Mtumishi naomba kama ningepata kuongoea nawe mengi maroho za ukoo nimeomba nimetoa sadaka nautaji maombi, hata nilibadilisha jina la bibi ya babangu ambaye alifanya viapo nikiwa mchanga nilirithi jina lakini sasa ninaitwa Sarah, Amen
Asante mtumishi kwamaombi yako wakati nikiomba nilikua nawashwa kwanzia mapajani na miguuni pamoja na tumboni Arafuu miyoo imekua mingi sana kupita maelezo Nakunakitu kimekaa kwenye koo lakini badae nikawakama na nyongwa nikatapika nilivyo tapakia nasikia njaaa kama sijara kitu 😢
BWANA YESU asifiwe. Asante kwa kufuatilia mfululizo wa maombi haya. Ili kupata maombi yote fungua link hii hapa; ruclips.net/p/PLP643MGs6uo1HZKI6Xpub1jCmQeBjo5Be&si=7P2E4Iw97WWj06PA
Pole mwanangu kwa yote lakini usiogope kwa kuwa YESU yupo na anaweza yote. YESU atakushindia. Ubarikiwe sana. Pia nakushauri ufanye na maombi haya, ruclips.net/video/JmidcqIrIoI/видео.html
Amen 🙏 nimetapika vyakula. vyote vya miungu na maagano kwa damu ya Yesu ,nimekombolewa ,ndoa na uchumi wangu kwa jina la Bwana Yesu, ubarikiwe sana Mtumishi Mungu azidi kukuinua ,akuangazie mwanga wake Kila uendako God is good all the time may his name be glorify amen 🙏🙏
Amen Amen mwanangu, jina la YESU litukuzwe na kubarikiwa sana. Sifa zake zivume duniani kote. Ubarikiwe mwanangu, na zidi kutembea katika ushindi ndani ya YESU. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Yesu asante kwa urejesho, Jesus you are RESTORER, thank you so much, kila la kheri Mwalim, Bwana Yesu na akutunze na familia yako, ameen, tunaendelea kufuatilia mafundisho yako, barikiwa sana Mwalim, kuanzia No. 1 hadi 40 nimefunguliwa step kwa step haaa
Amen Amen mwanangu. YESU asifiwe sana. Mungu azidi kukuonekania na kukushindia katika yote. Ubarikiwe kwa baraka za milele yote kwa utukufu wa jina la YESU
@@IsaacJavan nimepokea kwa jina la yesu Mungu akubari maana maombia haya ni kwaajili yangu yananihusu naomba Mungu uvhungu umetoka nilikuwa na uchungu mkubwa Sana😢🙏🏼🙏🏼
@@IsaacJavan Mungu wangu naomba ponya ndoa yangu nakuombea mume wangu uludishe upendo na amani uzinzi usiludie tena na hata kuzaa nje ya ndoa Bwana kusiludie kwajina la yesu🙏🏼
Sawa pastor Mungu akubariki ila nilijaribu kusikiliza vol 1 to 25 nimeiona Ina umuhimu wa kuomba Maombi yote na roho mtakatifu has helped me through the prayers
Yesu Asante kwa kuiponya NDOA 💍 yangu ameen
Mungu funguwa ndowa yangu iwe na amn itawale kwa maombi hya mungu na iman ndowa yangu itakuwa na amb kwa jin ka yesu amn
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe
Amen ubarikiwe nawe pia kwa baraka za milele
Ni somo ambalo limepta ila hakika namshukuru Bwana kwa kunifunulia,ubarikiwe mtumishi ww pamoja na familia yako amen
Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu
Yesu asante kwa kuionya uchumba wangu yesu ant sana ameni
Amen.Asante Yesu kwa kuitoa ndoa yng katika Madhabau ya kifamilia na kuikabidhi krk Madhabau yk Yesu.Amina
Amen Amen YESU azidi kukuhudumia na kukushindia daima. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Ameen ameen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mungu naomba uponye ndoa yangu, mume wangu Kelvin obed arudi haraka,arudishe upendo kwangu, ponya ndoa Yesu 🙏🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen glory to God
Amen God bless you forever
Mtumishi naomba kama ningepata kuongoea nawe mengi maroho za ukoo nimeomba nimetoa sadaka nautaji maombi, hata nilibadilisha jina la bibi ya babangu ambaye alifanya viapo nikiwa mchanga nilirithi jina lakini sasa ninaitwa Sarah, Amen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Barikiwa Sana mtumishi Amen 🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu naskia wepesi kweny moyo Wang
Amen YESU azidi kukupa amani na ushindi mkuu
Asante mtumishi kwamaombi yako wakati nikiomba nilikua nawashwa kwanzia mapajani na miguuni pamoja na tumboni Arafuu miyoo imekua mingi sana kupita maelezo Nakunakitu kimekaa kwenye koo lakini badae nikawakama na nyongwa nikatapika nilivyo tapakia nasikia njaaa kama sijara kitu 😢
Damu ya YESU ikufungue na kukuweka huru. Ubarikiwe kwa baraka za milele
Asante Yesu kwa kuniondoleya ahibu namini unafanya jambo✍✍
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Aaaaaaamen.
