Hernia ni ugonjwa gani??
HTML-код
- Опубликовано: 10 фев 2025
- hernia ni ugonjwa ambao ni common sana, watu wengi khaswa wanaume wapata sana.. katika hini video naeleza hernai ni kitu gani, na yatibiwa vipi..
Asanteni
Like, subscribe and share
Music: Bensound.com
Dah nimekuelewa dokta maana kwa kweli nilikua siujui huu ugonjwa ila kwa sasa nimeufahamu na shukran sana jazakallahu lkheir
Maashaallah somo zur
Asante doctor nimesikia Nina Hilo tatizo
Nzuri sana ahsante kwa kutuelimisha
Dr asanteee sana Kwa somo
Somo zuri mno mawasiliano muhimu mno.
Allahbarik dada
nimekuelewa sana dk
asante kwa somo na mm mwanangu ana huu ugonjwa wa hernia mpaka tuliambiwa na doctor tutafute mesh ili afanyiwe hyo tiba
Asante Dr
😢😢 doctor mwanangu kavimba korodani moja naomba nisaidie mwanangu apone
Mtoto Wang anasumbuliwa na hernia
asante san
Ndugu yangu raha kabisa kwasababu ya hio ngiri
🙏🙏
Dokta unapatikana wapi asante kwa ushauri na mwanangu anasumbuliwa ana miaka 10
Ndugu yangu hana raha kabisa sababu ya ernia
Jama mi niko mombasa shanzu mwanangu ako na hio shida kitovu chake kimetoka sana
DKT. Unapatikana, wapi,mm,nina,tatizo,hilo,la,ennia
Mnapatikana wapi
Dawa yake ni ipi
Mawasiliano yako doctor
Mwanangu kavimba korodani moja doctor nisaidie mwanangu apone
Baada ya oparesheni je kunauwezekano wakuendelea kutoa mbegu kwausahihi ama ?
Mimi mtu mzima na harnia
Kama nimepatika nayo ni fanye nini Dr , nalia 😭😭😭🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Asante Sana Dada mungu hakupe maisha malefu Uwasaidie watu kwakua mungu hamewaeka watumishi kamanyie
Ngarama
Asantee
Kuna mtu mmoja nilimsikia akisema ikikaa miaka mingi inatumbuka hapo ni kifo tu hakuna tiba je, ni kweli?
Nina hili ttizo nimepata huu ni mwaka wa nne nimepata kwa upasuaji wa uzazi
Mwanangu ana 6weeks aisee kitovu kimetoka nje naogopa naona kinaongezeka sasa sijui nifanye nini
Sasa madam mtu akishazeeka na akijulikana Ana uginjwa huo opareshen ikishindikana kinachofwata
Mm nina harnia na nina mimba kwasahi nimekohoa nanimefura nifanyeje
@@lilianMigide nenda hospitali upimwe na daktari ndio ajue kama ni emergency au laa
Mambo lilian
Mwanangu anatatizo hilo nakupataje ana mwaka mmoja na nusu
Waeza kupiga simu 0789105555 kupata appointment
Doctor naomba nitumie namba zako
Asante
Mimiaminahamisi nijibu
Wapatikana wapi
Premier hospital.
@@dr.maryambadawy7063 mm niko na huu ugonjwa sasa cjui utanisaidia vp
@@sundayadam4305 you can call 0789105555 to make an appointment
Namadokta hao wako spitali gani
Mwapatikana wapi wewe
Unapatikana wapi dk mm nina tatizo hilo au namba.ya.simu
Premier hospital
Iko mkowa gani hapa tanzania dkt au tupe namba ya sim
Upo wap jaman
Premier hospital iko.mombasa kenya, mtaa wa nyali
@@dr.maryambadawy7063 nina tatzo Dr. Naomba namba yako
Dokta una balaa wewe
Spital take ikowapi
Vp kwa mtoto,wangu ana miezi kumi ana kitovu kikubwa km kdole cha katkat
Hiyo pia ni hernia, waeza kumleta tumpime, piga simu 0789105555 kuweka appointment
@@dr.maryambadawy7063 mi niko Tanzania tunafanyaj
We unapatikana wap mm ninayo iyo shida 0782123684
Kuna mtu mmoja nilimsikia akisema ikikaa miaka mingi inatumbuka hapo ni kifo tu hakuna tiba je, ni kweli?
Kuna mtu mmoja nilimsikia akisema ikikaa miaka mingi inatumbuka hapo ni kifo tu hakuna tiba je, ni kweli?