BREAKING: RAIS WA AWAMU YA PILI, ALI HASSAN MWINYI AFARIKI DUNIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 764

  • @johaneskyaruzi8789
    @johaneskyaruzi8789 10 месяцев назад +29

    Mungu wa mbinguni aipokee roho ya Mzee wetu mahali pema peponi amen

  • @khalfanothuman9988
    @khalfanothuman9988 10 месяцев назад +23

    إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جنتك لله ما أخذ وله ما أعطى وكل شيء عنده بأجل مسمى

  • @Samuelwilliam-b3w
    @Samuelwilliam-b3w 10 месяцев назад +11

    Mwenyezi MUNGU ailaze roho ya marehem mahala pema peponi Amen.

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq 10 месяцев назад +6

    INNALILAH WA INNA ILAH RAJIUN Tunakukumbuka Kwa Uchesh Wako🙏 Ulitufanyia mengi MEMA Bado Tunakukumbuka MZEE RUKHSA na Tutamkumbuka Milele DAIMA🙏 MUNGU akuweke Mahali Pema PEPONI🤲💔🙏🇹🇿🇹🇿

  • @kutailass6671
    @kutailass6671 10 месяцев назад +20

    Inna lillah wa inna illah rajiun, Allah ampe qhaul thabiti in sha Allah

  • @kanaanrajab1102
    @kanaanrajab1102 10 месяцев назад

    Innalillah waina ilahi rajiuun. Allah akusamehe makosa yko na Akujlie Firdaus🤲.

  • @pastorlilianjoseph1878
    @pastorlilianjoseph1878 10 месяцев назад +22

    😢😢😢😢😢 pumzika kwa amani Rais wetu.

    • @bayusufbayusuf8403
      @bayusufbayusuf8403 9 месяцев назад +1

      Poleni sana watanzania majiraniwetu❤kutoka kenya

  • @bettygeyer6952
    @bettygeyer6952 10 месяцев назад +2

    Mwenyezi Mungu ampumzishe vyema , mpendwa mzee wetu.
    Tutakukumbuka daima.

  • @tulilesalum5593
    @tulilesalum5593 10 месяцев назад +3

    Mwenyezi Mungu aifanyie wepesi safari yake inshaallah

  • @NuruMfaume
    @NuruMfaume 10 месяцев назад

    Kwaheri my beloved president mwinyi! Nilikuwa nakupenda. Babu yangu! MUNGU. akubariki sana!

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 10 месяцев назад

    ❤Mzee wa watu hana hiana mtu wa msamaha,hana visasi Mungu ampokee mbinguni amina,Raha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani Amemi

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 10 месяцев назад

    Hapa ametuacha mtu mwema sana. Mwenyezi Mungu ailaze mahali pema roho yake AAAAMIN!!🌹♥️

  • @innocentmussa-mt7oz
    @innocentmussa-mt7oz 10 месяцев назад +8

    Mungu ailaze mahali pema roho ya baba yetu na rais wetu mstaafu Ally hassan mwinyi na pia familia Mungu aifariji na watanzania wote kwa ujumla Mungu awe faraja yetu sote..!!

  • @wazambulitv5735
    @wazambulitv5735 10 месяцев назад +3

    Innalillah wainna lillah raj'iun 💔🕊️
    Kwaheri Mzee Nzasa, Pumzika Kwa Amani Mzee wa ruksa #RipAliHassanMwinyi

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 10 месяцев назад

    Inna Lillahi, wa Inna ilayhi raajioun!
    Allah ghfir lahu wa rhamhu waskanhu fil Jannat!
    Poleni Tanzania!
    😢😢😢😢😢😢

  • @MwanaidiOmari-r1i
    @MwanaidiOmari-r1i 10 месяцев назад +2

    Innalilah waina Lilah rajiuun so MWENYEZI MUNGU ailaze ROHO yake peponi Amiin

  • @mayhaji2359
    @mayhaji2359 9 месяцев назад

    Allah ailaze roho ya babu yetu Mzee Mwinyi mahala pema peponi amin amin

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 10 месяцев назад +4

    Innalilah wainailah rajiun,ALLAH akurehem mzee wa Ruksa 🙏

  • @mariamtepa1740
    @mariamtepa1740 10 месяцев назад

    Mzee watu wa Ruksa Ungu akupokee mbinguni. Tnaushukuru kwa kutuletea mitumba. Hii moja ya uombozi kwetu. Tunakupenda sana

  • @apostlesammymutachicfc.3744
    @apostlesammymutachicfc.3744 10 месяцев назад +1

    Poleni Sana Ndugu zetu wa Tanzania, Mungu awape utulivu na amani ya moyo kwa jamii ya Tanzania.

