Proudly Tanzanian Swahili song, yaan ni pini baada ya pini. Wasanii wetu mnaitendea haki Sanaa ya muziki, yaani muziki hauwadai . Keep on entertaining all of us, and keep the hardwork going
Mashallah ....Hika mwenyezi MUNGU huwa akimpa mtuu kinacho staili kuwa chake BC habadani hakiwezi pote ...hakika mimi nimmoja ninae pendezwa sana nasauti yako khadhwimu ....❤❤❤❤.Mashallah Nakupenda bure wallah
All the way from Kenya this is almost my 10th time streaming the song online Yammi uko Sawa sijui nikwasababu natokea upande Wa Pwani ndo nazielewa Zaid nyimbo kama hizi nakupenda bureeeeee
kimwili naishi ila we ndo roho yangu ikiondoka upande wangu nimeishaaaa hivi bado hujahisi huaga napoteza utimamu usipopokea simu yangu nafokaaaa🔥🔥🔥🔥Yammi keeps improving. much love from 254 Kenya. Huu mwaka you're my favorite female artist, from Namchukia,Upepo,Tiririka,nibusu,Nitadumu nae to Kukupenda,hits after hits. Yammi your songs are yummy.
Yammy ❤uko fire 🔥 zidisha kuwakamua sana upo SAWA waripuwe nipo Canada ❤nasikiliza kwenye maclub yote ninayo kwenda napiga sana nyimbo zako,, fire 🔥 boy
i am from RWANDA but this girl is extraordinary singer I wish I can meet her she is my favorite in easter africa for sure. 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞 sending my love YAMMI
Yammi umeamua kuleta kuku sasa upo poa san na mim natk kukukiss 😃😃 it's funny kukutania kukukera kukutia in my mind hahaha wote kuku hao jmn tupen kuku na sisi❤❤❤
Today I'm praying for someone who is emotionally in pain, Mentally stressed, Financially broke💔😢 but physically smiling 😊it will be alright.🙏
Thank you I needed this the most 😢🙏
Amiin yarrab 🙏
It will be okay. 😊God did it and he will do it again 🙏
Proudly Tanzanian Swahili song, yaan ni pini baada ya pini. Wasanii wetu mnaitendea haki Sanaa ya muziki, yaani muziki hauwadai . Keep on entertaining all of us, and keep the hardwork going
Wow wow wow my sister hakika kwa uandishi nimekukubali hongera sana....... Alafu goma lipo la moto saaaana...... Nakupenda tena sana ❤❤❤❤❤
Mashallah ....Hika mwenyezi MUNGU huwa akimpa mtuu kinacho staili kuwa chake BC habadani hakiwezi pote ...hakika mimi nimmoja ninae pendezwa sana nasauti yako khadhwimu ....❤❤❤❤.Mashallah Nakupenda bure wallah
Pure talent Tanzania number one for my side fikiria what if yammy akipata serious promotion no one will be like her atakuwa top then wengine watafuata
true
I never come across to like tanzanian female artists for their songs,.But Yammi has made me become his truly Fan, damn!
Uyo nimkali ❤❤❤❤ .....zuchu haoni kitu apo🤔🤣🤣
Mbona wimbo wamaana sana tena big song ongera binti kwakunipa burudani nzuri.nandy hajakoseya kuwekeza kwako.unajuwa mpaka sijuwi nikwambiyeje.❤
Mwanamziki mwenye sauti yake bongooo ❤❤❤❤ i love this girl .....
