Maua Sama feat Nandy - Poa (Visualiser)
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Music Video by Maua Sama featuring Nandy performing "POA", a song with a vibrant and a message of confidence in whichever situation somebody is going thru nothing will change the reality of being okay and content, No HardShip or Heartbreak will come that will leave any damage in your Happylife. This Song is Dancable tune with a powerful message to also get along with Looking to getting better in life and not be bothered by nothing else. Audio produced by S2Kizzy.
Stream/Download:ziiki.media/Po...
► Listen to Maua Sama on Digital Streaming:
Spotify: open.spotify.c...
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music: / maua-sama
Boomplay: www.boomplay.c...
► Connect with Muaa Sama on Social Media:
Instagram: / mauasama
Facebook: / mauasamaofficial
Twitter: / mauasama
TikTok: / mauasama
►Connect with Nandy on Social Media:
Instagram: / officialnandy
Twitter: / officialnandy
Facebook: / officialnandy
TikTok:www.tiktok.com...
+Maua Sama's Booking Info:
mauasamalive@gmail.com | +255713922508
+For More Information Booking Nandy:
Email:Officialnandytz@gmail.com
©️2024 Sama Music.All Rights Reserved.
#MauaSama #Nandy #PoaTu
NAWAPENDA 💜💜
POA Available in All Platforms 💜 Hit the Link ziiki.media/Poa-MauaSama
Nakulove pia❤
@@MauaSama nasi pia twakupenda sana maua flowers 💐🌹💐💐
Maua naomba corabo mama pls
❤❤❤❤
😂😂story za bae peleka mumbai lakini NENGA akilala nje siku moja unanuna mkiachana uko sure utakua poa tu😂😂
Pele limepata mkunaji ngoma Kali sana hii naomba like za Maua sama na Nandy🔥🔥🔥
Tamu sana Maua Sama❤
Kama unaamini_NANDY_Kauwa kwenye Hii ngoma weka like yako wafasi wa_NANDY
❤❤❤❤
Nandy never disappoints ❤❤
❤❤🔥🔥🔥
Mhhhh maua kauwa Ila wote ni hatar
😂😂❤
wanajua awa wote mafundi kama umekubali hili gonga like apa..
Maua ana saut nzurii sana ♥️ na nandy pia balaa Yan wote wanajua mnoo
Kama unaamini hawa watu wafanye ngoma zaid ya Moja nipe Like Yangu HApa
araka sana ngoja wafanye kama2 ivi afu tutajua nn maamiz
my favourites❤ nampenda mauA
❤❤❤
Poaaa tuuuu lalalala ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Waliopo hapa kwa ajili ya Nandy gongeni like tujuane, from Burundi 🇧🇮
Maua nakupenda ad nakupenda tena....unajua sana my
Mano motorista ndani ya Mozambique👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥🔥 niwapongeze tu Kwa kazi mzuri mumeuwa kiukweli
Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri 🎧❤️
Hii ngoma ni kali sana,yaani naona kama ndo imeanza tuu na bado haijaisha❤
Big up, Sama & Nandy!!!!
Wahooo Ngoma Kali Xana Kam Umekubaliii Hii Ngoma Gonga Likes🔥❤️🔥🔥🔥🎉🎉🎉
Kama umependa verse ya Maua Sama gonga like hapo
Jamani kama tulivyokubaliana sisi mashabiki wa nandy tunajuana kwa like ❤❤❤ nandy kaua sana humu
Uko vizur😅😅
♥️♥️
Ngoma ni kali sana ilichoharibu ni hapo tu kwenye video maanake umeshuti sehemu moja tu hakuna hata mambo mengi sema tunajua maokoto inazingua❤❤❤
Na mi naishi kisela maua naomba unipende nikupende😢😢😢 ... Ata tufike 1M leo
Nimependezwa na hili kumuona nandy na maua sama mnashilikiana much love to you 🥰🥰❤🎉
Maua sama si msanii ni muimbaji uyu dada anajua kupitiliza akinipenda atakuwa poa tuu
The African Princess Nandy and The African Queen 👑 voice Maua sama❤❤❤
Waoo, nice song,two quen
Maua ameua bwana🔥🔥
Mziki mzuri uko poa tuko poa tu kusikiza 🎉
Kama we ni mkenya na uko hapa kwasababu ya Nandy na Maua Sama pitia na likes hapa
❤❤nataka hii Ngoma naezaipataje ..... Like it from Kenya
Maua sama na Nandy wanajuwaga kuzipanda iZi beat❤❤❤ this is a broom 💥 💥
Mausama 🎉🎉🎉🎉maua yako nakupenda sana❤❤❤❤
Hit song ✌️ hongera sana kabisa🔥🔥🔥 wakwanza toka Congo 🇨🇩
BAD GIRLS ALOOO .NOMA SANA
Nionzesheni huyu maua sama🎉🎉
noma sana
tamuu san wapi like hata moja mm from Kenya lakini sahii Niko Oman ❤❤
Hongera umejitahidi sana
JAMANI NAOMBENI LIKES HATA KUMI TU KWAAJILI YA MAUA NA NANDY
Duuu! kiukweli hakuna kitu kinauma kama mapenzi😊😊😊
Watanzania imetosha Sasa hizo Amapiano rudini Bongo flavour mnatuboo sisi wakenya NKT.
