ALLY KAMWE APAGAWA NA GOLI LA PACOME/"NKANE APEWE BALLON D'OR/MSIMAMO WA LIGI TUNAONGOZA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 окт 2024

Комментарии • 21

  • @sarahsaimon4095
    @sarahsaimon4095 2 часа назад +1

    Hongera sana wachezaji wetu tunawashukuru sana pia tynazidi kuwaombea. Ili, mfanye vyema zaidi💛🔰💚

  • @yuzomaneno
    @yuzomaneno 3 часа назад +6

    Wakwanza like zenu wadau YANGA bingwa 🎉🎉🙏🙏🙌🙌

  • @DegratuasJulias
    @DegratuasJulias 2 часа назад +1

    Ally kamwe wew unajuwa brother wew ni hatari ila Asante gamondi yanga bingwa🙏🙏🙏🙏🙏🥀

  • @vaxminja9053
    @vaxminja9053 3 часа назад +4

    Ila kweli Nkane amecheza vizuri sana

    • @DIVINEPROMISE-c1n
      @DIVINEPROMISE-c1n 2 часа назад

      Mungu ampe afya njema na maisha marefu toka alipoumia tulikua tunamuombea mama zake na hatimaye Mungu wetu amempa afya yake tena
      Kiwango Bora sana

  • @yuzomaneno
    @yuzomaneno 3 часа назад +2

    YANGA bingwa 🙏🙏🙏🎉🎉🎉🙌🙌

  • @DhahabuSafi
    @DhahabuSafi 2 часа назад +1

    Ally napenda unavyojiamini mwanangu.

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif Час назад

    Yanga bingwa inshallah tena na tena yanga raha sana yanga oyeeeeeeeee 💓💓💓💓💓💓💓

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael 2 часа назад +2

    Pe pe pe peeeeh fyuuuuuuuuuh😂😂😂😂😂 mamae

  • @Mathamayaka
    @Mathamayaka 2 часа назад +1

    Tangu ringi iyaze leo ringi tamu Sana kuliko Simba na yanga

  • @DhahabuSafi
    @DhahabuSafi 2 часа назад +1

    Oyaaa nafurahi kusikia Pakome is around...Haendi mahali

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 2 часа назад

    Hakika mwenyezi mungu ni mwingi wa rehema

  • @GerevasFilipo
    @GerevasFilipo 2 часа назад

    ❤❤❤yanga bigwa😂😂😂🎉🎉

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 часа назад +1

    NASUBIRI WACHAMBUZI WA 'CLOWNS'😂😂😂😂😂😂😂.

  • @HakimuMbuja-l7r
    @HakimuMbuja-l7r 2 часа назад +1

    ❤❤❤❤

  • @Prince-rafael
    @Prince-rafael 2 часа назад +2

    Kama yanga wananufaika na uwekezaji na ndio ulowapa ubingwa miaka mitatu na sisi simba tudhamin club zingine, tupinguze siasa kwenye mpira yanga ni bora bnaa.

  • @HashimTz-q9j
    @HashimTz-q9j 2 часа назад

    Leo ndiyo nimeamini kwann harmonize aliimba yanga hii unaifungaje 😂😂😂

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 часа назад

      Bado! Unajua walio wengi wanatamani Yanga IFUNGWE! HASA WACHAMBUZI UCHWALA

  • @HawaHamza-yc1vg
    @HawaHamza-yc1vg 3 часа назад +1

    😂😂 ila kamwe ww