Yammi feat Nandy - Lonely (Visualiser)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 927

  • @luckyluchano1
    @luckyluchano1 7 месяцев назад +187

    Kawaida wakenya🇰🇪🇰🇪 tunakuaga kila mahali. Any Kenyans in the house?

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 7 месяцев назад +569

    Mm katika nyimbo za Yammi na Nandy sijawahi pewa like naombeni kwahiyo hiyo wimbo Hata like 10 tu

    • @BasuleBasule
      @BasuleBasule 7 месяцев назад +4

      😅😅😅😅😅

    • @elchrisdenzinga6189
      @elchrisdenzinga6189 7 месяцев назад +4

      wow 🇨🇩🇨🇩 njoooni muni followers jameni

    • @ibrah4862
      @ibrah4862 7 месяцев назад +7

      Mwanaume unaomba likes? watakushona 😂

    • @TheReporter-A47
      @TheReporter-A47 7 месяцев назад

      ​@@ibrah4862😂😂😂😂😂😂😂

    • @adembeza
      @adembeza 7 месяцев назад +2

      Kwani ulisaidiaga kuandika wimbo?

  • @neemamashauri1043
    @neemamashauri1043 7 месяцев назад +25

    Wimbo mtamu san hauna matusi hata kidogo unaweza sikiliza na kucheza hata shughulini,,,ohh mashaall. ,Yammi na Nandy mmeweza aiseeeeee 💓💓🌹🌹🌹🌹🌹hongereni sana🌹🌹💓💓💓💓

  • @jumabondo2085
    @jumabondo2085 7 месяцев назад +30

    Yani aka ka nyimbo wala akachoshi kukasikiliza nakasikiriza all time❤❤❤🤗🤗

    • @CareenJohn-j3s
      @CareenJohn-j3s 12 дней назад

      Kwel me Kila siku nasikiliza 😂😂

  • @Twalibuzubeli
    @Twalibuzubeli 7 месяцев назад +312

    Kama umeelewa ngoma ya Yammy Na Nandy gonga like hapo

    • @Joycesamwel-r3t
      @Joycesamwel-r3t 6 месяцев назад +1

      ❤❤❤❤❤❤ goma kali sana

  • @StanzaMata
    @StanzaMata 7 месяцев назад +7

    Love from Rwanda 🇷🇼❤❤❤, wimbo huu unapendeza kweliii❤

  • @HappyMtondi
    @HappyMtondi 6 месяцев назад +62

    jaman tumpe maua yke yammy alf kwan like mnakula tuambizane bas😂😅😁😁😁😁

  • @adembeza
    @adembeza 7 месяцев назад +10

    Anything Yammi touches turns to gold. African Princess never let this gem go. Perfect Combi! Love from Kenya.

  • @AsinathMuhidini-ye6jc
    @AsinathMuhidini-ye6jc 7 месяцев назад +16

    baba levo saizi anajisikia aibu kipindi yammi ananza kuimba alikuwa anamcheka nakusemq hana sauti chakushangaza ,,,mtoto anasaut kali duuuu kuliko yule

  • @angelpilla4816
    @angelpilla4816 7 месяцев назад +13

    Kwani mmejuaje wengine usingle unatusulubu hukuu mtaani 😂😂 thanks love wangu Yammy and sst nandy

  • @zahirzainchronicles
    @zahirzainchronicles 6 месяцев назад +18

    All the way from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪, I vybe with Yammy and Nandi combination in this song and let it be a duo forever in industry. Anyone from Kenya and Tz to drop a like to this comment and Yammy to drop a bombshell of love emoticon.❤

  • @jemjay1011
    @jemjay1011 7 месяцев назад +3

    Noma sana ...watching from planet Mar...huku imeshika number moja sijui huko planet Earth

  • @SubiraJumangovi-dm5gu
    @SubiraJumangovi-dm5gu 7 месяцев назад +18

    Jamni naenjoy pia kua lonely wangapi wanaenjoy kama nandy na yammy❤❤❤❤

  • @kenrifambi
    @kenrifambi 7 месяцев назад +2

    Great song Yammi. Nimeipenda. Uku Nairobi imetufikia

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama 7 месяцев назад +20

    Nyimbo imetulia jmni tunaomkubali yammi n Nandy tujuane💖💖💖

  • @SalimaSophia
    @SalimaSophia 7 месяцев назад +18

    Nandy pokea upendo❤ kutoka kwngu mie mkenya mzalendo🙏😘

  • @Muddy-y9h
    @Muddy-y9h 7 месяцев назад +5

    Oya mamaeeeeee Ili gomaaaaaaa hatar mazeeee tuacheni unafik king'an'ga hafiki Kwa African princess Kwa verse