Kazi nzuri kazi tamu pokea makopakopa❤❤ tokea 🇰🇪 tunasupport kazi nzuri
Kukumangakuku nipe kipenzi ....safi sana Yani endelea kupambana mama la mama ..nikisikia sautiyakotu NASHIBA
Kuku wote 😅😅 wazuri mama yammi🎉❤
Huyu lazima ni mkenya mwenzetu🎉🎉🎉🎉 kazi safi 👌 Yammi
Kenya diaspora 🇰🇪🇦🇴 represented
Hili ngoma yakunikumbusha mbali and a true meaning of true l❤️
Kwani Ku comment Shi ngapi wapi like za 🇹🇿🇴🇲🇦🇪🇰🇪🇰🇪🇧🇮🇸🇦
Bule tuu
🇴🇲🇴🇲👋
Imagine costs someone nothing...✓
@@faridmichael1307 sio bule ila ni Bure wa tz nyie
💥💫💫🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪my favorite mdada team strong njoon niwagee 😂huku njoon niwazalie 😂nawapenda Bure 🇸🇦💕🇰🇪
Nimekuwa wakwanza kutazama video kali sana ya yammy❤❤❤🙏🙏🙏
Nakupenda sana yammi ngoma ni kalii sana imenigusaa haswa
All the way from Kenya this is almost my 10th time streaming the song online Yammi uko Sawa sijui nikwasababu natokea upande Wa Pwani ndo nazielewa Zaid nyimbo kama hizi nakupenda bureeeeee
Qui ici ne comprends rien de ce qu'elle dit mais est Accro à la musique de cette fille 😢😭😍♥️♥️♥️ Na kumpenda Yammi ♥️♥️🇨🇬🙈
Bonge la traki Hilo 🔥 🔥 🔥 🔥 kukusifia Kipusa wewe ni mkali... Love from 254 🇰🇪
Kenyans lets gather here with likes to show love for this poet music lady ....I LOVE YOU SO MUCH Chunny....likes drop now
Nainjoy tu nikiwa na mpenz wangu, nikiwa mi ndo namuimbia na kuskilizishia, acha tu
Nakupenda bure yammy.... Nataka..Kuku penda...😂😂😂hiyo ndiyo Kuku nahitaji Kwa sasa
Kweli mtoto Sauti hiyo aah weeeh umenimaliza yemmy mama nakupenda bure❤❤❤
Wimbo mzuri jameni tayari nimeweka call ringtone forever ❤❤❤❤❤❤❤
kimwili naishi ila we ndo roho yangu ikiondoka upande wangu nimeishaaaa
hivi bado hujahisi huaga napoteza utimamu usipopokea simu yangu nafokaaaa🔥🔥🔥🔥Yammi keeps improving. much love from 254 Kenya. Huu mwaka you're my favorite female artist, from Namchukia,Upepo,Tiririka,nibusu,Nitadumu nae to Kukupenda,hits after hits. Yammi your songs are yummy.
Nyimbo nzuri na hapa rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Her songs are so feminine,😢😢🎉🎉, receive your flowers Powerful woman. 254 acknowledges you
vifurushi vya ubani manukato na mapenzi mengi unavutia kwa sauti nzuri, Yammi
Kumbuka kumludia yesu kipenz changu
Kwani wa kenya 🇰🇪 hampendii huu wimbo na vile nimtamu
Tunaipenda pia❤
Hawa sasa ndo wanafaa kushinda hiyo Grammy,umeuwa yammi🎉🎉🎉🎉🎉🎉pure bongo flavor
Nomaa sana ase Miss yammi ngoma ik 1:38 o oglo@ Yammi
kinomaa❤❤❤
Mfugaji wa kuku wa mapenzi... wooow great idea..❤❤❤❤❤
Naitaka second verse nifanye unyama" yammi. Congrats 🎉
Aisee huyu binti anajuaaaaa sanaaa, namkubalii mnoooo, Mungu alinde kipaji hiki
yami kwa kitovu masha allah. miguu ndomana hata hapendi kuvaa nguo fupi
Babe nipe Tu kuku wote basi ❤my rose🌹
When I'm about to give up on love she do this omg mapnezi ww 🥰🥰🥰🥰🥰
🎉🎉❤upendo toka kenya...kuku zote ziko sawa
Huyu mtoto nyimbo za mahaba anazijua kweli cjui kitandani sasa
Ebu mjaribu alafu urudi utuambie
😂😂😂wewe
@@Jk_rules_ 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
🤣 🤣 🤣
Eishhh....Yami unanimaliza woooii.... what should I give this lady
Big up👊👍🤟 yammy... me naomba kuku Lea tu kwko yammy ❤❤❤
Hii nyimbo iende Kwa wote walio kwenye mahusiano kama mimi#yamminambosso🎉😂nawaoenda sana nyote walai Kwa ajili ya mungu,nyote naomba likes na comment
Kwanini ubaguwe ma single😢 sija pendaaa
@@lareineminah1353 🤣🤣🤣
Ngoma nzuri sanaa🎉naipenda mnoo😊🇧🇮🇧🇮
Yammy ❤uko fire 🔥 zidisha kuwakamua sana upo SAWA waripuwe nipo Canada ❤nasikiliza kwenye maclub yote ninayo kwenda napiga sana nyimbo zako,, fire 🔥 boy
