hawa watu wamebadili. kabisa game asee, tulizoe wasemaji lazima wawe hawana ustaarabu, maneno ya hovyo yawe mengi, ila mpaka sasa neno la hovyo nililowahi kusikia ni moja tuu, kuna mtu aliona ni bora andazi kuliko mwalimu wa mwenzie😂😂❤😂😂😂😂
@@yohanalukindo3737Hao woote ni Simba Sports Club sema utopwax wamefuata ugali tu Ahmed ni mtu anaejielewa huwezi kupeleka utimu kila sehem maana kuna watu wa Yanga wanamkubali wanatamani kupiga nae stori sasa akiwa kwenye Uzi wengine hawawezi ongea nae kwasababu ya utimu tu
Likes zangu mm ndo wa kwanza
Kazi nzuri sana
Safi sana kazi siyo vita
Ally kamwe one n only semaji la world cup wisdom.
Safi San
Kubwa Sana hii
Tatizo mwandishi ana chonga sana
Safi sana wasemaji muko poa
Safi sana kwa kuwa pamoja bila umimi
Sasa tukanen wenzenu nje ya game ni washikaji 😅😅
Semajiii 😂😂😂 Amedi All ❤❤❤
Kujipendekezatu hi inchi inachawa wengi sana
hawa watu wamebadili. kabisa game asee, tulizoe wasemaji lazima wawe hawana ustaarabu, maneno ya hovyo yawe mengi, ila mpaka sasa neno la hovyo nililowahi kusikia ni moja tuu, kuna mtu aliona ni bora andazi kuliko mwalimu wa mwenzie😂😂❤😂😂😂😂
😂😢😅😂 Ahmed ali wallah unankosha sana mwanang dah😂😅
😂😂😂😂😂 Nimewapenda Mno
Mwakakogwa
Na enjoy sana kuwasikiliza hawa wasemaji wakikutana 😂😂
Kwel
Hawa ndio wasemaji sasa sio yule mzungu poli:
😂😂😂
Wanakera hawo eti mashujaaa wakina zaka😂😂😂
Mzungu pori ndo nani
👏👏👏👏👏👏🦁❤❤❤
👏👏👏🦁🏆🏆🏆💪💪💪💪
Nimefurahi sn kuwaona hawa jamaa pa1 wakifurahi
Et mashujaa
Mkumbushen kuwa konk master ni konkon
Na huyu kamwe nae havai Za kawaida
Sema Ali Kamwe ana Komwe alafu mganga wake amemwambia popote aendapo asiache jezi ya Yanga amekua kama Mgunda na jinzi lake. 😂😂😂😂😂
😂😂😂manina
😂😂😂😂😂cheko la semajiii
Uyu amed ukiwa mwepesi wa kukasirika waweza mtia mkosi kanakera kweli
Ahmedy kama amependeza hv😂😂
Inaonekana ameongeza speed ya glass siku hizi😂
KIZIMKAZI WAMEFATA NINI HUKO WOTE KUROGA TU AU
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Vile zakha wamekumic uku njoo zaka jaman najua Kama wanakujua
😂😂😂😂😂
Wee dada jisitiri wacha ujinga
😂
Ahmed ni mwananchi huko kwa makolo basi tu ndiyo maana akitoka kama hivi havai ile mishuka ya waganga
Kama nakuelewa hivi kaka
@@amaniomar1755 kumbe mnamkubali
Ali kamwe,privadinyo unajua ni mashabiki wa timu gani
@@yohanalukindo3737Hao woote ni Simba Sports Club sema utopwax wamefuata ugali tu Ahmed ni mtu anaejielewa huwezi kupeleka utimu kila sehem maana kuna watu wa Yanga wanamkubali wanatamani kupiga nae stori sasa akiwa kwenye Uzi wengine hawawezi ongea nae kwasababu ya utimu tu
Huna lolote nawe,kanye tu ukalale
😂😂😂😂ila nyie wasemaji nawakubar sana vichaaa nyie