  • @athumaniramadhani8249
    @athumaniramadhani8249 7 месяцев назад +31

    Hii nyimbo nimesikiliza zaidi ya Mara 20 Nzuri Sana

  • @TabuSebastian
    @TabuSebastian 7 месяцев назад +10

    The vocals 🙌🏾🔥
    The lyrics 🔥
    The voices 😩🔥🔥
    maana halisi ya African princess label 🎉❤️

  • @Malole932
    @Malole932 6 месяцев назад +1

    Daah hii Ngoma hatari sana ni Ngoma Yangu bora kwa wasani wakike iliyo uwa zaidi 2024 hakuna ningine... ❤️❤️❤️

  • @ryanlee3392
    @ryanlee3392 7 месяцев назад +35

    Nyimbo noma sana kama unamkubali yammy nipe like

  • @bossbilly1448
    @bossbilly1448 7 месяцев назад +12

    Ngoma Kalii Sanaa❤ ilaa...Nandy na Yammi Yangeulizana...Maana Ya MashaAllah na Alhamdhulillah...

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 7 месяцев назад

      Kweli wangeulizwa maana ya Mashaallah na Alhamdulilah. Wanaitumiya lakini hawaijuwi maana yake itakuwa.

  • @felixkitheka1686
    @felixkitheka1686 7 месяцев назад +13

    Ikienda , muongeze konde for a remix, it will be game over

  • @brendankatha8038
    @brendankatha8038 7 месяцев назад +16

    Nandy and Yammi,💪🙏much love from Messi kadenge 254🇰🇪🇰🇪

  • @JoshuaLeonard-lo3cs
    @JoshuaLeonard-lo3cs 7 месяцев назад +40

    Mtoto wa Motoo kwanzia muonekano mpk talent unaua sana we mdada nakupenda buree 😂😂😂😂😂

  • @geofreykalawa2260
    @geofreykalawa2260 7 месяцев назад +5

    Laaah! @yammy tzMalizia na viuno flan hv.....
    Afu we African princess taratibuu 🔥
    Naomba namba za zima moto cz hili songiii litateketeza bongoflavor yoteee

  • @BarackPhares
    @BarackPhares 7 месяцев назад +53

    Kama unakubali ngoma kali kuliko ya zuchu raha like hapa i love you nandy ❤

    • @neemamashauri1043
      @neemamashauri1043 7 месяцев назад +3

      Sidhanii kama hii comment yako ina tija,,hakuna anyefanya mziki kw akushindana. Keki ya sanaa ni kubwa sana haina haja ya mashindano📌

    • @EsterEmmanuel-k8i
      @EsterEmmanuel-k8i 7 месяцев назад

      ​@@neemamashauri1043m mwenyew cjamwelewa cjui zuchu katokea wap tena kwny account za watu wengn

    • @queenzuchuuu
      @queenzuchuuu 7 месяцев назад

      💯💯

    • @SportsFan-pt9jw
      @SportsFan-pt9jw 6 месяцев назад +1

      Another good music is from eminem, his new song houdini

  • @JestoneAlfayo
    @JestoneAlfayo 5 месяцев назад +1

    Wcb huu ni msiba kwao kuna moto inazidi kuka bigup nandy u show de world ur in another level

  • @tigershrof2170
    @tigershrof2170 7 месяцев назад +13

    The Princesses 👸 hizo sauti jameni hazitakiwi kuwa single🙏👌👌

    • @Edward_Falu
      @Edward_Falu 7 месяцев назад

      😂😂😂😂😂

  • @KokutonaKakiziba
    @KokutonaKakiziba 7 месяцев назад +4

    Good work nandy,hiyo ndo mana ya kukuza kipaji cha msanii wako sio kumuacha❤️

  • @simaosamrosa6689
    @simaosamrosa6689 6 месяцев назад +10

    This is what we missed
    Pure bongo fleva

  • @TumainSeleman
    @TumainSeleman 7 месяцев назад +42

    Kama umeeyaelewaa mashati waliyovaa nandy na yammy gonga like hapa❤

  • @Leehum54
    @Leehum54 7 месяцев назад +11

    The real meaning of Bongoo frevaa ❤bhn these two really Amazing 💥🔥

  • @jumabondo2085
    @jumabondo2085 7 месяцев назад +2

    Ninakupenda mlembo wangu yammi na unajua kuimba nafurahi kusikia you'r voice

  • @Dogobeeclassic
    @Dogobeeclassic 7 месяцев назад +8

    ❤❤❤crashy wangu huyo nampenda sana ngoma kali vibe tamu ,,much loving. And appreciating🎉🎉