Kazi safi yammi..kaipenda ❤
Napenda nyimbo zako kweli momma come back stronger
Watanzania mnisaidieni kumpata huyu yammi I love her❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Yammi just dropped this song on the right time ❤❤❤Kama nimejikwachulia penzi ❤❤❤
Yammi nyimbo nzur sana umetisha sana ❤❤❤
Pokea maua yako🎉🎉🎉unaweza kwakwel umeuwaaa❤❤
Karibu kwangu dada yetu kipenzi najuwa uko sawa kabisa
Big up mdogo wangu Nandera aka Nandy kijana wako atafika mbali
Hiii ngoma Kali sana kama unamkubali Yammy usipite bila like
Asante dada kwa nyimbo nzurii..! Hii tutapendwa tuu hakuna namna🙌🔥
Sauti nayo... Dope love from kenya
i am from RWANDA but this girl is extraordinary singer I wish I can meet her she is my favorite in easter africa for sure. 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞 sending my love YAMMI
Yammi umeamua kuleta kuku sasa upo poa san na mim natk kukukiss 😃😃 it's funny kukutania kukukera kukutia in my mind hahaha wote kuku hao jmn tupen kuku na sisi❤❤❤
Daaaah onger kilalakher yammi
Much respect my super star love from Burundian military artist sailo soldier boy ❤
Duuuuuu pole Sana inauma Sana jaman ilaaaa usiwe unaimba hviii unamuumiza mtoto samiraaaa jaman
Shairi tamu kweli .. kwa kila ubeti .. kwa kina na vina zote zina vutia.. Kiswahili sanifu wah!! Dada nakuheshimu
Waooow nyimbo nzur san❤❤🎉
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Yammi kazi nzuri kwako ukosawa❤❤🎉
Hit song wangapi tunasema yammi ana dunia yake mziki anaujulia🎉🎉🎉🎉
Nataka kuku wote maama Yammi, mapenzi yamekolea ❤
My favorite female artist in Tanzania much love from🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥😍
Yammi we ni mkali.Kama unakubaliana na mimi nipe like.
👍
We Nawe Toka Usifiwe Una Kitovu Kizuri Basi Ndio Ishakuwa Shida He.
Msinione mlafi ila mm nataka kuku wote 😢😢
Love you without any expectations ❤dear 🇸🇴 from mombasa
Mr comment 🇹🇿 heshima yako dada unaumiza sana kichwa kutupambania wakina sisi tupate kilicho bora 🎉🎉🎉🎉🎉
Ongera mpenzi. Imeweza 👌💛💝
The song is full vibe 😉💯love it from 🇰🇪
Clean job girl ur song always hit 🎯 thankyu for gud music good vibe 💙 only ❤
Ukiachana na ujinga wake haka kadada kanajua sanaah
Huyu manzi si ni mrembo 😍 akiii
❤❤❤❤❤
Yammi kazana utafika mbali dadaaa unajua sana 2
Wow bless you baby Yami love love love from Birmingham Uk you are my favourite ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Msichana mrembo🥰🥰aisee hii wimbo ni nzuri mno
Mashalah kitovu kizurii😊 yammi
Jamani mi nipe kuku wote❤
Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
Tunakupenda sana yammi from mozambique 🇲🇿
KUKUsikiza ndo mimi na fanya😊😊
Oh, you are art, you are forever, Oh, you are the golden throat, I love you, I am watching from Sudan ❤
Kuku penda kuku care kuku like kuku love kuku miss kuku za yami izo
Can't get enough of your songs girl much love from Kenya 💕💕💕💕
Nakukubari Yami we moto wakuoteya mbari💥💥💥💣
🎉🎉🎉 Full Respect From Chamazi,Dar Es salaam,🇹🇿🇹🇿🇹🇿
yammi nakuomba jaribu upige collabo na otile brown,, itakuwa pisi moja hatariiii
good song, yammi is the best
Ausio eh huyu ni 🔥 si alichimba akili sana hapa kwa kuku doh una mistari mingine high-standard Zuchu hapa aje polepole
Yammy NAKUPENDA BUREEE ❤❤❤ Unajua mpaaka unaboaaaaa
Umetisha sana i say ❤️❤️🔥🔥👏
Watching from kenya who else from kenya
Wataka Kuku gani basi sema mwenyewe
Nakupenda sana yammi ❤ unajuwa mama
hiiii sasa tunaita hit song 🥰🥰🥰🥰