MREMBO MWENYE TABIA ZA KIUME | FULL MOVIE | CHAPA MOVIES RECAP

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии •

  • @Chapamedia_tz
    @Chapamedia_tz  6 месяцев назад +78

    Ahsanteni sana kwa mnaotufwatilia kwenye hichi kigogo. tuna ahidi kuwaletea vitu vitamu zaidi vipo jikoni so msisahau kusubscribe na kuwasha aalama ya kengele. Ahsanteni sana

  • @fahad79faiz46
    @fahad79faiz46 4 месяца назад +6

    Movie lazima iwe zuri hamorapa na masha love

  • @carewayTyga
    @carewayTyga 4 месяца назад +6

    Oya chapa hii kalii mwananguh 😂😂😂✊✊✊

  • @LonahKundu-ld5ex
    @LonahKundu-ld5ex 5 месяцев назад +9

    Kazi mzuri kwa baba mwenye video, James winner 🏆😅😅

  • @MARYAMMAKUNGU
    @MARYAMMAKUNGU 5 месяцев назад +12

    Hongera sana chapa unatisha kwa video tamu na ujumbe mzuri

  • @FatmaMama-qq7ye
    @FatmaMama-qq7ye 6 месяцев назад +6

    Shukran saan,movies tamu,tunasubir zingine.

  • @CoritaSaidy
    @CoritaSaidy 6 месяцев назад +5

    Mpka nimetabasamu ilivoisha ninzuri mnoooo❤

  • @rashidismail6593
    @rashidismail6593 6 месяцев назад +6

    Dahhh nim enjoy kinoma big up

  • @MtatasaidiSaidi
    @MtatasaidiSaidi 5 месяцев назад +4

    Wana wake wamekaa kupiga kelee kwenye kalioyo her yeeeeeee😅😅😅😅😅

  • @elizabethmassawe694
    @elizabethmassawe694 5 месяцев назад +3

    Hongera kijana Kaz nzrii

  • @CATHERINEKWAMBOKA-z9k
    @CATHERINEKWAMBOKA-z9k 5 месяцев назад +5

    Waaau nice movie next plz🎉🎉

  • @GodluckyKimario
    @GodluckyKimario 6 месяцев назад +4

    Nmeipenda sana ilikuwa nzuri

  • @davidjob1905
    @davidjob1905 5 месяцев назад +3

    Kakamovie sana ilaa samahanii naomba uwe unatuwekea jina la MOVIE!**😊

  • @BawiliHusseni
    @BawiliHusseni 2 месяца назад

    Kaka asante sana kwa kazi yako nzuri move inaitwaje

  • @NeemaGwasma
    @NeemaGwasma 5 месяцев назад +4

    Kafanana na rafiki yangu naye alikuwa na Tabia kama zake😊

  • @radhinamedi8301
    @radhinamedi8301 4 месяца назад +3

    Nimempenda mno.

  • @IbrahimLista
    @IbrahimLista 5 месяцев назад +3

    Muvi nzur nimeipenda sana❤

  • @KhairatHemed-bq4uh
    @KhairatHemed-bq4uh 6 месяцев назад +3

    Yaan ctaman hta imalze nzuri sana

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 4 месяца назад +2

    😂😂😂😂apelekwe kijijini aozeshwe😂😂😂

  • @jamesgeorge8279
    @jamesgeorge8279 5 месяцев назад +2

    Yap sommo wangu James huyo chezea hilo Jina tupo vzr

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 3 месяца назад +1

    Et umekataa kunipikia, njoo tupike hapa kitandan😂😂

  • @salmaabdallah9598
    @salmaabdallah9598 4 месяца назад +2

    Bonge la kazi Big up💪

  • @Aishamkubwa-m3w
    @Aishamkubwa-m3w 6 месяцев назад +5

    unyama asaaaa mm do wakwanza kufatiliya hiv vigogo

  • @rehemashinsi
    @rehemashinsi 5 месяцев назад +5

    aki nitakupiga na kistuli😂😂😂😂😂

  • @RemyNkengurutse-ho1yc
    @RemyNkengurutse-ho1yc 5 месяцев назад +3

    iZi movie nazipenda sana kuzifatilia nitazipata vipi nakuzilipia niaje🎉

    • @Babyzay178
      @Babyzay178 5 месяцев назад

      Zipo hapa hapa RUclips 😅
      Hello Pot

  • @nadiamressa34
    @nadiamressa34 3 месяца назад +1

    Hii movie balaa ... Big up 🤗

  • @BakariMsonyo
    @BakariMsonyo 3 месяца назад +2

    Dah maisha ambayo tunapitia wengine hii story imenifanya nilie sana nakukumbuka mbarii mno dah