  • @khamisjuma-vo8es
    @khamisjuma-vo8es 7 месяцев назад +7

    Two african princess much love from 254

  • @samirahramadhan2454
    @samirahramadhan2454 7 месяцев назад +9

    Yaaan hata chakusema Sina apliciate 🎉❤❤❤

  • @MfarijiNyange
    @MfarijiNyange 7 месяцев назад +8

    Kutoka DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
    nipeni mahuwa yangu🎉🎉🎉

  • @stevenckanumba7
    @stevenckanumba7 7 месяцев назад +10

    Ngoma tamu sana ❤❤African princinces

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 7 месяцев назад +21

    Mmeua Walai love from 🇰🇪🇸🇦🥰🥰🥰🥰 team strong ❤️♥️♥️

    • @MatyldahMkandoe
      @MatyldahMkandoe 7 месяцев назад

      Naenjoy kuwa lonely kadama oyeee🇰🇪🇸🇦💃🥰

  • @DevothaTheonas
    @DevothaTheonas 7 месяцев назад +4

    Nilikua natamani hii colabo atimae Mungu kusikia kilio changu🙏 ngoma kali sanaaaa
    Ongerani sanaaaa na wapenda sanaaaa ❤❤❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 7 месяцев назад +93

    Ngoma Kali Xana Kweli The African Princess Ongereni Kwa Kazi Kubwa Kam Umehelew Hili Goma Gonga Likes Hapa❤❤🎉🎉🎉

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 7 месяцев назад +21

    Yammi ni Fundi kwel kwel nimeona tangu mwanzo sasa ni hii melody amazing sana weka like hapa zote za yammi ft nandy Lonely ❤❤❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @DeogratiusMadeje-os5ur
    @DeogratiusMadeje-os5ur 7 месяцев назад +1

    Safari hii yammy watakutambua, good production, hit song, let's go sis

  • @franciskitte198
    @franciskitte198 7 месяцев назад +46

    Me nasoma comment nione maoni yenu kuhusu hii Ngoma nyiee mnaomba tu like

  • @KedyTz
    @KedyTz 7 месяцев назад +6

    🔥🔥🔥🔥🔥🌏 #Lonely

  • @kaddymngumi5674
    @kaddymngumi5674 7 месяцев назад +2

    Ngoma Kali.....Beat Kali kazi Nzuri kina Dada wa East Africa❤❤❤❤❤

  • @princessamina5035
    @princessamina5035 7 месяцев назад +10

    yammy amua hapa kumshinda nandy❤

  • @JosephPantaleo-ri9tn
    @JosephPantaleo-ri9tn 7 месяцев назад +12

    Mtu na Tajiri yake mmetisha 🙌

  • @Jomielsjohn
    @Jomielsjohn 7 месяцев назад +14

    Goma kariiiiiiii sanaaa ila mmi na diri na comment

  • @castromendozaofficial2485
    @castromendozaofficial2485 7 месяцев назад +6

    This gal ❤️ Yammi is so talented.....WoW!😍

  • @joelbindjuma
    @joelbindjuma 7 месяцев назад +7

    Ngoma kali sana toute mes félicitations aux artistes yammi et nandy je vous aimes très fort 💓💞💞

    • @dastanjonas2253
      @dastanjonas2253 7 месяцев назад +1

      Nous Les Tanzaniens t'aimons aussi

    • @joelbindjuma
      @joelbindjuma 7 месяцев назад +1

      Merci beaucoup 🙏

  • @Martinapiuskayanda
    @Martinapiuskayanda 7 месяцев назад +5

    Nyimboo nzurii mnoo wanao pendaa makelele hawataelewaa

  • @Donrugi
    @Donrugi 7 месяцев назад +12

    Yammy killed it 🔥🔥

  • @Ademi_fader
    @Ademi_fader 7 месяцев назад +9

    Nandy katisha dah ❤❤

  • @rubensamanda1532
    @rubensamanda1532 6 месяцев назад +3

    Haka katoto n kanajua sana ❤, Always gave a hit song

  • @NessySarah-s2t
    @NessySarah-s2t 7 месяцев назад +93

    Kama kuna mtu anapenda muungano wa awa watu wawili ashuke na like apo

  • @castromendozaofficial2485
    @castromendozaofficial2485 7 месяцев назад +7

    Haka Kawimboooo🔥💯😍😍😍🙌

  • @PeterGeorge-fu3ut
    @PeterGeorge-fu3ut 3 месяца назад +2

    Nandi have been my crush since I begun listenning to her songs...kma umependa comment yangu gonga like tukisonga

