...wa2mish 2mekosa hata nyongeza bado 2nalipwa uliouacha shemeji...
Ndo huyo mlimtukana sana akiwa rais
Mzee kikwete mtu wa watu
Namuona jaji kwa mbali...
Pangani
pangani kwetu naona mjomba rajabu mng'ombe anampa maswali jk
Hii ni kile kipindi bado yupo madarakani kulikua hakuna njaa km kipindi cha awamu hii
Shaaban Ramadhan nabado kwanza ukame unaanza nchi nzima mvua shida
@@yudamwinami6011 dodoma inanyeesha.
Vp mzee huna mazoezi mbona kitambi kiko juu
Mtu hana thamani mpaka aondoke hapo alipo
Kipenzi chao
mzee huyu bhana
Mmmmh huyo mkuu wawilaya
Kama arudi kwenye kiti chake hivi
Arudi kutukanwa?
pombe nimashine yakazi huyu mzee alikuwa mpole sana
kila mtu ana pray part yake mkuu
eeh mwenyezi mungu mpe Afya njema Rais wetu mstaafu
anapray ama anaplay😅😅😅
Kwa taarifa yako Emmanuel Jk ndiio rais bora kuliko wote na ndio maana akipita mtaani ana mvuto kwa watu.roho yake hainuki damu
Uhuru mzuri bwana ukiwa kiongozi unabanwa sana sasa hureeeeee.
Ukiacha madaraka TU Ndio utapendwa nakumbuka koment kipindi ukiwa kama Jpm
Raisi wa watu
We miss u