Mtoto Mwenye kipaji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 127

  • @gracesamson4339
    @gracesamson4339 4 года назад +3

    Ni karama za mungu barikiwa mtoto na ziwa ulilonyonya libarikiwe pia,Ameen

  • @twazihirwajosam725
    @twazihirwajosam725 5 лет назад +3

    Chaliii uko PW mungu naomb akulind kwa sababu dunia hiii kunawtu awapend iv Mungu nawe pamoja na we amen

  • @shamanred2472
    @shamanred2472 6 лет назад +2

    I'm from Kenya and I believe every Tanzanian child can be as smart as this one, if we give them the opportunity. He probably has good parents. Love TZ.

  • @titusolesangale1870
    @titusolesangale1870 3 года назад +1

    Mungu umjalie mtoto huyu katika talent take inshallah

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 4 года назад +1

    Huyu mtoto Mungu akimjalia apelekwe shule maalumu kama Tabora Boys enzi zileee.

  • @yuzarsifbulushy5451
    @yuzarsifbulushy5451 4 года назад +1

    Mashallahh mungu Ambariki.. This Boy He will be a Good Leader in future.may Allah Gives hime a good health n Long life with his parents. Ameen.

  • @abdulbogoyo1243
    @abdulbogoyo1243 3 года назад +1

    Mungu amlinde,, watu wengine wana umri mkubwa na wengine wameajiriwa maofisini ! mishahara minono ! lakini hiyo lugha inapita kushoto

  • @osmundibanda6089
    @osmundibanda6089 7 лет назад +22

    Daaaahh huyu mtoto nimempenda bure he is very talented my God bless you

    • @dengdior7280
      @dengdior7280 6 лет назад

      Osmundi Banda I hope you mean May god bless you.

  • @asas-gl6el
    @asas-gl6el 6 лет назад +1

    Wao u kill it umewaweza wote keep up....

  • @bintdhahabu787
    @bintdhahabu787 4 года назад +2

    mashallah nimempenda bure mtoto huyu big up totoo

  • @muhammedomar3539
    @muhammedomar3539 7 лет назад +8

    daaaaaah sina lakusema ispokua nawaombea watoto wote mafanikio mema pia nimevutiwa sana sana kiasi ambacho mm pia najihisi niko chini sanna kwa hawa watoto thay are very talented.

  • @aminambukuzi999
    @aminambukuzi999 5 лет назад +1

    Mekapenda jaman natamani kukasikiliza mda wote the way kanavyonyoosha maneno na bila kutetereka good boy😘

  • @guyoibrahim3100
    @guyoibrahim3100 4 года назад +1

    OMG he is genius, may God bless him and give him happy long life

  • @jbdebbielish8483
    @jbdebbielish8483 6 лет назад +2

    Genius
    God bless you abandantly
    Saudi Arabia watching

  • @cliffthepoet9664
    @cliffthepoet9664 6 лет назад +1

    wow am from kenya buh that little chap is big time ...salute

  • @milicentjonathan1832
    @milicentjonathan1832 7 лет назад +7

    Mungu amtangulie...he is genious

  • @HidayaAbdully
    @HidayaAbdully День назад

    Katoto mungu apiganie kipaji chako

  • @ummuzainab2332
    @ummuzainab2332 5 лет назад +1

    Hongera babs

  • @emmanuelreuben5014
    @emmanuelreuben5014 4 года назад +1

    Hatari sana

  • @miriamngosha6856
    @miriamngosha6856 6 лет назад +5

    Jaman mungu siku aje anipe utajir nijekuja kuwasaidia watoto wenye talent kama awa dh

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 лет назад +5

    MashaAllah...your so talented may God see you through..