  • @SigwaMkinga
    @SigwaMkinga 7 месяцев назад +2

    Mungu akubariki ww na kizazi chako

  • @RASKING-y8p
    @RASKING-y8p 3 месяца назад +3

    mimi namkubali yammi kinoma 100%, naomba like mafasi wa yammi na nandy

  • @ibrahamessiah360
    @ibrahamessiah360 7 месяцев назад +7

    Yammy mama hii sio tyu kali bali ni kali sana nae nandy mama❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @danovibes7203
    @danovibes7203 7 месяцев назад +11

    Huyu mtoto anaimba!!! 🙌🙌🙌🙌🔥

  • @AminaBakari-oy9eb
    @AminaBakari-oy9eb 6 месяцев назад

    Nandy uwa ywatuliz nyimbo zake vzr sio km hao wengine warupuka tu love you nandy Kenya to Qatar ❤❤

  • @princessamina5035
    @princessamina5035 7 месяцев назад +8

    ka mwili kanafeel vibe na hili song❤❤❤❤

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 7 месяцев назад +7

    Burundi 🇧🇮 we are here to show love ❤️

  • @gratusvlogs
    @gratusvlogs 7 месяцев назад +3

    Nice Song Yammy sema ninasikio la Mziki na iyooo beat nishawah isikia. JEJE ya MOND ume SAMPLE. Kama unabisha kaisikilize

    • @neemamashauri1043
      @neemamashauri1043 7 месяцев назад +1

      We naye hebu kalale huko,,,,hiyo jeje ya huyo mondi wako si aliiba kwa wizkiz wimbo wa JORO. Kwahyo acha umama mxueeeee 😏

    • @gratusvlogs
      @gratusvlogs 7 месяцев назад +1

      @@neemamashauri1043 Kwaio Yammy na Mond wote wameiba kw Wizzy hahahahahahahha.....anyway MZIKI ni mzur sema ukwel utabak kuwa ukwel. Got Me😏

    • @Sharmy_02
      @Sharmy_02 7 месяцев назад

      ​@@gratusvlogsYammy Yammy 🔥🔥🔥

    • @gratusvlogs
      @gratusvlogs 7 месяцев назад

      @@Sharmy_02 Aliiba kwa Producer wake au kwa Kiswahili kizur aliinunua😁

  • @FettyAhmadi-d4l
    @FettyAhmadi-d4l 7 месяцев назад +4

    Gb zangu zote namaliza apa apa hii nyimbo tamu bhn 🔥🔥

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 7 месяцев назад +6

    Uyu Yammi kwa kizazi kipya Hana mpizani
    Nandy wala Sina aja yakueleza mana kila mtu analijuws

  • @issashabanihusseniwewe9024
    @issashabanihusseniwewe9024 7 месяцев назад +2

    Ngoma kali sana tena sana yani yamoto sana🔥🔥🔥na hii nyimbo sijuwi kama hajaiandika yule mume wa mtu😂😂😂

  • @002RYE
    @002RYE 7 месяцев назад +14

    Sipendagi nyimbo za wanawake I don't ila naenjoy hii iko lonely 🎉❤

  • @AkPk-d7w
    @AkPk-d7w 7 месяцев назад +2

    Wow nilikuw nikisubiriya hii song kwa hamu ❤❤ ni kali sanaaa

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 7 месяцев назад +8

    Kazi nzuriiiiiiii sana

  • @zakiamasenene5717
    @zakiamasenene5717 7 месяцев назад +8

    Nainjoi kuwa lonely

  • @husnambalekwa9780
    @husnambalekwa9780 7 месяцев назад +4

    kilanikirudia naona bado natamani kusikia hii nyimbo jmn❤❤❤

  • @MOHAMEDSALEH-fl7kb
    @MOHAMEDSALEH-fl7kb 6 месяцев назад

    Out fit walio vaa IPO vizuri na dancing style IPO vizuri Sana. Pia walivyotoa nyimbo pamoja na lyrics wapatia sana