  • @MesiaAtukuzwe
    @MesiaAtukuzwe 6 месяцев назад +5

    Nzuri Sana jamn

  • @SaumuSalum-k5n
    @SaumuSalum-k5n 4 месяца назад +3

    Andika tu utaipata mm nishaangalia

  • @salamahamad1596
    @salamahamad1596 6 месяцев назад +5

    Nzuriii🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @bin.Ali_boy
    @bin.Ali_boy 4 месяца назад +3

    TAFADHALI KITU CHA KUONGEZA UWE UNAWEKA NA MAJINA YA MOVIE TAFADHALI KAKA!❤

  • @Rukiarukyruky-zj8nk
    @Rukiarukyruky-zj8nk 2 месяца назад

    Yule ni mke wang pale ntakapokua comfortable na mke wang atakua comfortable loh 😂😂😂😂😂😂

  • @ButoyiSelemani-n8i
    @ButoyiSelemani-n8i 2 месяца назад

    Ili ni bonge la movie nakubali Sana I'm from Cape Town

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Jemusi nikiboko pesazote😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @FaithMuthoni-h6k
    @FaithMuthoni-h6k 4 месяца назад +1

    Tamu sana love u❤❤❤

  • @vannboyhivann4842
    @vannboyhivann4842 Месяц назад +1

    Kaka huwa natizama move zako hata siku 1 sjawahi ku comments naishiaga ku like tu ila kwenye hii move nime comment daaaah🙌🙌

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 4 месяца назад +2

    Kazi nzuri sana

  • @AminataMurara
    @AminataMurara 6 месяцев назад +3

    Ni nzuri sana

  • @NdayishimiyeSubira
    @NdayishimiyeSubira 3 месяца назад +1

    Stor ipo sawa baba

  • @Maryam-m6w
    @Maryam-m6w 3 месяца назад +1

    Mzr sana jmn

  • @officialredstar3
    @officialredstar3 5 месяцев назад +1

    Ili bifu mbona pambe 😂😂😂❤

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 4 месяца назад +7

    Mnastahiki subscirbe bila hata kuiomba nice job

  • @FaudhiaIddy-i6k
    @FaudhiaIddy-i6k 2 месяца назад

    Nzuri sana nimeipend

  • @daisyDidace
    @daisyDidace 2 месяца назад

    Jina la movie

  • @RydonIndiaka
    @RydonIndiaka 4 месяца назад +2

    Waaau nice movie

  • @LilianOdongo-t8r
    @LilianOdongo-t8r 3 месяца назад +1

    Hapo sawa 😂😂😂

  • @AnnWanyonyi-yj1fi
    @AnnWanyonyi-yj1fi 5 месяцев назад +2

    Nimeenjoy sana 😂😂visirani viwili kwa nyumba 😅 nimecheka yangu yote

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 4 месяца назад

    We jamaa unajua sana hizi movie kali sana

  • @edoswagstz4333
    @edoswagstz4333 4 месяца назад

    Mafunzo ni mengi mzazi kwenye move hz hongera kwa kazi mzuri bro.

  • @RamadhaniMango-x3t
    @RamadhaniMango-x3t 3 месяца назад +1

    Jina LA movie

  • @SalhaEsauNdolosi
    @SalhaEsauNdolosi 3 месяца назад

    Kazi nzuri lkn tuna omba kama zitakuja HD itapendeza

  • @ImmaBobo
    @ImmaBobo 3 месяца назад

    Hongereni Sana

  • @Vivian-s7s
    @Vivian-s7s 6 дней назад

    😂😂😂😂😂😂mkorofi aisee

  • @isakakasitu1871
    @isakakasitu1871 6 месяцев назад +4

    Big up

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 4 месяца назад

    Hiyi movie inanishekesha sana 😂😂

  • @RachelMerveille
    @RachelMerveille 5 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤ nimeipenda💖💖💖🙏

  • @AishaRashid-z8k
    @AishaRashid-z8k 4 месяца назад

    naend kukutia spoku😂😂😂

  • @katotophotographer6900
    @katotophotographer6900 6 месяцев назад +2

    naomba unitajie jina la movie

  • @NawsalzulMarshal
    @NawsalzulMarshal 3 месяца назад +2

    nice

  • @JPMBENZA
    @JPMBENZA 3 месяца назад +1

    Safi sana

  • @FatmaMama-qq7ye
    @FatmaMama-qq7ye 6 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nikiwa Buja

  • @PrinceMalulu
    @PrinceMalulu Месяц назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yan nimecheka hii movie duh😅

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 5 месяцев назад

    Hhhhhh yan ii tam kwakwel nimechek duuu hhhhhhh tuleten muendelezo hhhhh

  • @Annact-tz
    @Annact-tz 5 месяцев назад +1

    Nimecheka😂😂😂😂 hii movie

  • @QUEENBEEOG
    @QUEENBEEOG 6 месяцев назад +2

    Wame kutwamga😂😂😂😂😂😂 aisee

  • @SalhiyyaJassam-fg1sw
    @SalhiyyaJassam-fg1sw 6 месяцев назад +2

    nzuriiiii🎉🎉🎉

  • @esterjuma827
    @esterjuma827 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂 nzuri

  • @abdulmauya4874
    @abdulmauya4874 5 месяцев назад +1

    Riwaya inavutia somo lake....mtoto mtukutu kwa mtukutu waweza elekebishana..