  • @farajamwakamyanda3014
    @farajamwakamyanda3014 7 лет назад +6

    Nimempenda buree ata mimi sijui kanishinda mweee

  • @esterbhulituma9381
    @esterbhulituma9381 4 года назад +1

    Jamani Hadi nime Lia kwa furàha

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 4 года назад +1

    Mashalla mashalla Allah amuongoze

  • @EDITHACHINGUILE
    @EDITHACHINGUILE 10 месяцев назад

    Jamani alienda wapi uyu mtoto

  • @hassanmseya4283
    @hassanmseya4283 7 лет назад +3

    haaaaaaaaaaa mtoto atoa changamoto mwacheni hawe huru kiswahili hajui

  • @glorywiliam1172
    @glorywiliam1172 4 года назад

    Baba mdomo wazi mtt atamuumbua

  • @alvismumkaranja3360
    @alvismumkaranja3360 6 лет назад +5

    Genius boy my God help you

  • @annamalunda2732
    @annamalunda2732 4 года назад +2

    God bless u my Dr

  • @enikereuben2174
    @enikereuben2174 4 года назад +1

    Wawooo so marvellous

  • @cyprianmisana1244
    @cyprianmisana1244 6 лет назад +1

    Gud boy🤔🤔🤔🤔🤔👊👊👊👊

  • @seniorlecturerperfectboy5615
    @seniorlecturerperfectboy5615 6 лет назад +1

    dg anajuaaaa lecturer ww dg for future

  • @safiaothman1098
    @safiaothman1098 4 года назад +1

    Maa Shaa Aallah

  • @janemlilo2169
    @janemlilo2169 6 лет назад +1

    I love my self

  • @vailethkomradi7606
    @vailethkomradi7606 6 лет назад +1

    uyo mtoto ni tare

  • @nigothegreat4799
    @nigothegreat4799 3 года назад

    Yeeeeeeeeeeeees ma'fuckn son like y'know???

  • @esthersimiyu4634
    @esthersimiyu4634 6 лет назад +2

    Hayo ni mapepo naogopa

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 5 лет назад +1

    Mhhh sijui nisameje

  • @agnesalex8579
    @agnesalex8579 4 года назад +1

    Waooooooo

  • @magencheye2324
    @magencheye2324 4 года назад +1

    Big up

  • @mesatagirassane4853
    @mesatagirassane4853 5 лет назад +1

    essa criança é talentoso, oh meu Deus abençoe ele.

  • @leilahomar5608
    @leilahomar5608 6 лет назад +1

    dadadeki adi lijamaa linachemka alitaka kumuuliza dogo unamfahamu magufuli kwa kingereza likachemka uyo dogo nishida

  • @nyanzalakaporo2504
    @nyanzalakaporo2504 7 лет назад +4

    GINIUS LILTTLE BOY

  • @godfreykizila8632
    @godfreykizila8632 6 лет назад +1

    Wabongo pichauchi

  • @richardjehas999
    @richardjehas999 6 лет назад +1

    nice my young br

  • @ankotemba7369
    @ankotemba7369 6 лет назад +7

    yani nimejiona fala mbele ya huyu mtoto duh apana aseee

  • @davidnyangweso3232
    @davidnyangweso3232 6 лет назад +6

    Does he have a small earphones that someone is telling him what to say or how to solve math problems. Or he's just too smart a genius

  • @jamilaomary945
    @jamilaomary945 6 лет назад +1

    Good

  • @nancymimo3457
    @nancymimo3457 7 лет назад +8

    achakulazimisha mtoto kujua Kiswahili....hataki

  • @maryamelyas9382
    @maryamelyas9382 7 лет назад +3

    Sina neno mtoto Anajua kila analoulizwa penda sana yeye

  • @ceciliambui5972
    @ceciliambui5972 3 года назад

    Wow

  • @abrendakalengela3169
    @abrendakalengela3169 6 лет назад +1

    Jaman

  • @martinomondi5468
    @martinomondi5468 6 лет назад +2

    That boy is genius

  • @ustadhnassor4809
    @ustadhnassor4809 6 лет назад +1

    wow💛

  • @antoniasaimoni3677
    @antoniasaimoni3677 6 лет назад +1

    Safi

  • @Vel42
    @Vel42 5 лет назад +1

    Wa!!!!!

