MUSTLEAD PRE & PRIMARY SCHOOL:ZIARA YA KIMASOMO(STUDY TOUR) KUNDUCHI, DAR ES SALAAM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 янв 2025
  • Kila mwaka Shule za Mustlead (Mustlead Pre&Primary School na Mustlead Secondary School) tunawapa wanafunzi wetu fursa ya ziara za kimasomo kwa wanafunzi wetu lengo kuu ikiwa kujifunza kutoka katika maeneo tofauti na kupata burudani mbalimbali pindi wanapotembelea maeneo hayo.
    Tarehe 16/11/2024 Mustlead Pre&Primary School walitembelea eneo la Kunduchi kwa ajili ya Ziara ya kimasomo. Tazama hapo juu kujionea yale ambayo yaliweza kujiri.
    BONYEZA SUBSCRIBE, SHARE na LIKE Channel hii ili uendelee kupata mengi kutoka Mustlead TV.

Комментарии •