  • @fikirishiguta8716
    @fikirishiguta8716 10 месяцев назад

    Pumzika kwa amani Rais wetu hakika tutakukumbuka kwa mengi

  • @skydeehassan8598
    @skydeehassan8598 9 месяцев назад

    Mungu ailaze roho yake peponi rais wangu

  • @DianaFabian-p1d
    @DianaFabian-p1d 10 месяцев назад

    Mungu ailaze roho yake Mahal pema pepon

  • @dannysengata2298
    @dannysengata2298 10 месяцев назад

    Mungu ibariki Africa....Mungu ibariki Tanzania 🙏

  • @HassanLugongo-lu6dw
    @HassanLugongo-lu6dw 10 месяцев назад

    Tangulia kwa amani raisi msataafu Ali hasani mwinyi

  • @mozuusuleiman4702
    @mozuusuleiman4702 10 месяцев назад

    Innallillah Waina Ilayhi Rajiun. Allah akusameh akupe kauli thabit

  • @RajabQassm
    @RajabQassm 10 месяцев назад

    Pole sana Raisi wetu wa Zanzibar kwa kifo cha baba yako Raisi mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Mungu ailaze roho yake mahala inapostahiki kulazwa.

  • @MarwaNyangati
    @MarwaNyangati 10 месяцев назад

    Mungu alaze roho ya mzee wetu mahali pema 🙏🙏🙏

  • @adycerriteno3230
    @adycerriteno3230 10 месяцев назад +1

    Pumzika kwa AMANI baba.😥😥😥😞😞😞.

  • @frankpaulofrank9302
    @frankpaulofrank9302 10 месяцев назад

    Duuuh mungu akupumzishe kwa amani twakushukuru kwa msada wako mchango wako kwenye taifa letu la Tanzania Amen 🙏🙏🙏🌹

  • @IssaKaboya-g1e
    @IssaKaboya-g1e 10 месяцев назад

    Mwenyezi mungu ailaze roho ya mzee wetu maali pema amina

  • @tulilesalum5593
    @tulilesalum5593 10 месяцев назад +1

    Pumzika kwa amani mzee wetu na wafiwa wote wawe na subra allah atawalipa

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 10 месяцев назад

    Ina lillahy waina illaihy rajiun. Mungu amueke mahali pema mzee Mwinyi na amruzuku pepo bila hisabu.

  • @JumaRupiah
    @JumaRupiah 10 месяцев назад

    Mungu aipumzishe mahali pema pepon roho ya mzee wetu Rais mstaafu amen

  • @yonamwakalobo5289
    @yonamwakalobo5289 10 месяцев назад +1

    Poleni sana wafiwa wote. Hasa rais wetu mama SAMIA SULUHU HASSAN.

  • @Shamila-ri1hh
    @Shamila-ri1hh 10 месяцев назад +9

    Inalilah wainailaih rajiun

  • @BATWELYNywage-yk1vn
    @BATWELYNywage-yk1vn 10 месяцев назад

    Atoa pole sana kwa Raisi wetu Doctor Samia Suluhu Hasani, Doctor Husen Mwinyi Raisi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Watanzania wote kwa msiba wa Mzee wetu.

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 9 месяцев назад

    Inalilah wainailahi rajuun Allah amepe kauli thabit😭😭😭

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 10 месяцев назад

    Innalilaiwainahilai rajurn,mzee wetu mungu hakupoke kwa mikono miwili, mbele yako nyuma yetu.watching from mombasa- kenya.

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 10 месяцев назад

    Msalimie baba yangu lowasa, mkapa na magufuli na nyerere. Hakika mungu awakutanishe.
    Mzee mwinyi tutakumis sana. Nani atatuchekesha tena watanzania. Tulitamani uishi maisha marefu lakini Mungu kakupenda zaidi.

  • @FidesKitali
    @FidesKitali 10 месяцев назад

    Mungu wetu ashukuriwe kwa zawadi ya maisha ya mpendwa wetu. RIP Mzee Mwinyi.🙏

  • @fadhilhamdu7063
    @fadhilhamdu7063 10 месяцев назад

    Pumzika kwa salama babuu, mbele yako nyuma yetu inshallah 💔🕊

  • @MartineYohana-y7z
    @MartineYohana-y7z 10 месяцев назад

    Punzika Kwa Amani mzee wetu🙏🙏🙏

  • @rodasanga1312
    @rodasanga1312 9 месяцев назад

    Mwenyenzi Mungu tunakuomba umpiokee baba yetu mzee mwinyi

  • @DeboraKisungura
    @DeboraKisungura 10 месяцев назад

    Mungu wa mbinguni awape faraja. kwa kipindi hiki kingumu . Pumzika kwa Amani, Tutakukumbuka Rais wetu
    msitafu daiima.