  • @lucyjeremiah877
    @lucyjeremiah877 6 лет назад +1

    God

  • @marrychomola1828
    @marrychomola1828 5 лет назад +1

    Da aaaaah

  • @princek047
    @princek047 6 лет назад +1

    Hayo maswali ata kama......!!!!!???

  • @mkenyahalisi1047
    @mkenyahalisi1047 6 лет назад +17

    Babake ni nani..anipe mimba na tuachane roho safi

  • @ntigarmakobar3169
    @ntigarmakobar3169 7 лет назад +3

    we dogo hatareee sana

  • @rozinaswenya1719
    @rozinaswenya1719 7 лет назад +7

    Kashangazi kangu hako jamani.mmmmhh

    • @simonmhanje8251
      @simonmhanje8251 4 года назад

      Yuko wapi sasa ivi shangazi yako dah yuko gud sana

  • @princek047
    @princek047 6 лет назад

    Baba acha kulazimisha mtoto lugha yenye hataki. Plus hayo maswali.

  • @razansalim532
    @razansalim532 5 лет назад +5

    MashaAllah

  • @sarahrashidirashid9384
    @sarahrashidirashid9384 7 лет назад +2

    Kuna watu wakasema makonda hajui kingereza naapo nini

    • @brudatv3539
      @brudatv3539 6 лет назад

      Anajua kingereza lakin kaforg vyet

    • @georgemhalla8853
      @georgemhalla8853 4 года назад +1

      Amechapia Sana, aliposema I was speak, kiswahili. Alitakiwa asema I was speaking kiswahili au Swahili. Tunapotumia was, past tense lazima iwe na I.n.g, kwa mfano I was eating food. Sio I was eat food,

  • @akinyililian3330
    @akinyililian3330 6 лет назад +1

    Kipawa kutoka kwa mungu

  • @nemesdavid7346
    @nemesdavid7346 5 лет назад

    Mashallah baby boy

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 5 лет назад +1

    ma sha allah

  • @elizabethmwandu287
    @elizabethmwandu287 7 лет назад +2

    Mmm huyu mtoto ni balaa

  • @selemanihussein5073
    @selemanihussein5073 7 лет назад +1

    huyo mtoto siyobure anatumiwa namajini.... mbona kiswahili hakijuwi vizuri nawakati kingereza siyo lugha yake....kuweni nyinyi ndomana NEY aliwaita MAZOMBI. huyo mtoto anaogozwa najini full stop. kwanza hana uoga anajikubali sana anakitu kinamfanya hivyovyote, ushauri wangu wamuulize mama yake vizuri, huyo jamaa ALIIBIWA NA JINI.

    • @countinguptoupthere5169
      @countinguptoupthere5169 6 лет назад

      Selemani Hussein jaman naungana na ww sio bure kingereza kakijua wap wakati baba haongei kama mtoto bora angekua kakulia nje ya nchi tungesema lakin bongo tena familia ya kawaida kabsa mm mwenyewe nimekataa sio akiri zake hizo mtoto anamjua makonda kuliko hata mm mtu mzima hapana nimekataa kabsa.