na sisi tuko poa tu, mnaimana kama tuta kufa! Manzee kama uko poa Tu Like hii Comment.
wimbo mzuri sana kama unawakubali awa wadada gonga like❤❤
Mm napenda hawa wa dada wote ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ngoma Kali sana 🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Sio kali Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
This is a banger from Kenyaaaaaaaaaaaaaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 thanks Femi Unoo
ila maua sama 😂😂kama vile hayuko serious ila ndo yupo serious ivo🥰😍
Ngoma kali kabisa shabiki wa Nandy 220%
Hilo sauti Maua Sama unaua vibaya mnooo,,,,,,,🔥🔥🔥
Kweli kabisa Maua kaua sana kwenye hii ngoma 🎉🎉🎉
Waoooo ma princess wamekutana maufundi kwa saana🎉🎉🎉
Nimekuwa wa kwanza ku-view
tukiweka pembeni ushabiki, kwenye hii ngoma verse ya Maua noma sana, Nandy huwaga anafunika ila kwa Maua ngoma droo 🔥🔥🔥🔥
nawapenda wote❤
Mi napenda iyo SAMAA na "oooh yeeeaaah" eeenh
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Weuweee madada wote wameua jamaniiii 🎉🎉❤❤❤❤
kama na ww umeskiya sauti ya king kiba weka like apa.
❤❤❤❤beib girls,,looking mwaaaah🎉🎉🎉
jamn nime chelewa saw lakin ndy msi nipe lake ata 20 kweli ❤
Nawapenda nyie wadd jamani mungu awape maisha malef❤❤❤❤🤪🤪
Keep it up my sisters :
Nandy and flower 🌸💮💮
Amazing 🔥🔥🔥🔥🔥
Poa TU on the building
Nikependa sana sauti ya maua sama
poa ni the best song 2024 kama unaamini like hapa
. Kabisa poa tu😂😂
😍😘😘😍 naiskiliza mara 10 kwa siku
Here for nandy❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Napenda nandy kabisa ata ngoma zake
Tumeachana juzi tu Ex kapata na wimbo wa kuninanga😢
😂😂
mnziki iko poa kabisa nawapenda sana dada🥰🥰🥰❤❤
Tulio hapa kwa ajiri ya maua tujuane ❤
Yaan voice sasa wee ❤❤❤❤
Big up🎉
Ma queens wawili ndani ya nyumba🎉🎉🎉
Mko poa kweli ❤❤❤
Nandy sweta kama lilikuwa linakusumbua si ungetoa tu😂😂ila nyimbo nzuri story za mapenzi staki nataka za hela🔥🔥
Yupo poa tu😂😂😂
Nomaaaaa sana❤❤❤
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Ruto ananikasirisha lakini juu ya huu wimbo ni poa tu😂❤🇰🇪254
Nawapenda
🎉🎉🎉Poa tu
Mimi wa Nandy mukubali mukatae mimi poa tuu❤
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Huya memefunga jiji❤🔥🔥🔥🔥
Wapi wimbo korasi vesi moja mmepokezana mmeona poa tu
maua na nandy mnajua sanaaaa
Mafas wa Nandy liké zenu jamana
Poa tu🔥🔥🔥🔥
Maua Sama I love yoo❤❤❤❤
Hapa tuseme ni Mchaga na Mpare wamekutana kitu wanataka ni PESA tu, hakuna kupenda mtu bila Pesa.
This is Banger mazee, perfect combo 🎉🎉🎉. Likes 100 only
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Mafundi wa wilii ndani ya track moj
Nawapenda san❤❤❤
WAKALI WA VOCAL 🎉🎉
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu
Wote wako sawa ,hongera kwao
WAKUSHI NIWAONE
Hi ngoma imetisha sana nandy nakupa maua yako imetisha sana
Kuangalia video tu ku like aaahh
Nandy wewe niwa kimataifa next level, nakuelewa sana, i love you❤❤❤❤
KAZURIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII POAAAAA TUUUUUUUUUUUUUUUU
Big up
wameanza mabwana wameua na nyie wake mnazika kabsa
Jaya bana
Mbn mistari wameimba ile Ile wote wawili si angeimba sas mmoja sijaona tofaut
wameimba tofauti ila bridge zinafanana, inatokeaga sana mbona...sema mistari yao mifupi tu
❤hawa madada wameua bana African princess much love....shika other female Tanzanian artists juu wewe ndiye wa kwanza kufungua rekodi lebo kubwa kwa female artists in Tz
Kama umeipenda like pls
Poa tu penda sana nyie on 🔥🔥🔥🔥❤❤❤
nice one...mnajuaa sanaa
💪💪
Hatimaye wame fany kazi nzuri wanajua hawa watu
Huu wimbo wame copy Mista Champagne Niko tu