RAIS MWINYI ASHINDWA KUJIZUIA - AJIKAZA KIUME - MSTAAFU SHEIN AKIMZUNGUMZIA BABA YAKE MZEE MWINYI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 17

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  9 месяцев назад

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @MakemeKhalid
    @MakemeKhalid Месяц назад

    Dkt Shein binafsi nakupenda sana Mungu akupe afya njema 🎉🎉

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 9 месяцев назад

    Pole sana rais wa Zanzibar hussein mwinyi

  • @AnnaAjaaba
    @AnnaAjaaba 9 месяцев назад

    Mauti yatoka kwa mungu na uzima ni wa mungu na ni wetu sote mungu amsamehe kwa matendo yake yote ampe peponi amin😢

  • @AmourMattar
    @AmourMattar 9 месяцев назад

    Shukraan sana

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 9 месяцев назад

    Kufiwa kubaya sana mungu awatie nguvu wafiwa wote

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 9 месяцев назад

    IV KUMBE UPO MZEEEE WANGU LISHA KUSAHAU

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 9 месяцев назад +1

    Ok kisha siku za siasa muje sema elimu ilitolewa kwa msingi wa Rangi wakati mnatueleza kuwa mzee mwinyi akitafuta wa kumsomesha bimaana wanafunzi hawapo skuli ipo .Walimu wapo wakusomeshwa hawapo.

  • @نوفل-س5ر
    @نوفل-س5ر 9 месяцев назад +1

    Wewe Shein Wala hufi Kwa uliokua ukifanyia watu .

    • @Lundege_Hips
      @Lundege_Hips 9 месяцев назад +2

      Raisi ambae sikumpenda na simpendi wala sitawah kumpenda hata siku moja

    • @wetetv9678
      @wetetv9678 9 месяцев назад

      Dah usikute mwenzako kama kuna makosa ahatubia na Allah ukashangaa ni moja kati waliofuzu akhera

    • @نوفل-س5ر
      @نوفل-س5ر 9 месяцев назад

      @@wetetv9678 kwani nikuulize kitu alipo fanya makosa alikua Hana akili,alifanya Kwa kujua km ivi ninavyofanya sivyo ,ila Dunia tumeweka mbele, tunasahau akhera yetu,wangp kawadhulumu na wengine washatangulia mbele ya akhera

    • @fahadabdalla8194
      @fahadabdalla8194 9 месяцев назад +1

      Hakuna Toba ya mtu alizulumu mpaka aombe samahani kwa aliyemzulmu sio shekhe wala pasta atapinga hili hakuna Toba hio

    • @نوفل-س5ر
      @نوفل-س5ر 9 месяцев назад

      @@fahadabdalla8194 Tena Wala hakuna Toba io ,udhulumu watu ama upige watu halafu uje utake Toba ,wakati unafanya mambo Kwa kujua

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 9 месяцев назад

    Nimekuelewa mh Shein umejua kufikisha ujumbe wa matakwa ya kumaliziwa vitu alivyo visema chuo na tasisi

  • @redmondbaby1710
    @redmondbaby1710 9 месяцев назад

    Cmpendi huyu