    • @topestamohammed3538
      @topestamohammed3538 6 лет назад

      Selemani Hussein stop being stupid that is why Americans say africans we have got alow IQ americans have got a lot of kids like this wewe na kende lako ati jini wale waotaja marais wa dunia nzima pia ni jini

    • @heavengift779
      @heavengift779 6 лет назад

      Seleman Hussein @ we jamaa umekosa akili unge kua karibu nge Ku shoot bullet ya kichwa

    • @heavengift779
      @heavengift779 6 лет назад

      Topesta Mohammed @ sure, this is a reason why akina trump wanatudis , bcoz of this madness, that is a talent, we have to accept.@@
      hint; late rply I was in jail

    • @simonmhanje8251
      @simonmhanje8251 4 года назад

      @@heavengift779 😂😂😂😂

  • @patmush7516
    @patmush7516 7 лет назад +4

    Kwa nini asishiriki shindano la *Child Genius* lililopo Marekani huko atakutana na wenye uwezo kama wake

    • @bonishani638
      @bonishani638 6 лет назад

      Pat Mush like it's
      was perfect

    • @dengdior7280
      @dengdior7280 6 лет назад +1

      Pat Mush actually he doesn't that much of a English trust me,😂😄😂😂 what a broken English. R.I.P ENGLISH.

  • @evansodhiambo2030
    @evansodhiambo2030 7 лет назад +1

    The boy's English is better than that of the guy interviewing him.

  • @frankmpoto5347
    @frankmpoto5347 3 года назад

    Hakuna kipaji hapo kipaji hajipo hivyo watafuteni wanaojua kuhusu vipaji kama na huyo mtoto watamuweka miongoni mwa wenyevipaji?

  • @jamesgetogo4137
    @jamesgetogo4137 7 лет назад +3

    🚶

  • @ceezbongo9835
    @ceezbongo9835 7 лет назад +1

    nimekosa cha kuongea

  • @Rugemalilatv1994
    @Rugemalilatv1994 7 лет назад +5

    huyu mtoto akaongoze mkoa flani kuliko yule kilaza

  • @jicksonnkulikwa6090
    @jicksonnkulikwa6090 7 лет назад +1

    MIMI NA SIASA NOOOOOO!!!!! INATOSHA KUONGOZA UMMA ,ILA NIKITEULIWA HAMNA SHIDA NIPO TAYARI KUITUMIKIA NCHI .

  • @frankmpoto5347
    @frankmpoto5347 3 года назад

    Hapo ni sawa tu na mtoto umsikie anazungumza lugha ya kichina wakati hajawahi kufundishwa halafu useme nikipaji, wapi na wapi hapo?
    Kipaji kwaufahamu wangu ni mtu kuwa na uwezo fulani au kufanya jambo fulani kwauwezo mkubwa waziada tofauti na wengine lakini bado njia kuu yakufikia uwezo wa juu zaidi huwa wakufanana kwaasilimia kubwa lazima mtu huyo apitie kwa mwalimu

  • @saidyaummy6132
    @saidyaummy6132 6 лет назад

    Messi

  • @ujjju6294
    @ujjju6294 6 лет назад

    Why are u quiet a child like a grownup u have to be easy with a child that too has

  • @selemanihussein5073
    @selemanihussein5073 7 лет назад

    msimuweke mungu namambo yakijini, YESU ANERUDI TANZANIA hahahahaahahaaaaaa, TANZANIA kuwenu makini sasa mnapoelekea kubaya mtajishangaa mi nipozangu. UKIZARAU YA MUSA UTAYAONA YAFIRAUNI. be careful u guys

  • @frenkpalanjo9511
    @frenkpalanjo9511 7 лет назад +1

    wema setu

    • @saiddukani2062
      @saiddukani2062 7 лет назад

      Frenk Palanjo mambo

    • @rachaelmuthama1487
      @rachaelmuthama1487 6 лет назад

      Leave the baby alone.he wants to speak English.good for him.wale hamjuhi kizungu kaeni kimya

  • @faboge
    @faboge 6 лет назад

    perfect child, interviewer is not faring that well

  • @rhinaregina5806
    @rhinaregina5806 7 лет назад

    I know he knows English but he doesn't speak very well hahaha you need teach child good ways guys

  • @janemlilo2169
    @janemlilo2169 6 лет назад +1

    I love my self

  • @adam5ramadhan154
    @adam5ramadhan154 4 года назад +1

    Maasha Allah