Nimekusikiliza toka mwanzo adi mwisho...
Aaaamen amen amen
Uishi milele masihi wa Bwana.
Niko huruuuuuùuuuu
Hakika Yesu amenifungua na kurejesha vilivyoibiwa na Adui
Amen mwanangu, sifa kwa YESU. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Amen and Amen more blessings
Bwana Yesu asifiwe,najua ni mda umepita,lakini natamani kusikiliza hili Somo na kuomba ila napata vol 40 tuu,nifanyeje nipate tangu day one
BWANA YESU asifiwe. Asante kwa kufuatilia mfululizo wa maombi haya. Ili kupata maombi yote fungua link hii hapa;
ruclips.net/p/PLP643MGs6uo1HZKI6Xpub1jCmQeBjo5Be&si=7P2E4Iw97WWj06PA
Naomba yesu uiyokoe ndoya yanguiko matatani iko hatujawahi gombana lakini mume wangu kanipereka mahakani anataka kinipa
Taraka yaani akiulizwa shida nini anadai hataki ushauri yeye anataka taraka tu eee bwana Yesu nisaidie ndoa yangu isimame upywa 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭
Pole mwanangu kwa yote lakini usiogope kwa kuwa YESU yupo na anaweza yote. YESU atakushindia. Ubarikiwe sana. Pia nakushauri ufanye na maombi haya, ruclips.net/video/JmidcqIrIoI/видео.html
Bwana Yesu nionekanie Amen!
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Asante mungu kwakuni fungulia mirango mimi na mme wangu Erasimus amina
Amen YESU awape ushindi mkuu
Ameen
Amena amena
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amina
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen 🙏 nimetapika vyakula. vyote vya miungu na maagano kwa damu ya Yesu ,nimekombolewa ,ndoa na uchumi wangu kwa jina la Bwana Yesu, ubarikiwe sana Mtumishi Mungu azidi kukuinua ,akuangazie mwanga wake Kila uendako God is good all the time may his name be glorify amen 🙏🙏
Amen Amen mwanangu, jina la YESU litukuzwe na kubarikiwa sana. Sifa zake zivume duniani kote. Ubarikiwe mwanangu, na zidi kutembea katika ushindi ndani ya YESU. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele
Amen Amen Amen
amin
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen 🙏 ameen 🙏 ameen 🙏 Neema ya kirsto Yesu iwe juu yako baba etu
Amen mwanangu, YESU azidi kuonekana kwako na kukushindia katika yote
Amina Barikiwa mtu was Mungu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Yesu asante kwa urejesho, Jesus you are RESTORER, thank you so much, kila la kheri Mwalim, Bwana Yesu na akutunze na familia yako, ameen, tunaendelea kufuatilia mafundisho yako, barikiwa sana Mwalim, kuanzia No. 1 hadi 40 nimefunguliwa step kwa step haaa
Amen Amen mwanangu. YESU asifiwe sana. Mungu azidi kukuonekania na kukushindia katika yote. Ubarikiwe kwa baraka za milele yote kwa utukufu wa jina la YESU
Aminaaaah
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen Amen amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Asante kwa maombi haya nafunguliwa kutokana na kila roho ambazo zimeshikilia ndoa yangu Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu umeniponya asante sana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU. Zidi kutembea kwenye ushindi daima
Amen amen 🙏 more wisdom be blessed
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen.barikiwa sana
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen and Amen Mungu Atuponye
Amen mwanangu, YESU akuonekanie na akupe kushinda katika yote. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Amen!Amen!
