Poleni sana wapendwa mtu ukiishi naye siku nyingi maumivu ya akua mengi ukikumbuka vile mlivyokua mnaongea mm bibi yangu alijaliwa mwaka 1920 AMEFARIKI 2015 nililia sana sana hata sijawahi kulia kwa yoyote kiasi kile kwasababu story Yake ni ndefu kwangu MUNGU AWAPENI MOYO MKUU
"Inatosha Mauti kuwa somo"- (Mtume Muhammad SAW)
Mungu awafariji jamani na pia awabariki mfuate nyayo za Baba yenu alikuwa na upendo nainaonyesha kuanzia nyumbani poleni sana 😭
Yu ana uchungu jamani...pole kwa familia...
Poleni sana wapendwa mtu ukiishi naye siku nyingi maumivu ya akua mengi ukikumbuka vile mlivyokua mnaongea mm bibi yangu alijaliwa mwaka 1920 AMEFARIKI 2015 nililia sana sana hata sijawahi kulia kwa yoyote kiasi kile kwasababu story Yake ni ndefu kwangu MUNGU AWAPENI MOYO MKUU
Allah ndio akuae
Polen sana familia kwa ujumla mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigumu innaillah waina lilah rajoun
Poleni sana familia kwa kipindi kigum
Poleni sana familia na watanzania wenzangu sote njia yetu
Poleni sana tulikupenda ila mungukakupenda zaidi
Hakika Amepata Zawadi
Buriani 🙏
Tutkukumbuka baba
Inauma asikwambie mtu
😭😭😭
😭😭😭😭