  • @janemwakapesa5569
    @janemwakapesa5569 5 месяцев назад

    Hongera brother good job

  • @JoisiTamsoni
    @JoisiTamsoni 3 месяца назад

    Chapa media

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 6 месяцев назад +2

    Kazi imepoaa

  • @GraceKariras
    @GraceKariras 3 месяца назад

    Napenda sana

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 2 месяца назад

    Hii ni ni kali sana

  • @HusnaSwediy-mp1wb
    @HusnaSwediy-mp1wb 4 месяца назад +2

    Imeisha vzr❤❤❤

  • @SalhaEsauNdolosi
    @SalhaEsauNdolosi 3 месяца назад

    Bro una kazi nzuri lkn tuna taka zije HD

  • @officialally2685
    @officialally2685 5 месяцев назад

    🎉😂😅Tisha sanaaa

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад

    Ila evieee😅vichaaa wawili😅

  • @maureenmartin8253
    @maureenmartin8253 6 месяцев назад +4

    Jina Baraka

  • @ilhamAlly-v7e
    @ilhamAlly-v7e 6 месяцев назад +1

    ii movie 🙌🙌🙌🙌

  • @margaretnamubi4565
    @margaretnamubi4565 5 месяцев назад +1

    😊😊movie poa

  • @BarakaTutito
    @BarakaTutito 4 месяца назад

    Kweli kabiza tamu xan

  • @AminaMgenzi
    @AminaMgenzi 5 месяцев назад

    Ana fanana na Irene woya uyu dada

  • @HALIMASOYE-ph5bh
    @HALIMASOYE-ph5bh 4 месяца назад

    Nzuri sna

  • @GodfreyKadege
    @GodfreyKadege 4 месяца назад

    Jina la movie tafadhli

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 5 месяцев назад

    😅😅😅😅😅😅James mbavuuu sinaa😅

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 4 месяца назад

    Cha tunakukubali from uk 🇬🇧 hadi raha ukielezea kitu

  • @AsmaAzizi-g1z
    @AsmaAzizi-g1z 5 месяцев назад

    Kopo na mfuniko😂😂

  • @asajiremandalasindabira5975
    @asajiremandalasindabira5975 Месяц назад

    Nchi zenye Deni kubwa dunian

  • @johnntogota5201
    @johnntogota5201 6 месяцев назад +6

    Inaitwaje hii movie

  • @elizabethmassawe694
    @elizabethmassawe694 5 месяцев назад

    Kwani wew unataka jina la move ili iwaje ..Tunga Yako alafu uipe jina

  • @ثامركعبي-ي1ق
    @ثامركعبي-ي1ق 4 месяца назад

    😂😂😂😂aruke tena

  • @rahmaali9523
    @rahmaali9523 4 месяца назад

    ❤I like it

  • @ThabeDamian
    @ThabeDamian 4 месяца назад +1

    Ruger❤

  • @MussaHassan-cy5hh
    @MussaHassan-cy5hh 6 месяцев назад +2

    Mzeee umeuwa

  • @neemasimon6972
    @neemasimon6972 6 месяцев назад +2

    Nzuri

  • @TimothMwambalange
    @TimothMwambalange 4 месяца назад +1

    Jamn mbn ha2ioni ile movie ya tajiri aliyejifanya maskini ili apate mke mwema ambaye atampenda alivyo na sio pesa zake

    • @MaryCharles-c6r
      @MaryCharles-c6r 4 месяца назад

      Ipo nawe search hapo tajiri aliyejifanya maskin kupata mke mwema utaipata wenzako tushaiona

  • @dismanManota
    @dismanManota 6 месяцев назад +1

    Shukrani sana

  • @BrightnessMuuh
    @BrightnessMuuh 6 месяцев назад +2

    Aweeeeeeeeee🎉🎉🎉

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Месяц назад

    Kiboko ya wachawi dawa niminyoosho

  • @MsJuniormjunyhandsomeboy
    @MsJuniormjunyhandsomeboy 4 месяца назад

    kiboko 😂😂