  • @FlorahJoseph-e8v
    @FlorahJoseph-e8v 7 месяцев назад +5

    Wimbo nzur aisee❤️❤️❤️❤️❤️

  • @alexanderkimondo731
    @alexanderkimondo731 7 месяцев назад +1

    Hongeren sana kwa nyimbo hiyo mmetisha Sanaa

  • @franklinisaya4796
    @franklinisaya4796 7 месяцев назад +13

    Kama Kuna mtu kasikia kwa mbali biti la diamond like hapa😊😊😊

  • @sofianjozi7791
    @sofianjozi7791 7 месяцев назад

    Yani ndo apite farri athuman humu yule wa Kenya uwiii hizi ndo pigo zake ❤❤❤ the song is dope

  • @cranemunisi8785
    @cranemunisi8785 7 месяцев назад +3

    Great song ! Issa hit 🔥🔥🔥 congratulations The African Princess

  • @johnmaithya4006
    @johnmaithya4006 7 месяцев назад +8

    Nice work, love it ❤❤❤

  • @BarakaAmosi-gb4ve
    @BarakaAmosi-gb4ve 7 месяцев назад +3

    Mtoto unajua ila hii ngoma ilikuwa inamtaka kiba hii ngoma Kal sana hii ngoma narudia hii ilikuwa inataka mtu wamelodi kama kiba mtu hatar❤❤❤❤

  • @SuedChuby
    @SuedChuby 7 месяцев назад +2

    Yami ni vile ulisema uko single🥰

  • @elyseentaki
    @elyseentaki 7 месяцев назад +6

    Iyi song 🎵 nzuli jameni ❤

  • @NelciosLove
    @NelciosLove 4 месяца назад +1

    Nyimbo nzur xana katika nyimbo zote za yammi

  • @NicoleAssany
    @NicoleAssany 7 месяцев назад +3

    Imoya hainiishi hamu kabisa❤❤❤❤❤❤❤

  • @FamtamAli-vl2wx
    @FamtamAli-vl2wx 6 месяцев назад +1

    Dongo hilo kwa Raya 😂😂😂ata kula mkavu mwaka uu hila hiri dude mume weza kisenge unyama mwingi Nandy daah ❤❤❤❤❤❤

  • @the_prince_ac
    @the_prince_ac 7 месяцев назад +3

    Ivi ni mm Tu sichoki kuiangalia hii nyimbo au !!!!!

  • @naturalmovietz
    @naturalmovietz Месяц назад +3

    Hii nyimbo ulitakiwa utoe official video, nyimbo kali @yammitz

  • @DullyQarem
    @DullyQarem 7 месяцев назад

    Namkubali san yammi jmn anajua. Bonge la ngoma

  • @alistidesalex
    @alistidesalex 7 месяцев назад +4

    Nice one,

  • @MwitaBoy-l5k
    @MwitaBoy-l5k Месяц назад

    Yaani nyimbo kali sanaa mama angu sauti zao zinaingia hadi tumboni mwangu afu mm nilijua yami alade na nandy du respect

  • @kanirnb
    @kanirnb 7 месяцев назад +132

    Nipewe zawadi jaman Nimekua wakwanza kucoment kulike na kuvew pliiz Nandy

  • @hafidhkikocho9161
    @hafidhkikocho9161 5 месяцев назад +1

    kiukweli huu wimbo umenifanya nimpende tu huyu Yamm bureee kazuriii alafu kanajua kuimba.

  • @BONGOSTARMEDIA
    @BONGOSTARMEDIA 7 месяцев назад +3

    yammy ni fundi saaana

  • @bintisudialibintisudiali2327
    @bintisudialibintisudiali2327 7 месяцев назад +2

    Nyimbo tamu ajab ❤❤❤ma sha ALLAH

  • @oceankid_tz
    @oceankid_tz 7 месяцев назад +3

    Just Imagine Hii Collaboration ungeimba na Zuchu🥇🥇🥇🥇

  • @mr.somaa256
    @mr.somaa256 Месяц назад

    Huo ni wimbo mzuri sana asante kwa kutufahamisha kuhusu jambo fulani

  • @SalhiaSalim
    @SalhiaSalim 7 месяцев назад +5

    Beautiful Song