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 10 месяцев назад

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe 🙏🙏🙏😭😭😭

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 10 месяцев назад

    Pumzika kwa amani mzee RUKSA, Tanzania tulikupenda sana kwa BUSARA zako. Hatutaacha kukukumbuka DAIMA.

  • @elimelindaborniphance1661
    @elimelindaborniphance1661 10 месяцев назад

    Furaha ya milele umpe eee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani amina.

  • @AlsazAhad
    @AlsazAhad 10 месяцев назад

    Inallilah wainaillah rajiunaa pumzika kwaamani mzee wetu mzee warukhusa

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 10 месяцев назад

    Allah amsamehe makosa yake. Amjalie firdaus kwa kutuzalia kijana mwema aliekuja kuijenga zanzibar kwani walipita viongozi wengi na hawakufanya alio yafanya kwa mda mfupi Allah amjalie na mwae awe kiongoz muadilifu aaammin

  • @AnthonioGerald
    @AnthonioGerald 10 месяцев назад

    Tutamkumbuka sana Baba yetu. Mungu amlaze pema peponi. Amen

  • @GetrudaSanga-d7l
    @GetrudaSanga-d7l 9 месяцев назад

    Mungu akupumzishe kwa amani mwamba wetu😢😢

  • @kanchitarshi
    @kanchitarshi 10 месяцев назад +1

    MZEE WA RUKSA LALA SALAAMA. BABA R.I.P😢😢😢

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 10 месяцев назад

    Inalilah wainnaylahi rajiuun mwenyezi mungu akuweke katika pepo yake ya jannat fir daus yaarab

  • @jamal5922x
    @jamal5922x 10 месяцев назад +1

    May Allah Azzawajal forgive his shortcomings,grant him paradise and make it easy for his loved ones.Aameen

  • @NyambiBways
    @NyambiBways 10 месяцев назад +1

    Innalillahi wainna illaihi rajiu'n.

  • @patrickmkiriti747
    @patrickmkiriti747 10 месяцев назад

    Poleni watanzania wenzangu kuondokewa na mpendwa wetu Mwinyi

  • @Daudpaulo294
    @Daudpaulo294 10 месяцев назад

    Babu yetu bwana mungu akupokee.huko.mbinguni Wana familia mungu awa tie nguvu wote pamoja na taifa letu

  • @siliviakokubanza-dz6qf
    @siliviakokubanza-dz6qf 10 месяцев назад

    Pumzika kwa amani Baba yetu. Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi. RIP Baba yetu.

  • @RahelRonoh
    @RahelRonoh 10 месяцев назад

    Poleni familia ya baba yetu awamu ya pili mungu awape moyo wa uvumiliviu

  • @paulmutailuka2417
    @paulmutailuka2417 10 месяцев назад +1

    CHUMA KIMEINGIA KUTU DUH. MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI MZEE WA RUKSA ! R.I.P RAISI MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI.

  • @LenaMgandaz
    @LenaMgandaz 10 месяцев назад

    Mzee wetu jamani Pumzika kwa amani ❤❤❤❤q

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 10 месяцев назад

    Inna lilahi wanna ilahi rajiun. Allah amlaze pema kipenzi cha watu.Kila mtu anamtaja kwa kheri.,unachopanda ndio unachovuna.Allah awape subra wafiwa.

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 10 месяцев назад +1

    Duh Kifo hiki😢😢😢
    Mungu amuweke mahala panapo stahili🙏🙏

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 10 месяцев назад

    Inalilah wa inalilah rajuhun Apumzike kwa Amani mzee wetu 😭 😭😭😭

  • @zubedadahalgould8809
    @zubedadahalgould8809 10 месяцев назад

    Jamani mzee wetu kwa nini hazikwi hapa nasi tukaweza kumzika baba yetu tunaomba hilo mtufikirie na sie hapa pia tunampenda tumuage Inna lilahi wainaal ilaihi rajiun Allah ampe kauli thabit Aameen Aameen

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 10 месяцев назад

    RAISI MSTAAFU ASO MAMBO MENGI ASO ASO SKENDO MBAYA YOTOTE ALHAMDULILLAH ALLAH AMPOKEE KIPENZI CHETU NA MALAIKA WEMA WAWE NAE