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
AMEEEEEEEEEEEEEEENNNNNN BABA IMEKUA
Amen Amen mwanangu. Ubarikiwe na BWANA YESU
Ameen dadiiiii tunakupenda sanaa sanaaaa
@@irenedaffi7179 Amen Amen Amen mwanangu nashukuru sana Mungu akubariki sana sana kwa baraka za milele yote. Amen Amen
Amen 🙏 please pray for me and my family i receive in Jesus name amen
Amen my daughter may God meet you at the point of your need
@@IsaacJavan nimepokea kwa jina la yesu Mungu akubari maana maombia haya ni kwaajili yangu yananihusu naomba Mungu uvhungu umetoka nilikuwa na uchungu mkubwa Sana😢🙏🏼🙏🏼
Ameen Ameen Ameen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nabarkiwa na huduma yako mungu akuinue viwango vya juu sana
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU. Asante kwa kuendelea kuungana nasi kupitia maombi na mafundisho. Ubarikiwe sana
@@IsaacJavan amen
@@juliethamaridadi6001 Amen mwanangu
AMINA AMINA
Ameen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Asante yesu kwa kuponya ndoa yangu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mungu nisaidie nimsamehe mume wangu kwani imekua ngumu kwa sababu yaalionifanyia
Amen mwanangu YESU akufanyie njia
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Asante Yesu kwa kuponya familia
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@@IsaacJavan Mungu wangu naomba ponya ndoa yangu nakuombea mume wangu uludishe upendo na amani uzinzi usiludie tena na hata kuzaa nje ya ndoa Bwana kusiludie kwajina la yesu🙏🏼
Niombee mtumishi ndoa yangu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ameeen ❤
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@@IsaacJavan Asante sana baba Mungu akupe umri mkubwa zaidi 🥰
@@lulujonas6091 Amen Amen mwanangu, napokea. Amen Amen ubarikiwe sana, Oh Hallelujah!
Baba wakati naomba maombi haya niliaza kuishiwa nguvu moyo wang ulikuwa unauma sana
Baba naomba namba za whatsaap unisaidie Nina shida nasumbuliwa na jini mahaba
BWANA YESU asifiwe sana. Nakushauri endelea kufanya haya maombi na YESU atakushindia kwa ushindi mkuu. Usikate tamaa
Shalom pastor nilikuwa naomba msaada wako roho mtakatifu amenisukuma kuomba maombi ya ndoa je ni ombe hii vol 40 au nianze vol 1
Mungu akubariki. Kama unaombea ndoa pekee, omba volume 40. Lakini kama unaombea maisha yako yote, anzia volume 1
Sawa pastor Mungu akubariki ila nilijaribu kusikiliza vol 1 to 25 nimeiona Ina umuhimu wa kuomba Maombi yote na roho mtakatifu has helped me through the prayers
@@scarletivyfrancis1203 Amen Mungu akubariki na akutane na haja za moyo wako kwa utukufu wa jina lake
sisi ambao hatujachumbiwa je haya maombi yanatuhusu?
Mungu akubariki. Unaweza kuomba kama maombi ya akiba
Asante yesu Kwa kuiponya ndoa yangu
Amen🙏🙏🙏
Amina
Amen
Ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ameen ameen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen Amen Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Ameen Ameen baba
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Asante yesu kwakuiponyaa kwa kuiponya ndoa yangu
Amen 🙏🙏🙏
Amen Amen
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen Amen Amen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
AMEN
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Amen and Amen
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Amen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amen nimepokea baraka zake
Amen Amen Amen
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
AMEN 🙏
Amen
Amen Amen
Amen ubarikiwe na BWANA YESU