  • @PeterMjeni
    @PeterMjeni 10 месяцев назад

    pumzika kwa amani mzee wetu rais msitaafu

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 10 месяцев назад

    Innalillah wainalillah rajiun,pumzika kwa amani Mzee wetu

  • @Skubo_tz
    @Skubo_tz 10 месяцев назад +6

    Inna lillah wainna lillah rajiul😢😢

  • @abiadhasmassawes3984
    @abiadhasmassawes3984 10 месяцев назад

    Daaah pole Samia Suluhu Hassan, huu ni msiba wa pili unautangaza

  • @restutatheodory5501
    @restutatheodory5501 10 месяцев назад

    Pumzika kwa amani rais wetu mstaafu

  • @FrankKimaro-h6c
    @FrankKimaro-h6c 10 месяцев назад

    Daaaah mungu amlaze mahali pema pepomi rahisi wetuuu

  • @Kimpwifamilly
    @Kimpwifamilly 10 месяцев назад

    Mungu aipokee roho ya marehemu ameen

  • @christopherdotto6023
    @christopherdotto6023 9 месяцев назад

    pumzika kwa Amani mzee mwinyi .AMINA

  • @SalamaselemaniLimbanga-g5f
    @SalamaselemaniLimbanga-g5f 10 месяцев назад

    Mungu ampumzishe kwa hamani

  • @BarakaSospeter-cw2wv
    @BarakaSospeter-cw2wv 10 месяцев назад

    AISEEEEEEEEEEEEEEEE Jamani Mungu Amlaze mahali Pema😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🖤🖤🖤

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 10 месяцев назад

    Mungu ampokee katika nuru ya uso wake mtukufu. Amina.

  • @GregoryMsogoya-fb6wt
    @GregoryMsogoya-fb6wt 10 месяцев назад

    😢😢😢😢😢 Pumzika kwa Amani Baba wa Taifa

  • @adycerriteno3230
    @adycerriteno3230 10 месяцев назад +1

    Kwaniaba ya watu wote wa EAC na AFRICA. We say "PUMZIKA KWA AMANI BABA".

  • @jasminmdimi6059
    @jasminmdimi6059 10 месяцев назад

    Mungu akulaze mahali pema baba tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi

  • @lawlencekalenga4212
    @lawlencekalenga4212 10 месяцев назад

    Apumzike kwa amani baba yetu Taifa linabaki na vijana tuu ,Mungu akupokee Mzee wetu

  • @mkonothomas9517
    @mkonothomas9517 10 месяцев назад

    Pole kwa Familia na Taifa kwa ujumla

  • @mauasylla5024
    @mauasylla5024 10 месяцев назад

    Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuun. Mwenyezi Mungu amuhifadhi. Amina.

  • @fatinasudi3806
    @fatinasudi3806 10 месяцев назад

    Rehema za Allah ziwe juu yake, Aamiin 😢

  • @eliusbizimana7646
    @eliusbizimana7646 10 месяцев назад +1

    We are with you
    And condolences to all tanzanians.
    May God protect the whole country.

  • @AliAthman-fb6pm
    @AliAthman-fb6pm 10 месяцев назад +6

    الذين إذا أصابتهم مصيبة قالوا إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فى الجنة

  • @mohamedkissima4893
    @mohamedkissima4893 10 месяцев назад

    Apumzike kwa amani mzee wetu, rais wetu mstaafu. Tunashukuru kwa uwepo wako, Tanzania inakupenda na watanzania tunakupenda pia😢😢

  • @fatmamattar820
    @fatmamattar820 10 месяцев назад

    Inalilahi waina ilahi rajiun. Mungu amsamehe makosa yake. Amlaze pema peponi.

  • @Sopausouth
    @Sopausouth 10 месяцев назад

    Mungu amlaze pahala pema peponi amin.

  • @fedrickmaliyabwana9011
    @fedrickmaliyabwana9011 10 месяцев назад

    Pumnzika kwa aman mzee wetu..🪔🪔🪔

  • @BarakaTRassi
    @BarakaTRassi 10 месяцев назад

    Mungu akupumzishe Babu yetu

  • @NassoroKitara
    @NassoroKitara 10 месяцев назад

    Mungu amulaze Mahalia pema peponi amina

  • @kclpaints2981
    @kclpaints2981 10 месяцев назад +6

    Innalillahi wainna illahi rajiun

  • @jacksonmtonyore9871
    @jacksonmtonyore9871 10 месяцев назад

    Mungu atupe nguvu wa tz misiba imetundama

  • @zitojosempakama8918
    @zitojosempakama8918 10 месяцев назад +1

    Kwani huko tanzania kuna nini mbona kila siku viongozi wanakufa tu?????

  • @DaudBenson
    @DaudBenson 10 месяцев назад

    Mungu atabaki kuwa Mungu pumzika kwa amani baba yetu

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 10 месяцев назад

    Inna lillah wainna illahi rajiun Allah ampe kauli dhabiti Allah amuondele na adhabu kabri

  • @EMMANUELROJAS-mw2oh
    @EMMANUELROJAS-mw2oh 10 месяцев назад

    Mungu airaze roho ya marehem mahari pema pepon amee

  • @afiahamad5983
    @afiahamad5983 10 месяцев назад

    Innalillahi wainna ilayhi raanjiuun Allahumma ghfirlahuu warhamhuu